Kila mtu ameitwa kwa namna yake, hayo ndiyo aliyoitiwa. Acha kubishia neno. Kumbuka andiko huua ila neno huuisha. Usiwe mwepesi wa kuongea upuuzi. Huyu ni mtumishi wa Mungu na Mungu amemwitia hayo ayasemayo.
Ushuhuda na maandiko jumangapi na jumangapi? Mtumishi hivyo vidole vya kunyooshea mikono watumishi wa Mungu ilinde isijekatika kwa ukoma Bwana akurehemu
washa moto Pastor niwakati wa Bwana.
Amen kamanda
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Mungu aendelee kukuinua
Aise Mungu yupo na anatenda
Hallelujah wakati wakati wa bwana umefika
Mtumishi wa MUNGU,ata shangazi yangu wali ameitesa sana familia yangu,futa jina lake naye afe tuwe na amani
Kila mtu ameitwa kwa namna yake, hayo ndiyo aliyoitiwa. Acha kubishia neno. Kumbuka andiko huua ila neno huuisha.
Usiwe mwepesi wa kuongea upuuzi.
Huyu ni mtumishi wa Mungu na Mungu amemwitia hayo ayasemayo.
Nahitaji maombi pastor nko na shida
Kuua na kuteka nyara
Amen
Nimependa wewe ni komando wa YESU kanuni ya komando ni kuja na kuteka nyara .
Pasta,uniombee,Mimi,Gidimeni,nasumbuliwa,sanakwenye,ulmwengu,was,Roho,hasante,Pasita
Acha kudanganya watu mchungaji unakimbi waumni, alafu nistoli huna hata andiko a wape hili(isaya24:1-6)
Ushuhuda na maandiko jumangapi na jumangapi?
Mtumishi hivyo vidole vya kunyooshea mikono watumishi wa Mungu ilinde isijekatika kwa ukoma
Bwana akurehemu
Kaaa kimya sio lazima ukoment acha atudanganye sisi wengine tunapenda akitudanganya hivihivi Jina LA YESU LIBALIKIWE