Leo ndio nimeona kua hujui kufanya Recap bro almando huwa interview zako nikama unalipwa naamini maan chino kabla ya marioo kafanay dancing collaboration na Hennessy, akafany a Koko music so Marioo tumemkubal kwa kua na wakina chino lkn kumbukua 2022 chino alijulikan baada yakuchukua tuzo ya Dancer Bora wamwaka sas unapo fanya Recap zako hakikisha unafuatilia nakupa 0% unajarb kuufatilia mziki lakn Bado hujui mziki kaka think kabla hujasema kweny media
Jaiva mbona kama anatuchabganya kwenye interview yake? Amesema siku ya show ya Chinoo na yeye alikua na show, alafu tena anasema usiku huwo alikua na marioo wakaonge sana na alikua anabembeleza marioo aende kwenye show. Anavyosema kuwa aliamua aende yeye illa alivyo sikia interview akaahirisha, Nna swali hapo, swali LA kwanza Ina maana show yakwake hakuenda, pili interview ya Chinoo ilikua baada ya show yake, sasa Jaivah alikua anaenda kufanya Nini na show ishaisha? Tusiwe waongo sababu ya kingereza kingi. Na jaivah alivyosema kuwa anaumia kumuona Chinoo ana power kwa wenzie kilimuuma sana, kama kweli alikua anawathamini kina Chinoo, kwanini aliamua kujitoa kama si wivu wa uongozi. Inamana alitakka wamsikilize yeye kuliko chinno ambao wametoka mbali. Tusiwe wanafiki.
Hapa huna point bora ungenyamaza tu. Wewe unaona sawa alivyofanyiwa Chino? Kwani media zipo kwa sababu gani hadi Chino asiende kwenye media? Kwanini Chino asiseme ukweli wakati anaulizwa maswali na media?
Wew mwehu nini mwandishi wa mchongo mwandishi anaejielewa na mwenye akili timamu lazima ufanye interview usikulize pande zote mbili marioo ni mtu poa sana marioo kafanya makubwa na roho nzuri sana kumpa chino nafasi na kila kitu
Bongo 5 mpo na presenter mjinga na mpumbavu sana asie jua kuchanganua taarifa mbili tofauti 2024 fanyeni utaratibu wa kitengeneza au kutafuta presenters wenye weredi mkubwa Ili wasiharibu au kuendelea kukuza conflict baina ya wagomvi wawili
Unajuwa wewe Bongo5 tatizo lako unapenda kukurupuka,wewe ukiliona jambo au ukilisikia basi unapita nalo na kuropokwa unavyojua wewe,kwa akili yako inavyokupeleka,Bro unazinguwa,unapenda kukurupuka mambo yako,bila ya kufanya utafititi wowote,unachemka sana sana,unakurupuka ikisha unaanza kutolea judgment,hemu jitasmini vizuri
MI NASHANGAA KWELI YANI,,,,HAIWEZEKANI JAMANI,,,NAPATA SHOO ZANGU NAITWA,HELA NZURI AFU NIKAENDELEE KUKAA NYUMA YA MTU KUKATIKA,,,JAMN HIYO HAIPO DUNIANI
“Look , the business of chino is sold on social media, there absolutely nothing wrong telling yr customers about yr business issues” Stop doing cheap analysis bro
Toka 😂😂😂😂😂😂 uko
Wewe na chino mnakulupukaga kwenye kuongea kwenu hoji pande zote kwanza alafu njoo kwenye media utuambie
Hiyo ni point sana Huwa anaongea kwa mitazamo yake na siyo fact,,, kiufupi hanaga fact huyu
Leo ndio nimeona kua hujui kufanya Recap bro almando huwa interview zako nikama unalipwa naamini maan chino kabla ya marioo kafanay dancing collaboration na Hennessy, akafany a Koko music so Marioo tumemkubal kwa kua na wakina chino lkn kumbukua 2022 chino alijulikan baada yakuchukua tuzo ya Dancer Bora wamwaka sas unapo fanya Recap zako hakikisha unafuatilia nakupa 0% unajarb kuufatilia mziki lakn Bado hujui mziki kaka think kabla hujasema kweny media
Siku nyengine uache kuropoka kabla haujaskia story side ya pili
Jaiva mbona kama anatuchabganya kwenye interview yake? Amesema siku ya show ya Chinoo na yeye alikua na show, alafu tena anasema usiku huwo alikua na marioo wakaonge sana na alikua anabembeleza marioo aende kwenye show. Anavyosema kuwa aliamua aende yeye illa alivyo sikia interview akaahirisha,
Nna swali hapo, swali LA kwanza Ina maana show yakwake hakuenda, pili interview ya Chinoo ilikua baada ya show yake, sasa Jaivah alikua anaenda kufanya Nini na show ishaisha? Tusiwe waongo sababu ya kingereza kingi. Na jaivah alivyosema kuwa anaumia kumuona Chinoo ana power kwa wenzie kilimuuma sana, kama kweli alikua anawathamini kina Chinoo, kwanini aliamua kujitoa kama si wivu wa uongozi. Inamana alitakka wamsikilize yeye kuliko chinno ambao wametoka mbali. Tusiwe wanafiki.
Karudie interview hujaelewa
@@maitharobert6833 wewe karudie interview ya Jaivah. Mbona anajifanya mwema kwa kungatta nakupuliza
Hapa huna point bora ungenyamaza tu. Wewe unaona sawa alivyofanyiwa Chino? Kwani media zipo kwa sababu gani hadi Chino asiende kwenye media? Kwanini Chino asiseme ukweli wakati anaulizwa maswali na media?
Chino alifaa kuyaongea kifamilia kwanza yakishindikana ndio aende kwa media
Tena media yenyewe wasafi😂😂😂😂 wachonganishi waleee
Lebo n moja tu tanzania wcb ndo maana management ya wasafi wakikusign jua tu umepitaa
Pumba pumba pumba pumba 😅😅😅😅😅😅 nyinyi ndio mulio mkataa Harmonize leo unamsifu ni msanii bora
Marioo is a good man period
Unazingua mkubwa hatukielewi. Sisi ungewatafta wote uongee nao ungepata ukweli
Wew kwa kwel ht hujafuatilia kaa kmy tu boss
Mbona Abba na Mario hakumtoa jaiva Chino ndio alimtoa jaiva jaiva anatumika wamshushe chino
Sio marioo kampa collabo chino😅, Aliona ngoma zinahit kupitia chino
Wew mwehu nini mwandishi wa mchongo mwandishi anaejielewa na mwenye akili timamu lazima ufanye interview usikulize pande zote mbili marioo ni mtu poa sana marioo kafanya makubwa na roho nzuri sana kumpa chino nafasi na kila kitu
Kwanza mario hakutaka Chino aimbe alivyoona Chino katika na nyimbo ya mwanzo ndio mario akampa akampa kolabo
Chino aliwauliza sababu n nini lakin awakusema
Bongo 5 mpo na presenter mjinga na mpumbavu sana asie jua kuchanganua taarifa mbili tofauti 2024 fanyeni utaratibu wa kitengeneza au kutafuta presenters wenye weredi mkubwa Ili wasiharibu au kuendelea kukuza conflict baina ya wagomvi wawili
Huyu mara nyingi anakurupuka. Ndiyo maana hata Baraka da Prince alimkanya kumuongelea mambo yake
Unajuwa wewe Bongo5 tatizo lako unapenda kukurupuka,wewe ukiliona jambo au ukilisikia basi unapita nalo na kuropokwa unavyojua wewe,kwa akili yako inavyokupeleka,Bro unazinguwa,unapenda kukurupuka mambo yako,bila ya kufanya utafititi wowote,unachemka sana sana,unakurupuka ikisha unaanza kutolea judgment,hemu jitasmini vizuri
Kaka Wewe ni presenter mkubwa Ila unavozungumza kitu haupo kitaalam kabisaa unazingua 👎
Tukona CHINO mpaka mwisho mrio mshambatu
MI NASHANGAA KWELI YANI,,,,HAIWEZEKANI JAMANI,,,NAPATA SHOO ZANGU NAITWA,HELA NZURI AFU NIKAENDELEE KUKAA NYUMA YA MTU KUKATIKA,,,JAMN HIYO HAIPO DUNIANI
Umeongea Point Sana
Unamtetea marioo acha izo wewe😂
Uaga unakosa vya kufanya, tangaza mziki kaka acha mambo ya watu
Kweli kabisa kama vitu vya watu havielewi asikurupuke kuongea. Mbona hata Mwijaku kaongea vizuri tu kuwa Marioo anapaswa kuongea siyo Jaivah
Jaiva ni muongo
Cherche de l'argent grand.
Unaongea upuuzi tu
We unavuta upande wako
Huna akili wewe kumbe fala
Matako yako ww
Content zako uwaga nizakijinga sana wewe matako,
Hivi kweli chino niwakumtowa marioo, mnataka kumpoteza msanii kijinga.
Acha mambo yakikuma wewe.
“Look , the business of chino is sold on social media, there absolutely nothing wrong telling yr customers about yr business issues”
Stop doing cheap analysis bro
Well said.
Sio marioo kampa collabo chino😅, Aliona ngoma zinahit kupitia chino