DAH! KUMBE MANJI ALIKUWA MTOTO WA NJE WA KIKWETE !? SIRI YAFICHUKA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ค. 2024
  • DAH! KUMBE MANJI ALIKUWA MTOTO WA NJE WA KIKWETE !? SIRI YAFICHUKA.

ความคิดเห็น • 37

  • @JanatYusuph
    @JanatYusuph 15 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu.aendelee kukupa..Imani hiyo

  • @betrandeyakuze808
    @betrandeyakuze808 5 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @SaimonMrema
    @SaimonMrema 25 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ailazerohoyake mahali pema peponi hongera jakayamrisho kikwete kwaku timiza wosia wa babayake manji nawalio mtendeya mabaya tunamwomba mungu awatumbukize jehannam yamoto wamilele eimen

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt วันที่ผ่านมา

    Mashallah allah amtie nguvu

  • @user-zk9ox3di4b
    @user-zk9ox3di4b 24 วันที่ผ่านมา +2

    asante sana. kikwete kwa kutuonyesha mambo vyako lakini sis wanyonge ayatusaidii usitueleze mengi uyafanyayo mengi yanatuudhi nakutumiza watanganyika tumekujua yakwamba unapendelea sana waisilamu. kuliko wakirsto tunakuona sana wenu ni Simba sauti ya wanyonge tuamke kwa haraka kabla ya maji kuzidi unga watanganyika kumekucha amkeni kwasasa msilale Tena

  • @winnierayson9124
    @winnierayson9124 28 วันที่ผ่านมา +5

    Hongera kwa Jakaya pia pole kwa kupotelewa na mwanae wa kufikia
    R.I.P YUSUPH MANJI

  • @hashimpalekar1565
    @hashimpalekar1565 28 วันที่ผ่านมา +1

    Great humanity and human relation seldom to get in this present world

  • @naldclever
    @naldclever 28 วันที่ผ่านมา +3

    Dooh... R.I.P MANJI

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk 27 วันที่ผ่านมา +4

    Uongo wako siku yakiama limi lako litafangia barabala muongope mungu wewe

  • @rumesibarka5312
    @rumesibarka5312 27 วันที่ผ่านมา +5

    Tafauti baina ya mtoto wa nje na mtoto wa kulea...rudini darasani mkasome

    • @user-jn7do4wd6f
      @user-jn7do4wd6f 21 วันที่ผ่านมา +1

      Mm najua mtoto wa nje yani kazaa na mwanamke nje ya ndoa na wa kulea alipokua na mwanamke wanaishi pamoja yule mwanamke anawatoto sasa ww baba wa kambo umewalea wale watoto lakini sio wako

  • @jeniffermombo
    @jeniffermombo 22 วันที่ผ่านมา

    pole sana mkuuu

  • @messiasulleydidy2585
    @messiasulleydidy2585 26 วันที่ผ่านมา +2

    Uongo mwingine hata shetani hapendi...

  • @mohammedmussa7378
    @mohammedmussa7378 11 วันที่ผ่านมา +1

    Acheni kuzusha nyie watu muogopeni mwenyezi mungu yani kazi yenu kuongea uongo tu sura kama watu wa motoni

  • @user-tu2ne7so3b
    @user-tu2ne7so3b 28 วันที่ผ่านมา +1

    OVYO

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 25 วันที่ผ่านมา +1

    Yani kuna majinga humu ndani eti yameamini Manji ni mtoto wa kikwete hivi nye mnaakili kweli hamkumsikiliza kikwete alivyo kwa akielezea kuhusu baba yake Manji? Mautopolo wengi sana Tanzania hii

  • @anatolerukonge1585
    @anatolerukonge1585 15 วันที่ผ่านมา

    Siyo mtoto wa nje ni mtoto wa kulea! Tofauti ni kubwa sana.

  • @abdulmauya4874
    @abdulmauya4874 15 วันที่ผ่านมา

    SAMAHANI waleta habari hizi kutupiga na KICHWA CHA HABARI Kisicho uhisia wake ### WANA HABARI JARIBUNI KUWEKA VICHWA VYA HABARI MBASHARA...KINACHOENDANA
    ( mfano kichwa hiki...mmepotosha kama msomaji atasoms bila wewe kumposha )....***ona maelezo ya ndani yalivyo nyoka ***

  • @rosechitimbo4306
    @rosechitimbo4306 7 วันที่ผ่านมา

    Nampongeza Rais wa awamu ya nne.kwa jukumu la kumlea Marehemu Manji.ilimpelekea Manii kugusa jamii kubwa kiajira.na wengine wenye nafasi nzuri wafanye kama Rais Jakaya Mrisho Kikwete bils

  • @user-gg3rv9wf1q
    @user-gg3rv9wf1q 18 วันที่ผ่านมา

    Kumbe ndio hivyo, basi sio mtoto wa nje,, mhe. Kikwete ni baba mlezi, neno mtoto wa nje Lina maana nyingine kabisa.

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 22 วันที่ผ่านมา +1

    Wanatafuta kkkk

    • @kazinaimwishehe-ec3xu
      @kazinaimwishehe-ec3xu 21 วันที่ผ่านมา

      Ukiwa tajiri unaficha makosa yako yote yaan uyu manji si ndo aliyokimbia kwa magu kwa pesa zetu jamani leo ni mzuri da pesa ni mwanahalamu

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 28 วันที่ผ่านมา +3

    Ndo maana uliuza dawa za kulevya

  • @idrissamohamed1100
    @idrissamohamed1100 27 วันที่ผ่านมา +2

    Chuki Ni Uchafu Wa Moyo

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 28 วันที่ผ่านมา +2

    Ndoo maana alikuwa anauza sure za Jessica huyu kumbeee

  • @HemedmusoTz
    @HemedmusoTz 21 วันที่ผ่านมา

    Mafala nyinyi kum

  • @petertemu7136
    @petertemu7136 28 วันที่ผ่านมา +4

    Acheni Ujinga basi

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l 24 วันที่ผ่านมา +1

    Hivi kwa nini wamemzika haraka huko ughaibuni. Huyu jamaa kafa kweli?

    • @user-sv6zy3hc8o
      @user-sv6zy3hc8o 18 วันที่ผ่านมา

      Sio ughaibuni ni marekani

    • @shamzone388
      @shamzone388 13 วันที่ผ่านมา

      Kwani hujui kwa dini ya kiislam kumkirim maiti ni mumzika kwa haraka
      Na nchi yoyote anaweza kuzikwa bora kuwe na waislam tu

  • @pinangoda740
    @pinangoda740 20 วันที่ผ่านมา +1

    Wajinga, kuachiwa mtoto umlee ndio MTOTO WA NJE? ACHENI UDHALILISHAJI

  • @user-dq1lm2be2u
    @user-dq1lm2be2u 24 วันที่ผ่านมา

    Ujinga tyu ushaambiwa wa hiyar

  • @user-ts4zn1sx7h
    @user-ts4zn1sx7h 12 วันที่ผ่านมา +1

    Amen