#PART

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 11 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu tusaidie maisha yetu biashara mahusiano ajira huduma kilimo tustawishe Yesu twakuomba BABA

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 11 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli Yesu amekuchagua kutukomboa ubarikiwe sana Mchungaji Nikodem uishi miaka mingi sana

  • @ChrisSamson-rr3ns
    @ChrisSamson-rr3ns 9 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi by mch Chris Samson wa tag makete

  • @annasambo6906
    @annasambo6906 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu. Mungu aendelee kuwa pamoja na wewe katika huduma.

  • @pastorm.e.mwakalonge7020
    @pastorm.e.mwakalonge7020 ปีที่แล้ว

    Yesu aendelee kukutunza Mtumishi wa Mungu

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 11 หลายเดือนก่อน

    Ee Yesu twakuomba mafanikio mema na wanangu na ndugu zangu wa mwilini na wa rohoni wachawi wote dhidi wapigweeeee

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 11 หลายเดือนก่อน

    Mwenye pesa zetu arejeshe kwa upendo kwa jina la Yesu

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 11 หลายเดือนก่อน

    Yesu nitendee miujiza yako nipone na uzao wangu

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 11 หลายเดือนก่อน +1

    Shuhuda zako najiunganisha umoja kuwaleta wachawi wote dhidi yangu na wenye pesa zetu warudishe kwa upendo

  • @OswardBoniface
    @OswardBoniface ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki kiukwel unaushuda uliyo nitia nguvu

  • @hebertsebastian1631
    @hebertsebastian1631 ปีที่แล้ว

    Yesu ni bwana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 11 หลายเดือนก่อน

    Yesu amechagua tukombolewe kabisa Mchungaji