SAYUKI TV TUNAENDELEA KUKULETEA KAZI BACK TO NA EPSODE YETU YA BARAKA ZA MAMA IMEBAKI EPISODE MOJA TU KUMALIZA MSIMU WA KWANZA NA NIMEWALETEA TRAILER YA EPSODE MPYA IENDAYO KWA JINA LA PENZI GIZANI AMBAYO JUMAPILI TUNAPANDISHA KAMA BADO HUJASUBSCRIBE, SUBCRIBE, LIKE ,COMMENT AND SHARE USISAHAU KUWASHA BATANI YA TAARIFA ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA TUKIPANDISHA KAZI MPYA TUNASHUKURU KWA SUPPORT YENU WATU WETU WA NGUVU.
Assalam alykum warahmatullah wabarakatuh alhamdulillah allah kutuamsha salama na waliokua wagonjwa Allah twakuomba uwape shifaa walio tangulia mbele ya khaki allah awafutie madhambi yao yaarabiy sisi ni maiti watarajiwa tunakuomba tujaalie mwisho mwema
Hapa duniani watu wavumilivu niwachache sana kwahiyo bahat pole sana maaana ww ungevumilia sam angekuoa tyuuuu bodaboda huwajui vizur moto wake wakuotea mbali poleeee
Bahati shana tatizo maana yeye bahati alikua na isia ya kumpenda sam lakini sam alimkataa bahati mapema. Kwahiyo bahati alimtafuta mwengine na tayari yeye ni mama kijacho wa mwengine mme akuna tatizo.
Bahati nakuonea huruma sana utamkumbuka sami mda si mrefu ulikua wavumilia tu umuangalia mwanaume hua yuakupima uko na upendi ama hujui wanaume wewe wanavyo pima sisi wanawake
Bahati ilikuwaje ukskurupuka tu mtu kumpenda na kumbebea mimba sam upo nae miaka yote hayo hajawahi kukuvunjia heshima subra imekushinda sasa ukute na kule ukirud sam anamke ndani sasa hapo ndio utakijuwa kijijini kwenu subra kuhim tunawapenda from uk 🇬🇧
Hata mm leo nimewahi jamani nipeni like zangu jamani tumuombee bahat akubalike na bodbod bahati anaheshima tu anastahili kupata mwenzie wakuanza mausiano
SAYUKI TV TUNAENDELEA KUKULETEA KAZI BACK TO NA EPSODE YETU YA BARAKA ZA MAMA IMEBAKI EPISODE MOJA TU KUMALIZA MSIMU WA KWANZA NA NIMEWALETEA TRAILER YA EPSODE MPYA IENDAYO KWA JINA LA PENZI GIZANI AMBAYO JUMAPILI TUNAPANDISHA KAMA BADO HUJASUBSCRIBE, SUBCRIBE, LIKE ,COMMENT AND SHARE USISAHAU KUWASHA BATANI YA TAARIFA ILI UWE WA KWANZA KUPATA TAARIFA TUKIPANDISHA KAZI MPYA TUNASHUKURU KWA SUPPORT YENU WATU WETU WA NGUVU.
walaikum musalam warahmatuallah wabarakatuh, Allahumma aamin
Ndo sauti gani zinatumika mbona sielewi
@@BoscoMkula Tunarekebisha Epsode ijayo.
Sw kaka tuko p1 ❤❤❤❤🎉🎉
Bahati kitakuramba mwanaume wa bodaboda siowanaume nahivyo inamimba 😂😂😂😂😊
Assalam alykum warahmatullah wabarakatuh alhamdulillah allah kutuamsha salama na waliokua wagonjwa Allah twakuomba uwape shifaa walio tangulia mbele ya khaki allah awafutie madhambi yao yaarabiy sisi ni maiti watarajiwa tunakuomba tujaalie mwisho mwema
Allahuma ameeena yarabi🙏🙏
Walaykum salaam Aamiin
Allahuma aamin
Aamiin YaaRabbal Alaamiin
Amiin amiin Allah akuzidishie kwa dua yako maqburi inshaallah atupe shifaa kwa wote
Bahati unaruka mkojo unakanyaga kinyesi wifi uyo😂😂😂
Makubwa wifi ndo huyo umeyakanyaga bahati pole.😂😂😂
Jaman huyo bahat awe anaongea vzr sauti yake inatuumiza masikio bana
Aki tena
Bahatian.umejiharibia.maisha.yako
Zuu alipiga fimbo mavi hakujua kua yatamrukia mwenyewe
Mwana kumtafuta mwana kulipata bahati utajuta sam alikupenda sana umeshinda kuvumilia Sasa majuto imjukuu
Wanawake hakili hawana kabisa onasasa alikoenda pababaya sana
Bahatiiiiiiiii binafs nimefurah kuona bahati anapitia hayo
Bahati hicho ndicho ulichokuwa unakitafuta sasa pendant kwa huyo bodaboda omba mungu akupokee
Kazi nzuri my❤
Bahati unaona kiburi penye imekufikisha 🤣🤣🤣 wifi huyo hafa Fanya KAZI... Mume hata nyumba Hana 🤔
Hapa duniani watu wavumilivu niwachache sana kwahiyo bahat pole sana maaana ww ungevumilia sam angekuoa tyuuuu bodaboda huwajui vizur moto wake wakuotea mbali poleeee
Huyu bahati ataenda kuteseka siamemukataa samu
Maisha magumu yameanza kwa bahati utammic sana samu.
Ila bahati huna bahati Tena ..ila sio mbaya wavuna ulicho kipanda pole
Na aendelee kuvuna tuu,
Na Bado alifika kwa huyo bwanaake itakuwaje.
Tunatamani kuiona finale ya hii movie
Jumamos asubuhi utaona
Bahati ndio ayaone kendal kutafuta mashaka mwaume wenyewe basi😂 akome kuokota mtu aside mjua 😅😅😅😅
Bahati shana tatizo maana yeye bahati alikua na isia ya kumpenda sam lakini sam alimkataa bahati mapema.
Kwahiyo bahati alimtafuta mwengine na tayari yeye ni mama kijacho wa mwengine mme akuna tatizo.
Bahati umeyakanyaga wife mwenyewe ndiyo huyo mh pole yako😅😅😅😅😅
Bahati utakoma utamkumbuka cn sam
Safi sana kaka ondoa uchafu huo,
Umeyatimba bahat by kwenda umejikalisha hapo vipi
Nnilijua tu bahati kayatimbaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bahati nakuonea huruma sana utamkumbuka sami mda si mrefu ulikua wavumilia tu umuangalia mwanaume hua yuakupima uko na upendi ama hujui wanaume wewe wanavyo pima sisi wanawake
Bahati Dada wa Mpenzi wako,ndio alie kuteka yani wew umeyakanyaga duuuh
Na Huyu shaitaani ilitokea wapi. Bahati usikupali kuvunjwa moyo na Yule shitani. Bahati ni mwanamuke mzuri. Lakini Mbona haja ongojea mpaka aolewe.
Ningejua mm samu angenioa kabisa mambo yote ya nyuma hayo
Habari zenu nawafatulia nikiwa Qatar hpa nimekasirika vile sam alivyomfukuza bahati haikufaa hivyo😊
😅😅😅😅 zuu jeur uwache
bahati hana kosa jamani
Bahat umeyanyw
Leo nimewahi jmn sijachelewa mnipee hizo like zenu nikawaekee bank 😂😂😂😂nilifungua jana uko😂😂😂,nawapenda sana wana sayuki kutoka kenya❤❤❤
Bahati tayar yamemkuta hahahahahah
Bahati umeingia katika mikono ya watekaji wako shauri yako
Zuuu ulimwengu ushakufunza😂 😂😂😂
Akome bahat wifi mwenyewe alimtek hhhhh
Bahati mjnga kwl et wamezoea kwn ww ulikuwa mke wa Samu, au bas
Bahati umeyakanyaga😂😂😂
Bahati umeenda kwa jambazi alietaka kukuua na sam akawa msaada wako
Wifi jambazi😂😂😂
Hmmm bahati your starting crying now now u remember sam😂😂
Bahati ww ilipoteza fursa iliyo bora
Bahati ona sasa sam arikua anakupenda.umemukataa
Nae alimkataa lakini.
Sam umefany vzr bahat amekanyang s pakukanyaga?? Ila atakukumbuka mauwa yako🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Huyu dada anaonekana mchawi kwli
Bahati unakiranga 👌
Kazi nzuri wana nyukizi.
Bahat ume yakaloga
Bahati umeyakanyaga utajuta majuto ni mjukuu😢sam alkupenda mno ila hauna subra🥺
Mnaliangaikia likipon linaenda kuwaloga tena
Bahati unachekesha
Nani kaona gauni la wifi yake bahati😂😂😂😂
Mimi wa kwanza leo🎉
Pole baht
Gauni la wifi yake bahati😂😂😂😂😂😂😂
Bahati ilikuwaje ukskurupuka tu mtu kumpenda na kumbebea mimba sam upo nae miaka yote hayo hajawahi kukuvunjia heshima subra imekushinda sasa ukute na kule ukirud sam anamke ndani sasa hapo ndio utakijuwa kijijini kwenu subra kuhim tunawapenda from uk 🇬🇧
❤❤ Mungu azid kuwatia nguvu ❤❤
Bahati. umeyakanyaqa. WiFi Yako zambazi. kazi. unayo😂😂😂umemjeuriya. sam. Mwenye maisha. Yake. utajuta 😂😂😂😂😂
Mkataa pema baya panamwita bahati umelikologa
Hapo VP umeacha mme mwenye hekima na busara umekanyaga moto pambana na hali Yako.
Zuu acha roho mbaya
Mwanamke huna uvumilivu ww,utajibeba unalo hilo,
Weebahatiii😅😅😅
utamkubuka samu bahati kazi unayo hapo
Bahati kayatimba wifi jambazi😄
S yule boda Bora n dadak yule jmbzi
Bahati hilo trela tu picha linakuja kwa kutokuwa na subra kwa Sam....
Kumeanza kuchemka kwa bahati
Bahati maji umeshayafulia shart uyaigee😂
Kwl bahati ni mpumbafu sn tena sn
Naona
Bahati.jiu-juta
Leo nimekuwa wa kwanza
Hongeran sana kwa kazi nzuri
Wifi jambazi😂 utajuta bahati
Haya bc bahati yakujitakia ndio hayo utaosha hadi gari😢😢
Bahat hayo ni maisha yako ulijichangulia mwenyewe haya pambana nayo dada 😂😂😂😂😂😂😊
Maisha ya Bahati ni maisha ya Wanawake wengi.Hilo ni funzo
Bahati uyo Boda Boda atakutesa utamukumbuka Samu ulichezea Shilingi kwenyemaji
mjuto nimjukuu kumbe wifi yako niyule aduiyako alie changia kukuteka kipindikile pole sana
Samu vumilia utampata mwana muke mwingine anaae kpenda mutaeshi naae vizuri
Bahati kimekulamba,,,,umechezea moto
Ushayatimba bahat
Bahat chamoto utakionq😂
Haya bahari house girl
Hata mm leo nimewahi jamani nipeni like zangu jamani tumuombee bahat akubalike na bodbod bahati anaheshima tu anastahili kupata mwenzie wakuanza mausiano
Utamkumbuka sam mara7 sabin
Zuui nakupenda bureee
Give us another movie mbona umeshatengenezwa tunapenda kazi yenu jamani
Bahati kula shauri yako sasa😂😂
Haya bahati umelitafuta lakulitafuta ungebaki tu Samu wako yote hayo usingeyaona 😂😂
Kwakweli bahati sio bahati ni mukosi
Ila sam n weee kumbuka ulvyomuumiza bahati
Mbona siwaelewi
Yule bodaboda Dak n yul dada jmbzi
Leo nimekuwa wa tatu like zenu jaman
Hata Mimi naona tu bahati afukuzwe🤣🤣🤣
Kwa samu utapakumbuka tu
Umeyakanyaga bahati
Mie wananiboa sauti sikuizi haipo vinzuri
Kivipi Saudi mbona inasikika
@@McT-m1m😂😂😂😂
Japan banat mupuuzi kweli😂😂😂😂😂
Upuhunzi wake nini kwani bahaty alimtaka sam San Sam alikataa kwahiyo ilikuwa afanye nini🤣🤣🤣🤣🤣
@@aaminaasljbgbvf745 🤔🤔
😢😢😂😂😅 baati haha
🎉🎉🎉❤❤