Oh Mungu amjalie hukumu ya huruma...alimuimbia Mungu kwa sauti nzuri na tabasamu wakati wote...familia yake Mungu awatulize...na Mkewe, Mungu tu ndiye tulizo bora....i really loved his singing and beautiful voice full of happiness....May he always sing to God with the Angels and Saints....be blessed
Moyo wangu umejawa na huzuni kwa kumpoteza Marco 😭😭😭💔💔 mwimbaji wa kundi la Zabron singers ambacho napenda nyimbo zao sana😭😭💔💔poleni sana wenzetu watanzania kutoka Kenya🇰🇪
Poleni sana wanafamilia mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Vita umeipiga imani umeilinda na mwendo umeumaliza. Pumzika kwa amani maico joseph🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Familia,marafiki,na zabron singers,poleni sana Kwa kuachwa na mpendwa wetu marco.personal I can't imagine I will never hear his wonderful voice.😭😭may he dance with angles and saints amen.pamoja Kwa maombi
Poleni sna marafi na family yke na mungu awape nguvu Imani Hakika bila mungu atuwezi kitu chochote n Pauline mghoi from Kenya taveta 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪poleni sna Wana family n marafiki wote
Inauma sana 😢marafiki zetu wa Zabron singers Mungu awafariji ..tumejawa na machozi kwa kuwa nyinyi ni marafiki wetu kwa saaana (1 Thessalonians 4:14, Revelation 21:4) . Kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪pokea pole zetu ...Mungu awafariji
Poleni sana wapendwa wa Mungu poleni wote kwa ujumla familia pamoja na jamaaa na marafiki Mungu awe faraja kwenu wote kaka Marco tulikupenda lkn Mungu kakupenda zaidi pumzika kwa Amani kaka
Kama waadventista hili ni pengo kubwa sana.... Kwa familia ya Marco ...heri wanaolala kutoka sasa wakiwa waaminifu maana watafufuliwa siku ya mwisho. Mwenyezi Mungu awafariji na awajaze na neema na nguvu wakati huu mgumu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Rip in peace marco zabron 😢😢😢😢😢😢😢 tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi yte n mapenzi ya mungu 😢😢😢😢😢😢😢😢😢umetuachia pengo kubwa sna zabron tutakukumbuka sna 😢😢😢😢😢😢😢utakuwa katika miyoyo yetu daima
From Kenya but currently in saudia Africa my deepest condolences to his family, friends, zabron singers and the itire community. Mungu awatie nguvu nyakati hizi za machozi.
Ee Mungu uliyetuumba nawewe ndiye unaetuita kwako asante kwa maisha ya uhai wa mwimbaji Maico zabron Mungu mpe faraja daima mke na watoto kama ulivonipa faraja mm.
Take heart Zabron's singers though inauma sana, let's give thanks to God for all that has happened, RIP brother Marco Joseph,God take control over this family in Jesus name 🙏🙏🙏...
Poleni sana watanzania sisi kama wakenya Nyinyi ni jirani zetu aki tunawapo pole sna Kwa familia na makanisa zote za Tanzania akika huu mzimba siio rahisi mungu awafariji jamani tumeusinikka sana
1 Wathesalonike 4 13 Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini. 14 Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye. R.I.P ndugu MARCO.
Mungu akulinde huko uendako na akuweke mahali pema ,hakika kila binadamu ataonja umauti na kulidi mavumbini tuombe 2 huwezi jua kesho yako ipoje pole sana zabron na familia yako hakika mtumaini mungu 2 hakika anaweza yote🙏🙏🙏🙏😭
Oh Mungu amjalie hukumu ya huruma...alimuimbia Mungu kwa sauti nzuri na tabasamu wakati wote...familia yake Mungu awatulize...na Mkewe, Mungu tu ndiye tulizo bora....i really loved his singing and beautiful voice full of happiness....May he always sing to God with the Angels and Saints....be blessed
Moyo wangu umejawa na huzuni kwa kumpoteza Marco 😭😭😭💔💔 mwimbaji wa kundi la Zabron singers ambacho napenda nyimbo zao sana😭😭💔💔poleni sana wenzetu watanzania kutoka Kenya🇰🇪
Poleni sana ndugu zetu , Mungu awafariji katika hii hali ngumu, Rambirambi zetu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 RIP Marco
From Kenya, poleni sana zabron singers na WA Tanzania wote mungu awapanguze machozi,,,rest in peace Marco
Poleni sana kwa familia na watanzania wote from Kenya 🇰🇪
Ahsante
Asantee
Poleni sana familia kwa kupoteza Mtumishi wa bwana,Mungu ilaze Roho yake mahali pema peponi, Mtoto wako Mungu, Alale usingizi wa heri.
Poleni Sana waombolezaji
Poleni sana..rambirambi zangu kutoka kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Poleni sana wanafamilia mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Vita umeipiga imani umeilinda na mwendo umeumaliza. Pumzika kwa amani maico joseph🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Zablon Singers Mwenyezi. Mungu awapanguze machozi. Pole sana. Mungu alimpenda sana. ❤
Pole sana kwa familia na watanzania wote from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Poleni sana Acha mwenyezi mungu awape faraja🇰🇪🇰🇪
Lala salama Marco..Mungu alikupenda zaidi..Mungu naawalinde bibi na watoto wako🙏🙏
Familia,marafiki,na zabron singers,poleni sana Kwa kuachwa na mpendwa wetu marco.personal I can't imagine I will never hear his wonderful voice.😭😭may he dance with angles and saints amen.pamoja Kwa maombi
Uyu kaka ni mtulivu sana, ubarikiwe🙏
Heartfelt condolences to entire family and Tanzania Nation at large
May his soul rest in eternal peace 🙏 🙏🙏
From Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 with love .
Zabron singers Mungu awape nguvu .Mungu ako na sababu itengende hivo.Mungu arehemu familia.kenya tunaomboleza mapoja
I watch Zablon singers every night m he was my favorite
Iam a music teacher n i love their arrangement.
Kutoka Kenya ,rambi rambi zangu kwa Falimia ya Zabron na wana TZ wote,poleni saana ,mwenyezi mungu awafariji 😭 😭 😭 😭
😭😭😭😭😭😭😭
AHSANTE SANA kwa upendo kenya 🇰🇪 🙏💔💔 shukrani sana😢😭😭
Pole jaman kwa kuondokewa na mpendwa wenu
Kutoka kenya poleni sana wapendewa may God comfort you 🙏
😢😢😢
Namuomba Mungu aendelee kuwsfariji familia ya Zabron Singers
Jameni kifo😭😭😭Siku moja wewe kifo utafa Yesu arudipo. Poleni Zablon singers. Bwana awafute machozi😭😭😭. Tunawapenda❤❤.
😂😂😂😂😂
From kenya poleni sana. Mungu hawape nguvu. Amen
From kenya rabirabi zangu sifikie familia ya mwenda zake marco.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi🙏
Poleni sna marafi na family yke na mungu awape nguvu Imani Hakika bila mungu atuwezi kitu chochote n Pauline mghoi from Kenya taveta 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪poleni sna Wana family n marafiki wote
Poleni sana ndugu zetu watanzania... Marco go well brother
Poleni sana. Mwezetu apumzike kwa amani. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kutoka kenya tunawapa pole za zetu kwa family na wana Tanzania wote na pia team zabron tunawaombea mungu awafariji sana 💔😭🙏🙏🙏🙏
May God blessing to all especially Zabron Team🎉
Poleni Sana ndugu watanzania Kwa msiba mzito poleni Sana from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿
Daaah! Familia Mungu awatie nguvu na moyo wa ushujaa poleeni sanaaa daah..inauma sanaa,,Mungu amtunze mahali pema peponi MARCO
Poleni zabron mwenyezi Mungu alikamilisha kazi yenye ailiazisha na ndungu Marco jipeni moyo anahudumu ubamji wake mbinguni na malaika.
Poleni Sana ndungu zangu ,familia ya Zablon Mungu awape faraja wakati huu mgumu.rabirabi zangu.
Inauma sana 😢marafiki zetu wa Zabron singers Mungu awafariji ..tumejawa na machozi kwa kuwa nyinyi ni marafiki wetu kwa saaana (1 Thessalonians 4:14, Revelation 21:4) . Kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪pokea pole zetu ...Mungu awafariji
Poleni sana wapendwa wa Mungu poleni wote kwa ujumla familia pamoja na jamaaa na marafiki Mungu awe faraja kwenu wote kaka Marco tulikupenda lkn Mungu kakupenda zaidi pumzika kwa Amani kaka
Poleni sana Mungu awafariji 😭😭
😭😭😭😭😭 tuko pamona katika maombolezi ,Mungu amlaze mahali Pema ,we shall really miss his voice and charming face
Mungu akawatie nguvu familia ya mpendwa wetu Marco Joseph Poleni sana 😭😭😭
Safari ni yetu sote umetangulia sisi tupo nyuma yako Mungu akuhifadhi mahala pemaa Peponi tutakukumbuka daima daaaaaah nenda baba
Poleni sana , mungu uwatie nguvu na uvumilivu kwa kumpoteza kipenzi chenu
Polen sana from kenya nawatanzania wote mungu amtie nguvu
Pole sana kwa familia ya zabron .Mungu ampumzishe kwa aman
Mungu akawe faraja kwa familia Poleni Sana Zabron Singers Mungu atawaongoza kwa Kila Jambo Ameen
My GOD give u comfort zabronsingers,keep heart my dear friends, ,,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Pole zangu Kwa familia na WA Tanzania wote .Rip Marco wa zabron😭😭😭
Poleni sana wana zabron singers mungu wa mbinguni awe faraja kwenu,mrs marco pamoja na familia nzima kwenye kipindi kigumu hiki
Kama waadventista hili ni pengo kubwa sana.... Kwa familia ya Marco ...heri wanaolala kutoka sasa wakiwa waaminifu maana watafufuliwa siku ya mwisho. Mwenyezi Mungu awafariji na awajaze na neema na nguvu wakati huu mgumu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kwani ni wa SDA?
Lala salama Marco.. tutaikumbuka sauti yako kaka, Mungu awape faraja ndugu, jamaa na marafiki, poleni sana kwaya yetu pendwa Mungu awape faraja🙏🙏
Poleni sana ndugu zetu wataNzania kwakumpoteza Muimbaji mashuhuri Macko poleni sana
Poleni familia Mungu tu njo awe Faraja kwenu. Huzuni ni nyingi Kabisa tunakulia ndugu yetu . Pumzika kwa Amani
Poleni from Kenya mungu hawape amani kwa roho zenu
Daaaah polen cn,Mungu ailaze mahali pema pepon
Poleni sana wanazabron's kwa kumpoteza mpendwa tulimpenda lkn Mungu akampenda zaidi
Pole sana wanafamili mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu
Rip in peace marco zabron 😢😢😢😢😢😢😢 tulikupenda lakini mungu alikupenda zaidi yte n mapenzi ya mungu 😢😢😢😢😢😢😢😢😢umetuachia pengo kubwa sna zabron tutakukumbuka sna 😢😢😢😢😢😢😢utakuwa katika miyoyo yetu daima
Faraja ya mwenyezi Mungu iwatoshe familia yote kwa jumla poleni sana ,from 🇰🇪
Polen Sana wana Singers MUNGU amlaze mahali pema pepon brother Marco Zabron Ameen
Poleni sana kwa Familia ya zabroni mungu amuraze maharipema nipo Zambia 🇿🇲 imenigusakwakweri
Pole sana kw huu msiba.Mungu awafariji.🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Poleniii saaaanaa.....mungu awape wepesiiii
Poleni sana mungu awatete ktk kipindi hiki kigumu.
From Kenya but currently in saudia Africa my deepest condolences to his family, friends, zabron singers and the itire community.
Mungu awatie nguvu nyakati hizi za machozi.
Ee Mungu uliyetuumba nawewe ndiye unaetuita kwako asante kwa maisha ya uhai wa mwimbaji Maico zabron Mungu mpe faraja daima mke na watoto kama ulivonipa faraja mm.
Kutoka. Kenya,rambi rambi zangu kwa familia ya kina Marco TZ ,,, it's Soo hard to believe but poleni sana
Poleni watanzania na familia ya marehemu... Mungu awape faraja moyoni mwenu from kenya
Poleni sana jamii ya zabron singers, Mungu awape faraja zake.
Poleni sana watanzania nausinika sana kemboi from Kenya
Polen Wana kwaya wa zabron singers kwa kumpoteza ndugu yetu Marco zabron
Jamaniiii😂😂😂😂😂 pole sana adi siamini dah nimeumia so pouw mungu akulaze mahalii pema
Poleni sana ndugu zangu rambi rambi kutoka kenya mombasa
Poleni sana ndungu zetu hatuna cha kusema sana zaidi ya kumshukulu MUNGU 🙏🙏🙏 kwa mepenzi yake❤
Pore sana ndungu zetu ambao mumefiwa tirimupenda ira mungu kamupenda zaid from south Africa
Pole sana mke wa Marco mungu akutie nguvu katka kipindi hiki kigimu
Kutoka Kenya 🇰🇪 mungu awaited nguvu pamoja na familiar yake mungu amlaze pema
Mungu amlaze mahali pema tulimpenda san.lakn Mungu kampenda sana amen😢😢😢😢😢😢😢😢
Poleni sana ndugu woote na familia yoote ya zabron sing'ers.. inaumaaa
Poleni Sana mungu awape nguvu njirani wetu kutoka 🇰🇪
Poleni sana mungu awenaye hukojuu mbinguni
poleni kbx na tushukuru Mungu kwa kira jambo ,bado tumaini lipo tutaonana tena uko ngambo yaani rahani mwa Bwana
Pole sana kwa family nzima,pia la ki kriston Tanzania na muke wake na zabroni kwaya .mimi muimbaji kutoka 🇨🇩 yana uma sana 😢😢😢😢
Polen sana hakika mungu amempokea huko mbinguni pumzka kwa amani tutakukumbuka sana
Poleni sana familia ya Marco and zabron singers.mungu awatulize
Natuma rambi rambi zangu Kwa familia ya mwenda zake mungu awapanguze machozi na awatie nguvu wakati huu mgumu, poleni sana watanzania Kwa ujumla 🇰🇪
Poleni Sana rambirambi zangu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jambo hili ngumu kwa zablon singers na familia twasema poleni sana kutoka kenya mungu awatie nguvu
Poleni familia.pole mke na watoto wake.jamani inauma.mungu awape nguvu na faraja
Poleni sn ndugu kw familia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From kenya, poleni sana Watanzania
Poleni Sana wapendwa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Sisi tunawapenda sana
Poleni sana kwa kumpoteza mwenzenu
Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa Amani 🙏
Take heart Zabron's singers though inauma sana, let's give thanks to God for all that has happened, RIP brother Marco Joseph,God take control over this family in Jesus name 🙏🙏🙏...
Following from italian.inauma sana.😭😭. consolation to the family, friends , relatives and zabron singers fraternity.
Poleni sana watanzania sisi kama wakenya Nyinyi ni jirani zetu aki tunawapo pole sna Kwa familia na makanisa zote za Tanzania akika huu mzimba siio rahisi mungu awafariji jamani tumeusinikka sana
1 Wathesalonike 4
13 Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.
14 Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye.
R.I.P ndugu MARCO.
Mungu akulinde huko uendako na akuweke mahali pema ,hakika kila binadamu ataonja umauti na kulidi mavumbini tuombe 2 huwezi jua kesho yako ipoje pole sana zabron na familia yako hakika mtumaini mungu 2 hakika anaweza yote🙏🙏🙏🙏😭
Jamani mungu awape wepesi Apumzike Kwa Amani tulimpenda Lakini mungu kampenda zaidi AMINA
Poleni sana Mungu awafariji
Toka Bukavu Congo DR natoka pole sana Kwa jamaa ya zabron Mungu awatiye nguvu 😢😢
Tulimpenda ila mungu kampenda zaidi
Pole Sana family yote na Jamii na Wana Tanzania kutoka Kenya🇰🇪😭😭
Poleni sana Mungu awape nguvu
R.I.P Marco mke na watoto wako Mungu awape ujasir wa kuhimili maumivu haya
Poleni sanaa 🙏🙏🙏