Dakika 10 za maangamizi - Yededee

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ต.ค. 2024
  • #Dakika10ZaMaangamizi #EastAfricaRadio
    Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

ความคิดเห็น • 272

  • @layzee255
    @layzee255 3 ปีที่แล้ว +68

    Wanaosema ANAJUA waweke liki apaaaaaaaa

    • @ruralhunter255
      @ruralhunter255 3 ปีที่แล้ว

      Yededeeeee

    • @marshallaydin6673
      @marshallaydin6673 3 ปีที่แล้ว

      You prolly dont care but if you're stoned like me during the covid times then you can watch all the new movies and series on InstaFlixxer. I've been binge watching with my gf recently =)

    • @yaelwallace8965
      @yaelwallace8965 3 ปีที่แล้ว

      @Marshall Aydin yea, I've been watching on instaflixxer for months myself :D

  • @camillomakongwa8308
    @camillomakongwa8308 3 ปีที่แล้ว +32

    Huyu mwamba hapana asee!! ni wa motoo🔥🔥 apewe freestyle battle na kado kitengo tuenjoy mziki mzuri wa Hip hop🔥🔥

  • @adamdanielycharles3397
    @adamdanielycharles3397 3 ปีที่แล้ว +15

    Bongo wapo wachache wenye uwezo kama huu
    Respect yededee

  • @losserianchristopher8292
    @losserianchristopher8292 3 ปีที่แล้ว +40

    Kama Umesikia Sound kama Ya "Ngwear" Nipe tano

    • @nyakaboy4134
      @nyakaboy4134 3 ปีที่แล้ว

      😁😁😁tisha sana uyu bwana

  • @tanbasgang2985
    @tanbasgang2985 2 ปีที่แล้ว +4

    Am from kenya plz tunataka yededee arudi tena tafadhali,🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mbugionlinetv3114
    @mbugionlinetv3114 3 ปีที่แล้ว +6

    Jamaa anamauwezo wekeni battle lake na TOIXC FUVU yule mchiizi mweupe upe mgumu

  • @g-mystic_ke
    @g-mystic_ke 3 ปีที่แล้ว +23

    Number one Kenyan fan of 10 za maangamizi
    Huyu mwana hatari 🔥

    • @madbabu2596
      @madbabu2596 3 ปีที่แล้ว +1

      Kenya tuko wengi

    • @tigre8915
      @tigre8915 3 ปีที่แล้ว

      Nko ninda

    • @Ekitelaj
      @Ekitelaj 11 หลายเดือนก่อน

      Tupo tupo tu

  • @ylace4tune
    @ylace4tune 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yededee ako sawa kabisa bana cool and nice rap

  • @salaita2829
    @salaita2829 3 หลายเดือนก่อน +2

    Thats hip hop anaflow bila kutumia hasira wala nguvu

  • @khalipharashidy6213
    @khalipharashidy6213 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamaa anajua (ngwear freva)

  • @kennyruben684
    @kennyruben684 3 ปีที่แล้ว +25

    I can't Imagine life without Hip hop music

  • @nanaafofie5373
    @nanaafofie5373 3 ปีที่แล้ว +7

    Waaagwaaaan💪, chaliii kauwa kinoma Kama angekua rais ningempa tano tena asitoke madarakani, snake 🔥🔥🔥 noma sana,

  • @regankeresi6410
    @regankeresi6410 3 ปีที่แล้ว +3

    Daaah huyu msenge anajuaaa sio poa ana swag na beat kinoma

  • @arnoldmwaisaka8459
    @arnoldmwaisaka8459 2 ปีที่แล้ว +3

    Respect Yededee 👌🏾, umetisha mkali

  • @phabianpiter3877
    @phabianpiter3877 3 ปีที่แล้ว +2

    Toka chuga hapa mzee yededee mwana pamoko sanaa unaweza kishenzi big up sanaa mwamba

  • @perokuyoung8755
    @perokuyoung8755 3 ปีที่แล้ว +6

    Freeestyl mwanzoo mwengaaa aminiaaa sanaaa big up a town

  • @quincychiti7020
    @quincychiti7020 3 ปีที่แล้ว +3

    Kilichobaki ni kukaza kwenye gemu yededee uko vizuri talent ipo vizuri inabidi umeandika sana ndio ushapata shavu mashabiki twataka vitu vipya kila dakika big up bro upo vizuri ila kaza sana utafika mbali

  • @nanaafofie5373
    @nanaafofie5373 3 ปีที่แล้ว +17

    Huwezi amini kila akiimba namkumbuka sana gwear jamani 😭😭😭 R,I, p magwear🙏

    • @wilsonmpollo1613
      @wilsonmpollo1613 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu ngwea alikuwa mtu mwingine oooo💔

  • @mosesleonard8104
    @mosesleonard8104 3 ปีที่แล้ว +18

    Kichwa cha chini nacho kimeumbwa na udongo ? 😂😂👂👂

  • @blackmantz3050
    @blackmantz3050 2 ปีที่แล้ว +1

    mshuwa unyama sana kaweza

  • @SakyD4261
    @SakyD4261 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni 👉💥💥🔥🔥

  • @hyasintndimbo2998
    @hyasintndimbo2998 3 ปีที่แล้ว +19

    Mi wa kwanzA leo, 15/03/2021🤙🇹🇿, nipeni like JAMANI ata 100 hivi,

  • @sinaivaladega8291
    @sinaivaladega8291 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa mkali htaimba nyimbo yak ht kidg mwanz mwsh ni free syres

  • @simonkiba7228
    @simonkiba7228 หลายเดือนก่อน +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @ruralhunter255
    @ruralhunter255 3 ปีที่แล้ว +3

    Kama unakubaliana na mm kuwa jamaa katishaa sema yededee

  • @swalahbarriye5922
    @swalahbarriye5922 3 ปีที่แล้ว +10

    Ungalimiii moko jooh snake🔥🔥

  • @flova7022
    @flova7022 3 ปีที่แล้ว +2

    Aiseee fredooor...nimefurahi Sana kukuona e.a radio flova hapa njombe mojaaa.. aiseee. Bless Sana kaka

  • @hamxochagaboy8816
    @hamxochagaboy8816 2 ปีที่แล้ว +2

    Mkali mpka basi😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️

  • @waziriamiri877
    @waziriamiri877 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakubaaaaaaaaali mwanangu umetisha mno 💥💥💥💥💥

  • @abigailkighombe1960
    @abigailkighombe1960 3 ปีที่แล้ว +4

    Da #Ngwea madze..Freestyle in Free Free

  • @directorpizzoh9850
    @directorpizzoh9850 3 ปีที่แล้ว +5

    Baba umeuwa mm naamini kipaji chako sasa wamlete rapper wanaemwaminiaaa 😣

  • @hoseahaule4885
    @hoseahaule4885 3 ปีที่แล้ว +6

    Dah mwamba ni next level Anajua sana 💥

  • @jaywaynerich4005
    @jaywaynerich4005 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥

  • @josephrichard241
    @josephrichard241 หลายเดือนก่อน

    big up broooo yededeeeeeeehhh

  • @davidjustus7411
    @davidjustus7411 3 ปีที่แล้ว +3

    Uyu dogo ni motoooooo..apatane na kaa la moto from kenya waue beat

  • @divesurass7027
    @divesurass7027 3 ปีที่แล้ว +2

    Yedede to the world, baba punch za kwenda

  • @maukilah8680
    @maukilah8680 9 หลายเดือนก่อน +1

    Yededee

  • @Zwangendaba97
    @Zwangendaba97 5 หลายเดือนก่อน +1

    Respect

  • @wilsonimtui7340
    @wilsonimtui7340 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni yededeeeeee from Chuggastan ogjooooooo

  • @SIMULIZIZONE
    @SIMULIZIZONE 3 ปีที่แล้ว +2

    Yedeedee

  • @piusmbaule1502
    @piusmbaule1502 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hatariiiiii

  • @qassimislam5291
    @qassimislam5291 2 ปีที่แล้ว +1

    mmh Ngwea Part 2

  • @brianjames385
    @brianjames385 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anajua hadi anaboa ,izo freestyle so poa bless San yadedeee@awotee

  • @ramadhanjuma9103
    @ramadhanjuma9103 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamaaa ananata na biti kinoma * umekula cheni au

  • @pedelamapede7186
    @pedelamapede7186 3 ปีที่แล้ว +2

    Unyamaaa jamaa anajua

  • @niitefreeman7057
    @niitefreeman7057 2 ปีที่แล้ว +3

    I like this performance,,,yedede🏝️🏝️

  • @djgoldbar
    @djgoldbar 3 ปีที่แล้ว +8

    King of freestyle this superstar Dede.

  • @DiveDevi-jz3zf
    @DiveDevi-jz3zf 2 หลายเดือนก่อน +1

    Chuga akunaga mshamba

  • @jumamwandai3941
    @jumamwandai3941 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 Uyu jamaa ni Moto asee

  • @auntiwakazi6152
    @auntiwakazi6152 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani yededee we ninoma zaidi ya noma

  • @godfreymahavile4688
    @godfreymahavile4688 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyuuuu jamaaa ni nouma aiseee dah!!

  • @zedsimion7505
    @zedsimion7505 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nikwerekwechee

  • @magigebarakah9129
    @magigebarakah9129 3 ปีที่แล้ว +3

    Ungalimiii mchizi ya nyokaa yuko on fire Sanaa, nipe like tusepe

  • @j-lisheonline
    @j-lisheonline 3 ปีที่แล้ว +7

    Watu wengine haina haja ya kung'ang'ania kuwapa dakika kumi ambazo siyo size yao,mkishaona mwana km huyu mpeni hata dakika mia hadi atakapochoka mwenyewe

  • @lusinderichard6104
    @lusinderichard6104 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakubali man yededee

  • @ArexMichael
    @ArexMichael ปีที่แล้ว +1

    Nakubali

  • @casablancastudioarusha775
    @casablancastudioarusha775 10 หลายเดือนก่อน +1

    Noma sana Yedede

  • @issasharifu393
    @issasharifu393 3 ปีที่แล้ว

    We.... Muhuni atar na nuxu . Unajua sana 🔥🔥🔥 Umenikumbuxha ngwear

  • @jacksotz6082
    @jacksotz6082 3 ปีที่แล้ว +5

    Daah anajua asee freestyle mwanzo mwisho 💪💪

  • @realyoungchuda3671
    @realyoungchuda3671 3 ปีที่แล้ว +17

    R. I. P Albert Mangweaah daaaah 😢😢

  • @mjuba
    @mjuba 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwana kauwa kichiziiiiiii 🔥🔥🔥🔥

  • @FranklinNyaberi
    @FranklinNyaberi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mzukaa

  • @xxxvibeochili5661
    @xxxvibeochili5661 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa anajua sana

  • @panjumitindo1135
    @panjumitindo1135 3 ปีที่แล้ว +4

    Appreciate Kwa Alichokifanya Sio Mbaya Ni Good Next Time Tunaomba Mtulete Jamaa Mmoja Ivi Anaitwa #DavanTrappe
    #HipHop4rever
    #ShabikiEmcee
    #PlanetBongoDakiki10ZaMaangamizi4rever

  • @antonynyerere4347
    @antonynyerere4347 3 ปีที่แล้ว +3

    Mbn sound iko deep sanaaa

  • @josephmrosso7781
    @josephmrosso7781 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa noma sanaaaa, Namuona king of freestyle Kama ngwair vile.

  • @Edgar254thekritik
    @Edgar254thekritik 2 ปีที่แล้ว +1

    Reeeeeeeeeespek...... Kenya nimekutambua

  • @anduleedwin727
    @anduleedwin727 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa daaah anajua sana sana kwa freestyle....

  • @mrishoyahya3075
    @mrishoyahya3075 3 ปีที่แล้ว +3

    Kizaz sana yededee💪

  • @hamisitambueni3101
    @hamisitambueni3101 3 ปีที่แล้ว +2

    Tisha mzee mtaalam w kuswitch

  • @mohamedchundu801
    @mohamedchundu801 3 ปีที่แล้ว +4

    Uliyedislike hii michano una ubongo mwepesi nenda ukasikilize taarab ta😂😂

  • @Bongo_gossip
    @Bongo_gossip 3 ปีที่แล้ว +1

    Chumaaaaa anamotooo sema wamebaki wachachee sana

  • @malotakinana
    @malotakinana 3 ปีที่แล้ว

    yededee ni jini kwenye beatkill,...umeua

  • @hafidhisalumu2000
    @hafidhisalumu2000 3 ปีที่แล้ว +2

    chuga man umetishaaaaaa bro

  • @ramadhanjuma9103
    @ramadhanjuma9103 3 ปีที่แล้ว +2

    Tishaaaaa sanaaaa Yededeee

  • @MussaRamadhani-ih1vt
    @MussaRamadhani-ih1vt ปีที่แล้ว

    Jamaa noma katoka chugs kbsa

  • @moreswagger3812
    @moreswagger3812 10 หลายเดือนก่อน +1

    more than danger..

  • @josephmasai8175
    @josephmasai8175 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana bro chuga moko pamoko

  • @geofreyjohn1099
    @geofreyjohn1099 3 ปีที่แล้ว

    Hatar xana yededeee kaua ....ntakualika mzee💥💥

  • @cellestinelucas165
    @cellestinelucas165 ปีที่แล้ว

    😁😁yeyede kama mangwea

  • @pazothegreat542
    @pazothegreat542 3 ปีที่แล้ว +4

    More bless rasta #snakefire

  • @husseinyusuph5458
    @husseinyusuph5458 3 ปีที่แล้ว

    Jamaa hana yoo yoo nyingi ni mnoma kabisa

  • @ErickPallangyo-i5c
    @ErickPallangyo-i5c ปีที่แล้ว +1

    👌💥💥

  • @sankaratamaduni577
    @sankaratamaduni577 3 ปีที่แล้ว +1

    Yede umetisha unajua💥💥

  • @cellestinelucas165
    @cellestinelucas165 ปีที่แล้ว +1

    apewe freestyle na toxic

  • @universal2543
    @universal2543 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna mkali ashai kuja apa Kama uyu jamaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @erickmziray9708
    @erickmziray9708 3 ปีที่แล้ว +3

    Ngwair ajaye

  • @mweupeclassic1802
    @mweupeclassic1802 3 ปีที่แล้ว +1

    Noma sanaaa anajua kinoma yani🔥🔥🔥🔥

  • @yusufusule1856
    @yusufusule1856 3 ปีที่แล้ว

    Mhhhh mzeee atali na nusu nomaaa kabisaaa

  • @alostipersephjoo3701
    @alostipersephjoo3701 3 ปีที่แล้ว

    Yedede rudi tenaa ukoo fresh

  • @kawimmullah
    @kawimmullah 3 ปีที่แล้ว

    toka 254 nimemkubalii....Yededeeee...

  • @tornadomkibirizi4855
    @tornadomkibirizi4855 3 ปีที่แล้ว +2

    Namuona mangwea hv au vp wanyamweziiiii

  • @auntiwakazi6152
    @auntiwakazi6152 3 ปีที่แล้ว

    Ivi nani kamuelewa yededee kama mimi

  • @jacksonndire9351
    @jacksonndire9351 3 ปีที่แล้ว +2

    Big up...Yededeee👊👊👊

  • @amapiaanocityintz6454
    @amapiaanocityintz6454 3 ปีที่แล้ว +2

    Tunataka abattle na kado kitendo kwa maana huyu jamaa ni motoooo

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 3 ปีที่แล้ว +2

    Oyaaa huyu ana DNA za ngwea

  • @mwinyimatopa2283
    @mwinyimatopa2283 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 bwhoooow

  • @jamesmugala8944
    @jamesmugala8944 3 ปีที่แล้ว +1

    Jahma mkali saana burn the 🔥🔥 fire bro keep it up

  • @iddyomary213
    @iddyomary213 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali mdogooo snake fireeeeee

  • @keijoodehustla3259
    @keijoodehustla3259 3 ปีที่แล้ว

    jamaa yuko vizuri kichwani aisee