Nimeutafuta sana huu wimbo, nilikua nausikia kipindi nipo mtoto lakini sikuujua jina. Nimefurahi sana kuupata. MUNGU awabariki, moyo wangu umeguswa sana.
Leo tarehe 25/12/2024 Mungu ni mwema nimeamua kuandika historia mpya katika maisha yangu Mungu anitangulie anishushie amani ya moyo wangu na utulivu katika mambo yangu
Being blessed by this song in Christmas 2023, 'Duniani shangilieni,Nuru imewaangazia... Tazama kwa ajili yetu mtoto amezaliwa ,kaucha utukufu ili aje atukomboe' Powerful Mungu awabariki sana watumishi wa Bwana
Nmekumbuka mbali sana 1998 nkiwa drs 1 tulikuwa tunaenda kuangalia TV kwa jirani, masharti hadi unawe miguu kwanza ndo uangalie,, nyimbo inabariki sana hii,,
Hapa Roho wa Bwana alikuwa nanyi tangu wimbo unatungwa, unafanyiwa mazoezi na hadi unarekodiwa! Huu ndiyo wimbo hasa uliowatambulisha vizuri. Mungu awabariki sana watu wa Mungu. Uimbaji wa ubora kama huu kuufikia tena huwa ni kazi kubwa sana kweli kweli.
Wimbo bora sana wa Krismas. Kila ifikapo majira ya Krismas ninapenda mno kuusikiliza. Mungu awabariki sana Tumaini Choir pamoja na mtunzi wa huu wa huu wimbo. Ni furaha kubwa mno kwa nyakati kama hiz za Krismas na mwaka mpya kusikia wimbo mzuri kama huu.
I was just in primary and my family never stopped playing this songs, am thankful that am watching you guys again, very powerful and Blessed song...Nawapenda mno
same as I......I was just a kid back then and am greatfull to our almighty God that am still here till now and listen the song again in my 20's...I feel blessed with this song...
leo tunaanza kipindi cha kwaresma, tukikumbuka kujaribiwa kwa bwana wetu Yesu Kristu kule jangwani kwa siku 40 bila kula wala kunywa. i miss you terribly Tumaini Choir. wish to see you sing again and again...be blessed always. naupenda sana huu wimbo, never get tired of listening to it.
Niliona nyimbo hizi nikiwa shule ya msingi,miaka zaidi ya 20 iliyo pita! Zilinibariki sku zote! Hii Leo nkiwa mchungaji na mtu wa familia bado zinabariki maisha yangu!!! Mungu azidi kuwapaka zaidi kwa ajili ya kazi yake! Huu ndio ujumbe tunaohitaji kutoka kwa waimbaji wa nyimbo za injili
Hoiyeee.......Haleluya....Those nice moments one could hear such kind of songs on our national radio KBC basi unajua kile kiatu cha sandak kitayarishe skukuu imebisha hodi wale watu 90s kurudi nyuma wanaelewa.....barikiweni waimbaji.
Nipoo hapa nawasikiliza 14th December 2024...Shangweeeeee
2024 ....😃😃, Who is here ?
We here 😅😅
Tupo
Tuliokuja baada ya kuona wimbo wa neema gospel mikono juu
Nimeutafuta sana huu wimbo, nilikua nausikia kipindi nipo mtoto lakini sikuujua jina. Nimefurahi sana kuupata. MUNGU awabariki, moyo wangu umeguswa sana.
Amen Amen Mungu akubariki zaidi rafiki
X- mass yangu haikamiliki bila kusikiliza huu wimbo mzuri. Mwenyezi Mungu awajalie maisha marefu wote mlioshiriki kuimba
Safi!
Waliimba vizuri sana, hongera sana pia kwa wapiga vyombo waliutendea haki wimbo, salute kwenu.
Wimbo unanikumbusha mbali Sana MUNGU awatangulie Sana Tumaini nabarikiwa Sana ...nasikiliza 2023
Who's watching in 2021...stay blessed 🙌
Leo tarehe 25/12/2024 Mungu ni mwema nimeamua kuandika historia mpya katika maisha yangu Mungu anitangulie anishushie amani ya moyo wangu na utulivu katika mambo yangu
Nikitafakari kwa wimbo huu hapa Australia. Namkumbuka mzee wangu, aliipenda sana hii kwaya. R.I.P Dingi.
Thank you JESUS for saving me...
Being blessed by this song in Christmas 2023,
'Duniani shangilieni,Nuru imewaangazia...
Tazama kwa ajili yetu mtoto amezaliwa ,kaucha utukufu ili aje atukomboe'
Powerful
Mungu awabariki sana watumishi wa Bwana
24/12/2024 nakumbuka mbali mno
Nmekumbuka mbali sana 1998 nkiwa drs 1 tulikuwa tunaenda kuangalia TV kwa jirani, masharti hadi unawe miguu kwanza ndo uangalie,, nyimbo inabariki sana hii,,
Hapa Roho wa Bwana alikuwa nanyi tangu wimbo unatungwa, unafanyiwa mazoezi na hadi unarekodiwa! Huu ndiyo wimbo hasa uliowatambulisha vizuri. Mungu awabariki sana watu wa Mungu.
Uimbaji wa ubora kama huu kuufikia tena huwa ni kazi kubwa sana kweli kweli.
Wimbo bora sana wa Krismas. Kila ifikapo majira ya Krismas ninapenda mno kuusikiliza. Mungu awabariki sana Tumaini Choir pamoja na mtunzi wa huu wa huu wimbo. Ni furaha kubwa mno kwa nyakati kama hiz za Krismas na mwaka mpya kusikia wimbo mzuri kama huu.
This song will last forever, blessed are the singers 🎉🙏
Hakika ni Shangwe , tunashangilia na kukumbuka kuzaliwa kwa mwokozi wa Ulimwengu -YESU KRISTO ❤❤❤❤
Amina Amina na barikiwa Sana na huu wimbo tukiwa tuna karibia kuzaliwa kwake yesu 2024
Tunaosikiliza 2020 nipeni likes zenu jamani
I was just in primary and my family never stopped playing this songs, am thankful that am watching you guys again, very powerful and Blessed song...Nawapenda mno
barikiwa Xana aisee
same as I......I was just a kid back then and am greatfull to our almighty God that am still here till now and listen the song again in my 20's...I feel blessed with this song...
1
Barikiwa Sana tulikuaga wadogo sana kipind hicho kwenye nyumba za wakristo huwezi kosa hii kwaya album yao
16 December 2024... Najiskia vizuri kila nikisikiliza huu wimbo msimu wa Christmas ❤
leo tunaanza kipindi cha kwaresma, tukikumbuka kujaribiwa kwa bwana wetu Yesu Kristu kule jangwani kwa siku 40 bila kula wala kunywa. i miss you terribly Tumaini Choir. wish to see you sing again and again...be blessed always. naupenda sana huu wimbo, never get tired of listening to it.
Ni miaka mingi imepita ila ujumbe na upako ni uleule🤲
We used to play whole this album every now and then, 1998-2003, good old days
Old is gold Mungu aendelee kuwatuz kwaya yang pendwa mbarikiw mno
Nikibatikiwa na wimbo huu naupenda sana 2024
Dada mwenye dimpo nimefurahi kumuona
Yesu Kristo ni Yeye Yule Jana Leo na Hata Milele Daima.. Utukufu una yeye mwokozi wetu.. Barikiweni
Huu wimbo nikiusikia machozi yananilega jamani tunatoka mbali nyie Nipo hapa 23/12/2024
Bado upo moyoni 2023
Haita tokea kwaya kama hii tanzania mungu awatie nguvu watumishi mliopo
Niliona nyimbo hizi nikiwa shule ya msingi,miaka zaidi ya 20 iliyo pita! Zilinibariki sku zote! Hii Leo nkiwa mchungaji na mtu wa familia bado zinabariki maisha yangu!!! Mungu azidi kuwapaka zaidi kwa ajili ya kazi yake! Huu ndio ujumbe tunaohitaji kutoka kwa waimbaji wa nyimbo za injili
@@TumainiShangilieniChoir jamani kopy au album yake nitaipata wapi?
Album zipo na zinapatikana hata kwenye flash
This is Gospel music exactly as supposed to be. God bless you.
Merry Christmas to y'all who still watch this song in December 2021
Merry Christmass to you and your beloved ones
🎉Waimbaji wa zamani mlinoga na bado mnanoga sana kwa umakini,uhalisia na kumtukuza Mungu zaidi kuliko kujitukuza❤☑️✍️
The good old days I can’t imagine the people I was surrounded with some are gone
Nimeutafuta sana huu wimbo niliusikia tangu 1996 kweny mkutano wa reinbonke shule ya msingi loruvani Arusha asante mbarikiwe sana
Nikisikia huu wimbo unanikumbusha mbali sana... Leo Sunday Nov 10,2024 - 19:51Hr
Nimeangalia tena Dec 24,2024 14:09Hrs
Moyo wangu uliandaliwa kumjua Kristo nikiwa mdogo sana kupitia huu wimbo. Mungu awabariki sana mmefanya jambo kubwa sana maishani mwangu
Marry Christmas 2023 .......my childhood was so great
mbarikiwe Sana Tumaini Choir toka tupo wadogo mpaka 2023
Nawapenda sana shangilieni kwaya.watu wa Mungu mmenikuza toka utotoni.mjomba angu aliinunua kanda hii na sasa ni Marehemu.Mungu amuhifadhi.Amen
Wimbo naupenda sana tena sana Mungu azidi kuwabariki
Nikiusikia winbo huu nahisi kubarikiwa amen
Hizo ndo nyimbo ambazo mungu alikua pamoja nawo Hawa watu wa mungu mubarikiwe sana
It reminds me of those good old days when God was worshiped with high respect and reverence. Tunabarikiwa tena 2020!
Miaka buku hawatachuja kamwe
Barikiwa sana😘
Merry Christmas 🎅 🎄 2023.... still listening to this.....
Dr lupaa nawapenda sana tumaini mumekuwa Baraka ktk maisha yangu na mafanikio pia
hakika ni habari njema kuuona huu wimbo, nakumbuka tulikuwa tunasikiliza redio cassete miaka ya 2003, thanks gus for making our childhood awesome
The song made you who your today.. Mbarikiwe sana. huu wimbo haujawahi kuchuja.
Daniel Pyuza kwakweli...Big up guys😍😍😍😍...
katika viimbe vyote
Wimbo mzuri sana....nawapenda sana.Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi. 🙏
Wimbo mzuri sana, niliuona mara ya kwanza katika kipindi cha nyimbo za injili TBC, nimeutafuta sana lakini leo nimeupata, may God bless you all.
Hakika ni mzuri sana,pia niliutafuta kwa mda sana,mungu azidi kutubarikinao,
shangilieni MUNGU awabariki sana nabarikiwa apa
Mungu awabariki popote mlipo kweli kwaya ya zamani no nzuri sana sana miaka hii sijui waimbaji wanakosea wapi
I can't have enough of this album. The whole of it is just awesome
Wow, amazing, i remember this from back in 1998.Glory to God.
2024 utukufu Kwa Mungu
Wimbo unanikumbusha mbali mwaka 1999 najisikia faraja sana
Naupenda sana huu wimbo. Mungu awabariki wanakwaya na aliye uapload
Unaenda kanisani unafurahi unapata neno kwa kwaya nzuri mungu awabariki sana ninafarijika sana moyoni
Nakumbuka miaka hiyo nikiwa mdogo sana kule Kyaka Kagera daah nimekumbuka mbali sana kipindi hicho kanda za kaseti
2024 Leo December 3 naskiliza huu utamu
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...Enzi hizo.nilikuwa Primary zaidi ya Miaka kama 20 imepita.
Hallelujah..... Nikisikia huu wimbo najisikia kuzaliwa upya...
Naukubali sana huu Wimbo
Huyu Mwalimu alietungaga hizi nyimbo alikuwa anaitwa nani?
25/12/2024 Utukufu una MUNGU...
Nasikiliza 2023
jaman tuseme ule kweli hizi nyimbo ni tamu sana mubarikiwe sana
Nashindwa kujizuia kuupenda wimbo huu na nyimbo zenu zote.
Nawapenda sana Shangilieni!!!!
Ahsante sana mlezi; Mungu akubariki sana sana.
September 2021 like zenu....huyu solorist ni hataree hii kwaya ina vipaji kwakweli
Nakumbuka mbali sana kupitia hii nyimbo mungu aendelee kuwabariki tumaini choir....
Asante Yesu kwa kutukomboa , the song never gets old🙏🏽
My all time favorite song wa Christmas,
Unanikumbusha maisha ya utotoni.
Uwezo
Gani
Eti nauliza hawa waaimbaji wetu wapo ,
Wengi wao bado wapo.
Brethren, kwaya ipo; Tafadhali tembelea Channel yetu kwa nyimbo zaidi;th-cam.com/channels/gsqklKJeQ5Talp2bibZoHg.html
Hoiyeee.......Haleluya....Those nice moments one could hear such kind of songs on our national radio KBC basi unajua kile kiatu cha sandak kitayarishe skukuu imebisha hodi wale watu 90s kurudi nyuma wanaelewa.....barikiweni waimbaji.
Amen Amen; such wonderful memories
Huu wimbo unanifanya nikumbuke zamani sana miaka ya 2000 kama sikosei
Siwezi kusahau hii kwaya enzi hizo nikiwa mdogo mpaka nakua nasikiliza nyimbo zao, bado nazipenda mnoo
Huyu mama Alie sollo huu wimbo atakua wapi sahivi?Naupenda huu wimbo hadi leo.Kweli Mungu alijua kuwatumia hakika.
Walitamba sana miaka hiyo
Feel like yesterday, big memories for my lovely Shem Flora kp on resting in peace,
Hapa nilikuwa mdogo Bukavu DRC tuliufurahiya huu wimbo saana.
dash Amani sana hihi Mwaka 2002 nikiwa mbeya
Umbajiwa sasa nisanaa zilizo jaa Mapambo nasio,ujumbe wa toba kwa Sana damu,nandio maana hata nyimbo zawatunzi,hazidumu ktk fikra zawa nadamu.
My favourite song ❤ miaka yote nyakati za sikukuu ya Christmas unanikumbusha utotoni
Nashauri wekeni profile za waimbaji sahizi wako wapi....Asante Kwa nyimbo nzuri sana
My Childhood memory, mbarikiwe saana. ❤
Asante Yesu kwa kutukomboa..😍
Naupenda Sana wimbo huu jamani nakumbuka mbali Sana mbalikiwe sana
Ubarikiwe zaidi
Thank u youtube
I can see my favorite songs as a kid❤️
Old is gold na inainuwa mioyo sawa kabisa
Kwani waimbaji wa siku hizi wakiimba kama hivi kumtukuza MUNGU,WANAPUNGUKIWA NA NINI?
25 Dec 2022 bado nasikiliza huu wimbo
nawapenda San jama
25 December 2024 ...Thanks Lord
Naupenda sana huu wimbo, sanaaa...
Vile huu mkanda ulikua unazunguka mtaani kwetu
Nasikiliza 2021 beat na ujumbe wake ni murua sana. Nawaza kwamba niombe hii beat niimbe wimbo mwingine
Kwaya ya pekee, Wimbo tuupendao