Sijawahi comment ila hii series ni Moja ya series za kibongo za kizazi hiki ambayo nimetokea kuipenda...."" Hello clam and ur crew...keep the good work and God bless Y'all
WA 970 kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 I wish to have at least all Burundian and Tanzanian and Kenyan all East Africa country your like please from season 1 I'm with you please like the comments please ,@snake boy on top🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
DIRECTOR @KAKOSO KUNA SOUND MOJA HUWA UNAITOA HUMU UNAKOSESHA SANAA UONDOOO UJUE SOUND YENYEWE NI ILEEEE INAYOANZIAA NA ( SAAAAABAAAAAAABEEEEE×4 ) NAFIKIRI APO UTAKUWA UMENIELEWA MTAALAMU KAZI NZURI ILA HICHO TUNAOMBA UWE UNAWEKA
Kazi lime waishwa kama tulivyo taka kwa mda hu Ni burudani na burudani Ila zinga Ni Hatari bwana weeeeeeh mganga aliye mfundisha utchawi kamu weka kwenye tchupa Ina Tisha saaana 🙄 Mimi na taka tu mtanzi arudishiwe nguvu zake hongera sana Team VEVO🇨🇩 ❤️ from Dubaï 🇦🇪
Clam ulifanya vizuri kuongeza madakika safi sana tuna enjoy vyakutosha asante kwakutuskiaa sisi mashabiki
Aisee aminia kweli hapo ndo ni vizuri
Mimi wakwanza leo depuis Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🚨🚨🚨🚨 nous sommes ensembles frère na ngai❣️❣️🥰 like basi apo frère
Daaaah ya 20 🔥🔥🔥🔥🔥mmejua kucheza familia ya clam na kakoso mpo vizuri mnooo💯gonga like kam umeielewa episode ya 20 kam mm
Respect❤❤❤❤wa Bujumbura tunawapenda sana ♥️ lakini tuonyeshe upendo🎉🎉 na nyie jameni tupe likes nkingi watanzania wenzetu❤❤❤❤❤❤❤
Kimbao mbao mwiko WA pilao😂😂😂😂😂jembe lakazi
Kazi nzuli sana
Kama unaukubal ujasir wa KAKOSO a.k.a Mwasi gonga like tukiendelea mbele 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂kakaoso ataliwa yule na kidume mwwnziwe😂😂
Uwakika
@aminaabdalla-o9zq sidhani
@@aminaabdalla-uo9zqumewaza kama mm😂😂😂😂😂😂😀
@@aminaabdalla-uo9zqoa 😂😂😂😂
Dogo siku hizi uko vizuri, hucheleweshi mzigo. Like nyingi kama mmemkubali
Na pia wameongeza dakika unyama sana
th-cam.com/users/shortsbj7toAFm-Ls?si=O3gXiEsFlDzu-aed
CLAM VEVO na team yako nawapeni hongera ya kuishi kwenye vichwa vyetu.
KONGOLE
mtukufu naachakula chawatoto kakilamba hhhhhhhhhhha 😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂
Jamani nimebatika kua namba mbili naomba like moja kwa kipara
Mimi ni COMEDIAN nahomba munisahidiye ku SUBSCRIBE tu 🎉🎉🎉❤❤
@@DIRECTORJOHN435 munisaidie bad typing 😢😢
Like hupeleke wapi
Hiiii movie inatia simanzi sana aiseee
🎉
Team snake boy team strong hoyeeeeeeeeee 😂🇸🇦🇰🇪 love from Kenyan Riyadh km wafuatilia Ii kitu like please nawapenda nyote
Team bladi tupo p1 kupenz
Twakupenda pia dear❤❤❤🎉🎉mm pia niko Riyadh😂🇸🇦🇰🇪
Wale wa UAE tukae wapi😂❤
Twakupenda pia mimi nipo Riyadh pia❤❤❤
Hoyeeeeee 🇸🇦 🇰🇪
mimi uku sijawai pata likes hata moja na nko uku tangu mwanzo episode one hadi kwa sasa
Kimbaumbau mwiko wapilau mwakatobe bwana😂😂😂😂😂from kenya but in damam saudi team strong nipeni like tujuane
Kumbe uko Nairobi madaam?
@@GeorgeAkasha-zx2rj niko gulf
Mafanikio huja kwa jitihada dhahiri na makini hongereni CLAM na kundi lako lote kwa kweli mnatufanya tuipende tasnia ya filamu Tanzania... 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wakwanza mimi kutokea usa🇺🇸🇺🇸🇺🇸 naomba liks zangu 🙌🙌🙌🥰
Umetokea Usa😂😂
Mmmh ww n wakwanza wa pili lakin wakwanza namba one n huyo apo juuu
Mmh
USA Ya tweneke 😂
Waooo yaan nmefunguaa tuuu maraa paaaaa snake boy waooooo hatarii sanaaa hongereni kwa Kaz nzurii
Mwenye hajafurahia vile Tete kabadilika nipee likes 👍👍👍hii tunaifuata ata ikifika episode 50 😂😂😂
Wakwanza Leo nimimi napatikana Congo nipeni like zangu clam vevo
jamani anamatar nzing😅😅😅
Timu ya simaga tabia ya umbea umbea tu juane apa🎉🎉🎉
Siyo michongo yangu nilishaachaga😂😂😂😂
@@keiazizi5746😂😂😂😂😂😂😂
Nsha achaga 😂😂😂😂😂
We inanijua sinaga tabia za umbea umbea
😂😂😂
Makofii kwa malkia mpya kimbaumbau mwiko wa pilauuu😂😂😂😂😂😂
Vip
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Nitarauka liny ili npate likes 100 kma nynyi 😢kila nikiltewa notification mumecomment tayary naomb tno bc
Utapata tu
Hongera sana tena sana kwa kuinusuru Bongo movie, maana waliigiza mambo safi hadi wakaishiwa. Hizi ndizo filam za kiafrica zinavyotakiwa kuwa.
Safi sana kqkoso hongereni team clqm vevo pigeni kazi tupo pamoja nanyi
Hii kazi ya moto tunakubali na tunategemea itaisha vizuri kabisa bila ya kutuweka bumbuazi aisee😂🎉
Huyu haji manara nae ana vituko japo anatoa msaada mashallah ♥️
Eti Haji manaraa😅😅😅
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂 nimecheka km madhuli
😂😂😂mume wa zaylissa
Wangapi wanampenda chaupele
I'm here 🎉
mm apa
Aloooooooh🙏🙏🙏🙏✅✅✅Mm wa ngapiii leo.... Naombenii likee jamoon
Acheni kuomba likes jamani 😂 😢tushukuru vevo kwa kazi nzuri ❤ ameongeza dakika pia analeta kazi kwa wakati ❤
Asee hii filam ni nzur sana Yani Haina kasoro sijaona kasoro Kwa 100% asee nzur sanaa
Wakwaza Leo Burundi oyeeee intwari kids acrobatics gymnastics 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Léo wa kwanza naomba liké yangu djamani
Good luck my dear friend Clam-vevo I really like your videos from In Congo Kinshasa 🇨🇩🇨🇩🥰🥰🥰🎉🎉🎉💯💯💯
❤😂😂😂😂kimbaumbau mwiko wa pilau😂😂😂😂😂hii hatari
Watu wa Burundi tupeni like hapa kama munamkubali clam VEVO💪🇧🇮
Haya nimeshakupa laki kwani mnapata pesa kwahizi like
Yah
Saiv clam unaweka dakika zakutosha ,,,,,,,,,hîi nimeipenda asante saaaaana mkuu,,,,,,endelea hivyoo hivyoo
Umiongeya pwety sana
Kabisa yn❤🎉
Good job clam groupe.
Bila kuchoka nimependa mlivyo ongeza dakika❤ Tim vevo🎉🎉 tuishi hum
Nimewapiku leo maan mnakuaga na michezo sana kila siku nyie tuu kuoga ahaaaa
Much love from Zambia,,, we love u VEVO............ keeps on giving us the best.........
God bless you and your management...
Mbona huwa hamnipi likes😢😢😢😢😢😂😂nipeeni tu Leo ..toka kenya❤❤❤❤
Na mimi leo naombeni likes jamn
Hatakama mimi SIO wakwanza lakini nipeni hata like mbili JAMANI 😭
Wakwanza from Kenya🇰🇪 Tunakukubali Clam 🎉 Zije likes zngu leo
👍🎉
wakwanza pande za kigoma ,naomba mu like jamani👍👍❤️❤️, team SNAKE BOY ,like zenu jamani
Acheni usengee yaan tuache kulike video tulike comments zenu!! Kwn mnalipwa?? Acheni ushangaz huo
@@ekyociesengana1657tatizo umejificha
Napenda Uyu Taira mweupe anajua jaman❤❤❤
Sijawahi comment ila hii series ni Moja ya series za kibongo za kizazi hiki ambayo nimetokea kuipenda...."" Hello clam and ur crew...keep the good work and God bless Y'all
wa kwanza kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤🇹🇿 naomba like kumi
Jmn natafuta fundi anishonee nguo km ya mwasi nimeipenda sanaa 😂😂
Kamuulize clam VEVO aliposhonyesha mwasi
😂😂😂
😂😂😂😂hii naona n bed cover aliitoboa shingo
@@nyamokizainabu205 Umewaza kama mm😂😂😂
@@nyamokizainabu205Umewaza kama mm😂😂
WA 970 kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 I wish to have at least all Burundian and Tanzanian and Kenyan all East Africa country your like please from season 1 I'm with you please like the comments please ,@snake boy on top🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦🇿🇦
malkia kimbau mbau mwiko wa pilau mpooooo😅😅😅😅😅
Wa kwanza toka South Africa
clam. ni zaidi ya kanumba.. mwamba anajuwa... anastaili tuzoo
Acha zalau bhana usi mfaninishe KANUMBA na Clam
kanumba hiyo habari nyingine kabisa usimfananishe na vitu vya ajabu
@@agahmsweden5812hahahah
Umefika mbali aisee
DIRECTOR @KAKOSO KUNA SOUND MOJA HUWA UNAITOA HUMU UNAKOSESHA SANAA UONDOOO UJUE SOUND YENYEWE NI ILEEEE INAYOANZIAA NA ( SAAAAABAAAAAAABEEEEE×4 ) NAFIKIRI APO UTAKUWA UMENIELEWA MTAALAMU KAZI NZURI ILA HICHO TUNAOMBA UWE UNAWEKA
Uko sahihi movie hainogi bila Ile saundi
aondoe ile ambayo inalia kama ya habari
Kazi kazi mjomba 🙏🙏🙏
Kazi lime waishwa kama tulivyo taka kwa mda hu Ni burudani na burudani Ila zinga Ni Hatari bwana weeeeeeh mganga aliye mfundisha utchawi kamu weka kwenye tchupa Ina Tisha saaana 🙄 Mimi na taka tu mtanzi arudishiwe nguvu zake hongera sana Team VEVO🇨🇩 ❤️ from Dubaï 🇦🇪
Yaan ni hatariiiii
Japo kuwa nimecelewa kidogo na mimi naombeni like ili tuende sambamba na moto huu wa snake boy Big up vevo
😢naomben like jamn had nalia
Usilie
Nawa kubali sana
huyo Albino nimemkubali sana anavowasaidia kina mwasi
Hii ni moya ya series yako bora Big up clam criss
Una weza baba😅😅😅😅
Toutes mes félicitations
wakwaza leo nipeni like zangu apa... sonrichard
Kazi nzuri sana na mmetoa kwa wakati heko kwenu🎉
Clam hakuna msanii wa bongo movie anaemfikia kwasasa tuseme2 ukweli from bongo land🇹🇿
🎉pongezi kwa nyote .. ila mdada kashabadiliswa nia ajui ata kakaake
Mi wakwanja nipeni like zangu from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪
Tumshukuru Mungu kwa kuiona siku ya leo
Kama una komenti kila kipande kama mm like 2juane
Kazi nzuri ila hiii ya sahivi sijui kama itawahi kuishaaaaaaaa na ndiooo poaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤
Nondo juu ya nondo mpaka nondo inajikuta kwenye nondo
We mwasi umejisaau wew ni mwanaume😂😂😂 unazagamuliwa sasa😂😂😂😂😂😂
Asante uongoz ote chn ya vevo hiz dakka mnazo weka hakka mnatujali walaj wenu we love you 😊😊😊
Snake boy 🐍 ni inazidi kua ya moto sana 🔥🔥🔥💪
Wakwanza alikua mimi, naombeni like zangu toka Lubumbashi-Rdcongo
❤❤❤❤❤❤
Muzungu anacezavizul sana❤
Jamani katoto kenu kamwisho ❤❤❤
Fupi anapenda wali maharage kishenzi🤣🤣🤣
Shabiki mkuu toka Kenya ♥️ Mnisupport wenzangu
Movie nzuri sana master 🎉🎉🎉😊
Kaliiiiiisanaaaaaaaaa
Maraba mi njo wa kwanza kwa kweli naomba like zangu
Another one mwamba kutoka burundi again kama wewe unamkubari VEVO CLAM Tupia like yako hapa let's do we going now🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🥰❤️🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kazi nzuri clam hongera❤
l wish you the best clam
Hi
wa kwanza toka Congo 🇨🇩
Wa kwanza like kwangu ata kumi tu Kwa mara ya kwanza
Wapili kutoka 🇺🇸🇺🇸🇺🇸yani niko kazini natizama clam weeew twende na like wanangu ❤️
After this ep ur the no. 1 in Tanzania 🫡
Oooe team vevo kwn umu ndo machimbo yenu mn 35sec kuna 65 comment mko mbio sana family,ama vp si mfanye ile kitu leo mnipe izo 10 likes tuu
Ila huyo mtukufu mpya kwa kupenda ubwabwa na maharage kazidi jaman 😂😂
Kamshind clam😂😂
Hatari 😂😂😂😂😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Congratulations guys ❤
This is good play.you can watch with children and elderly. you don't use bad language. continue the good work guys.
Wakwanza mm Leo nipen like zang zot apa
like zangu love From burindi watanu leo
Nakubali liké mingi❤❤❤
Much love from Kenya the home of English😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Kazi nzuri bby Leo nimekua wa 511 love ❤❤🎉
Mkaliii vevo tupo hapa mapema saanaaaaaa tyu
Kimbaombao Kama mwiko wa pilau🥴🥴🥴☺️
Basi nikuombe kesho uret nyingin . Nitam sana
wanaomkubali Clam mgonge likes hapa