MAPISHI TV
MAPISHI TV
  • 56
  • 207 910
Tumejaribu recipe rahisi ya croissants🥐🥐! Matokeo yatakufurahisha😃
Unga vikombe 4
Siagi ya donge vijiko 2
Siagi ya kupata tabaki iwe ya kutosha
Mayai 2
Sukari vijiko vikubwa 4
Chumvi robotatu ya kijiko kikubwa
Hamra kijiko 1 kikubwa
Maziwa 200ml
มุมมอง: 64

วีดีโอ

CHAPATI ZA KIMATAIFA-BINGWA WA CHAPATI ZA MTAANI HUYU HAPA
มุมมอง 4522 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mapishi ya chapati katima mitaa ya jiji la Dar es salaam. Street food in Tanzania
Jinsi ya kupika Pilau la kuku wa kizungu lenye ladha nzuri sana
มุมมอง 4989 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Pika pilau la kuku wa kizingu hivi. Mahitaji Mapaja au kuku wa kizungu mzima 1kg Basmati vikombe 3 Supu vikombe 3 Mafuta Viungo vya pilau Coriander nzima Uzile mzima (binzari nyembamba) Pilipili manga nzima Majani ya Bayleaves Chumvi Kitunguu swaumu Star anise 1 Tangawizi mbichi Pilau masala vijiko vidogo 2
ACHANA NA CHIPS, UTAMU UKO HAPA (MBATATA ZA MAYONNAISE)
มุมมอง 61914 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Karibu tunapika mbatata za Mayonnaise. Mbatata 2 kg Viungo vya sosi ya viazi: Mayonnaise Ketchup Chumvi Pilipili hoho ya unga Kitunguu thoum cha unga Pilipili manga ya unga Mafuta ya kupikia Curry powder Limao
Mafunzo ya majina ya mbogamboga na matunda kwa Kiswahili* Malezi ya watoto wa Kiswahili diaspora
มุมมอง 14721 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Tunajifunza majina ya mbogamboga na matunda.
Jinsi ya kupika skonzi laini na tamu za biashara au nyumbani
มุมมอง 419วันที่ผ่านมา
Leo napika mikate (skonzi) laini sana. (Bread rolls) Unga 750-800g Siagi (butter) vijiko 2 Mafuta vijiko vikubwa 2 Hamira kijiko kikubwa 1.5 ( au kidonge 1) Mayai 2 Maziwa 300ml Chumvi kijiko 1 kikubwa
Jinsi ya kupika dagaa kavu
มุมมอง 507วันที่ผ่านมา
Karibu napika dagaa. Mahitaji ni: Dagaa mchele waliokaushwa Nyanya Kituu Limao Chumvi Paprika ya paste Paprika ya kijani Mafuta Kitunguu thoum na tangawizi Maji kidogo
Jinsi ya kutengeneza viungo vya Chai nyumbani na kupika chai ya maziwa (Chai Masala)
มุมมอง 1.1K21 วันที่ผ่านมา
Namna ya kutengeneza viungo vya chai (tea masala) Mahitaji: Mbadalasini mzima Hiliki nzima Nanaa(Mint) fresh Karafuu Star anise Tangawizi Upishi wa chai Chai masala Tangawizi ya unga au fresh Majani ya chai Shukari
Jinsi ya kupika chapati laini kwa muda mfupi
มุมมอง 3.5K21 วันที่ผ่านมา
Mapishi ya chapati kwa urahisi sana Mahitaji Unga vikombe 4 Maziwa kikombe 1 Maji nusu kikombe Siagi kijiko 1 cha chakula kwa kukandia Chumvi kijiko 1 cha chai Sukari kijiko 1 cha chai (si lazima) Kukunja tabaki Changanya siagi uloyeyusha na mafuta ya kupikia Kuchoma Tumia mafuta ya kupikia pekee Chapati nilipata 8
Jinsi ya kupika matembere kwa urahisi
มุมมอง 192หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika matembere rahisi sana. Mahitaji Matembere kiasi Nyanya 4 Kitunguu 1 Limao kipande 1 Chumvi Mafuta ya kupikia kiasi
JINSI YA KUPIKA VITUMBUA LAINI NA VITAMU VYA MAZIWA
มุมมอง 1.8Kหลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika vitumbua vitamu vya maziwa na yai iwa urahisi Mahitaji Mchele vikombe 2 Maziwa kikombe kimoja na robo Hamira kijiko kimoja cha chakula Hiliki kijiko kidogo 1 Yai 1 Sukari nusu kikombe Mchele wa kawaida sijatumia Basmati.
VITUMBUA VYA UNGA WA MCHELE- YAMENIKUTA JIKONI😂
มุมมอง 226หลายเดือนก่อน
Leo nimepika vitumbua na kuna jambo muhimu nataka kuwaonyesha kuhusu safari ya mapishi.
JINSI YA KUPIKA NYAMA TAMU KWA URAHISI
มุมมอง 963หลายเดือนก่อน
JINSI YA KUPIKA NYAMA TAMU KWA URAHISI
Mkate laini wa kula nyumbani au kuuza kwa biashara
มุมมอง 163หลายเดือนก่อน
Mkate laini wa kula nyumbani au kuuza kwa biashara
Jinsi ya kusonga ugali kwa urahisi
มุมมอง 591หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kusonga ugali kwa urahisi
Jinsi ya kupika Maandazi laini kwa urahisi
มุมมอง 1.7Kหลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika Maandazi laini kwa urahisi
Viungo muhimu unavyopaswa kuwa navyo jikoni kwako ndo hivi
มุมมอง 102หลายเดือนก่อน
Viungo muhimu unavyopaswa kuwa navyo jikoni kwako ndo hivi
Jinsi ya kupika pilau la kuku wa kienyeji kwa wepesi
มุมมอง 522หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika pilau la kuku wa kienyeji kwa wepesi
Jinsi ya kupika mikate laini sana bila mayai wala siagi
มุมมอง 2Kหลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika mikate laini sana bila mayai wala siagi
Jinsi ya kupika MAHARAGE ya NAZI shatashata na matamu sana
มุมมอง 415หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika MAHARAGE ya NAZI shatashata na matamu sana
SHOPPING VLOG: Vyombo vya jikoni na mahitaji muhimu ya mapishi
มุมมอง 148หลายเดือนก่อน
SHOPPING VLOG: Vyombo vya jikoni na mahitaji muhimu ya mapishi
Mapishi ya keki ya ndizi laini sanaaa (Banana bread)* haiwi kama ugali🫣
มุมมอง 285หลายเดือนก่อน
Mapishi ya keki ya ndizi laini sanaaa (Banana bread)* haiwi kama ugali🫣
Jinsi ya kupika cupcakes kwa urahisi*zinafaa kwa biashara
มุมมอง 404หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika cupcakes kwa urahisi*zinafaa kwa biashara
Jinsi ya kupika Mahamri - Maandazi ya nazi
มุมมอง 5502 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika Mahamri - Maandazi ya nazi
Jinsi ya kupika vitumbua kwa urahisi-hakuna kuweka sembe wala uji🤭
มุมมอง 1.4K2 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika vitumbua kwa urahisi-hakuna kuweka sembe wala uji🤭
Jinsi ya kupika mkate wa loaf nyumbani kwa urahisi
มุมมอง 7272 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika mkate wa loaf nyumbani kwa urahisi
Jinsi ya kupika mchicha wa nazi kwa urahisi
มุมมอง 1882 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika mchicha wa nazi kwa urahisi
Jinsi ya kupika mikate laini sana bila mayai
มุมมอง 8762 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika mikate laini sana bila mayai
Jinsi ya kupika Maandazi ya mayai na maziwa yanayokaa wiki nzima bila kuwa magumu - 6
มุมมอง 1.6K2 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya kupika Maandazi ya mayai na maziwa yanayokaa wiki nzima bila kuwa magumu - 6
Maandazi ya baking powder pekee, hakuna kuumua unapika chapchap - 5
มุมมอง 1.2K2 หลายเดือนก่อน
Maandazi ya baking powder pekee, hakuna kuumua unapika chapchap - 5

ความคิดเห็น

  • @BiubwaMuhammed-un3dt
    @BiubwaMuhammed-un3dt 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mashallh mashallh tabarakal

  • @NairatHassan-nm2dg
    @NairatHassan-nm2dg 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @khairaatdaffi5101
    @khairaatdaffi5101 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chips Masala, kuku masala na lemon chicken! MaashaAllah, darsa zako nzuri sana, toka nimeanza kukufuatilia nazidi pata ujuzi alhamdulillah!

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@khairaatdaffi5101 shukrani, tutajitahidi inshallah tutaleta

  • @Mapishi_TV
    @Mapishi_TV 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    TUPIKE NINI KINGINE NA TIMU YANGU?😂 TUANDIKIE UJUMBE HAPO CHINI🥰

  • @rahimaally6044
    @rahimaally6044 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @Amani715
    @Amani715 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    What an awesome Mother you are!

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Thank you🙏❤️

  • @SuhailaMohammed-t2o
    @SuhailaMohammed-t2o วันที่ผ่านมา

    Shukran Sana kesho lazima niingie jikoni kuyapika maana Kila nikipika hayatoki vizuri

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SuhailaMohammed-t2o karibu sana na kila la kheri ukipika

  • @zuuhjumadar2584
    @zuuhjumadar2584 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah 👌 toa recipe basi

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV วันที่ผ่านมา

      @@zuuhjumadar2584 InshaAllah siku moja ntaileta

    • @zuuhjumadar2584
      @zuuhjumadar2584 วันที่ผ่านมา

      @@Mapishi_TV lnshaAllah🙏shukran daa

  • @ISACKFREDINAND
    @ISACKFREDINAND 2 วันที่ผ่านมา

    Natamani kujua

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 2 วันที่ผ่านมา

      @@ISACKFREDINAND mafunzo ndo hayo. Fuata maelekezo kwenye video utajua.

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 2 วันที่ผ่านมา

      @@NasraIbrahim-dw1hr Asante🙏

  • @jacklinechahilu6659
    @jacklinechahilu6659 3 วันที่ผ่านมา

    Mashallah

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 3 วันที่ผ่านมา

      @@jacklinechahilu6659 🤲🤲❤️

  • @aminamakarani8425
    @aminamakarani8425 3 วันที่ผ่านมา

    Hicho kijiti kinakazi gani nami nielekeze,maana Mara nyingi najikuta naweka andazi linazama

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 3 วันที่ผ่านมา

      @@aminamakarani8425 kijiti miye binafsi huwa naona kinanipa urahisi kuyageuza hasa mawanzoni ninapoyatia kwenye mafuta. Lakini unaweza kutumia chochote ambacho kwako ni rahisi kugeuzia Maandazi.

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 3 วันที่ผ่านมา

      @@aminamakarani8425 pia andazi kuzama itakuwa labda ni zito sana au halijaumuka vizuri. Mara nyingi andazi likiumuka kabla ya kulichoma linaelea juu kama puto huwa halizami.

  • @NairatHassan-nm2dg
    @NairatHassan-nm2dg 4 วันที่ผ่านมา

    nakupenda sn Dada huna baya kila pishi lako kiukweli nihambee tyuuu👌natamani ningekuepo mezani na mm mwaya mana linaonesha tamu balaa😋😅 mashallah hongera kipenz🎉🎉🎉 mungu akubariq sn 🌹🌹🌹

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 4 วันที่ผ่านมา

      Asante my wangu. Nashukuru sana kwa comment yako.🥰🥰

  • @saidasaleh7596
    @saidasaleh7596 4 วันที่ผ่านมา

    Enjoy

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 4 วันที่ผ่านมา

      Asante🥰

  • @LeloMwacha
    @LeloMwacha 4 วันที่ผ่านมา

    Nimependa

  • @salmaalnaman7477
    @salmaalnaman7477 5 วันที่ผ่านมา

    Mimi niliwahi kufanya mdaa umepita, wala sikuvichemsha nikavitia kwenye airfryer manshallah na vikao wivaa vizuri sana na vilikuwa yammy

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 5 วันที่ผ่านมา

      @@salmaalnaman7477 maashallah. Ntajaribu na airfryer inshallah

  • @MeiyaShiney
    @MeiyaShiney 5 วันที่ผ่านมา

    Tuleteee na hii

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 5 วันที่ผ่านมา

      @@MeiyaShiney Ipo kwenye channeli tayari kitambo. Angelia utaiona

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 5 วันที่ผ่านมา

      @@MeiyaShiney Hii video yenyewe th-cam.com/video/-enWRRKCjG8/w-d-xo.html

  • @saidasaleh7596
    @saidasaleh7596 5 วันที่ผ่านมา

    Nitajribu na mie;;vinaonekana yummyyy

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 5 วันที่ผ่านมา

      @@saidasaleh7596 naam, vitamu😋

  • @lestherusitukanesanasomaam1339
    @lestherusitukanesanasomaam1339 5 วันที่ผ่านมา

    Asante Rafiki je nikifanya biaahara ni tshs ngapi

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 5 วันที่ผ่านมา

      @@lestherusitukanesanasomaam1339 sipo Tanzania hivyo sijui wanauza shilingi ngapi kwa sasa. Ulizia mitaani huko.

  • @RaimamomedSaidi-wz1yu
    @RaimamomedSaidi-wz1yu 5 วันที่ผ่านมา

    Asante ❤❤❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 5 วันที่ผ่านมา

      Shukrani🙏🙏

  • @MwanahamisiIsmail-o2l
    @MwanahamisiIsmail-o2l 6 วันที่ผ่านมา

    Nimependa iyo fresh ninini

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 6 วันที่ผ่านมา

      @@MwanahamisiIsmail-o2l hamira (yeast)

  • @saidasaleh7596
    @saidasaleh7596 8 วันที่ผ่านมา

    Masha ALLAH;; kiingreza wamejifundisha wapi.?. Shuleni?.mimi naishi England ;;lakini mimi na baba yao tunaongea kiswahili always na watoto kiswahili kwa hiyo wanongea vizuri kiswahili na wanaelewa vizuri watoto

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 8 วันที่ผ่านมา

      @@saidasaleh7596 Kiingereza wamejifunza nyumbani kupitia katuni na learning videos. Mimi na baba yao pia lugha yetu ya mawasiliano na wao ni Kiswahili. Shuleni na Kindergarten ni Kijerumani tu. Kiingereza kwa huku kinaanza darasa la tatu kufundishwa kama somo tu. Ila elimu kwa ujumla ni Kijerumani.

  • @MariamuAli-z4z
    @MariamuAli-z4z 9 วันที่ผ่านมา

    mashaallah

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 9 วันที่ผ่านมา

      @@MariamuAli-z4z 🙏🙏

  • @MeiyaShiney
    @MeiyaShiney 9 วันที่ผ่านมา

    Tuleteee kuku rcpt

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 9 วันที่ผ่านมา

      @@MeiyaShiney Inshallah ntaileta

  • @WardaRashidi-r6f
    @WardaRashidi-r6f 10 วันที่ผ่านมา

    Nimependa vp km auna oveni na kwenye jiko la mkaa dada

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 10 วันที่ผ่านมา

      Koleza mkaa wa kutosha, kisha palilia kama wali vile. Ila juu unaweka moto mwingi na chini moto kidogo. Baada ya dakika 20 funua utazame. Usifunue kabla ya hapo hewa itaingia kabla haijafura.

  • @FadhiliSaidi-f8l
    @FadhiliSaidi-f8l 10 วันที่ผ่านมา

    Inshallh kwajik lages unapkj

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 10 วันที่ผ่านมา

      Miye najua kwa oven na mkaa tu. Mkaa unapalia juu makaa mengi na chini moto kidogo kama vile unavopalia wali. Gesi sina nyumbani hivyo sina ujuzi nayo.

  • @neemamakupa5764
    @neemamakupa5764 10 วันที่ผ่านมา

    Thank you soo much God bless you 🎉🎉🎉🎉

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 10 วันที่ผ่านมา

      Amiin. Thank you 🥰

  • @khairaatdaffi5101
    @khairaatdaffi5101 10 วันที่ผ่านมา

    MaashaAllah, darsa zako nzuri! Allahbakulipe kheir

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 10 วันที่ผ่านมา

      Asante sana mpendwa

  • @rahimaally6044
    @rahimaally6044 10 วันที่ผ่านมา

    Samahani my dear 😊sukari na chumvi umetumia tea spoon au tablespoon? Nataka kujaribu😍🌹😋

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 10 วันที่ผ่านมา

      Nimetumia tablespoons. Sukari 4 tablespoons na chumvi 1 tablespoon.

    • @rahimaally6044
      @rahimaally6044 10 วันที่ผ่านมา

      @@Mapishi_TV Asante Asante. Allah akubarik😘🌹

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 9 วันที่ผ่านมา

      @@rahimaally6044 Amiin🤲

  • @rahimaally6044
    @rahimaally6044 10 วันที่ผ่านมา

    Masha Allah Masha Allah❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 10 วันที่ผ่านมา

      🙏🙏🙏🥰

  • @NeemaFelix-r5o
    @NeemaFelix-r5o 10 วันที่ผ่านมา

    Maji unatumia ya moto au ....🤔

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 10 วันที่ผ่านมา

      Maji ya uvuguvugu

  • @bongo39
    @bongo39 10 วันที่ผ่านมา

    Nimependa usafi wako mashaallah ❤️

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 10 วันที่ผ่านมา

      Asante sana🙏

  • @NairatHassan-nm2dg
    @NairatHassan-nm2dg 10 วันที่ผ่านมา

    😋👌🌹🌹🌹

  • @SiliviaSalvatory
    @SiliviaSalvatory 12 วันที่ผ่านมา

    Asante Kesho namimi napika❤❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 12 วันที่ผ่านมา

      @@SiliviaSalvatory Shukrani🙏

  • @LehemaAbdala-q8f
    @LehemaAbdala-q8f 13 วันที่ผ่านมา

    Wahoo yako vzr

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 13 วันที่ผ่านมา

      Maashallah, asante🙏

  • @LehemaAbdala-q8f
    @LehemaAbdala-q8f 13 วันที่ผ่านมา

    Mbona ngano lain sana

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 13 วันที่ผ่านมา

      Ndo maana yakatoka hivyo.

  • @neemamakupa5764
    @neemamakupa5764 15 วันที่ผ่านมา

    Sorry madam l f you don't bother can you send us that recipe of bread

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 14 วันที่ผ่านมา

      I'll upload this week🙏

  • @meowzna
    @meowzna 15 วันที่ผ่านมา

    Asante dear🎉❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 14 วันที่ผ่านมา

      🙏🙏🙏

  • @nibra09
    @nibra09 16 วันที่ผ่านมา

    Asante Sana. Napenda unaelezea vizuri, We had friends over our place to watch Footy grand final, nimetumia hii recipe, very nice snacks with coffee and tea, they came out really nice. Asante kutujuza.

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 15 วันที่ผ่านมา

      Ooh asante sana. I'm happy to hear that they came out well for you ❤️❤️

  • @alinelumona8836
    @alinelumona8836 16 วันที่ผ่านมา

    Asante dada tumehona ila nataka kujua siagi ni nini? twambie tuhijue kwa luga nyingine

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 16 วันที่ผ่านมา

      Siagi ni butter au margarine kwa mfano Blueband

  • @asinaperpetuakamau6159
    @asinaperpetuakamau6159 16 วันที่ผ่านมา

    Ni yeast kwa kingereza

  • @neemamakupa5764
    @neemamakupa5764 17 วันที่ผ่านมา

    Sorry tunaomba recipe ya ile mikate

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 16 วันที่ผ่านมา

      @@neemamakupa5764 ntaifanya wiki ijayo my dear inshallah. ❤️

  • @azizaal-amri3577
    @azizaal-amri3577 17 วันที่ผ่านมา

    Mashallah ♥️

  • @azizaal-amri3577
    @azizaal-amri3577 17 วันที่ผ่านมา

    Mashallah shukran sana habibti ❤️

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 17 วันที่ผ่านมา

      Asante sana

  • @ZaharaNkya
    @ZaharaNkya 18 วันที่ผ่านมา

    Waooh, mashaallah wanavitu vizr sana hata bei zake

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 18 วันที่ผ่านมา

      @@ZaharaNkya Ni kweli kabisa

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 19 วันที่ผ่านมา

    Tumelewa somo safi sana,ila next time tumia sufuria tuu

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 19 วันที่ผ่านมา

      Kawaida huwa natumia sifuria kipika chai.

  • @Winnie-kw9sw
    @Winnie-kw9sw 20 วันที่ผ่านมา

    hiyo siagi ni bluband au

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 19 วันที่ผ่านมา

      Ndiyo blueband nayo ni mojawapo ya siagi

  • @shamzone388
    @shamzone388 20 วันที่ผ่านมา

    Shukran kwa chai upate na vitumbua hapo ❤❤❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 20 วันที่ผ่านมา

      Asante sana. Yaani kwa vitumbua ndo mwake kabisa

  • @apocalypsematrix9252
    @apocalypsematrix9252 20 วันที่ผ่านมา

    MCHEKETO YOUMIII

  • @SabahHassan-z7d
    @SabahHassan-z7d 20 วันที่ผ่านมา

    Unapotia masala usitie tena majani ya chai

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV 20 วันที่ผ่านมา

      Mi siwezi kunywa chai bila majani. Ndo nimezoea hivyo. Ila nimesema kwenye video kuwa si lazima. Thanks.