USTADHI MAZINGE HASHINDWA KUJIBU SWALI LA WASABATO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 มิ.ย. 2021
  • MJADALA WA IMANI

ความคิดเห็น • 83

  • @thekingcr7365
    @thekingcr7365 3 ปีที่แล้ว +3

    Sababu anajua kuna hizi dini za uongo, kwahiyo tujadiliane nazo.
    Asante mzee wangu Mazinge.

  • @user-rt5vq5vc3k
    @user-rt5vq5vc3k 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallha mazinge Allha akulinde

  • @mashakanyakusanja6475
    @mashakanyakusanja6475 3 ปีที่แล้ว +6

    Inshallah prof mazinge umefeli kabisa jibu swali acha ngojera humeshindwa kabisa hahaha

  • @henryhaonga1027
    @henryhaonga1027 3 ปีที่แล้ว +3

    Inshallah mwenyezi Mungu ajalie injili ifike mbali🤓

  • @sammunialo5463
    @sammunialo5463 2 ปีที่แล้ว +3

    Mazinge hapa kitumbwaa kiliingia mchanga roho safi.
    Alijaribu kupindua lugha lakini kashindwa kabisa. Your facial expression says it all.

    • @abangaabanga4677
      @abangaabanga4677 หลายเดือนก่อน

      Afu watu wanajua uwongo dahhh ati amani iwe nawe inaamaanisha nini?

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 2 ปีที่แล้ว +2

    safi sana

  • @myself4128
    @myself4128 2 ปีที่แล้ว +2

    waislamu uwa hawajibu swali au Kukubali ukweli wanaruka ruka tuu kukwepa ukweli wanaruka ruka tuu sababu ya mashetani waliyonayo

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga4677 หลายเดือนก่อน

    I find these debates very interesting, mostly how people lie and deceive, I mean look, maandiko yanasema clearly but why do people twist things?

  • @user-hp1im5ek4r
    @user-hp1im5ek4r 17 วันที่ผ่านมา

    Umechemka mzeee

  • @HisakaOtenyo
    @HisakaOtenyo 4 หลายเดือนก่อน

    Jibu swali

  • @mussakisoma4369
    @mussakisoma4369 2 ปีที่แล้ว +2

    th-cam.com/video/HO3lWVw_MKc/w-d-xo.html
    Jeuri ya mazinge iliishia hapa!

  • @myself4128
    @myself4128 2 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH HAWEZI KUSEMA UONGO??WAKTI NDIYE MKUU WA WAONGO??Al makhr al makreena baba wa uongo ni Allah! Quran 4:157

    • @SaleheAmiry-mx1yn
      @SaleheAmiry-mx1yn 26 วันที่ผ่านมา

      Acha kukufulu wewe hivi unamjuwa ALLAH au unaongea ushabiki chunga kauli zako

  • @daud8785
    @daud8785 3 ปีที่แล้ว +2

    Hapo alikamatwa.

  • @user-tl9ig1oz1i
    @user-tl9ig1oz1i หลายเดือนก่อน

    Kwan dunian kuna dini ngap zilizo mbere yetu kabul ya ukilisito na usilamu

  • @mussakamando2678
    @mussakamando2678 2 ปีที่แล้ว +1

    Kashindwa kivipi?

  • @LIDIAMTEGA-eb9sk
    @LIDIAMTEGA-eb9sk 9 หลายเดือนก่อน

    Sasa wew kutajwa wakristo kwenye kuruani ndo ushahid kuwa ndo mna dini sema mda hautosh angejibu vizuri Hadi mngefulai kama ni dini m bona zipo nyingi hata kabla uklisto dini zilikwepo lakin Si za kweli

  • @daud8785
    @daud8785 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣😁😁😁

  • @mwambiretv9092
    @mwambiretv9092 ปีที่แล้ว

    Hii nayo Mazinge alilemewa

  • @swidickrajabu4615
    @swidickrajabu4615 3 ปีที่แล้ว

    Aisee wakiristo hamuna hata skili za kufikiri,ingewatosha tu kwa injili kutoka kwa Allah

  • @cocosnucifera5488
    @cocosnucifera5488 3 ปีที่แล้ว +3

    MAZINGE kajibu swali ijapokuw hajamaliz ktk kuzungumzia kwsbab y muda na unaona kabsa alivyokua na hamu ya kuendelea kujib.
    Af nyinyi wakristo msipende kujipa moyo mtaingia motoni bure..wachungaji wenu wameshindw kuleta andiko linalosema Ukristo ni dini af mnawatetea..wanatoa maandiko kweny Quran ambayo hakuna hata moja linalosema Ukristo ni dini.. wachungaji wenu wameulizw maswal kbao wameshindw kujibu
    Swali:
    1.lete andiko linalosema Ukristo ni dini (usipindishe go straight)
    2.wakat yesu anasulubiw je injil ilikua inapokelew na nani?
    3.Je yesu alisulubiw saa3 au saa6

    • @sammunialo5463
      @sammunialo5463 2 ปีที่แล้ว +1

      Fuatilia mdahalo vizuri @cocos nucifera. Acha kujilazimishia elimu ya muskitini hapa kama mazinge.
      Mwenyekiti wa kiislamu amesema nini baadaya mazinge kumaliza kuongea?
      Mazinge katapatapa bure tu na kuharibu muda wake kimakusudi, ilimradi akanushe kuwa manabii na dini iliyotangulia sio ya kikristo lakini ikashindikana.
      Mazinge hata apewe siku nzima hatokubali japokuwa imeandikwa kwenye Quran. Kajaribu kupinda lugha eti 'zilizo.... iliyo.....' kisha tena eti za uongo kama wewe @cocos.
      Siku ya nyani kufa miti yote huteleza. Mazinge huyo.

    • @EmmanuelLupoja
      @EmmanuelLupoja หลายเดือนก่อน

      Dini mana yake njia

  • @amblozambloz8812
    @amblozambloz8812 2 ปีที่แล้ว

    Waislam jina ukristo mlitoa wapi juu nyinyi ndio mnauliza maswali ya kitoto

  • @user-rh4ou2kx6h
    @user-rh4ou2kx6h 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa hawa ndugu zetu wa kiislamu wanajilazimisha sana kujibu hoja,Mungu aingilie kati waokolewe.

    • @cocosnucifera5488
      @cocosnucifera5488 3 ปีที่แล้ว

      MAZINGE kajibu swali ijapokuw hajamaliz ktk kuzungumzia kwsbab y muda na unaona kabsa alivyokua na hamu ya kuendelea kujib.
      Af nyinyi wakristo msipende kujipa moyo mtaingia motoni bure..wachungaji wenu wameshindw kuleta andiko linalosema Ukristo ni dini af mnawatetea..wanatoa maandiko kweny Quran ambayo hakuna hata moja linalosema Ukristo ni dini.. wachungaji wenu wameulizw maswal kbao wameshindw kujibu
      Swali:
      1.lete andiko linalosema Ukristo ni dini (usipindishe go straight)
      2.wakat yesu anasulubiw je injil ilikua inapokelew na nani?
      3.Je yesu alisulubiw saa3 au saa6

    • @bestmindcoolingrelaxationm1084
      @bestmindcoolingrelaxationm1084 2 ปีที่แล้ว

      Keep waiting and u will see uislam unavyokua kwa kasi duniani, u choose to close your mind and its u who have to blame not us

  • @user-tz8zu2gt6u
    @user-tz8zu2gt6u หลายเดือนก่อน

    mazinge ana akili finyu anapindisha mambo aende sule kasome

  • @cocosnucifera5488
    @cocosnucifera5488 3 ปีที่แล้ว +2

    waislam hawajawahi kushindw swali..hakuna andiko kweny biblia kweny Quran linalosema Ukristo ni dini

    • @andrewkundya7324
      @andrewkundya7324 ปีที่แล้ว

      Ndio mshajibiwa tayar na kitabu lkn bado mnabisha

  • @saluten5926
    @saluten5926 ปีที่แล้ว

    Waislamu wote motoni mana wanamkataa jesus

    • @jumakutengeza1080
      @jumakutengeza1080 หลายเดือนก่อน +1

      Wakristo ndo wanamkataa Yesu, maana ametoa maelekezo lakini hamfuati
      Luka 4:8 (KJV) Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake.
      Kama kweli mnamfuata Yesu na amefundisha hivi, mbona hamtak kusujudu?

  • @huseinshedrack6180
    @huseinshedrack6180 3 ปีที่แล้ว +3

    Nilivyo ona Kichwa cha habar nilipata hofu sn sababu sina muda mrefu toka nisilim, nikajua sasa nimepotea, kwl nyie wakristo hamna maskio kbs, maelezo alio toa yana eleweka hta na mtoto mdgo lkn mbal na hlo una ona kbs Shekh alikuwa bado anaendelea kutoa darasa, cjutii kamwe kusilim

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 3 ปีที่แล้ว

    YESU NJIA YA KWELI NA UZIMA

  • @islamseyffden7723
    @islamseyffden7723 2 ปีที่แล้ว

    Ukristo n dini

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว +3

    Hiki kipande Kwenye Chaneli Za TH-cam za Waislam Hawakiweki Nimefatilia Chaneli zote za Kwao wanaweka vipande vingine Ila hiki wanakikata

    • @elianestory5159
      @elianestory5159 3 ปีที่แล้ว

      Hawawezi kukiweka hicho

    • @thekingcr7365
      @thekingcr7365 3 ปีที่แล้ว +1

      Mbona kimewekwa!! We kagua Channel ya Saimu gwao tv Online kipo.

    • @cocosnucifera5488
      @cocosnucifera5488 3 ปีที่แล้ว

      Kagua saimu gwao online utakikuta

    • @cocosnucifera5488
      @cocosnucifera5488 3 ปีที่แล้ว +1

      MAZINGE kajibu swali ijapokuw hajamaliz ktk kuzungumzia kwsbab y muda na unaona kabsa alivyokua na hamu ya kuendelea kujib.
      Af nyinyi wakristo msipende kujipa moyo mtaingia motoni bure..wachungaji wenu wameshindw kuleta andiko linalosema Ukristo ni dini af mnawatetea..wanatoa maandiko kweny Quran ambayo hakuna hata moja linalosema Ukristo ni dini.. wachungaji wenu wameulizw maswal kbao wameshindw kujibu
      Swali:
      1.lete andiko linalosema Ukristo ni dini (usipindishe go straight)
      2.wakat yesu anasulubiw je injil ilikua inapokelew na nani?
      3.Je yesu alisulubiw saa3 au saa6

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว

      @@cocosnucifera5488 Duuuh!! Rafiki Maneno ya Yesu ndio injili Matukio Yoote aliyoyatenda Yesu ni Injili Soma Marko 1:1 Marko analopoti anasema Mwanzo wa Injili ya Yesu mwana wa Mungu, matukio Yoote aliyotenda Yesu yameandikwa Na Wale maswahaba Wake ndio walioandika, Ukristo ni ile hali ya Mkristo Kuenenda sawa sawa kile alichofundisha Yesu na Kuagiza Kitendeke, nisawa Usema Uislam nini uislam ni ile hali ya Muislam kuenenda sawa sawa na Kile kilichoandikwa ndani ya Qurani sawa sawa na Mafundisho, Kama Huelewe Soma Qurani 5:47 harafu pia naomba unisaide Aya iwe ndani ya Biblia au ndani ya Qurani Ishmaeli na kizazi chake Waliwahi kumuabudu Mungu wa baba Yao Ibrahimu maana Ahadi ya Mungu ni kwa isaka na kizazi Chake na sio Ishmael Mungu hajawahi kua na nabii au Mtume Mwarabu Soma Biblia nzima au Qurani Yoote uniambie Kama Ishmael na kizazi chake waliwahi kumuabudu Mungu Ishmael ndio Baba wawarabu Woote

  • @ikwabeinjilitv9758
    @ikwabeinjilitv9758 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwel jamaa Alibanwa mbavu hapo, hachomoki

  • @collinsmwanza8639
    @collinsmwanza8639 2 ปีที่แล้ว

    Dawa yako ni dacha tarehe tano kitaeleweka

    • @mohdkhamis4558
      @mohdkhamis4558 2 ปีที่แล้ว

      Ww usikufur hutumpi mazing huy huy tunmpa shafi tu

    • @mohdkhamis4558
      @mohdkhamis4558 2 ปีที่แล้ว

      Ww usikufur hutumpi mazing huy huy tunmpa shafi tu

    • @amblozambloz8812
      @amblozambloz8812 2 ปีที่แล้ว

      Mazinge katoroka ndacha kaenda kujipiga kifua vichorochoroni pwani

  • @jolinkimaro9939
    @jolinkimaro9939 3 ปีที่แล้ว +2

    mazinge ni mtu mzima lakini anaamua kufa na ukafiri wa waarabu ni wakati sasa arudi kwa Mungu wa kweli Yesu atampa maarifa ya Mungu wa kweli aijue injili aache kurukaruka kwenye mimmbari.
    sasa unajibu kila swali ukifikiri ndio umaarufu na hekima kumbe si swali linajibiwa unajipalia mkaa.
    swali rahisi tu unapotea kwa kuwa unataka kupotosha ukweli.

    • @danielernest8588
      @danielernest8588 3 ปีที่แล้ว

      kweli kabisa

    • @thekingcr7365
      @thekingcr7365 3 ปีที่แล้ว +2

      Duuh!! Kwakweli wakristo ni wagumu kuelewa. Paka hapo bado mnamponda mazinge tu?

    • @cocosnucifera5488
      @cocosnucifera5488 3 ปีที่แล้ว +1

      Wakristo mnamatatzo..waislam hawajawahi kushindw swali..hakuna andiko kweny biblia kweny Quran linalosema Ukristo ni dini

    • @jolinkimaro9939
      @jolinkimaro9939 3 ปีที่แล้ว +1

      @@cocosnucifera5488 hivi unaelewa kweli wewe ama umeshalogwa kama mtume wako. hakuna hoja muislam anajibu kama inavyotakiwa. na hii ni kwa kuwa akili za anayeitwa profesa ni ujinga wa mtume.

    • @jolinkimaro9939
      @jolinkimaro9939 3 ปีที่แล้ว

      @@cocosnucifera5488 mazinge alifikiri sauti ndio hoja anatumia sauti kubwa majibu hana. yaani wewe na akili zako zote hayo aliyojibu huyo mazinge mmeona ni majibu. sasa kama hayo kwenu ni majibu mnafikiri kuna muislam mwenye akili kweli?