Ooohhhh my favourites songs and choir of all time..thank you so much for uploading these old gold songs...I left Arusha but my heart is still with uimbaji huu uliotukuka....Barikiweni sana ...
Huu wimbo ni mzuri sana aisee, nakumbuka tulipenda kuusikiliza na mpaka tukawa tunauimba kwa lugha ya kinyume Enyi wanamuda nambo mwangatangata Maka levi hamuiju poyu mchujinga mjamo Nyemwe manzipe mema... Dah.. huyu baba aliyechomekea tai kwenye mkanda jina lake nani? Jamaa mcheshi sana
my all time choir,, ur songs will remain in my tongue even when I'm dreaming at night....."Ni baba Mapenzi yake ni makubwa hakikaaa,, hatuwezi kuyajua na hayana Mpaka....." what a nice song.
Yaani napenda hivi nyimbo hatarii..... Alafu hata mlivyo kuwa mna shoot sura zenu zinaonyesha upendo wa Kristo umetawala kwenu sidhan kama kulikuwa na magomvi Kati yenu ndio maana nyimbo zinautukufu mkubwa.... Hii album imetoka nikiwa na umri wa mwaka mmoja nanusu Ila leo namshukuru MUNGU bado inanilea mbarikiwe Sana....
The lack of content in today's music is concealed in fancy wardrobe. But the content in this music and style of presentation is timeless and beyond talent.
Hawa viumbe Toka Jana nawasikiliza,naambulia machozi maana nakumbuka mbali nilipotoka,mapito niliyopita,walotangulia mbele ya haki,oooh Nicki nyingi na huzuni na furaha namachozi uwiiii Tumaini nyie mnanilizaaa
Kwa kweli ninamiss sana nyimbo zenye utukufu ndani yake na ujumbe wa mkubwa sana Siku hizi zipo injili za mavazi, makeup na style za kucheza na location, ujumbe na utukufu unapotea
They are around, the woman you speak of, particulary, is the Chair lady of the choir now. Welcome and come around St. James Anglican Church Arusha you will see them all.
One of my favourite song, thank God I've found it. You guys you did amazing, mbarikiwe mnoo. Will you please find for me SIKU YA MWISHO YAJA old version.? Even audio?
IF I MAY ASK IS THIS AIC, ANGLICAN or A CATHOLIC CHOIR, and where are you found in arusha, i would like to pay you a visit when i came to tz from abroad, thanks asante sana
OOO thanks a lot, i am aslo an anglican, i am a member of anglican church , in germany, western europe diocese, receive greetings from us here, and when i came to tz i will pay you a visit, i am a kenyan, shalom
Wale bado tunausikiliza huu wimbo mpaka sasa tu like 2024
August2024😊
The middle guitarist stole the show😂
Mpaka sasa july 2024 siachi kuja kwa hii channel kujipatia ujumbe wa Bwana❤
Namwaga machozi Kila nikisikiliza huu wimbo toka 98 mpaka Leo 22 Mungu awabariki mnoo
Nyimbo zenu zinabariki sana, kila wakati asanteni sana Tumaini choir 🙏. This is my favourite song 🎵. Big love from kenya
Hizi nyimbo zina ukumbusho mwingi saana katika maisha yangu.
St James Tumaini choir kaloleni ili kubwa bambam sana Ninakumbuka sana nyimbo hizi sio Uimbaji Wa leo hauna hata upako Mr Paul Mhando ni Mwanza
Swahili is beautiful! Who is listening in 2021? Wow from 00:00 to 00:20 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Sending love from South Africa ❤🧡💛💚💙💜
Love received.
We send much love to you and your beloved ones.
Do come and visit us.
Blessings
Hongera sana sana papa,hatima yako umetolea vidio
this album blesses me every day and reminds me of the good times of my childhood. I am in Kinshasa in the DRC God bless you
These are the kind of songs that contributed alot to the passion I have for guitars...we'll played and a stand out musicianship
Mchungaji mwema ni Bwana YESU KRISTO. Upendo wake hauna kifani milele.
Ooohhhh my favourites songs and choir of all time..thank you so much for uploading these old gold songs...I left Arusha but my heart is still with uimbaji huu uliotukuka....Barikiweni sana ...
Hakika hzinyimbo hakika niinjili tosha mubarikwe waimbaji popote pale mlipo
Hivi kwanini lakini Bwana Yesu wewe upo hivi!
Nawakubali sana awa jamaa ujumbe wao unaendelea kuishi vizazi vyote
Waliimba vzr mnoo...mikong'osio mizuri na ya kitaalam mnoo..mbarikiwe sanaaa
When gospel meant to be gospel....
Mapenzi ya Mungu ni makubwa hakika na wala hayana mipaka
Huu wimbo ni mzuri sana aisee, nakumbuka tulipenda kuusikiliza na mpaka tukawa tunauimba kwa lugha ya kinyume
Enyi wanamuda nambo mwangatangata
Maka levi hamuiju poyu mchujinga mjamo
Nyemwe manzipe mema...
Dah.. huyu baba aliyechomekea tai kwenye mkanda jina lake nani? Jamaa mcheshi sana
Waoooo nawapenda sana wote mlioshiriki katikakuijenga kwayahii waimbaji na viongozi mungu awabariki kwakiwango cha kujaa hata kumwagika Love u all
Yaani nikiangaliaga huu wimbo napata amani moyo
Mungu awabariki hakika mlitumika vizuri sana ❤❤
My childhood favourite choir.😘😘😘😘😘😘😘😘😘
my all time choir,, ur songs will remain in my tongue even when I'm dreaming at night....."Ni baba Mapenzi yake ni makubwa hakikaaa,, hatuwezi kuyajua na hayana Mpaka....." what a nice song.
@@TumainiShangilieniChoir natafuta wimbo unasema vijana eee acheni ya dunia
💯💯💯
Mnanibariki sna
Jamani mnanibariki ninyi watu hamjui tu
Hakika namini
Hiyo kitaa inanibembeleza sambamba na ujumbe mzuri mbarikiwe watu wa Mungu
Listening all the way from Nairobi. Great st James tumaini church
Yaani napenda hivi nyimbo hatarii..... Alafu hata mlivyo kuwa mna shoot sura zenu zinaonyesha upendo wa Kristo umetawala kwenu sidhan kama kulikuwa na magomvi Kati yenu ndio maana nyimbo zinautukufu mkubwa.... Hii album imetoka nikiwa na umri wa mwaka mmoja nanusu Ila leo namshukuru MUNGU bado inanilea mbarikiwe Sana....
graceful and humble dress code. Jesus is Lord!
Listening from UAE.
The lack of content in today's music is concealed in fancy wardrobe. But the content in this music and style of presentation is timeless and beyond talent.
Amina
Nakumbuka mbali sana
Hawa viumbe Toka Jana nawasikiliza,naambulia machozi maana nakumbuka mbali nilipotoka,mapito niliyopita,walotangulia mbele ya haki,oooh Nicki nyingi na huzuni na furaha namachozi uwiiii Tumaini nyie mnanilizaaa
Ni maombi yetu Mungu aendelee kukuvusha na kukushika
Pole,kwakweli waliimba nyimbo żenye itukufu wa mungu
Unahisia kali ktk maisha ya mwanadam
nyimbo nzuri sana binadamu tuache kutangatanga yupo mchungaji mmoja mwenye mapenzi mema
Nyimbo nzuri sana hivi hii albamu imetoka mwaka gani jamani
Jamn nyimbo zinabarik Sana halafu zinanikumbusha mbali sana
My parents used to love the album R.I.P
Hongera zenu kuweza kuwa na uimbaji wenu mzuri usiobadilika-badilika ,in english u maintained ur key. God bless u
Ni BABA mapenzi yake ni makubwa hakika hatuwez kuyajua na hayana mpakaa 🙇🙇🙇🙏
thank you so much, i have been searching for these song a longtime so GOD BLESS YOU!!
Very very nice ❤❤love ❤❤
Dah kitambo sana muliimba🙏
Ahsante mungu kwa kwaya hii zuri inanifariji sana
My favorite songs ❤
Mungu awabariki nawapenda
First listened this song the year 2000...I really love this piece of gospel music
Hizi nyimbo zinanibariki sana
live long men of the most high. You really bless me. Glory to God.
Hakika zinankumbusha mbali
Wamefanya vizuri sana
Kwa kweli ninamiss sana nyimbo zenye utukufu ndani yake na ujumbe wa mkubwa sana
Siku hizi zipo injili za mavazi, makeup na style za kucheza na location, ujumbe na utukufu unapotea
Nyimbo nzuri sana Mungu awabariki wanakale
Natafuta wimbo unasema vijana eee acheni ya dunia.
God bless this singers❤
Amina
nakumbuka mbalii sana
Nimebarikiwa sana
Mko vizuri sauti imetulia sana
M.p. dastan mzimu
Jamani nabarikiwa sana🙏🙏🙏
My best spiritual gospel songs
Le contenu de la chanson est bien, nous sommes bénis, néanmoins il fallait améliorer la qualité du clip. Mais courage et que Dieu vous élèvent
My generation ❤❤❤
Yaaani huwa na barikiwa saana hiii kwaya
I can't see a lot of people from that choir forexample the old woman woman who sang "Mwanampotevu"
They are around, the woman you speak of, particulary, is the Chair lady of the choir now.
Welcome and come around St. James Anglican Church Arusha you will see them all.
So powefull
Ebu nawapenda sana muzidi kubalikiwa naeza kuwapataje
Sema nani
Ni makubwaa hakika.
Hatuwezi kuyajua maana hayana mipaka
Mr Nkone kachomeka tai kwenye mkanda sijui ameona kweli
Gideon Lulabuka ilikuwa fashion enzi hizo...hajakosea ndo mtoko atiii. ...nawapenda sana Shangilieni
I remember my childhood in 2020 yr
Muziki umenigusa acha kabisa!!
Jamani,jamani wimbo mtamu huo!!!
enzi hizo_st James arush , bd nwakubal xn
Amina Mungu azidi kuwalinda
One of my favourite song, thank God I've found it. You guys you did amazing, mbarikiwe mnoo. Will you please find for me SIKU YA MWISHO YAJA old version.? Even audio?
Good songs with strong message
mungu awabarki sana
One Of My Best Song Ever
Balikiwa Amen.
Zinanikumbusha mbali sana.safi sana
Mubarikiwe sanaaaa
Nice song
nyie watu mnanipa raha mie Mbarikiwe na Bwana
this is among of ma song...Groly to God...mbarikiwe
Mama hi I ndiyo Mara yangI ya Kwanza kuasikia. You guys you are doing awesome
nyimbo hizi zanikumbusha miaka ya 95 nikiwa mdogo mzee wangu alikuwa anaweka vhs kwenye deki tunaisubiria ikisha rewind tunasikiliza ni tamu sana
I mwant to say mara ya Kwanza
Mbarikiwe sana,
Raha sana.
Kwakweli
barikiwa saaana
Barikiwa sana
IF I MAY ASK IS THIS AIC, ANGLICAN or A CATHOLIC CHOIR, and where are you found in arusha, i would like to pay you a visit when i came to tz from abroad, thanks asante sana
OOO thanks a lot, i am aslo an anglican, i am a member of anglican church , in germany, western europe diocese, receive greetings from us here, and when i came to tz i will pay you a visit, i am a kenyan, shalom
I meant
Ni BABA mapenzi yake ni makubwa hakika hatuwezi kuyajua na hayana mpaka 🙇🙇🙇🙇🙏
Amina
Amina
Thanks for bringing my childhood favourite choir group .
Really a blessing