SHETANI |Ep 9|

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • #Bhailam#Naomy#comedyplus
    ⭐⭐ Disclaimer
    This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
    For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
    Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
    Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
    Subscribe hapa : / @comedyplustz
    Subscribe hapa : / @bhailamkhan
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz

ความคิดเห็น • 306

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 3 หลายเดือนก่อน +21

    Kazi nzuri hii move imenifundisha kumtegemea zaidi Mungu kuliko kitu chochote Maana hiyo sauti ya shetani ndy sauti ambayo shetani anatumia kutushawishi kutenda maovu katika maisha yetu ya kawaida na nisauti ambayo kama haupo imara kiroho lazima ikuzidi uwezo.

  • @SylvesterMwinga-ff5iy
    @SylvesterMwinga-ff5iy 3 หลายเดือนก่อน +40

    Hali halisi ya maisha yetu, tujifunze kitu kwa hii movie, watch from gulf🙌

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 3 หลายเดือนก่อน +11

    Wa mwisho mimi hapa kutoka Burundi 🇧🇮 🇸🇦 nawapenda sana movie nzuri sana ongeleni ❤❤❤

  • @Kamoste
    @Kamoste 3 หลายเดือนก่อน +28

    Oyaaaa wale wa kilifi mpoooo❤❤❤😂😂

    • @CrsAlzaid
      @CrsAlzaid 3 หลายเดือนก่อน +1

      Tsuko diha😂😂

    • @SalamaTaura
      @SalamaTaura 3 หลายเดือนก่อน +1

      ☝️

    • @MargaretAgengo-v4f
      @MargaretAgengo-v4f 3 หลายเดือนก่อน +1

      Niko hapa was 003

    • @MargaretAgengo-v4f
      @MargaretAgengo-v4f 3 หลายเดือนก่อน +1

      kilifi mnarani 😂😂😂😂

    • @saumbliz8983
      @saumbliz8983 3 หลายเดือนก่อน

      Wa mbogolo

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 3 หลายเดือนก่อน +16

    Team naomi tujuane 😅😅

  • @HusnaChelicheli
    @HusnaChelicheli 3 หลายเดือนก่อน +20

    Bhailam weeee 🎉🎉🎉🎉🎉 unatumaliza. Shetani ❤❤❤❤

  • @evarlneambiyo881
    @evarlneambiyo881 3 หลายเดือนก่อน +14

    Mungu tusadia utulide utuapusha na mambo mbaya ❤❤❤❤❤❤

  • @user-bv3yo9td6q
    @user-bv3yo9td6q 3 หลายเดือนก่อน +12

    Mashallah kazi nzuri ninashojifunza ni kuamamin kwa mungu kuliko kwa shetani shukran team bhailam ❤

  • @MR_RAMSATZ
    @MR_RAMSATZ 3 หลายเดือนก่อน +25

    wa 40 from Tanzania gonga like nyingi kama unamkubali bhailamu.ila Naomi anajua sanaaa

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 3 หลายเดือนก่อน +45

    Ninachojifunza hapa ni kusikiliza sauti mbili masikioni mwako kuwa shetani naye anakuja na Mungu anakuja kazi kubwa ya shetani ni kushawishi utende dhambi lkn Mungu kazi kubwa ni kukupitisha kwenye njia yenye kusudi basi leo nimekuwa wa mwanzo nipeni like zenu

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 3 หลายเดือนก่อน +4

      Bravo 🎉 wenzako wanataka like tu

    • @ComedyPlustz
      @ComedyPlustz  3 หลายเดือนก่อน +5

      🙏🙏

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kweri kabisa

    • @danielhumble4292
      @danielhumble4292 3 หลายเดือนก่อน

      @@aishaomar2287 Nikweli huwa naona mtu anaomba like pekee lkn kutushirikisha kipi anajifunza hakuna hii nayo ni upungufu wa fikra bibiee 😭

    • @danielhumble4292
      @danielhumble4292 3 หลายเดือนก่อน +3

      @@ComedyPlustz Natamani niwe mmoja wa familia hii ya @ComedyPlustz plz nishikeni mkono ninaweza pia ni mwandishi wa movie/tamthilia nzuri zakiafrika

  • @VioletteManirakiza-jf2rk
    @VioletteManirakiza-jf2rk 3 หลายเดือนก่อน +50

    Wakwanza kutoka Burundi naomba like zangu watu munaona janete anatumikishwa nahuyo shetani naomba museme kitu hapa

    • @evarlneambiyo881
      @evarlneambiyo881 3 หลายเดือนก่อน +2

      Alafu ajuwi kama shetani anamutumia lakini moja atajuwa tu

  • @FelisterNdanuJumaa
    @FelisterNdanuJumaa 3 หลายเดือนก่อน +7

    Team strong uyeeeeeeeeeeeee 🇸🇦🇰🇪 nimeigia kuchelewa but tuko pamoja 🙏

  • @AmosMwamgogo
    @AmosMwamgogo 3 หลายเดือนก่อน +16

    Tuko pamoja sana move nzuri endereeni kutuburudisha

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 3 หลายเดือนก่อน +7

    Kazi nzuri harafu zaid nakupenda jojo napenda kazi yako haupoi ❤🔥

  • @halemamoon1782
    @halemamoon1782 3 หลายเดือนก่อน +8

    Oooyeeee tuko hapa team strong....single mothers tupo wengi huku gulf

  • @NathaSMART
    @NathaSMART 3 หลายเดือนก่อน +31

    Number 1 from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇱🇷🇱🇷🇱🇷💪 gong likes 5 Guys Km unaipenda hiyi team

    • @NuruNdegwa-yg2bm
      @NuruNdegwa-yg2bm 3 หลายเดือนก่อน

      Sawa iyo like 🥰 chukua

  • @moulynnyaboke-sh9vj
    @moulynnyaboke-sh9vj 3 หลายเดือนก่อน +11

    Wa mwisho jamani wenzangu naomba hata tatu🎉🎉

  • @rehemaaweso3643
    @rehemaaweso3643 3 หลายเดือนก่อน +18

    Woyoooooo wa 19 leo nimekuwa

  • @byancebukuyu5814
    @byancebukuyu5814 3 หลายเดือนก่อน +9

    Iyi movie naikubali Sana ina mafunzo mengi sana tena sana

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 3 หลายเดือนก่อน +4

    waaa iko sawa sana aki mbarikiwe tuendeeni apo apo 😊

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 3 หลายเดือนก่อน +79

    Team strong hoyeeeeeeeeee 😢 nmechelewa mtu wenu walai Leo lkn Niko apa kuwakilisha team kubwa all single mother 😢majinun team hamam nawapenda saaana love from 🇰🇪🇸🇦 Riyadh 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰 show me Love kwa like n comment

    • @MkasyswallehsaidSwalleh
      @MkasyswallehsaidSwalleh 3 หลายเดือนก่อน +2

      Tupo tupo sambamba my❤❤❤

    • @user-fv8nd5pw8w
      @user-fv8nd5pw8w 3 หลายเดือนก่อน +3

      Hoeee❤❤❤❤ semsem

    • @judithpendo9985
      @judithpendo9985 3 หลายเดือนก่อน +3

      @@MkasyswallehsaidSwalleh nawapenda bure watu wangu ♥️

    • @judithpendo9985
      @judithpendo9985 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@user-fv8nd5pw8w penda saaana nyinyi watu wa mine

    • @Jackline25467
      @Jackline25467 3 หลายเดือนก่อน +2

      Ndio kufika 🇰🇪🇸🇦❤

  • @erickmusonda811
    @erickmusonda811 3 หลายเดือนก่อน +14

    Wakwanza mimi❤❤❤❤

  • @zainaabdallah809
    @zainaabdallah809 3 หลายเดือนก่อน +10

    Team furus team WiFi team kupambana tuliochelewa naomba tusalimiane 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲

  • @enoshmhemakapaya
    @enoshmhemakapaya 3 หลายเดือนก่อน +4

    Dahhhhhh kunamafunzo makubwa saaaana

  • @ssa4542
    @ssa4542 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wapenz munip lake pz mimi waburundi🇧🇮

  • @LatifaOmary-uj3zs
    @LatifaOmary-uj3zs 3 หลายเดือนก่อน +15

    Leo nimewahiiii

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hahaha hahaha hahaha hahaha bailamu mungu ana kuona 😂😂😂😂

  • @agathemichelle238
    @agathemichelle238 3 หลายเดือนก่อน +7

    Leo nimewai kabisa ❤❤❤

  • @MariamRashidi-n7u
    @MariamRashidi-n7u 3 หลายเดือนก่อน +10

    Jamani jamani mimi niwa 90 naomba lik 😂😂😂😂

  • @Melvy-kb3lc
    @Melvy-kb3lc 3 หลายเดือนก่อน +5

    Much love from 🇰🇪 watching from 🇸🇦 hongereni kwa kazi nzuri 🔥💜❤️‍🔥

  • @paulinekombe3753
    @paulinekombe3753 3 หลายเดือนก่อน +4

    Good job guys

  • @user-gr1gf6pb9l
    @user-gr1gf6pb9l 3 หลายเดือนก่อน +14

    Jaman leo namm nimewah like zenu wapendw

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. 3 หลายเดือนก่อน +17

    Acha niwe wa kwanza jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatumasaidmajero2050
    @fatumasaidmajero2050 3 หลายเดือนก่อน +6

    Congratulations nice work ❤❤from Kenya 🇰🇪

  • @hafsaoman7453
    @hafsaoman7453 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hongela sana kwa kazi zenu ❤❤

  • @amanijackson8085
    @amanijackson8085 3 หลายเดือนก่อน +7

    Nawapenda sana

  • @aganzeroger
    @aganzeroger 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wa kwanza kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @annamwaka2326
      @annamwaka2326 3 หลายเดือนก่อน

      Uliweka wapi

  • @muhamadmachude
    @muhamadmachude 3 หลายเดือนก่อน +14

    leo nimekua wakwaza nombeni like ata 10.❤❤

  • @BintyRama-b1r
    @BintyRama-b1r 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mzee simba amekua yesu 😂😂😂

  • @SilvesterMulwa
    @SilvesterMulwa 3 หลายเดือนก่อน +24

    nimekuwa wakwanza jamni
    naombani likes zenu ata kumi tu😃😃😃

  • @Mokogoti181
    @Mokogoti181 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaani shetani wew nikikushika😂😂😂😢utalia sana

  • @annjohn194
    @annjohn194 3 หลายเดือนก่อน +6

    Nimechelewa lkn nimefika ❤❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 หลายเดือนก่อน +5

    Shetan kaingia kazini jojo Mungu anakuona

  • @winiechebetbera9541
    @winiechebetbera9541 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wee shetani hana mbinu nyungi 😢yakutu convince tupotee,hii movie inafunza

  • @rohosafichumot4842
    @rohosafichumot4842 3 หลายเดือนก่อน +9

    Watching from Nairobi iko wapi likes zangu watanzania?

  • @VumiliaMinani
    @VumiliaMinani 3 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤❤❤❤ movie nzuli San mumetuleteya nawapenda San Jamani

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 3 หลายเดือนก่อน +4

    Movie nzuri sana watching from Kenya 🎉🎉❤

  • @abdullahkhamis1653
    @abdullahkhamis1653 3 หลายเดือนก่อน +5

    ❤ nakukubali brother bhailam

  • @IrankundaDevotte-yu4nm
    @IrankundaDevotte-yu4nm 3 หลายเดือนก่อน +4

    Watu wa burundi ngonga like hapa❤❤❤❤❤

  • @LoolKing-z5z
    @LoolKing-z5z 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri sanaa na yenye mafunzo hongereni mumejua kucheza sijawahi jua kama hua kuna mashetani wazur mimi huchukulia shetani ni shetani waaaaah nimependa pia binafsi nimejifunza, ni heri nioshe vyombo vya waarabu na kusugua vyooo kuliko tamaa ya pesa za haraka niuwe familia yangu Aaaaaah Apana, Ewe Mungu ulie ju tusaidiane tusipotoke kwa maana nikweli hizi ni, siku za mwisho🙏, basi nikajua chama ni familia kumbe hata mkeo au mumeo namaanisha mpenz Waaaaaaah Noooooo siezi 😢, much love from kenya riadhy ❤❤❤❤

  • @aminamarika7601
    @aminamarika7601 3 หลายเดือนก่อน +7

    Wakwamza Leo naombeni like zangu

  • @abdullahkhamis1653
    @abdullahkhamis1653 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nakukubali brother bhailam

  • @GYSWAHABA
    @GYSWAHABA 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bonga la movie mambo yangu ya majini safi sana bailam 21:41 ❤❤

  • @ZainabuOmari-kx9gn
    @ZainabuOmari-kx9gn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saut yashetan inapenya zaid kweny masikio nainanguvu ysushawishi allah atujaalie atuweke mbali nauyu shetani

  • @MwanasaadaAsha-es6ov
    @MwanasaadaAsha-es6ov 3 หลายเดือนก่อน +8

    Leo wakwanza wapi team strong much love from kenya❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @EmmanuelKimelikorir
    @EmmanuelKimelikorir 3 หลายเดือนก่อน +1

    Waaaaaau video nzuri Sana EP 10 please na ikuwe refu ata kiazi kama kuna mtu nampenda kwa hizi videos yenu ni Naumi love you Naomi

  • @masemoolivier
    @masemoolivier 3 หลายเดือนก่อน +8

    Wakwanza kutoka 🇺🇸 nipe like zangu

  • @giftelinazi3487
    @giftelinazi3487 3 หลายเดือนก่อน +1

    waoooh mzee simba unajua kuigiza ungejaribu kujitupa uone moto

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 3 หลายเดือนก่อน +3

    Wamwisho kutoka kenya to tabuk ❤❤❤ jojo like zako na watu wako atanikifikisha 10 tu

  • @ZiduTunutu
    @ZiduTunutu 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nakubal Kaz Nzuri

  • @Ahm-r8n
    @Ahm-r8n 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri bt mwachelewesha

  • @joshuakilonzo3300
    @joshuakilonzo3300 3 หลายเดือนก่อน +2

    Big up Naomi ❤❤❤nakupeda tu aki saaana,,,,nachaganyikiwa tu

  • @paulinekatisho5459
    @paulinekatisho5459 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani mpoo wakilifi 🎉

  • @almasiactivateprinceofpeac6737
    @almasiactivateprinceofpeac6737 3 หลายเดือนก่อน +4

    WAKENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @kimberlychales6032
    @kimberlychales6032 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn. Saw. Naoamb mmoja atwambiye ii muvi. Imetufundisha nn. Apa Tanzania ❤🎉

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 3 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda Bure mzee simba pamoja na naomy 🎉🎉🎉🎉mauwa yenu kutoka Kenya 🇰🇪

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 หลายเดือนก่อน +1

    Weje waif za bure za warabu yujuwane from oman 🇴🇲🇴🇲

  • @AshaMbeyu
    @AshaMbeyu 3 หลายเดือนก่อน +4

    Sasa jojo umeulizwa ama wajitogozesha kwa ramso ww mwenyewe hujioni hali yako wala huendani naye huyo jamaa 😂😂

  • @Nadzuwamangale
    @Nadzuwamangale 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu zidi kukulinda 🙏🙏🙏🙏

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mganga shikamoo kipipa kazi unayo pole san mzee simba

  • @yuzzalopez6707
    @yuzzalopez6707 3 หลายเดือนก่อน +13

    Bado sijachelewa nipeni like zangu Pia

  • @agneslanoi886
    @agneslanoi886 3 หลายเดือนก่อน

    ninachofurahi mchungaji umesikia maoni ya watazamaji na ukatoa ile kofia kazi nzuri sana

  • @rux_nat.
    @rux_nat. 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bhailam vip kuhusu shetani episode 10..MBNA mumepotea sana

  • @Wardat-o3l
    @Wardat-o3l 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤nawapenda sana

  • @aganzeroger
    @aganzeroger 3 หลายเดือนก่อน +1

    Muna tu shelewesha sana sukuma sehemu 10 basi

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 3 หลายเดือนก่อน

    Bhailam na timu yako mnajw mpk mnajw tn❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Queen_of_AfricanEmpire
    @Queen_of_AfricanEmpire 3 หลายเดือนก่อน

    Nawashukulu san Tim Bhailam Kwa mwanga mliowasha juu ya maisha halisi tunayopitia Hakika mmetimiz Neno la kuwa wasanii nikioo cha jamii maan naamin watu wengi wameon hii movie bac naomb Mungu Atufungue macho ya rohon tuone kwa ukubwa ili tuweze kumshinda shetan Hakika mmeweza san kwa hii movi haifananishw na chochote maan hii ina mpango mzur juu ya maisha yetu na kutukumbusha sara wakat wote ❤❤❤

  • @fatumamohamed4545
    @fatumamohamed4545 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ from kenya tupeni muendelezo

  • @abnermailos8043
    @abnermailos8043 3 หลายเดือนก่อน

    Kazinxuri mungu awabariki mkawe watumishi wa kimataifa

  • @JoanNdinda-e3k
    @JoanNdinda-e3k 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hi guys please ebu mtu anielezee tangu lini jini ikampenda mungu

    • @rosemarenga832
      @rosemarenga832 3 หลายเดือนก่อน

      Sio Kwa ubay ila ni ivi hawa waigizaji wa hum wengin niwaislam na wao wanasem kuna Majin mazur na mabaya ndo maana wanaenda ivy so tuwaelewe tu jamn kikubwa wanajitaid kutufikishiya ujumb Kwa jamii

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 3 หลายเดือนก่อน +3

    Siku ile Jojo alisema hamjui jina Ramso. Leo anamwita wakati hata hajauliza jina. Makosa madogo madogo kama haya muwe makini.

  • @jescamussa4962
    @jescamussa4962 3 หลายเดือนก่อน +1

    Good job

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safiii

  • @AminaBakari-oy9eb
    @AminaBakari-oy9eb 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤😊😊

  • @YasithaEdward
    @YasithaEdward 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nilimms kumuona naomi❤❤

  • @CelinaKimu
    @CelinaKimu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mbona ep ya 10 sijapata nawapenda sana

  • @DivanGidion
    @DivanGidion 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤

  • @ميريم-ط1س
    @ميريم-ط1س 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ila mchungaji karibu aingie box ale kondoo wake 😂😂nawapenda sana big hugs

  • @VirginiaGoro-p6m
    @VirginiaGoro-p6m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ww shetani nini unaambia mchungaji 😂😂😂😂😂

  • @mtatirowarioba3337
    @mtatirowarioba3337 3 หลายเดือนก่อน

    Good work team comedy plus hongereni munafika mbali sana 💞

  • @neemakibibi9968
    @neemakibibi9968 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mm niwamweshoo

  • @dominomchau7136
    @dominomchau7136 3 หลายเดือนก่อน +2

    Naomi anajua Sana aisee

  • @Kijavaa_jr
    @Kijavaa_jr 3 หลายเดือนก่อน

    KaZ nzuri

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi tamu

  • @ChristineNasambuWekesa-is9qx
    @ChristineNasambuWekesa-is9qx 3 หลายเดือนก่อน

    Good job...watching from kenya

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 3 หลายเดือนก่อน

    Jojo napenda kaz yko we mtt unajua❤❤

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli imetupasa tuwe imara sana katika wokovu maana shetani yuko na kasi sana ila imani isiyotingisika ndio nguzo ya ushindi wetu ss

  • @SibijaliLim
    @SibijaliLim 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sijuwi hata niseme nini ira nduguzangu tuzidishe ibada kwel maan apa tunaamushwa 😢

  • @mwachilungotsimba141
    @mwachilungotsimba141 3 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉❤❤

  • @ErickJohn-mm1cm
    @ErickJohn-mm1cm 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu ndio Kila kitu ktk maisha ya mwanadam