KAKA YAKE MWIJAKU AKIELEZA ALIVYOMCHANGIA TAA MWIJAKU/SIPENDI TABIA YA KUCHEZA NA KUVUA NGUO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" TH-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    KAKA YAKE MWIJAKU AKIELEZA ALIVYOMCHANGIA TAA MWIJAKU/SIPENDI TABIA YA KUCHEZA NA KUVUA NGUO
    #zamaraditv #mambonimengi

ความคิดเห็น • 48

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wasanii kwa maisha ya kugezana, nimelipenda hili zoezi la wasanii kuanza kuonesha nyumba walizojenga, bora muanze kugezana manbo ya maana. Waja mna maneno 'kaongea uongo jamani', hata kama wewe utasemaje hizi taa kaka yangu kanipa. Kaka yake mwenyewe kasema amembariki. Alivyosema ni sawa tu. Ni aina ya mtu alivyo, hata alivyokuwa anawataja wengine ktk maelezo ya nyumba yake sio sawa, unafikiri ana shida nao. Nyumba iwe ya kheri na familia yake, na Mungu amsaidie.

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 8 หลายเดือนก่อน +4

    Waha wengi wakichoka maisha kigoma wanakimbilia morogoro😂😂😂

  • @RehemaMandai
    @RehemaMandai 8 หลายเดือนก่อน +3

    Jaman kuhusu taa msishangae huyu jamaaa kila angle yupo kazin sema nyny hamuelewi, iyo taa zmetoka china bas iyo china ndio uyo kaka yke😂😂😂😂

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 8 หลายเดือนก่อน

      Anatangazaaa bisha yake watu waajuwee kuwa morogoro kunadukaa zuri la taa ni nzuri sana

  • @RehemaMandai
    @RehemaMandai 8 หลายเดือนก่อน +1

    Inamaana mkiziitaji hizo taa kaka yke atawauzia apo pia keshakuwa chawa wa brother ake

  • @Fx_expertmoneymaker001
    @Fx_expertmoneymaker001 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂Et anavyocheza ndo broo anachukia. Na mm ndo napendaga nimuone anavyoingia ofisin akicheza, hata kipind nisiposkiliza ila nimuone mwijaku anacheza 🤣🤣.

  • @samiramohamed5925
    @samiramohamed5925 8 หลายเดือนก่อน

    Bro handsome MaashaAllah

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 8 หลายเดือนก่อน

      Kbs yupo vzr😝

  • @bulugubujashi6378
    @bulugubujashi6378 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ndio kasema ukweli sasa😂😂😂

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 8 หลายเดือนก่อน

    Nawe Kaka Umezingua Bola Ukae Kimia Mambo Mengine

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kasema taa amenunua china moja laki7😂😂

  • @Aiisha901
    @Aiisha901 8 หลายเดือนก่อน +3

    na kafanana nae kila kitu mpaka simama yake kutotulia

    • @rashidkatundu9674
      @rashidkatundu9674 8 หลายเดือนก่อน

      Siyo kila kitu uyu anakoremeo

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 8 หลายเดือนก่อน +4

    Saleh mimi nataka taa ya mzee wa ngenga nimeilewa na feni humo humo 😂

    • @fahadfahmy
      @fahadfahmy 8 หลายเดือนก่อน

      hata mimi nimepanda lile feni pamoja nataa

    • @Ummukuruthum-m1m
      @Ummukuruthum-m1m 8 หลายเดือนก่อน

      Mm pia ni nzuri mno

    • @nigamo9645
      @nigamo9645 8 หลายเดือนก่อน

      Na mziki pia mwenyewe nimelipenda

  • @hidayamotto7210
    @hidayamotto7210 8 หลายเดือนก่อน

    😂sasa Mwijaku kwann atudanganyee woi

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 8 หลายเดือนก่อน +2

    Taa za China mwana anaongea mnoo kumbe taa za msamvu

    • @StellarmamottoFlowersMam-ms1nz
      @StellarmamottoFlowersMam-ms1nz 8 หลายเดือนก่อน +1

      Wemeshanza kujichanganya. Mara taa zitoke china mara zitoke morogoro.....suala la muda tu

  • @Ummukuruthum-m1m
    @Ummukuruthum-m1m 8 หลายเดือนก่อน

    Kumbe taa zimetoka kwa broo 😂😂😂

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 8 หลายเดือนก่อน

    Wow! Brother handsome ❤

    • @aliaden5512
      @aliaden5512 8 หลายเดือนก่อน +1

      hata mimi handsome

    • @samiramohamed5925
      @samiramohamed5925 8 หลายเดือนก่อน

      Very handsome

    • @aliaden5512
      @aliaden5512 8 หลายเดือนก่อน

      Am more hansome than him try me you will know what i meant

  • @fatmamansour676
    @fatmamansour676 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ka ka ushaharibu mwenyewe kajigamba kanunua pesa si kidogo atachambwa ndugu yako

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 8 หลายเดือนก่อน

      Huyo atakae mchamba stakua fala km ww, we mjumba unatisha ule alfu ufungue domo lako!!!??😂😂

  • @alexjosephmambo6990
    @alexjosephmambo6990 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka yake Yuko sahihi Hana Kona kona

  • @kizegakizega8073
    @kizegakizega8073 8 หลายเดือนก่อน

    wadogo zangu hao mtaa wa uhuru

  • @MariaSengo-cn5bx
    @MariaSengo-cn5bx 8 หลายเดือนก่อน

    Nakuona Nuba Batton hongereni

  • @kadibebe7128
    @kadibebe7128 8 หลายเดือนก่อน +1

    Izo Etage hamtiye njia ya watu wenye matatizo ya migu, siku weye mwenye nyumba utakuwa na shida ya migu, utapanda aje? Utahama awo utaishia cini. 😂😂, swimming ya ju 😂😂 tia njia ata kilema aweze kupanda. Nyumba utayikimbia we mwenyewe.

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 8 หลายเดือนก่อน +7

    yule Mwemba (Mwijaku) kaongea uongo alipoulizwa kuhusu taa,kumbe karibia zote amepewa bure na Brother wake.

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa hata kama kapewaa Bure lakin brother kanunua ndioo maanaa Katia Hisabu nyote

    • @fahadfahmy
      @fahadfahmy 8 หลายเดือนก่อน

      @@rizikiabdalla2501 Uongo kiisilamu nimbaya kuliko zinaa

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 8 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@rizikiabdalla2501ulimsikia lkn alivyosema kachagua china taa gani anunue akanunua badae kapewa huyu kanunua yy elewa maneno yao 😂😂😂

    • @Mainda-q5b
      @Mainda-q5b 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa jamaa wasikuumize kichwa

    • @halimaamani8958
      @halimaamani8958 8 หลายเดือนก่อน +1

      Uongo upi? Maana hata huyo alompa kasema zimetoka china na bei ni laki7 kama alivyosema mwijaku

  • @andrewmachage9102
    @andrewmachage9102 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka taa za 30,000 zpi tn taa mwijaku kanunua china moja 700k ww tn unasema umemubark tn ambazo zpo out of time?😂

    • @princekarani7836
      @princekarani7836 8 หลายเดือนก่อน

      Bro kuna taa kampatia mdogo wake za laki saba,kuna za laki nane,na nyingine ndogo ndogo za elfu 30,

    • @halimaamani8958
      @halimaamani8958 8 หลายเดือนก่อน

      Na wala hajasema out of time Bali kasema ni taa za kisasa ambazo zimekaa muda mrefu dukani kwake sababu watu wameshindwa kununua kutokana na gharama za hzo taa kuwa kubwa

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka yuko vizuri

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka ni handsome hebu tueleze unafanya kaz wap?😊

  • @dottomsuya6597
    @dottomsuya6597 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka nae yaleyale tupigieni picha tuwape bei ya hizo taaa