A song is about English language mostly is about how many Africans believe that they don't need to learn English but they will automatically start speaking English after or when they are drunk.
najaribu kutafakari hicho kingereza kinachotoka mdomoni baada ya mtu kulewa lakin sipatii majibu nabaki kucheka tu. respect to you Ochu sheggy for your creativity.
Mwaka 2013 nikiwa kidato Cha pili, katka ukumbi mmoja Morogoro kwa jina nmeusahau...tulienda kuangalia maigizo ya vitabu vya darasan..( three suitors one husband na watoto wa mama ntilie...ndipo nliusikia huu wimbo kwa mara ya kwanza...Ochu akiigiza kama chairman😅..tena akiwa na design hiyo hiyo ya uvaaj😅😅😅...ilinifanya nikaelewa sana vitabu hivyo.. salute kwako na Wote mlioshiriki..."Old is Gold"
Ww unaweza sana sijui kwann umepotea kwenye game ila huu wimbo OCHU ulipatia zaid ya sana sichok kuusikiliza hom nikitulia nakumbuka 2012 nilkuwa na dem wng tulikuwa tukikutana lazma tuimbe mm ndo OCHU yy Aneth daah!! sijui yuko wapi dem mwenyewe cz tulshaachana🤔😭
2024 nani ako hapa kuskiza huu wimbo mob love to the muimbii
nimooooooooooooooooooooooooooooooo
Mimiiiiii
mim😂
Huu mda naucheki 😂😂🥰🥰❤️❤️🔥
Am here today what a nice song
anaesikiza huu wimbo 2024 mwezi wa 7 tar 15 agonge like
😅😅
Kama unaukubali huu wimbo kama mimi...naomba like hapo chini
Bedon Dickson ok
Pia ata mm ninamkubali
Kinoma yan
Safiiii sana
@@user-dm7lf2qq8e
2023 here I come listening more than one times, and the song was released ten years ago 😍😍😍 amazing full of lessons to the society
😂😂
It's more than 10yrs
@@jothamekisouke2326 yeah
🇹🇿💯💯
My favorite song
Who is here in 2021. Much love from Kenya 🇰🇪
Here with you 🇰🇪
Me 2
This song still a hit.
Tupo ndani.....
Just discovered this song today and I must say it's a Hit
Naupenda huu wimbo sana,hii ndo ilikuwa kawaida ya baba yangu pombe ikimkolea tu anaanza kingereza 😂😂😂
🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Genius dad
😂😂😂 kila kitu kinaleta kumbkumbu
Kama baba yangu au baba yetu ni mmoja 🤣🤣🤣🤣
Moja ya nyimbo zangu bora za bongoFleva! Naupenda saaana!!
Angalia jinsi gani watu wakilewa wanavyoongea kiingereza kwa jeuri
bro big up , na omba lyrics
Kaz saf sana.. hv huyo mtu wa tangaa msambaa
Yaani nimecheka hdi Bas niagizie pombe uone
Hadi 2020 naipenda bro siurud kwenye game bro
for sure big brother, all in all the song sounds good, what a beautiful beat!
ochu kila nikisikiliza hii song nakumbuka mbali big up mungu akusimamie ktk kaz zako
2024 still a masterpiece really love this song🎉❤❤
"We don't search for old songs"
"We search for gold memories"🎶🎶
Everlasting masterpiece
Well said brother
Yeah that's Sure
It has taken me 9 years to discover this masterpiece. Watching the first time in 2022
Ngoma Imeweza
2020 anyone pigs like kama zote jmn
I have listened to this song uncountable times! I really love it
Me too
I had this song from tik tok and come right away I need to know the artist,8 years later the song hit😛😛
Kbx
sihishiwi hamu kuutazama huu wimbo that is good job Ochu
Tunaoangalia huuwimbo 2023 tugongelaike hao ochu mwamba mwenyewe
tiktok doing wonders, Yani this song is 9yrs old!!!
God's time is the best!!
it's your time to shine
Me mwenyewe Bila pombe kiingereza Hakiji kabisa yani....
Mtokambali aisee nmeuelewa I like dis song
@@happynesselly1628 naikbal
Tulio angalia 2024 tup hapaa
I'm here today 19/7/2021. This song was lit♨
Ulijua kuupiga na kuuimba huu wimbo naupenda sana2023
So this song has become a hit 8years later,just landed from TikTok
Mbona kama mchawi we na I anakuwa kweli
Ikr I was wondering
najaribu kutafakari hicho kingereza kinachotoka mdomoni baada ya mtu kulewa lakin sipatii majibu nabaki kucheka tu.
respect to you Ochu sheggy for your creativity.
Well composed music of African tune, this is an exciting music of all the time.
Entertaining, educative, relevant in every aspect.
Omg this song is a hit after all these years ,nice song I've never heard of it even this artist I've never knew him Lol
2021 still my fav song 😍
Hii nyimbo ili hit Kenya 🇰🇪 mpk nikafikiri Hawa wawili niwakenya 🙌😂🔥🔥
Much love from Kenya 🇰🇪, love this song still in 2022
Hata Mimi nikilewa nakipiga vizur kingereza 2021
Finding this nice piece in 2022 🔥🔥🔥
Nani yuko nami 2021 🤗🤗🤗🤗🤗
Dah!!! Umri umekwenda kumbe, good song nice memory 2022
Love from Tanzania, this makes my days as I listen and watch to this fantabulous song
Huu wimbo unaweza banaa. Duhhh
yani nikisikilizaga huu wimbo nachekaga sana ila sisikilizi nikiwa na mke wangu maana anasemaga bado wewe hapo wamekuchana ukweli kabisaa 🥰🥰🥰🥰
A very simple and beautiful song, I love the creativity
Ukilewa kila kabila utaongea😂😂💪
Kabisa
😂😂😂😂
Bado inafanya vizuri saaana hasa masikioni mwangu
great work,,,, great song much love from 254
Mwaka 2013 nikiwa kidato Cha pili, katka ukumbi mmoja Morogoro kwa jina nmeusahau...tulienda kuangalia maigizo ya vitabu vya darasan..( three suitors one husband na watoto wa mama ntilie...ndipo nliusikia huu wimbo kwa mara ya kwanza...Ochu akiigiza kama chairman😅..tena akiwa na design hiyo hiyo ya uvaaj😅😅😅...ilinifanya nikaelewa sana vitabu hivyo.. salute kwako na Wote mlioshiriki..."Old is Gold"
nafurah sana nkckia huu wimbo very nice aseeee
Good kwanza video inauhalixia kinyama
The kind of music we want....but actually kuipata ni ngumu
Wow I love this song very much..well arranged..keep it up..lots of love from Kenya East Africa..
I remember where I come from thanks GOD
Still sounds legit after those many years
gonga like kama Leo Mara ya kumi unaangalia hii video
Mimi ata mara Mia tano ni like wapi
I did this challenge today on tiktok nimekuja kujua artist huku😅😅😅 8 years down the line ndio najua song,,,,, earth is hard 😳😳
2021 still fireeee
April 2023 .....old melodies are the best ❤❤
Nakubaliiiiiiii Kaka hujawahi kuferi
These are the kind of songs we need to hear hizi za sikuizi weeeh
Mei 2024 still watching Kingereza, nimeandika baada ya kulewa kumbe kweli ukilewa kingereza kinaongeleka vizuri tu 😂
Atoka Rwanda
Tangunijue Kwahili I play this song every day
From 2021 niriisikia
Now this song is trending after Eleven years 😂
Duh maisha yanaenda kasi Sana natamani siku zilud nyuma
Huyu bingwaa kapotelea wapi iseee long time sana
My all time favorite song 2022
tiktok brought me here for the first time n am loving this🔥🔥🔥🔥🔥
Sure me too❤️
Daaaaa,,, nakumbka mbaliiiiii,,,,
Aiseee ,,, npo skuliiiii jemen daaa
2021 naanzia hapa 😀😀😀
Tuliorudi 2021 tujuane🔥🔥
The song is still a hit,2024
Proud to ochu for the great song
Old songs are vibes...who is here 2023🔥🔥🔥
Tuko wengi .. the song is 🔥🔥🔥
mwaka uhu tupo mbona sia mini kama tuna siki liza wote nawa penda sana mwaka huu 2021
When I listen to this song I remember to my late grandfather who was liquor slave.every when he drunk he used to speak much English
A nice song with a good message to some African tribe.such as ngoni,nyakyusa,wahaya etc.
Huyo mrembo aneth nimemwelewa kaka ochu
kingerezaaa!!! love it
I always laugh when I listen to this song
ni kingerezaaaaaaaaaaa
Safi sana hi nyimbo
Me as well
Much love to this guy
2021 bado nacheka tu😂😂😂
2024 for love of kingereza
Very nice song naikumbuka sana 2021still watching
2022 still here, I love this Song
2020 kama unaiskia gonga like
Salute 2021
aisee your song is very cool.. keep up man!
Bado naishi nayo coz have a beauriful yf a like as Aneth mwnya wake na rangi yake jamaniii.
This song make me feel good and teach me something in life don't give up imgm this song released 10yrs ago na ndo imeheat now GOD manze
Wimbo mzuri sana sijui huyu Kijana kapotelea wapi
I used to love this jingle of mister T
Nakupenda san huu wimbo
Nitangoja tu mumewangu ulewe nione ukikiongea...hicho kiingereza.... ukishindwa nikaloweshe kasuti kako haka.....love the song.......
Mm nauwelewa kabisa
16/2/2021 naangalia haka kakingereza
Ww unaweza sana sijui kwann umepotea kwenye game ila huu wimbo OCHU ulipatia zaid ya sana sichok kuusikiliza hom nikitulia nakumbuka 2012 nilkuwa na dem wng tulikuwa tukikutana lazma tuimbe mm ndo OCHU yy Aneth daah!! sijui yuko wapi dem mwenyewe cz tulshaachana🤔😭
You taking my memories back while I was still staying in the village! This used to be my best tunes #OldDaysMemories
duuuu wew nawe umetisha hiy itakua kingereza au pombe sas
Tutungieni nyingine, nawapenda ochu
Old is Gold..2021 from Kenya like pls
God 🎶 nakupenda sana
Why doesn't this video have 1M views 😂😂😂🙌 Kenyans mpo?
Mwanangu unaimba Sana sema unajichukulia Sana poa
From kenya🇰🇪 much love radio maisha ilinifanya nikajua wimbo huu
pure truth...22...bado npo hapa tu...
Who is watching this song 2022 April from Tz.......
Nani hapa 2021🔥🥰
It's watching this video song 2009, 13 years over go, old is goldness, 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
Yeeeeyyyyy..! Ticktock brought me here! What a song