Jamaa alijitahid sana alikuwa anajua JPM anachokifanya hivyo uchungu unaonekana katka nyimbo,lazma alize watu kupitia nyimbo hii.Tumepoteza mtu ambaye hatutampata Kama yeye.Mwenyez ampokee katka paradiso ya milele.
Nyimbo ya Peter ndio nyimbo Bora kuzid zote zilizoandaliwa special ktk kipindi hiki kigumu tunachopitia watanzania, Ina hisia Kali zenye kuleleta uchungu na faraja pia. Congratulations to Peter msechu, hakika unaweza baba!!!
Yaani kuna watu walilala studio usiku kucha na bado nyimbo ikakesha studio siku tatu nzima lkn ilipotoka ni upuuzi mtupu nyimbo haina faraja LAKINI PETER MSECHU USIKU MMOJA TU UMESHINDA STUDIO ASUBUHI NYIMBO TAMUUU YA KUTUFARIJI KAMA HII NAIMANI ITAISHI NASI MILELE KAKA HONGERA SANA MSECHU😭😭
This song always makes me shade tears so much,I'm from Kenya but the death of Magufuli really touched me as if he was my family.Nilimpenda magufuli na roho yote. 🇰🇪 Kenya tulikupenda zaidi.I love the song too.
I'm not a Tanzanian but I keep listening to this song in remembrance of Late President Magufuli, you inspired most of Africans and we shall always cry of you. Rip
Hongera sn Peter Msechu kwa nyimbo nzuri ya Kufariji... hakika Ss Watanzania 🇹🇿 tumehuzunika sn juu ya Kifo Cha hayati Dk John Pombe Magufuli Rais Wetu Mpendwa 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏...R.I.P Dk John Magufuli
Siku nausikia huu wimbo nilkua geita ndo gari la magufuli la mwili jamani likapita nyie nililia uwii 😥😥until now i can't believe kwel wenye haki hawaish,,, pumzika baba
katika nyimbo zote zilizomsindikiza Mheshimiwa Rais wate Magufuli huu ndiyo kiboko, kweli wewe Peter Msechu hongera sana wewe mtama, wasalimie watu wa Kasulu
2024 nimerudi kutathimini utendaji wa serikali maoni yangu Kuna vitu vimebadilika pumzika Kwa Amani mzee wangu magufuli nchi imegeuka siasa nyingi kuliko utendaji
Peter Kuwa Mtunzi wa nyimbo za Kizalendo we ni hazina ya Taifa letu. Una nyimbo zenye mguso sana. Huwa nafuatilia sana nyimbo zako. Magufuli jembe iko poa sana Tanzania iko poa sana na hii baba umekomesha
Nmeona nisimame hapa niwasalimie ndg zangu au nmekosea!! Nmemiss sana sauti ya magufuli....hiki kitu kizito ambacho Mungu ametupiga nacho hatuwez kusahau
We jamaa unajua sana, yaani hizi nyimbo zako za maombolezo ya kifo cha rais Magufuli zinanibariki sana, kila muda nazisikiliza nafarijika sana. ubarikiwe.
YAANI HIZI NYIMBO ZAKO MBILI ZA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA MAGUFULI NDIO NYIMBO ZANGU BOOOORAAAAA KABISA KWA SASA KATI YA NYIMBO ZOTE ZA MAOMBOLEZO YA MAGU. KILA MARA NAZISIKILIZA NA ZINANIFARIJI SANA. UBARIKIWE MSECHU
The best song ,,Magufuli wherever He is ,,he must be smiling for this tribute rest well our lovely president i am devastated to this day ...😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭❣❣mzalendo
Binafsi acha tu niseme, kiukweli hii nyimbo imenigusa sana Kati ya nyimbo zote za maombolezo zilizoimbwa, hakika hii imenigusa. Hongera na pia pole kwa msiba Kaka Peter Msechu, msiba wetu wote, Pumzika kwa amani J.P.M daima tutakukumbuka watanzania maana umeacha alama kubwa katika taifa letu. Nenda baba msalimie mzee Nyerere, msalimie mzee mkapa, msalimie John Kijazi, msalimie Mzee Maalim Seif wambie watanzania tunawalilia wametuachia ukiwa, kamwe hatutachoka kuwaombea na daima tutawakumbuka mashujaa wetu pumzikeni kwa Amani. We Miss you for real. "UMETUACHA IMARA TANZANIA SALAMA, MAGUFURI LALA SALAMA, MWENDO UMEUMALIZA" 💔💔💔💔😭😭😭😭
Msechu huu wimbo Fanya mpango uuongeze.n mzuri na unafariji kwa lililotokea.ila ni mfupi sana.nataman uongeze maneno kwa stail hiyohiyo walau hata dakika 10.mwakan ktk kumbukumbu tunaomba uwe tayari.hii kitu siyo rahis kusahau.
Dah... Kwa nyimbo za maombolezi hii na ile ya magufuli tutaonana MSECHU mtu mbaya sana. Hapewi heshima anayostahili. Yuko underrated ila ni bonge la kipaji.
Hakika maisha yanenda kasi sana yaan kila nikifikiria jinsi mwamba magu alivyokuwa yupo pamoja nasi wanyonge hakuna raisi yoyote atakayeweza kutupiginia sisi masikin tunaish maisha ya tabu kwa tamaa za viongozi wetu waliokuwepo madarakan ila wache wafanye wanachujisikia ipo siku mungu atawaonyesha hiki watotufanyia sisi masikin
nyimbo inayo gusa moyo wangu kumuenzi hayati magufuli hakika tutakukumbuka baba rest in peace kama unarudia nyimbo hii mara nyingi kama mimi gonga like kumuenzi baba.
Good job msechu nyimbo mzuri kwa yote our condolences dear brothers and sisters wa tanzania, may God give you peace and fill your Hearts with abundance joy, RIP hero,, wapi likes za msechu tafadhali
Nime replay more than 100times hii song, big up kwa utunzi bora Peter Msechu. Mungu amlaze maali pema peponi, Mungu afariji Africa yetu kwa kumpoteza mkombozi wa africa.
R.I.P Magufuli, this song teaches me a million lessons in 2:19 Minutes. I learn how will my people treat me when I die some day, I learn how important you may seem to people before and after you die. And I also learn how you can be a leader , at some points you have to hurt some side for the other side to feel better, at some side they will feel bad and some moments your value may seem when you are gone a few years after your burial. Go well Magufuli.
Namkumbuka Sana magufuli katika ma laisi wote wanasema nyerere sijui kwasababu nilikua bado sijazaliwa wakat wauongozi wake ila peke yake magufuli nilimpenda Sana ila mama Samia tunaomba kifo Cha magufuli kiwe kinakumbukwa Tanzania nzima kama nyerer day iwepo na yamagufuli niombi langu
Kuna watu wameungana kuimba nyimbo za maombolezo laikini wewe umeimba peke yako nyimbo nzuri kazi nzuri,Mungu atutie nguvu hasa kipindi hichi kigumu tunacho pitia watanzania ....Mungu ibariki Tanzania
Dah! Msechu hapa umemaliza kila kitu. Ni wimbo wa huzuni na faraja pia. Nimetokwa na machozi kwenye ule mstari unaosema kwa nini umeruhusu mwamba wetu aende!
Wangapi mpaka Leo mnaangalia huu wimbo kumkumbuka Our legend
Me naumia sana nikisikiliza
Tupo ndugu. Maumivu na uchungu haviishi. Tunammis sanaaa!
Me najkuta nkilia tu na wakat mwanaume
@@gosbertmuta5421
Sure
🙋♀️🙋♀️😢😢
Sitaacha kusikiza hizi nyimbo za msiba wa magufuli inauma kwa kweli nimemmici 2024
nimerudi hapa baada ya kifo cha Ali Hassan Mwinyi . Mungu awarehemu wote wawili na wote waliotangulia mbele za haki🙏
Wangapi wanarudia rudi huu wimbo na huuchoki😭😭
Tupo
Hii ni mara ya 20 ninaurudia. Na nitaendelea kuurudia na kuurudia na kuurudia. Ujumbe unagusa mno hisia.
Mimi nipo
😭😭
Mie kila ck daah ina niliza sana mda mwengine hata siamini😢😢😢😢😢
Nani anaangalia huu wimbo hata baada ya mwezi?
#big up sana msechu
Sahv2 apa naangalia
Mm leo na nimelia
Me naangalia kila siku
21/05/2022
Hapa naangalia napata hisia kali machozi yananitoka tu nashindwa kujizuia moyo unauma
Wangap murikuwa na Imani kuwa nalaisi wetu Jon Kama bado unamkubari gonga like tuone wangap. Bado mpaka sasa Luna mkubari
Hakika @msechu huu wimbo huu umebeba hisia za uhalisia hakika upewe maua yako mweeeee😭😭😭😭Jpm pumzika kwa AMANI🕊️🕊️🕊️🕊️
Miongoni mwa Nyimbo zinazoniongezea Uzalendo wa kuzidi kuipenda Nchi yangu. Tukio hili limekuwa Gumu sana kwangu. Niko tayari kuifia Nchi yangu.
Nyimbo bora kuliko zote kwenye maombolezo ya mpendwa wetu Magufuli🇹🇿🙏🙏🙏
Jamaa alijitahid sana alikuwa anajua JPM anachokifanya hivyo uchungu unaonekana katka nyimbo,lazma alize watu kupitia nyimbo hii.Tumepoteza mtu ambaye hatutampata Kama yeye.Mwenyez ampokee katka paradiso ya milele.
Nyimbo ya Peter ndio nyimbo Bora kuzid zote zilizoandaliwa special ktk kipindi hiki kigumu tunachopitia watanzania, Ina hisia Kali zenye kuleleta uchungu na faraja pia. Congratulations to Peter msechu, hakika unaweza baba!!!
Magufuli lala
Huu wimbo niliupenda sana Hadi leo naupenda ila sipendi kuusikiliza sana kwasababu naumia nikiusikiliza hata machozi huwa yananitoka
Rest in peace. Amen🙏🙏🙏🙏🙏
Kweli kabisa huu ndio wimbo bora
MSECHU KATIKA WASANIII WOTE WEWE NDIO UMEIMBA NYIMBO YENYE AKILI NA HISIA HONGERA SANA R.I.P MPENDWA WETU MAGUFULI
Kweli kabisa
😢😢😢😢😢aisee 01/3/2024 nipo hapa
Hao bongo fleva wenzako wasaidie kuwatungia nyimbo hata bure Mungu atakulipa,
Nipo kwenye majonzi makubwa yasiomithilika 😭😭😭😭😭 lakini hii comment yako over suddenly imenichekesha 😅😅😅😅
Umeona ee
True true dada Ester ! Very very true Bravooooo to Msechu! Wonderful composition.
Kweli😅😅😅🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hawataki
Hii ndio nyimbo nzuri kuliko zito. Pengo la komba limeonekana nyakati kama hizi. R.I.P MAGUFULI
Saaana ameimba vizuri hd amekera😭😭😭😭😭😭😭
Kweli kali kawa zote
Hakika hii imefunika zote
Aaah sana mpaka imenitoa mchozi yaani bonge ya wimbo
Nakubali 🙏🏻🙏🙏🏻
Yaani kuna watu walilala studio usiku kucha na bado nyimbo ikakesha studio siku tatu nzima lkn ilipotoka ni upuuzi mtupu nyimbo haina faraja LAKINI PETER MSECHU USIKU MMOJA TU UMESHINDA STUDIO ASUBUHI NYIMBO TAMUUU YA KUTUFARIJI KAMA HII NAIMANI ITAISHI NASI MILELE KAKA HONGERA SANA MSECHU😭😭
Sanaaaaaa
Dahh Wimbo huu Utaishi Milele kama Mambo makuu alyotufanyia Rais wetu
Kweli kabisaa
Nyimbo bora kuliko zote za maombolezo
Safiiiiiiiiii sana
Daaah kama utan vile
Huu wimbo unatia moyo sana kipindi kama hiki cha huzuni. Asante brother Msechu!
This song always makes me shade tears so much,I'm from Kenya but the death of Magufuli really touched me as if he was my family.Nilimpenda magufuli na roho yote. 🇰🇪 Kenya tulikupenda zaidi.I love the song too.
Msechu this is the best song for Magufuli followed by Harmonize
kiukweli kama wewe wa mbali imekutouch so much like that how for us my neibour.acha tu mungu ndio anajua alazwe salama
Kama mimi , nalia kila nikiusikilza
hapa watanzania tulipigwa na kitu kizito
Many artists composed tribute songs for the late JPM but this one still stands above the rest.
Samia wewe ni zao la jpm upambana sana,mungu akulinde mama
Unfortunately it has fewer views compared to the rest!!
Yes. Highly poetic
The best song during the mourning of our great African hero. Am not a Tanzanian but I loved Magufuli so much.
Peter Msechu mtunzi nzuri sana akya Mungu. Huyu ndo katunga nyimbo nzuri zinazoishi kulilo wasanii wote. Nyimbo zake huyu jamaa ziko poa sana
Naunga mkono. Kutoka Kenya
Kiroho bado tupo nae...umetimiza mwaka mmoja Sasa Kiongozi wetu"
Hii ndio ngoma kali sana ongera sn msanii wangu msechu 2024
I'm not a Tanzanian but I keep listening to this song in remembrance of Late President Magufuli, you inspired most of Africans and we shall always cry of you. Rip
Hongera sn Peter Msechu kwa nyimbo nzuri ya Kufariji... hakika Ss Watanzania 🇹🇿 tumehuzunika sn juu ya Kifo Cha hayati Dk John Pombe Magufuli Rais Wetu Mpendwa 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏...R.I.P Dk John Magufuli
Ni wimbo ambao Mimi binafsi naupenda pamoja na yalio yafanywa na serekali ya hatari Magufuli.
I’m not Tanzanian but the death of Magufuli left me in tears forever 😢
Nyimbo hii inafariji sichoki kuitazama kwani ni nyimbo yenye kutia moyo Mungu aimlaze roho ya Magufuli pema mbinguni Amina.
😭😭The only president we had in whole africa. Am not from Tz but he was the best namkubali. I can't stop shedding 😭😭
Siku nausikia huu wimbo nilkua geita ndo gari la magufuli la mwili jamani likapita nyie nililia uwii 😥😥until now i can't believe kwel wenye haki hawaish,,, pumzika baba
Much love from Belgium.
We stand with our Tanzanian brothers and sisters. ✊🏾❤
Lala salama Magufuli.
Kiukweri bando linaisha kwajiri yauwimbo
Mimi pia nasikiliza kila dakika
Thanks sana
Magufuli nilimpenda sana from Bujumbura
Barikiwa sn Dada yangu, for your deepest condolences😢
Peter msechu umeimba nyimbo nzuri sana ya kumuaga Magufuli.Ina tia moyo na kutoa machozi kwa waafrika na dunia yote
Huu wimbo umenifanya nilie. Kwel damu nzito kuliko maji.
katika nyimbo zote zilizomsindikiza Mheshimiwa Rais wate Magufuli huu ndiyo kiboko, kweli wewe Peter Msechu hongera sana wewe mtama, wasalimie watu wa Kasulu
Kila ukiusikiliza hauchoshi kwakweli MUNGU akubariki msechu
The best song composed for the legend of our time RIP pombe
Dah hii nyimbo mzuri naipa namba 1 🇹🇿.big up msechu. Umemfunika baba levo😅🇹🇿😭R.I.P mjomba magufuli 😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿.
Hii ndio nyimbo yangu bora kati ya zote zilizoimbwa kumuenzi Rais Magufuli Chuma, Rest in Power King Magu ✊🏾🇹🇿
Kabisa... best one
Ahsante Msechu, sichoki kuusikiliza huu wimbo, Raisi wetu kipenzi lala salama
He was a great leader , Zanzibar nakumbuka ulivosema mafuta na gas ni yenu kwani geita mnanufaika na dhahabu 😢 , John pombe
Nimejikuta naskiliza nyimbohii baada ya ngoma ya ney wa mitego ya BABA imenitowa macho r.i.p mwamba magu kutoka congo😭😭😭😭
2024 nimerudi kutathimini utendaji wa serikali maoni yangu Kuna vitu vimebadilika pumzika Kwa Amani mzee wangu magufuli nchi imegeuka siasa nyingi kuliko utendaji
Nipo hapa pia
Peter Kuwa Mtunzi wa nyimbo za Kizalendo we ni hazina ya Taifa letu. Una nyimbo zenye mguso sana. Huwa nafuatilia sana nyimbo zako.
Magufuli jembe iko poa sana
Tanzania iko poa sana na hii baba umekomesha
Peter msechu,unatufariji kipind hiki kigumu "hakika DCT JOSEPH MAGUFURI hutasaahulika ktk kizazi hiki na kijacho mungu akulaze mahali Pema poponi😭😭😭😭😭
Nmeona nisimame hapa niwasalimie ndg zangu au nmekosea!! Nmemiss sana sauti ya magufuli....hiki kitu kizito ambacho Mungu ametupiga nacho hatuwez kusahau
Rest in peace baba yangu 😭. Uliniuma sana had nilishidwa kula 😭.rest in peace baba yangu 😭😭😭
I'm from Ghana but I live in UK I really love this song so much but I don't understand am always sad when I listen to the song
We are mourning the death of our former President..
Try subtitle to English the writing will appear in English
Am from Nigeria but I reside in Dar es salaam Tanzania I know kiswahili very well I can help you explain the song to you if you really wish
LEGENDS NEVER DIE,,,,,THEY ARE IMMORTALS TO THE ETERNITY❤🙌🙌😑
🙏😭
True man Legends never die
We jamaa unajua sana, yaani hizi nyimbo zako za maombolezo ya kifo cha rais Magufuli zinanibariki sana, kila muda nazisikiliza nafarijika sana. ubarikiwe.
Wimbo mzuri sana ueditiwe uweze kutumika katika maombolezo na kila mtanzania hongera Msechu kwa wimbo wako mzuri
We are in this together brothers and sisters, condolences from Kenya 😭
YAANI HIZI NYIMBO ZAKO MBILI ZA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA MAGUFULI NDIO NYIMBO ZANGU BOOOORAAAAA KABISA KWA SASA KATI YA NYIMBO ZOTE ZA MAOMBOLEZO YA MAGU. KILA MARA NAZISIKILIZA NA ZINANIFARIJI SANA. UBARIKIWE MSECHU
Sichoki kuisikiliza hii nyimbo
Yaan kila saa nausikiliza na kumwaga machozi😭😭😭😭
Hapa safi umetoa nyimbo kali ya majonzi bt R.I.P RAIS WETU MAGUGULI.😭😭
Umetuacha imara... lala salama baba wa Afrika.. Tanzania mmepotez kabisa...
The best song ,,Magufuli wherever He is ,,he must be smiling for this tribute rest well our lovely president i am devastated to this day ...😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭❣❣mzalendo
My best song realeased so far to celebrate H.E Magufuli life
Binafsi acha tu niseme, kiukweli hii nyimbo imenigusa sana Kati ya nyimbo zote za maombolezo zilizoimbwa, hakika hii imenigusa. Hongera na pia pole kwa msiba Kaka Peter Msechu, msiba wetu wote, Pumzika kwa amani J.P.M daima tutakukumbuka watanzania maana umeacha alama kubwa katika taifa letu. Nenda baba msalimie mzee Nyerere, msalimie mzee mkapa, msalimie John Kijazi, msalimie Mzee Maalim Seif wambie watanzania tunawalilia wametuachia ukiwa, kamwe hatutachoka kuwaombea na daima tutawakumbuka mashujaa wetu pumzikeni kwa Amani. We Miss you for real. "UMETUACHA IMARA TANZANIA SALAMA, MAGUFURI LALA SALAMA, MWENDO UMEUMALIZA"
💔💔💔💔😭😭😭😭
Kweli wimbo safi
Magufuli shujaa wetu twakukumbuka roho inauma sana kapumzike mengi umeyafanya wewe ni mwenye heri Mungu akupe pepo ya daraja
2023 bado naisikiza hii ngoma....huwa nahisi ni kama movie hiv ....but God is God
One of my best Tribute songs for Tanzania Fallen Hero..President John Pombe Magufuli.
Good job Peter Msechu.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦
Good job Msechu.poleni
One of the best song so far 😢😢😢😢😢😢😢✅✅✅✅
Kamwe hatutoku sahau kamwe mwendo umemaliza😭😭😭😭
Msechu huu wimbo Fanya mpango uuongeze.n mzuri na unafariji kwa lililotokea.ila ni mfupi sana.nataman uongeze maneno kwa stail hiyohiyo walau hata dakika 10.mwakan ktk kumbukumbu tunaomba uwe tayari.hii kitu siyo rahis kusahau.
Wimbo bora kabisa kati ya zile zilizotoka huu ni no 1...mashairi mazuri umeimba vizuri..hongera sana msechu #Rip #jpm umtuacha imara
Huu ndio wimbo wangu bora ktk zote zilizotoka😭
Mi pia. Yaani najikuta naimba kila mara. Msechu kafanya kazi nzuri sana na sauti yake it.. Rip jpm
@@BweneCosmetics hakika
Hakika
Umeeungan na mimi nisha donwload tiyar huku..
@@superhomeboysbrand2490 😂mi pia
Dah...
Kwa nyimbo za maombolezi hii na ile ya magufuli tutaonana MSECHU mtu mbaya sana. Hapewi heshima anayostahili. Yuko underrated ila ni bonge la kipaji.
Hakika maisha yanenda kasi sana yaan kila nikifikiria jinsi mwamba magu alivyokuwa yupo pamoja nasi wanyonge hakuna raisi yoyote atakayeweza kutupiginia sisi masikin tunaish maisha ya tabu kwa tamaa za viongozi wetu waliokuwepo madarakan ila wache wafanye wanachujisikia ipo siku mungu atawaonyesha hiki watotufanyia sisi masikin
nyimbo inayo gusa moyo wangu kumuenzi hayati magufuli hakika tutakukumbuka baba rest in peace kama unarudia nyimbo hii mara nyingi kama mimi gonga like kumuenzi baba.
Daima tutamkumbuka
Mie kila Dakika 3
Msechu umezidi kututoa kachoz kwa tungo yenye hisia Kali,RIP shujaa wetu Magufuli
Daaah kila naposikiya najawa namajozitere
Listerning it today once again , in memory of Chuma , Jiwe , Mwamba, Bulldozer! R.I.P
This is what we call a tribute!!!! God bless you Msechu
Good job msechu nyimbo mzuri kwa yote our condolences dear brothers and sisters wa tanzania, may God give you peace and fill your Hearts with abundance joy, RIP hero,, wapi likes za msechu tafadhali
Nyimbo mzuri Sana 😭🇹🇿.
Hongera kanyimbo. Kazur
Hongera bro umejitahidi
Nadhani ni wimbo wenye mguso mkali Sana. Hongera Msechu.
Goood remember
Nime replay more than 100times hii song, big up kwa utunzi bora Peter Msechu. Mungu amlaze maali pema peponi, Mungu afariji Africa yetu kwa kumpoteza mkombozi wa africa.
Hongera sana Msechu wimbo mzuri sn,RIP baba umetuacha Imara😭😭😭
msechu mungu atakulipa.. umefanya kumbukizi itadum daimaa.
Allah msamehe makosa yake peponi yakawe makazi yake hakika tulipwelewa tunakumbuka daima upo mioyoni mwetu
Wimbo huu nimeupenda ijapo inauma ndo hivyo
Huu ndo wimbo bora kuliko zote thanks bro kw wimbo mzur kw maombolezo 🙏
Msechu Una kipaji kikubwa,respect Sana.
Poleni sana
Nakukumba baba hakika umeacha alama katika taifa daima bado unaishi katika mioyo yetu R I P PRESIDENT JONH POMBE JOSEPH
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina sku kma ya leo naikumbuk sna
Asante peter msechu kwa wimbo......mungu asaidie Tanzania na hakika katuacha imara😥
R.I.P Magufuli, this song teaches me a million lessons in 2:19 Minutes. I learn how will my people treat me when I die some day, I learn how important you may seem to people before and after you die. And I also learn how you can be a leader , at some points you have to hurt some side for the other side to feel better, at some side they will feel bad and some moments your value may seem when you are gone a few years after your burial. Go well Magufuli.
Namkumbuka Sana magufuli katika ma laisi wote wanasema nyerere sijui kwasababu nilikua bado sijazaliwa wakat wauongozi wake ila peke yake magufuli nilimpenda Sana ila mama Samia tunaomba kifo Cha magufuli kiwe kinakumbukwa Tanzania nzima kama nyerer day iwepo na yamagufuli niombi langu
Huu ndio wimbo bora wa maombolezo
Nyimbo ya kubembeleza wanainchi big up sana Msechu🙌🙌🙌🙌🙌🙌
This song brings tears , I loved Magu
Dah mi bado namlilia magufuli wangu. Forever in my heart💔💔 bado siamini jamani😭😭😭
Nmekumic baba😭😭rudi baba utusaidie wananchi wako huku umetuacha shida zmezid😭😭😭
Rest in peace JPM, unaishi moyoni mwangu
Am shedding and am not even a tz ,this was a leader we felt him even in Kenya,go thee well
Dah nimerudi leo tena kusikiliza ili song dah magu tunakukumbuka san 😔😥😥 lala salama mzee wetu
Da Mungu amlaze pema peponi amini
huu ndo wimbo rasmi wa maombolezo.Ahsante Msechu umeimba kwa hisia na ujumbe mzito sana.My best wimbo wa maombolezo ya msiba wa JPM.
#UMETUACHA_SALAMA
Moja ya kazi nzuri sana kwenye maombelezo ya Mzee wetu Rais Magufuli. Hongera sana Msechu
Nimemkumbukaa rais wetu 😭😭😭 xhv tunapandishiwaa vitu bei zakijingaa sito msahau magu mpk nakufaaa
Dah kipande cha mwisho sasa anapomalozia..baba baaba nenda bababaa baba nenda!!! Dah we msechu sio vizuri hvyo unatutoa machozi ...jembe kaenda dah.
Huyu ndo msanii wa kwanza kutunga wimbo wa maombolezo ,,,r.i.p Magu baba 😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿💔💔
Kuna watu wameungana kuimba nyimbo za maombolezo laikini wewe umeimba peke yako nyimbo nzuri kazi nzuri,Mungu atutie nguvu hasa kipindi hichi kigumu tunacho pitia watanzania ....Mungu ibariki Tanzania
Huu wimbo ndio ulitakiwa uwe no 1 on trending very touch song hapa ndio unajua kuna wasanii na wafanya biashara msechu ni msanii
Dah! Msechu hapa umemaliza kila kitu. Ni wimbo wa huzuni na faraja pia. Nimetokwa na machozi kwenye ule mstari unaosema kwa nini umeruhusu mwamba wetu aende!