VIDEO: TAZAMA BARABARA INAYOZUNGUKA DODOMA PANDE ZOTE NNE YA BILIONI 194

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 เม.ย. 2023

ความคิดเห็น • 34

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว +8

    Asante mama yetu, Mhe dk Samia Rais wetu, mungu akutunze sana

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ ปีที่แล้ว +6

    Mwenyezi azid kumpa nguvu,afya na umri mrefu Rais wetu SSH

  • @user-tv8ub4fk5i
    @user-tv8ub4fk5i 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante mama,ww ni shujaa Mungu azidi kukuongoza vema siku moja utupatie kadi za bank tukadownload mafao yetu tuliyochuma pamoja

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema ปีที่แล้ว +6

    Hapo naona Fursa ya kununua Viwanja mapema sana katika hizo Barabara. Ntashangaa sana kuona Vijana tunaenda kununua Viwanja Jiji la Dar es Salaam kwa bei ya Gharama kubwa na kuacha Viwanja vya Bei Nafuu katika Jiji la Dodoma. Tanzania Imara Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿

    • @kelvinmoses5232
      @kelvinmoses5232 ปีที่แล้ว +1

      Great point 🇹🇿🇹🇿

    • @saidihussein6718
      @saidihussein6718 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha

    • @paschazianestorymatunda6490
      @paschazianestorymatunda6490 8 หลายเดือนก่อน +1

      Huu mradi ulikuwa Wa magufuli, Ni ring roads but nashukuru Sana Mama Samia anakutelekeza vizuri pongi kwake mama tunashukuru Sana unatujali Wana dodoma

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว +5

    Sisi watu wa Dodoma tunajivunia wewe, Kwa kutujali tulipokuwa tumesahauliwa, mungu akukumbuke na kizazi chako

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana mh samia unafanya vzr sana na utaushangaza ulimwengu.

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 9 หลายเดือนก่อน +1

    Halafu mseme mama hafanyi kazi miradi imesimama yaani sisi watanzania hatuna shukrani tumejawa na chuki udini ukanda na ukabila ndio kinacho tutafuna!!! Mama samia piga kazi acha wapumbavu walalamike watakuelewa tu

  • @abedomar5183
    @abedomar5183 ปีที่แล้ว +5

    Great job hivi ndo tunataka makao makuu ya nchi lazima yawe mfano kwa Tanzania

  • @user-tv8ub4fk5i
    @user-tv8ub4fk5i 6 หลายเดือนก่อน +1

    Barbara safi na imara Dodoma very good

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale ปีที่แล้ว +5

    Huku mtandaoni tunasema hakuna kinachoendelea. Kila kitu kimesimama! Sisi TZ tulio wengi ni WACHAWI!

    • @paschazianestorymatunda6490
      @paschazianestorymatunda6490 8 หลายเดือนก่อน +1

      Bora umelioma Ni kwamba mama Hana majigambo, imagine Ni mradi aliplan magufuli alafu mama kaja kuutekeleza kuanzia mwazo mpaka itaisha kama Mungu akipenda.

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 8 หลายเดือนก่อน

      @@paschazianestorymatunda6490 Kwa kweli!

  • @salummpikita2856
    @salummpikita2856 ปีที่แล้ว +4

    Shukran sana mama na samiha

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 ปีที่แล้ว +2

    Hakikisheni mnaimaliza hiyo kazi kwa wakati uliopangwa;
    Tuna kazi nayo sana hiyo barabara

  • @peterrogathe5756
    @peterrogathe5756 8 หลายเดือนก่อน

    Thanks Magufuli

  • @hassankurwa464
    @hassankurwa464 ปีที่แล้ว +3

    Feature ya mwenye maono ya Makao Makuu kuhamia Dodoma na aliye thubutu kuhamisha Makao Makuu Dodoma

    • @venancemiyeji6804
      @venancemiyeji6804 ปีที่แล้ว

      hii ni miradi ya JPM so huyu yeye akamilisha tu malengo na mikakati aliotuachia sasa hapo machawa watasema mama kaupiga mwingi upi unajiuliza kipi ambacho kafanya kipya zaidi tu kukamilisha yale aliyoyaacha mpendwa wetu

    • @jambo3751
      @jambo3751 11 หลายเดือนก่อน

      @@venancemiyeji6804 kwahiyo Mama SAMIA ilikuwa aipuuze hiyo miradi asiiendeleze ili serikali ipate hasara!
      Halafu hii si miradi ya mtu binafsi bali ni miradi ya serikali.Rais yoyote yule alieko madarakani ndio msimamizi wa mambo ya nchi na ni jukumu lake kufanya hivyo.

  • @rwechunguraissa1394
    @rwechunguraissa1394 ปีที่แล้ว +1

    Ni wajibu kidini kwa viongozi kuwa WAAMINIFU na waadilifu kwa raia wao na nchi zao.

  • @mshindimshindi9120
    @mshindimshindi9120 ปีที่แล้ว +1

    Mnafanya vizuri ila natamani kama serikali ingekuwa serious sana kwenye uwekezaji mkubwa kwenye kilimo cha umwagiliaji na baadaye viwanda.

    • @paschazianestorymatunda6490
      @paschazianestorymatunda6490 8 หลายเดือนก่อน

      Kwanza tuache kutumia viambata sumu katika kilimo hiyo ndo sera YA msingi alafu ndo mengine yafuate.

  • @ndilibangokaruhawe9335
    @ndilibangokaruhawe9335 ปีที่แล้ว

    Bunge litunge sheria kuzuia kuifuata balabala kujenga nyumba karibu na balala hio kujenga iwe mita 500 kutoka wa balabala isiwe Kama Arusha by pas load na maeneo mengine

  • @saidimandala8342
    @saidimandala8342 ปีที่แล้ว

    HII inawezekana ikawa barabara ya njia nane...😄

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว

    Isijekua amesaini mikataba tuu mashoga wakawa wengi

  • @aoloathumani10
    @aoloathumani10 10 หลายเดือนก่อน

    Hiv jaman toka tulipoanza kujenga barabara toka tulipopata uhuru ni kwamba bado wasomi wetu hawaja jifunza jinsi ya kujenga hizi barabara, iweje kila siku katika miradi hii ambayo ni ya kawida wanapewa wageni, kama tatizo ni mitambo ni kwanini serikali isinunue mitambo yake ikawapa mainjinia wetu, yaan iwe kampuni mfano Tanzania civil engineering kama ilivo China civil engineering, ili miradi yote ya barabara, majengo, madaraja, viwanja vya ndege, mabwawa ya umeme ipewe iyo kampuni ya tanzania ili kupunguza utegemezi wa mafundi toka nje, na gharama pia lakini pia kutoa ajira kwa watu wetu

    • @paschazianestorymatunda6490
      @paschazianestorymatunda6490 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wengi wakijenga wanalipua kipindi cha magufuli alijaribu Sana kuwapa Ila wengi walikuwa Wana lipua. Barabara.

  • @salumbujjo2320
    @salumbujjo2320 ปีที่แล้ว +1

    Cha kushangaza utakuta wanajenga single hiyo barabara baada ya kujenga za kupishana kutokana na ongezeko la watu na matumizi ya barabara

    • @venancebasil4656
      @venancebasil4656 ปีที่แล้ว +1

      Na mitaro yao wazi yajaa takataka bila drainages mvua zikinyesha barabara na shamba hamna utofauti

    • @triplea3463
      @triplea3463 ปีที่แล้ว +2

      Umeangalia vizuri huo upana wa barabara haiwezekani 2lane iwe hivyo hio ni 4lane mbili kwenda mbili kurudi

    • @paschazianestorymatunda6490
      @paschazianestorymatunda6490 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hizo Ni barabara Kwa ajiri YA magari makubwa Na Sio magari madogo, magari yanayotoka Dar, moro, kwenda singida, au Arusha n.k hayakuwa yanapita katikati YA mji Bali Kupitia hizo barabara ili kuepusha msongamano Wa magari Na ajali

  • @nyarinkya6102
    @nyarinkya6102 ปีที่แล้ว

    Shida mchina tu