Yes ile sound isee nilkuwa najiulza how abibad make it sawa namkubal na ni mkalii ila ile imeenda extra kidgo big up kwa big P majan touch zake ni majan tu ndio anazo
Oyaa Lilommy sijui kama unasoma hii na watu wangu wa 254 naamini mtaniunga mkono kwa hii, watangazaji wa kenya hawana akili wengi wao, interviews ni za kishenzi utapata wengi wanazungumzia ngono tu.
Kama baada ya interview hii Umeenda kuitazama video Ya wewe endelea tu gonga like kwa mwana FA
This one is fabulous. FA n Lilomy having the best interview. FA is a real lyrics master
Watu makini wakikaa vitu makini huongeleka 💓🤝
kuna wasanii ambao wakikaa kwenye interview ninawalaelewa sana, Mwana FA, Professor Jay, Jay moe na AY ninawakubali sana. Lilommy unaweza sana bro
The chemistry between Ommy n Binamu is dopest...Mwana hafungii na kuepuka.. #Legacy!
Mwana Fa napenda interviews zako.. LilOmmy ahsante sana King of Interviews
Much love lilommy interview mzuri natamani isiishe yani,big up hamisi a.k.a FA.love from zanzibar.
Yes ile sound isee nilkuwa najiulza how abibad make it sawa namkubal na ni mkalii ila ile imeenda extra kidgo big up kwa big P majan touch zake ni majan tu ndio anazo
hii interview sitaman iishe presenter mnyamaa guest mnyamaa falsafaaaa likewise dope interview
Big up sana #MwanaFA and #TheKingOfTheBestInterview crew🙌🙌🙌
#KIBOKOYANGU FT #ALIKING ONE OF THE BEST SONG🙌🙌🙌
unapita mule mule mwangu ramsey, kiboko yangu all time ni nyimbo yangu bora
Lil ommy upo vizuri kwenye interview pia napenda unavyofatilia mziki na mistari eti dakika ya pili sekunde ya nane
Lilommy nakukubali pia mwambie FA SALUTY KWAKE ANANIFUNDISHA SANAA KWENYE KISWAHILI HATARY
wa kwanza, kama unamkubali FALSAFA bonyeza kitufe cha like
Hata usingezungumza bro mm ningeingia kichwan mwako kwa maelezo ya tshet yko hyo mesej hapo daah we sio king wewe ni teacher like a krs one
Kichwa kimeja madini nakukubal Mwana FA among of very very powerful MC in Tz this guy is genius man whether you like or not
Nakubali sana mweshmiwa mwana fa kama vile hajasoma kaongea kiswahili chenyewe sasa wameishia njiani sasa ni😴😴😴😴
Mzee wa kushuka nazo #Fa ft mzee wa kuchimba #LiliOmmy noma Sana'a
brooh your are really king ov interview keep it up broh falsafaa mtu mbaaaaaad sana madini Kama yoteee
Half man half amazing.... Yaan FA amekomaa sana.. Show ya kibabe 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦
Fa wewe ni mtu wa pekee sana kwenye jamii hufanyi burudani tu bali unanyoosha na kurekebisha pia jamii
Mwana fa ni shabiki sana wa Nas Jayz na fabulous
Namkubali sana #mwanaFa kwenye freestyle anamaliza 💥
Dah Lily wewe n tatizo mjombaaa
U can.....
Half man half amazing na mwna falsafa🔥🔥🔥🔥🔥
Nice interview#kizazi sana
Kisasi kisikufanye kuwa ndo kazi yamoto sana iyoo
Ata mi napnd Kiboko yao kbs
Msanii wang bora wa mda wote,big boY
fa, fa, fa... mr old
Nimeisubiria hatimaye hii hapa part 2
Wapili kuangalia cham la wana gong like
@linex kasema ivo ivo lazima watu wabaki kwa password zao ,mambo yatakuwa fresh #still OG
hata kusikiliza 2 ni burudani yani unasuuzika na unaongeza siku za kuishi pia unajifunza vitu ningi mno bgb fa kaza zaid yahapo
#lilommy kills me when he says mi ni KingofInterviews 😉 yes you are
Oyaa Lilommy sijui kama unasoma hii na watu wangu wa 254 naamini mtaniunga mkono kwa hii, watangazaji wa kenya hawana akili wengi wao, interviews ni za kishenzi utapata wengi wanazungumzia ngono tu.
yes fa hebu fanya utakavyo weza ifike moshi hio fyn
unyama
Kweli kabisa maana hi t-shirt umerudia ulishaivaa kweny interview ya XXL clouds fm hau deal na vitu vidogo bro
Yalaiti ndo mpango mzima
F/A I like you brother
FA nakuelewasana tena ukiwa kwenye kipindi bola cha lili om baada ya miladi Ayo ninyinyi apo maswali Yaakili
Jamani jamani ww m2 mm sijawai kuku chokagaaaaa
Nilisubir sana
Nini
Nakuelewa sana F A
Nice interview
Kizaz sana
Mbona hutoi wimbo na Ay tena
It's like Jay Z is your mentor.
Upo hapo yupo na Ay
uyujamaa kiboko
Fa
FA ni Msanii ambae sijawahi kumsahau tangu Ingekua vipi?
Hata mim8 mnoko mnoko kwelii siwezi kuruhusu bint aolewe na hao jamaaa
Common men ,nadeal na vitu vikubwa .
🔥
Akil nying
Kichwa madini
Shilole kasha maliza ckuhz watu mnmtabaka wasanii wnogopa kwenda wasafi media kufanya intvw wataacha kusaportiwa 'na chapaaaaaa clouds
huyo msanii anayemsemea FA mwenye punchlines halafu wimbo hauna content ni Stamina
😁😁
Ni fid q
😂😂😂😂 kweli bro
nakukubal saaaaaana FA
Nakubal
Ww “yalaiti” ni nyoko na nusu
0:09 lol
B!