BODI YA USHAURI YA TANROADS YATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE MSALATO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 14

  • @KELVINSOSPETER
    @KELVINSOSPETER 11 หลายเดือนก่อน

    Ongereni kazi iendelee

  • @LuckyMusyki
    @LuckyMusyki 11 หลายเดือนก่อน +3

    Wasenge nyinyi badala mjenge uwanja mkubwa tena mnajenga ndogo ndio baadae munabomboa ati kupanua ,

  • @uledimtumwa2406
    @uledimtumwa2406 11 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani hii Nchi imepoteza muelekeo.Mwaka 1976 tumejenga Airport Dar ya kuudumia Abiria 1.5million. Leo 2024 mnajenga Airport mpya yakuhudumia Abiria 1million!!???.Shame on you.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mnawapotezea muda wahandisi kukagua mara kwa mara

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 11 หลายเดือนก่อน +3

    Uwanja huu utakuwa na uwezo wa wa abiria milion 1 kwa mwaka na ni makao makuu ya Nchi. Rwanda imejenga uwanja wenye uwezo wa abiria milion 10 kwa mwaka na Ethiopia imejenga uwanja wenye uwezo wa Abiria mili 30 kwa mwaka. Hivi Tanzania inaelekea mbele au nyuma? Jibu taadhali..

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 11 หลายเดือนก่อน

      Huwa inategemea malengo ya ujenzi. Tanzania tumepiga hatua kubwa sana kwenye ujenzi wa viwanja vya ndege ukilinganisha na nchi nyingine Africa

    • @edwinnanyaro6717
      @edwinnanyaro6717 10 หลายเดือนก่อน

      Hivi hao abiria milioni 10 wanafuata nini Rwanda?...lkn kumbuka uwanja unajegwa kwa awamu...afu uwanja wa Rwanda unajengwa na wawekezaji kwa maslahi yao ya kibiashara...huhitaji likiwanja limoja likubwa...unahitaji matandao wa viwanja vya wastani...maeneo mengi nchini kama inavyofanyika sasa...tusiwe watu wa kukosoa kila kitu...tujivunie kuwa tunapiga hatua...

    • @namaraalexmbeikya1491
      @namaraalexmbeikya1491 10 หลายเดือนก่อน +1

      Rwanda wanafika 10M sababu n transport hub wana ubia na Qatar Airways, hata Ethiopia abiria wao wengi si wa kwenda Ethiopia, ni wa Transit tu, wanapita.
      Sasa dodoma watatoa wapi hao abiria?

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 10 หลายเดือนก่อน

    ONGEZEN UPANA UO NDEGE ITUE YA UKUBWA WOWOTE

  • @Gregoiresidehustle
    @Gregoiresidehustle 11 หลายเดือนก่อน

    uwanja wa ndege wa kigoma nao lini?

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 11 หลายเดือนก่อน

    Wafanyakazi wachache

  • @jeremiahkeko7618
    @jeremiahkeko7618 11 หลายเดือนก่อน

    Sio mnakagua tu uwanja muitanue Io njia kuu kutoka morogoro kuja kwenye stendi ya mkoa nane nane ama ama kutoka bungeni had nane nane njia ni nyembamba na yazamam ya ni ibadilishwe iwe njia nne

    • @Optionxll_Playz1
      @Optionxll_Playz1 11 หลายเดือนก่อน

      Pia wangejenga train kutoka mjini kwenda uwanja WA ndenge.