Ubarikiwe saana Elikana, nimependa saana hiki kipande namna umekiimba na jinsi imepigwa pale ulipoimba " wewe ni Mwamba wangu na maisha yangu nyakati za shida unaniapa nguvu" natamani kupasikia kila wakati nimekirudia mara kadhaa hicho kipande. Ubariiwe saana.
Atupaye Nguvu Nyakati za kushindwa, Mwamba, Mfalme wa Uzima 🙏🙏 hakuna kama Yesu msaada na kimbilio letu 🙏kwa wimbo mzuri kaka Yesu akuzidishe Daima( Moyo wa shukran 🔥🔥)
Ubarikiwe saana Elikana, nimependa saana hiki kipande namna umekiimba na jinsi imepigwa pale ulipoimba " wewe ni Mwamba wangu na maisha yangu nyakati za shida unaniapa nguvu" natamani kupasikia kila wakati nimekirudia mara kadhaa hicho kipande. Ubariiwe saana.
May God be with you forever u can my brother it's a very powerful song🙏🙏
Amen Pastor....Ubarikiwe sana pia ndugu angu
Barikiwa sana kaka Angu .... Pastor Raymond!
Yesu ajibebee utukufu
Nyakati za kushindwa kwangu ananipa nguvu😢😢😢🙌🙌🙌
Yuko Mfalme Yesu kutupa nguvu na kutuimarisha
Tunaisubili kwa ❤❤
Amen, halafu Kuna ule wa Emanuel tunaisubiri
Amen .....unakuja tuendelee kujiandaa kuhudumiwa
So much blessing wimbo wa shukrani kwa mengi Bwana anafanya
Amen Amen Amen.... yuko mfalme
Utukufu Hadi utukufu 🙌🙌
Hatimae 🙏be blessed my brother.🙌
Uwiii😭Kuna nguvu isiyo ya kawaida YESU ni mwamba wangu wakati wa kushindwa
Amen Amen Amen .....my young sister!
Tunae mwamba wa Uzima wetu....
@@MinisterMbuyahakika 😭🙏
Barkiwa sana bro❤
Waiting for!
Hakika ni Baraka Sana
Kaka Yangu Mkubwa Sanaa
Hongera sanaa brother. Anointed and good song.
Waiting for ❤
Wimbo mzuri sanaaa
❤ so powerful and Nice, KEEM SOUND tuliwakirisha vyema nakupongeza sanaa ndugu yangu wimbo wangu wa sasa ni huu.
Amen Amen kaka !...
KEEM SOUND mna Maua yenu .... Mbarikiwe
Barikiwe sana
Woooooh! Next level my brother Mungu ameshakutoa kimataifa....
Yesu Abebe Utukufu
Kudos brother 🎉
Ubarikiwe san kaka elikana MUNGU azidi kukuinua ,,🎉🎉
Amen Amen.....Yesu ainuliwe zaidi.
Mungu azidi kukuinua mmarekani,Kiukweli uko viwango vingine mmarekani hongeraaaa saana
Waoooow Mmarekani Wangu ....Ubarikiwe sana !
Acha mioyo yetu imuinue Kristo
Wimbo mzuri na upigaji wa mziki ni mzuri sana hongera sana kwa hatua kubwa MUNGU akuinue zaidi na zaidi
Amen amen amen ndugu ....Mungu abebe utukufu na ahudumie watu wake!
Ubarikiwe sana brother Elkana Mbuya Mungu aendelee kukuinua zaid🙏🏾
Yesu ainuliwe zaidi
Utukufu kwa Mungu
Wimbo mzuri sana barikiwa sana mtumishi wa Mungu❤
Amen Amen.... 🙏
Be blessed brother
Amen Amen
So powerful song…Asante Yesu!
Good song love it all praise to God
God Bless You sanaaa
My favorite song, so powerful
🙌🙌🙌
Hakika yeye ni mwamba na uzima wetu...
Amen Amen kaka!
Atupaye Nguvu Nyakati za kushindwa, Mwamba, Mfalme wa Uzima 🙏🙏 hakuna kama Yesu msaada na kimbilio letu 🙏kwa wimbo mzuri kaka Yesu akuzidishe Daima( Moyo wa shukran 🔥🔥)
Amen Amen Ndugu angu....Yesu atendae makuu akutendee Kwa Utukufu wake
Amen amen.... tunaye mfalme wa wafalme ....sababu ya Ushindi wetu
blessed elkana
Nipo tayr kumshukur Mungu 🙏
Waoooow Amen kuu mkuu!
#SHUKRANI🎉
Anthem🙌🙌🙌🙌🙌😢
Big km big God bless you my brother
Ubarikiwe mno kaka kwa utumishi huu
Amen Amen Ndugu angu
I still waiting my broo.... But God bless you
Barikiwa ndugu , Mungu atusaidiye zaidi❤
🔥🔥🔥🔥🦅
Good song
Aiiiiiiiiiii Moyo wangu umebarikiwa na Mwana wa Mfalme Yesu 🙌🙌🙌🙌
Amen ..... ahsante sana ndugu angu....Yesu adumue ainuliwe zaidi
Blessed me❤
Amina
God bless you Man of God, this is an epic music tone, anointed voice that is full of praise authority.
Amen Son of God _ God has decided to serve us and we are ready to be served with a heart of gratitude
My favorable song.... barikiwa brother elkaba
Amen ...Yesu abebe utukufu kwa hili
@@MinisterMbuya amen hallelujah
Wow ubarikiwe kwa hii
Ahsante ndugu angu wa maana kabisa .....tufanye kazi ya Mungu bila kuzimia mioyo
Waoooo hongera sana bro sifa na utukufu kwa Bwana hakika wimbo unabarik sana
Tunae Yesu aimalishae misuli na utumishi wetu
Amen Amen ....
Nimabarikwa
Amen 🙏🙌
Wow hakika moyo wangu una Asante ❤❤❤❤
Amen Amen
Tunaisubir kwa tham
Sasa tuhudumiwe!🙌🙌
Amen 🙏
🎉❤😊
🙏🙏
❤🙏
❤❤❤❤❤😂