Jinsi ya kupika Maandazi laini - Recipe ya 2 (hamira na maji)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2024
  • Karibu leo tunakupikia maandazi kwa mara ya pili. Upishi huu ni wa kizamani na niliwaona mama zangu Wazaramo na Wandengereko wakipika hivi maandazi yao. Karibu Tanzania, ardhi ya mapishi adimu😜.
    -Mahitaji
    -Unga vikombe 4 ( measuring cups)
    -Hamira kijiko kikubwa kimoja na nusu (1.5)
    -Maji ya uvuguvugu 250 ml (au zaidi au pungufu)
    -Siagi kijiko kikubwa 1
    -Chumvi nusu kijiko kidogo
    -Mafuta ya moto vijiko vikubwa 3
    -Sukari 80 g au upendavyo
    -Hiliki kijiko kidogo 1

ความคิดเห็น • 82

  • @AfricanLady889
    @AfricanLady889 หลายเดือนก่อน +8

    Kwa mara ya kwanza nimepika maandazi na nimefurahia maelekezo, asante sanaaa ❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน +1

      @@AfricanLady889 Nafurahi kusikia hivyo. Aaante sana

  • @SuhailaMohammed-t2o
    @SuhailaMohammed-t2o วันที่ผ่านมา

    Shukran Sana kesho lazima niingie jikoni kuyapika maana Kila nikipika hayatoki vizuri

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@SuhailaMohammed-t2o karibu sana na kila la kheri ukipika

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 วันที่ผ่านมา

      @@NasraIbrahim-dw1hr Asante🙏

  • @mondestonyinge3960
    @mondestonyinge3960 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nakuambia mimi hapa nakula kwa macho tu dada asante kwa recipe yako

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน +3

      😀😀 asante sana 🙏. Angalau umekula kwa macho😀

  • @rayaalkhayfy2026
    @rayaalkhayfy2026 22 วันที่ผ่านมา +2

    Asalam Aleikum sister nataka kujuwa kwanini umetia mafuta ya moto katika unga kabla hujauponda?

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  22 วันที่ผ่านมา

      @@rayaalkhayfy2026 Waalaykum salaam warahmatullah. Wazee walotufunza wanasema inasaidia kufanya maandazi yawe laini kama sponji. Hata chapati pia tunafanya hivyo kabla ya kuponda.

    • @rayaalkhayfy2026
      @rayaalkhayfy2026 20 วันที่ผ่านมา

      Shukran habibty ❤️❤️❤️

    • @cutenaa6984
      @cutenaa6984 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@Mapishi_TV❤

  • @lestherusitukanesanasomaam1339
    @lestherusitukanesanasomaam1339 5 วันที่ผ่านมา

    Asante Rafiki je nikifanya biaahara ni tshs ngapi

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  5 วันที่ผ่านมา

      @@lestherusitukanesanasomaam1339 sipo Tanzania hivyo sijui wanauza shilingi ngapi kwa sasa. Ulizia mitaani huko.

  • @hamidahamdun3646
    @hamidahamdun3646 หลายเดือนก่อน +2

    Shukran sister, Allah ibarik.

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน

      Amiin, Allahuma amiin🤲

  • @SiliviaSalvatory
    @SiliviaSalvatory 12 วันที่ผ่านมา

    Asante Kesho namimi napika❤❤

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  12 วันที่ผ่านมา

      @@SiliviaSalvatory Shukrani🙏

  • @jacklinechahilu6659
    @jacklinechahilu6659 3 วันที่ผ่านมา

    Mashallah

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  3 วันที่ผ่านมา

      @@jacklinechahilu6659 🤲🤲❤️

  • @LehemaAbdala-q8f
    @LehemaAbdala-q8f 13 วันที่ผ่านมา

    Wahoo yako vzr

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  13 วันที่ผ่านมา

      Maashallah, asante🙏

  • @IreneNody
    @IreneNody 2 หลายเดือนก่อน +11

    mafuta ya moto yanasidia andazi kuchambuka na kuwa laini

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน +1

      Asante kwa somo🙏

    • @bendetermbesa702
      @bendetermbesa702 12 วันที่ผ่านมา

      Ndio na pia kwa chapati

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  12 วันที่ผ่านมา

      @@bendetermbesa702 kweli kabisa hata kwa chapati

  • @Rigini-x35
    @Rigini-x35 2 หลายเดือนก่อน +1

    Samahani nina swali kuweka siyagi na lazimika kuweka siyagi au?

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      Siagi inafanya yawe laini zaidi, lakini si lazima kuweka. Unaweza kuiacha

    • @glorysangawe7686
      @glorysangawe7686 หลายเดือนก่อน

      Unawek nn badala yake​@@Mapishi_TV

  • @aminamakarani8425
    @aminamakarani8425 3 วันที่ผ่านมา

    Hicho kijiti kinakazi gani nami nielekeze,maana Mara nyingi najikuta naweka andazi linazama

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  3 วันที่ผ่านมา

      @@aminamakarani8425 kijiti miye binafsi huwa naona kinanipa urahisi kuyageuza hasa mawanzoni ninapoyatia kwenye mafuta. Lakini unaweza kutumia chochote ambacho kwako ni rahisi kugeuzia Maandazi.

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  3 วันที่ผ่านมา

      @@aminamakarani8425 pia andazi kuzama itakuwa labda ni zito sana au halijaumuka vizuri. Mara nyingi andazi likiumuka kabla ya kulichoma linaelea juu kama puto huwa halizami.

  • @rayakhalfansaleh4889
    @rayakhalfansaleh4889 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hujawrka iliki na Raha ya maandaz hyo harufu ya iliki itokee

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@rayakhalfansaleh4889 Sikuwa na hiliki ndani ya nyumba.

  • @MariamuAli-z4z
    @MariamuAli-z4z 9 วันที่ผ่านมา

    mashaallah

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  8 วันที่ผ่านมา

      @@MariamuAli-z4z 🙏🙏

  • @Wfidelis
    @Wfidelis 22 วันที่ผ่านมา

    What is hiriki Please

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  22 วันที่ผ่านมา +1

      @@Wfidelis Hiliki is cardamon.

    • @AishaManirakiza
      @AishaManirakiza 15 วันที่ผ่านมา

      Hiliki is cardamom

    • @Wfidelis
      @Wfidelis 15 วันที่ผ่านมา

      @@AishaManirakiza thank you

  • @ZeinabNzoya
    @ZeinabNzoya หลายเดือนก่อน +2

    Yang hua yananyonya mafuta wakat wa kuchoma sjui shid n nn

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน +1

      Donge usifanye laini sana. Likiwa tepetepe hata kidogo linakunywa mafuta. Pia wakati wa kuchoma mafuta yapate moto vizuri. Yasiwe ya moto kupitiliza lakini yasiwe baridi. Labda hayo yanaweza kukusaidia 🙏

    • @FatumaShee-x5x
      @FatumaShee-x5x 23 วันที่ผ่านมา +2

      Unatia mafuta mengi wakati wa kukanda

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน

      🙏🙏

  • @FumbweSalim
    @FumbweSalim หลายเดือนก่อน

    Dada mie nilipik maandaz uwa ndan yanakua Ayan nyam

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน

      Usisukume sana wakati wa kukata kama unataka yawe na nyama.

    • @SalmaSalmaissaissa
      @SalmaSalmaissaissa 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@Mapishi_TVMaji pia ya uvuguvugu?

    • @SalmaSalmaissaissa
      @SalmaSalmaissaissa 10 วันที่ผ่านมา +1

      Je km siagi sina

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  9 วันที่ผ่านมา

      @@SalmaSalmaissaissa Ndiyo

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  9 วันที่ผ่านมา

      @@SalmaSalmaissaissa tumia mafuta ya kupikia

  • @meowzna
    @meowzna หลายเดือนก่อน

    Yummy,😋😋👍

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน

      Thank you 🙏🙏

  • @AgathaTarmo
    @AgathaTarmo 29 วันที่ผ่านมา +1

    Siagi ni lazima utumie

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  29 วันที่ผ่านมา

      @@AgathaTarmo ukitaka yawe laini kama sponji ni lazima. Lakini usipotumia pia si mbaya

  • @keyla3641
    @keyla3641 หลายเดือนก่อน

    Mashaallh

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏

  • @apocalypsematrix9252
    @apocalypsematrix9252 20 วันที่ผ่านมา +1

    MCHEKETO YOUMIII

  • @NeemaFelix-r5o
    @NeemaFelix-r5o 10 วันที่ผ่านมา

    Maji unatumia ya moto au ....🤔

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  9 วันที่ผ่านมา

      Maji ya uvuguvugu

  • @LilianNekesa-o8i
    @LilianNekesa-o8i 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wow

  • @ISACKFREDINAND
    @ISACKFREDINAND 2 วันที่ผ่านมา

    Natamani kujua

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 วันที่ผ่านมา

      @@ISACKFREDINAND mafunzo ndo hayo. Fuata maelekezo kwenye video utajua.

  • @LehemaAbdala-q8f
    @LehemaAbdala-q8f 13 วันที่ผ่านมา

    Mbona ngano lain sana

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  13 วันที่ผ่านมา

      Ndo maana yakatoka hivyo.

  • @milkaphilipo3942
    @milkaphilipo3942 26 วันที่ผ่านมา

    Waooo

  • @Winnie-kw9sw
    @Winnie-kw9sw 20 วันที่ผ่านมา

    hiyo siagi ni bluband au

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  19 วันที่ผ่านมา

      Ndiyo blueband nayo ni mojawapo ya siagi

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 25 วันที่ผ่านมา

    Yaa hadikumullah wayuswilihu aimalakum 4:40

    • @samoocoolingsystem93
      @samoocoolingsystem93 24 วันที่ผ่านมา

      Amira kwa kizungu inaitwaje nataka nipike na mimi nimepata hiriki bado hiyo amira

    • @ayshaquin5982
      @ayshaquin5982 11 วันที่ผ่านมา

      Yeast ​@@samoocoolingsystem93

    • @cook_with_Mai
      @cook_with_Mai 5 วันที่ผ่านมา

      Hamira ni yeast​@@samoocoolingsystem93

  • @marthaadastan4318
    @marthaadastan4318 หลายเดือนก่อน

    Maji umekandia ya moto

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  หลายเดือนก่อน

      @@marthaadastan4318 ya uvuguvugu

  • @mapishinarose2415
    @mapishinarose2415 2 หลายเดือนก่อน

    Mafuta ya moto yanasaidia kuchambua andazi 😅

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@mapishinarose2415 Asante dada Rose🙏. Nimejua sasa kazi yake😀

  • @giftezekiel5871
    @giftezekiel5871 2 หลายเดือนก่อน

    Amira vijik vingapi

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@giftezekiel5871 vipimo vyote nimeandika kwenye sehemu ya maelezo (description box)

  • @LilianNekesa-o8i
    @LilianNekesa-o8i 2 หลายเดือนก่อน

    Wow

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      ❤️❤️❤️

  • @fatihiyadossa375
    @fatihiyadossa375 2 หลายเดือนก่อน

    Mashallah

    • @Mapishi_TV
      @Mapishi_TV  2 หลายเดือนก่อน

      @@fatihiyadossa375 shukrani sana🙏