Jamani nimeona leo niusikize hui mwimbo nimeumiss,shangilieni is the best,nyinyi waimbaji wa shangilieni wa enzi hizo tunawahitaji tena kuwaona tena shangilieni kwaya ,bila nyinyi kwaya imepwaya,especially Beatrice Mhone
Mliifanya kazi ya Mungu vyema kabisa katika kipindi kigumu lakini kazi ni nzuri sana jina la bwana libarikiwe sana nanyi pia popote mlipo mbarikiwe sana ... Namkumbuka Severine na Veronika sababu baba alinunua album hizi na mama ali play wanae tuone Mungu anavyopaswa kuabudiwa/kuimbiwa. Mungu bariki Malamsha family, Amen.
Mungu awatie nguvu, mmetoka mbali sana na mpaka hapa mlipofika leo ni kwa neema ya Mungu, leo 2020 nafahamu kuwa kuna wengine wenzenu wametangulia mbele ya haki, Mungu awape pumziko la Amani, na mliobaki muendelee na Kazi ya Kupeleka Injili ya Kristo.
Jaman , ulyankulu barabara ya 22, nkinga Christian choire na kaminula choir pia walifanya mambo makubwa Sana miaka ya 90, am 28 ila nakumbuka babangu alipookoka mwaka 97 it was fire
Watunzi na waimbaji walikuwa na vipawa vikubwa na walivitumia vizuri mno ndio maana nyimbo zetu vimedumu sababu zilikuwa na ujumbe sahihi....Kunta...Kinte.
Jamani Asante I sana mie naitwa felistar Fabian Masale,nimeutafuta sana kwenye Kanda za video za zamani nikaona Bora niweke humu Ili watu waone pia wajiulize kwasasa wapo wapi na wametoka wapi.
Nafurahiya choir hii waimbaji wengi wa nyimbo za injili wasasa wana lenga pesa pahali yaku tunga nyimbo zakutafuta kondoo wa guitaristes wote wangali kijana huwo mudogo njoo sione tena mubarikiwe sana pasty from Rwanda
2024 tupo tunaosikiliza hii nyimbo ❤
Huu WIMBO,sio hii nyimbo ndugu!
Ambao wana upenda huu wimbo nipeni like s hata 90 jamani hongereni sana kwa upendo wenu asante sana.
eti mpeni hata likes 90k jamani please tunawaomba
Nimerud 2024 kuusikiliza tena wimbo huu mzuri
Hizi ndo kwaya sasa, mafundisho, kuonya hapa sawa kabisa. Asante Mungu kwa ajili yao.
Hii nyimbo naipenda mpk leo daah🙌
Tje millerniers Generation Y 2024 hinn Gen z haweze elewa
Mnanikumbusha mbali sana,nikiwa mdogo baba alinunua sana na kuleta nyumbani kanda zenu🎶♥️🎶👏
Jamani nimeona leo niusikize hui mwimbo nimeumiss,shangilieni is the best,nyinyi waimbaji wa shangilieni wa enzi hizo tunawahitaji tena kuwaona tena shangilieni kwaya ,bila nyinyi kwaya imepwaya,especially Beatrice Mhone
Amen, Endelea Kubarikiwa
I love shangilieni together with amkeni fukeni choir
Beatrice Muhone ubarikiwe sana
Nasikiliza tena wimbo huu 2024
Amen Endelea Kubarikiwa
Alie kuja itafuta hii nyimbo 2020 tujuane ....I real love Beatrice Mhone pia
Nipo
Tupo pamoja 2020
BWANA YESU ASIFIWE
Hata mm Nampenda
Me
Nakumba mwaka 1999nilikuwa darasa lanne huuu wimbo ulinifanya nimjue mungu nilikuwa kila jumapili naenda kanisan
Japo kwa uchache wenu lkn mlifanya kazi nzur sana jina la bwana libarikiwe sana nanyi pia popote mlipo mbarikiwe sana
Najikuta natenga muda wakusiiliza izi nyimbo zinanikumbusha Dunia tunapita ... Mungu atusamehe
Kwakweli
Naipenda zaidi hii video ya zamani
Nawakumbuka makonda wa manundu waliacha stend kuja kusikilizwa hii kwaya na kucheza uwanja wa Mazoezi korogwe 1999
Mliifanya kazi ya Mungu vyema kabisa katika kipindi kigumu lakini kazi ni nzuri sana jina la bwana libarikiwe sana nanyi pia popote mlipo mbarikiwe sana ... Namkumbuka Severine na Veronika sababu baba alinunua album hizi na mama ali play wanae tuone Mungu anavyopaswa kuabudiwa/kuimbiwa. Mungu bariki Malamsha family, Amen.
Malunga Jòel from Capri point MWANZA,from chilhood nasikiliza na kutazama sungura mjanja
Beatrice, Mungu azidi kuinua kipawa chako, na awabariki waimbaji wote waloshiriki katika wimbo huu.
Waimbaji mbarikiwe uzao wenu injili imfikie kila kiumbe popote aliko,mbarikiwe wababa,wamama,kaka zetu akina dada,mungu awe nanyi daima,nimeusikia 1995/6/16
Ndugu tunanyenyekezwa kwa moyo wako na upendo wako, ahsante kwa maombi. Mungu akubariki sana na kukutunza wewe na uzao wako.
Wako wapi hawa waimbaji ili waendelee kutuletea Injili inayogusa mioyo yetu 2020-2021
Hii sawa maana inanikubusha mbali sana jamani
hazichoshi nyimbo nzur sana wabarikiwe wote tumaini choir
As Team we are very blessed to hear and watch again this most lovely choir 💖
Our beloved brethrens at @Dartaarifa Tv, we are so humbled to have your audience. We pray for your continued prosperity and Blessings.
Mungu awatie nguvu, mmetoka mbali sana na mpaka hapa mlipofika leo ni kwa neema ya Mungu, leo 2020 nafahamu kuwa kuna wengine wenzenu wametangulia mbele ya haki, Mungu awape pumziko la Amani, na mliobaki muendelee na Kazi ya Kupeleka Injili ya Kristo.
Amen Amen
Nilikuwa mdogo sana jamani ila mamangu alikuwa akisilizaga hii album jamani kiukweli na barikiwa sna
Jaman , ulyankulu barabara ya 22, nkinga Christian choire na kaminula choir pia walifanya mambo makubwa Sana miaka ya 90, am 28 ila nakumbuka babangu alipookoka mwaka 97 it was fire
Mungu nakuomba irehemu dunia ya leo inatisha😭😭😭😭
🙏🙏🙏
2021 anyone??
Used to listen to this choir in my childhood I still get blessed listening to their songs,much love from Kenya
Penda sana huu wimbo haunichoshi unanifumdisha kilaiitwapo leo
Nyimbo ina ujumbe mzuri sana
Always old is gold
2024 still nzuri jamani
Njimbo hii ni ya muda lakini
Maneno yake kwa Sasa ni muafaka kabisaa 2022
KWAYA HII NILIIPENDA HATA KABLA SIJAOKOKA, KWA SABABU ILIKUWA INANIGUSA SANA MAISHA YANGU. SASA NIMEOKOKA NAONA UMUHIMU WA KWAYA HII.
Naipenda sanahiikwaya inanikumbusha mbalisana
Hata mm
Sikiliza pia ulyankulu, nkinga Christian choir na kaminula choir utaenjoy Sana, nilikuwa mtoto mwaka 97 ila hizi sauti zimekaa moyoni Sana.
Naipenda xsn
Jamani ilikua mwaka gani iyo
Siamini ya kwamba nimeupata wimbo huu baada ya miaka 15!
Habari njema ya kweli, uinjilishaji uliotukuka, here listening in 2023
Barikiweni sana wapendwa
Nyimbo zina ni bariki
Zamani kwayaziliimba hadiraha
Mlifanya kazi nzuri, MUNGU azidi kuwabariki.
I feel so blessed when I listen to their songs ! It brings in hope and joy ❤❤
Mungu awajalie zaidi
Old is always Gold. we know the taste of such old lyrics
Alafu ile nyimbo ya mwisho kabisa kwenye album siioni hapa, Enyi wanadamuu, njooni muokoleweee, yakale yamepita....
Hii kwaya ilikuwa na uimbaji mzuri sana. Sijui hawa wanakwaya wapo wapi?
Ndugu Allen Mhando, tupo; Kwaya ipo Arusha; Karibu ututembelee, tuwasiliane kwa 0765637590
@@TumainiShangilieniChoir wale waimbaji hasa yule dada nkone yupo.
2023
Mpiga Solo wangu Bora wa mda wote huyo mkuu hapo
AMINA
Watunzi na waimbaji walikuwa na vipawa vikubwa na walivitumia vizuri mno ndio maana nyimbo zetu vimedumu sababu zilikuwa na ujumbe sahihi....Kunta...Kinte.
Hii bado wanaimba maana injiri wameihubiri vilivyo kwa uimbaji waoo💞💞💞💞
2021 September
nyimbo nzuri sana, utukufu ni kwa bwana yesu
Amen
Inanikumbusha kijjn Kitula-Bulongwa Makete kupitia Sauti ya Injili na RHM
mubarikiwe katika ubora wenu Mungu awe nanyi daima hakika hamchuji sijui mpo hadi leo Hili kundi kweli hakika mlitenda kazi ya Mungu ipasavo
😭😭😭😭😭ndiyo naamka hapa kitafuta hii wimbo asubuh saa 8:28 sasaivi
Hii kwaya ilikuwa moto. Natamani sana wale wote walioimba nyimbo hizi wawepo. Waliimba ujumbe wa Biblia sio kama waimbaji wa sasa hivi
great musik from a great choir..God bless Tanzania God bless great choir....
sandry. peter Amen
Wako wapi hawa waimbaji ili waendelee kutuletea Injili inayogusa
Nilikuwa kijana mdogo, nikiwa naishi na wazazi wangu Mkoani Arusha. St. James Choir waliimba nyimbo zinaishi na kupendwa hadi leo.
Nimemkumbuka Beatrice mhone hapo anaanzisha yupo kimya sana!Nampenda na Mungu amuinue nimemis album ya Tenzi za rohoni
Nyimbo zilizokuwa zikikemea dhambi kwa nguvu zote! Mungu awabariki sana ndugu wote mloimba
Maneno yawimbo huu Yana maana kubwa namafundisho mazuri Mungu awabariki mnoooooo nawapenda
2022 bado nabarikiwa na hizi nyimbo
Jamani Asante I sana mie naitwa felistar Fabian Masale,nimeutafuta sana kwenye Kanda za video za zamani nikaona Bora niweke humu Ili watu waone pia wajiulize kwasasa wapo wapi na wametoka wapi.
Ubarikiwe tutafutie nyingine nyingi
Hii Kwaya kwa kweli huwa inanibariki sana Mungu awatunze sana Mr.mtangoo
Nafurahiya choir hii waimbaji wengi wa nyimbo za injili wasasa wana lenga pesa pahali yaku tunga nyimbo zakutafuta kondoo wa guitaristes wote wangali kijana huwo mudogo njoo sione tena mubarikiwe sana pasty from Rwanda
2023. KKKT. Yupo hapa
Those were the days when people used to let the spirit of lord guide them while singing today it is almost impossible to have these kind of songs.
2023 and still a blessing
Aaamen
Safi sana
2021 and still a blessing
Kwakweli natamani album nzima ya hii kwaya
Nakumbuka enzi hizo hatuna video home, tunaenda kuangalia kwa baba Costa wa Mlowo-Mbozi. Mungu awabariki waimbaji.
Ohhh ..beautiful memories ❤❤
Mbalikiwe Sana Wimbo Mzuri Sana, Ndan ya 2020 naskiliza
nlikuwa sikosi church sababu ya Tumaini choir.,.. I miss st. James sn
Doreen Shemtoi nimefurahi sana kuona comment yako mdada. Mi wamenikumbusha mbali sana enzi za utoto video kwa jirani
Tupo pamoja
Nimekumbuka mbali
Nyimbo zenye mafundisho jamani tuzienzi mungu awabariki kwaya tumaini
2020..bado nabarikiwa na huduma ya kwaya hii.God bless you all!!!
uwa nikisikiliza nyimbo za shangilieni uwa ninajisikia faraja sana
I'm here April 2023
I love this song
The guitar guys were the best.
.
Francis Chiduo Ever
Francis Chiduo
Vp na huyo wa kinanda mwanzon mwa wimbo. Mung awabariki
Instruments players are always overlooked. Hawa jamaa walikuwa watulivu wanapiga vizuri sana. Kwaya za zamani zilikuwa zinawapiga vyombo wazuri
Nyimbo hii imenikumbusha mbali sana mbarikiwe sana
Wanakwaya na wote mliofanikisha hii album kukamilika, Mungu awabariki sana.. Mlifanya kazi kubwa sana.!
Who is here 2022?
🙏🙏🙏🙏
2024❤️🔥❤️🔥
Beatrice muhone wa Enzi hizo
Old is sweet I just remember my childhood whenever I listen to this song
This were the songs makes you see God 🙏
Tangu nikiwa mdog nilikuwa nikimsikia mama akisikiliza hizi nyimbo, till today Bado zinaishi moyoni
Mungu Akika Azidi kuwapa Nguvu
Noti ya sh 50 enzi zile duuh,nakumbuka primary school
well done
Aisee old is gold
yes
Good old memories. R. I. P My lovely Aunt 🙏🙏😭
kwenye hii albam ninani alie faliki
2022❤️❤️❤️❤️❤️
Mungu awabariki kwa ujumbe huu
Rip my brother juvenary makwinya nilikua naskiliza hizi nyimbo bila kuchoka Kaka akaamua kuificha Kanda kabisa mwaka 1999 mtwara hyo
Pole sana kwa mambo yote 1. Kufichiwa Kanda na 2. Kwa kumpoteza kaka yako.
2022🎊🎊 💯