Annoint Amani - Njia yangu niya Mateso ( official music Video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • #njiayanguniyanateso#
    Ukiamua kumtumikia Mungu,mnakua mmegawana majukumu ,
    Mungu anachukua ya kwako na wewe unachukua jukumu lake,
    Hivyo wewe unatakiwa kuwaza ya Bwana nae Bwana Yesu atawaza ya kwako,,
    Ukitaka kuelewa zaidi soma ( Mathayo 6:25:34 ) huu ndo msingi mzuri kwa Mwamini anaetaka kuwa sehemu ya watenda kazi shambani mwa kristo Yesu
    🙏
    Annoint Amani,
    Tiktok Annoint Amani tz,
    WhatsaApp & Call +255767240181 = +255755099942 )
    👇
    Video,Directed by Yuzzo +255683 550 697
    Audio,A.E.A Tones studio
    Prod Meddy +255 748 262 634
    Dar es Salaam Tanzania )

ความคิดเห็น • 322