Nakupenda sana ndugu Mutumishi wa Mungu Abiudi Misholi. Kila ninapofwata mafundisho yako nasikia kubarikiwa saaaaaaaaana. Maana una maneno yenye nguvu ya Roho Mtakatifu tena yanaokoa sana. Sijui nileeze je Baba. Mungu nitie nguvu niwe na tabia ya utakatifu ili nichukie kila aina ya dhambi.Amen. Nakufwata nikiwa Germany.
Haya dio mafudisho ya kweli huwezi yapata hapa kwetu KENYA ,roho ya jezebel lipo humu makanisani mwetu.hope nikue mtumishi haya dio mafudisho nitakayo fudisha wakitaka kuhama makanisani wahame tu ..hili ambalo lipo makanisani watumishi wanawapeleka wahumini motoni
Karibu kenya,...hakuna mchungaji ambaye anaezasema ukweli kwa vile watu wataenda
Nakupenda sana ndugu Mutumishi wa Mungu Abiudi Misholi. Kila ninapofwata mafundisho yako nasikia kubarikiwa saaaaaaaaana. Maana una maneno yenye nguvu ya Roho Mtakatifu tena yanaokoa sana. Sijui nileeze je Baba. Mungu nitie nguvu niwe na tabia ya utakatifu ili nichukie kila aina ya dhambi.Amen. Nakufwata nikiwa Germany.
mtumishi mungu akupe siku ubarikiwe sana
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu,mimi nimekuelewa Sana Mungu anisaidie Sana.
Ameen
😂😂😂,"niguse tena", Asante sana Babaa God bless you I'm Emmanuel from Mombasa.
Mungu akubariki sana baba yangu. Akutunze,akulinde.tunakupenda sana.
Amen mtumishi tunajifunza nakubarikiwa kutoka kwako yesu azidi kukutia nguvu
Amen,
Mungu akubariki sana
Nakupendaga bule ubalikiwe mzee wa mazabahu
Abiud misholi,,Mungu akubariki
Kwa kweli tunafunguliwa Songea Mungu ametukumbuka Mkoa wa Ruvuma
Ubarikiwe mtu wa mungu
Nakupenda Sana mtumishi wa Mungu MUNGU akutunze sana
Huyu ndiye mtumishi wa Mungu 🔥🔥
Amina baba,Naomba neema hii Na Mungu akupe kibali Kenya
Mimi ni Kennedy nakuomba ujekenya tu fanye ibaada,Mimi ni mtumishi pia.
Nakupenda tu mtumishi wa MUNGU kwa kuongea ukweli
Asante Sana mtumishi mungu akupe nguvu akili zaidi
Haleluyaaa,utukufu kwa Be, barikiwa baba.
Injili adimu💪💪
Amen 🙏🏾
Haya dio mafudisho ya kweli huwezi yapata hapa kwetu KENYA ,roho ya jezebel lipo humu makanisani mwetu.hope nikue mtumishi haya dio mafudisho nitakayo fudisha wakitaka kuhama makanisani wahame tu ..hili ambalo lipo makanisani watumishi wanawapeleka wahumini motoni
Amina,barikiwa
Amen Pastor Mungu akutunze tunajifunza kwako pia.
Sema mzee
👏👏👏👏👏👏👏
Mtu wa rohoni amekuelewa baba Mimi binafsi nimekuelewa sana
Amina
Amen
Amen🙏 🙏
Yaani huyu mchugaji abiud huwa ananibariki kwa nyimbo na mafundisho yake mungu azidi kukutumia amen
Niko na familia yangu kutoka Geita katoro tunakufatilia Baba.
Nipe namba yko nina shida
Hapa Niko Congo nafata mafundisho hii inanipa akili sana
😄😄😄
Uje na mpanda katavi
Huo ni uponyaji was kanisaa.tupone kanisaa.
HAKIKA YESU ALIPONYE KANISA LAKE
Amina
Amen!