USIONE AIBU KUSWALI NDANI YA BASI, DALADALA, MWENDOKASI NA SGR, TOENI DAKIKA 5 ZA WASAFIRI KUSWALI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2024
  • • USIONE AIBU KUSWALI ND... #KHIDMATV #sheikhzuberbizimana #kutokabunrundi #swalayamsafiri #namnayakuswalindaniyabasi #swalayasafari #sheikhkishki #muhadhara #masjidhaqqmagomeni
    SHEIKH ATHIBITISHA MSAFIRI NI KAFIRI USIONE AIBU KUSWALI NDANI YA BASI AU NDEGE, ATOA ONYO KWA WAMILIKI WA MABASI WANATOA DAKIKA 5 ZA KUCHIMBA DAWA LAKINI DAKIKA 5 ZA KUSWALI HAWATOI

ความคิดเห็น • 5

  • @alimau7939
    @alimau7939 9 วันที่ผ่านมา +1

    Darsa nzuri mashaallah

  • @ZaujiyatSuhfi-rl8sr
    @ZaujiyatSuhfi-rl8sr 9 วันที่ผ่านมา

    Shukran shekhe kwa kutuzinduwa allah akulipe kheri ngingi

  • @FridayMwassa
    @FridayMwassa 9 วันที่ผ่านมา +2

    Kuna kitu kinaitwa busara na hicho ndicho kinawafanya watu kuhoji kama hii dini kweli ni ya Mungu?hivi mtu lazima uwe kwazo kwa wengine ndipo Mungu wako asikie, kwaani huwezi kushuka kwenye gari na ukafanya sala yako.Nimeona waislam wengi huko ulaya na America ambao kwao wamekimbia shida lakini wanataka kuimplement sheria law kwenye nchi zisizokuwa kuwa zao na kusababisha maaandamano makubwa,cha kujiuliza hivi ni sawa mgeni uliyekaribishwa kwenye nchi za watu na ukaanza kuleta fujo, mbona hatuoni watu wa dini zingine wakileta fujo, waislam badilikeni Mungu haabudiwi kama kwa kulazimisha watu wake. a

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 6 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa utashukaje gari, treni, ama ndege safari masaa 10, huwezi kushuka ni kusali hapo hapo kwenye kiti, udhu utapata ukipata wasaa wa kula.
      Kisha sisi waislamu ulimwenguni hio ndio kazi yetu, kuamrisha mema na kukataza mabaya popote pale ulimwenguni. Hiyo ndio kazi yetu kubwa hata tukiishi miji ya makafiri. Hivi nchi ya ulaya ipitishe sheria ndoa jinsia moja na muislamu anaishi humo lazima alisemee tu.

    • @azizaabdulkarim
      @azizaabdulkarim วันที่ผ่านมา

      No😊😊😊