NDOA ZA KIISLAMU: HAKUNA NDOA MKRISTO NA MUISLAMU | MTUME MUHAMMAD ALIOA MKRISTO - UST. MBOGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
  • HUYU HAPA UST. SULEIMAN MBOGO AKIELEZWA TARATIBU ZA NDOA YA KIISLAMU NA SUALA LA MTUME MUHAMMAD KUOA MWANAMKE WA KIKRISTO BI KHADIJA

ความคิดเห็น • 89

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 4 วันที่ผ่านมา

    Mungu ana ongea kwa uwingi kwa sababu wanaume wako wengi

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mie ndo wa kwaza nipe mau yangu🎉🎉

  • @AhaziBahalaye
    @AhaziBahalaye 5 วันที่ผ่านมา +1

    Uislamu sio Dini ya mungu ni utamaduni wa waarabu pamoja na Tamaduni za kale kutoka ISLAEL au ROMANI empire ❤❤

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 5 วันที่ผ่านมา

      Tupe andiko -

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 5 วันที่ผ่านมา

      Ahazi Kwa mtazamo wako Ni hivo

    • @legendaction202
      @legendaction202 5 วันที่ผ่านมา +1

      Roman na arabuni wapi na wapi mbna wakaa msenge ww

    • @suleimankassim7523
      @suleimankassim7523 5 วันที่ผ่านมา +1

      Kafiri katika ubora wako

    • @AhaziBahalaye
      @AhaziBahalaye 5 วันที่ผ่านมา

      @@konandawise4550 andiko ndo Nini? Tumia akili utumwa wa kidini unakusumbua
      Mfano Mungu wa waislamu Allah hataki Waarabu wa SAUDI ARABIA na wafuasi wake wale nguruwe ni halamu ila .
      MUNGU wa wakristo wote duniani kutoka ROMAN EMPIRE na ISLAEL hataki wawe washilikina kama waislamu.u n.k.

  • @YusufDaudi-v5f
    @YusufDaudi-v5f 4 วันที่ผ่านมา

    Makama ya kadhi kama kwetu Kenya 🇰🇪

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 5 วันที่ผ่านมา

    Shekhe Sulaiman Mbogo ni hivi 👍

  • @alhadajjmohammedsmith9042
    @alhadajjmohammedsmith9042 4 วันที่ผ่านมา

    Mtume (Ndoa ya Kwanza) alioa akiwa hajaupokea Uislamu/hakuwa Muislamu na baada ya Kufunuliwa Uislamu haikuwa na Sababu ya Kufuna tenda Ndoa Mpya/Ndoa ya Kiislamu sababu kwa wanaokuwa Makafiri/si Waislamu wanapoukubali/Wanapouamini Uislamu (Wakisilimu) hawana haja/si lazima kwao Kufunga Ndoa ya Kiislamu bali huwa Waislamu Kiimani/Kidini na ktk Mdoa yao ileile ya Awali hukubalika/Huahalalika ni Ndoa Halali.
    📌 Uislamu hakuja/hakuletwa kwa Kuharibu Mila (Tamaduni) Nzuri zinazokubaliana/zinazoendana na Maumbile ya Umbwaji wa KiBailojia/Kisayansi.
    📌 Uislamu haukuja/haupo kwaajili ya Kuweka Uzito kwa Watu ktk Kuabudu-krk yale anayoyaridhia Allah 🙌

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Soma kwanza

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 3 วันที่ผ่านมา

    Nimegundua kwamba bila biblia, quran haiwezi kueleweka. Quran haijitegemee yenyewe. Na mbogo anakwepa maswali. Hajajibu hata moja. Marehemu Muhammad alioa kafiri. Hii dini ni balaa sana

  • @mobutu3884
    @mobutu3884 5 วันที่ผ่านมา +2

    Swali halikujibiwa mada imebadilishwa juu kwa juu, na wewe simulizi unapouliza swali hakikisha limejibiwa na sio mtu anabadilisha mada na wewe unaingia kwenye mtego, mbogo anasema hakuna ndoa ya mkristo na muislam cha ajabu mohamad alimuoa bi khadja akiwa mkristo sasa tueleweje? Bi khadja na mohamad walifunga ndoa gani? Maana mohamad alimuoa bi khadja kabla hata hajapewa kitabu na hajui dini ni nini wala imani, Mbona mada imepigwa tiktak.
    Kuna mda mbogo anajichanganya kuna naneno anayatamka mfano kama haya; anasema "kabla uislamu haujaja au quran kushuka" ila badae utawasikia wakisema uislamu ulikuwepo tangu zamani yani vurugu vurugu tu, ukimbana vizuri atasema ukweli sema unatolewa kwenye mfumo 😀.

    • @daawaonlinetv4486
      @daawaonlinetv4486 4 วันที่ผ่านมา

      Swali lako nini acha malalamiko

    • @mobutu3884
      @mobutu3884 4 วันที่ผ่านมา

      @daawaonlinetv4486 sawa naacha malalamiko, je mohamad alifunga ndoa gani na Bi khadja?

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 4 วันที่ผ่านมา

      Uislamu ulikuwepo laakin kama Ktk Mji/Eneo alikuwa akiishi Mtume Muhammad SAW wanaeuwelewaje Uislamu kabla ya Kufundishwa ?!
      KiAsilia Watu/BinAdam (Kwa Maumbile ya Umbwaji) ni Waislamu.
      Sawa na Mtanzania wa Asilia hawezi Kujuwa/Kukumbuka Asili ya Kabila/Tamaduni yake akiwa Nje/Mbali na Tamaduni yake Hadi Afundishwe/Asome (apate Mafunzo) na ndivyo ilivyokuwa Kwa Mtume Muhammad SAW

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 4 วันที่ผ่านมา

    Asibadilishe badilishe hoja ajibu hoja

  • @ngerejaboniface2596
    @ngerejaboniface2596 5 วันที่ผ่านมา

    Mamruki wa waarabu wanatabika na quran!

  • @WazaeliStefano
    @WazaeliStefano 4 วันที่ผ่านมา

    Mbona sioni akijibu bali ana toa tu maelezo tuna taka majibu

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe mbogo usiisingizie biblia kuwa hakuna Aya linaloluusu mke mmoja Yesu kasema hivyo ulivyo muongo heti Yesu akufindisha kuwa na mke mmoja soma Mariko 10:6-9 na mathayo 5:32

  • @FadhilZaharan
    @FadhilZaharan 5 วันที่ผ่านมา

    Swadakta Leo mmetubadilishia mada

    • @godsonishengoma5378
      @godsonishengoma5378 5 วันที่ผ่านมา

      Tubuni na kuiamini injili..
      Yesu awakbali wakosa kwa mana alikuja kwa ajili ya kuwaokoa wenye dhamb.. Kila ajihesabiaye haki kwa matendo yake yu na dhamb ndan yake! Yesu ndye njia ya kwel na uzma,n kmkiri na kmwanin nae ata2fikisha kwa Baba!

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@godsonishengoma5378lakini usisahau yesu alitumwa kwa wanawaisrael TU

    • @konandawise4550
      @konandawise4550 5 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@godsonishengoma5378 tuna tubu na tunaamini injili - ila nyie mnataka kututia kwenye ukafiri wa kumuita yesu Mungu wakati yeye hajawahi kusema hivo - ss hamuoni mnatupeleka wapi?

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 5 วันที่ผ่านมา

      ​@@godsonishengoma5378mbona katika masharti ya uislamu Ni kuwaamini mitune akiwemo Yesu, sasa sijui unataka tumuamini vipi

  • @FadhilZaharan
    @FadhilZaharan 5 วันที่ผ่านมา +1

    Simulizi nyinyi biblia hamsomewi hayo mambo mageni hamyajui

    • @chaco1466
      @chaco1466 3 วันที่ผ่านมา

      Nyie Hamsomi

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 5 วันที่ผ่านมา

    Wewe Mbogo hapo umeonyesha unafiki kuhusu mtume Paulo maana Kuna Aya za Paulo unazikubali zingine za huyo Paulo unazikataa heti mpaka aseme BWANA Yesu huo ni unafiki kwamfano wagaratia warumi matendo ya mitume umo unatoa Aya unazozikubari sio sawa

    • @YusufDaudi-v5f
      @YusufDaudi-v5f 5 วันที่ผ่านมา

      Prochemest5439 munafiki ni wewe na Paul wako kafiri kama wewe

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 4 วันที่ผ่านมา

      @YusufDaudi-v5f mnafiki ni mtume Muhammad wako mpiga kristo mtume WA majini mapepo wachafu mashetani

    • @MengiRashid-h3u
      @MengiRashid-h3u 4 วันที่ผ่านมา

      Safi sana shee

  • @ahmedmakame1687
    @ahmedmakame1687 5 วันที่ผ่านมา

    Shekhe unapotosha quran haijakatazo kumuowa mkristo imeruhusu kowaowa waliopewa kitabu Soma quran 5:5

    • @daawaonlinetv4486
      @daawaonlinetv4486 5 วันที่ผ่านมา

      Lete tanibih ya hao wakristo wakuwaowa ndoa anafungisha nani, Acha kukurupuka hiyo aya ya 5 Surat Maida ina tanbih

    • @kassimothman666
      @kassimothman666 5 วันที่ผ่านมา

      Kweli AHLUL KITAB WANARUHUSIWA LKN JE HAO AHLUL KITAB NDIO NANI ?

    • @FadhilZaharan
      @FadhilZaharan 4 วันที่ผ่านมา

      @@ahmedmakame1687mpaka asilimu hicho kipengele wengi wanashindwa kutofautisha huwezi kuoa kunakuja baada akishasilimu waislam wengi hili swala linawachanganya

    • @daawaonlinetv4486
      @daawaonlinetv4486 2 วันที่ผ่านมา

      @@ahmedmakame1687 WAKRISTO TULIYO NAO NI MAKAFIRI NA WASHIRIKINA TU NAKAMA KUNA ANAYE ONA KUWA WAKRISTO HAWA TULIYO NAO NDIYO AHALU -LIKITABI AMCHUKUE DADA YAKE AU MWANAYE AKAMUOZESHE DANIEL MWANKEMWA AU MWAMPOSA NA FRANSIS NDACHA, KAMA YEYE NI MKWELI

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Soma kwanza

  • @AhaziBahalaye
    @AhaziBahalaye 3 วันที่ผ่านมา

    DINI YA UKRISTO NA UISLAMU NI UKABIILA KUTOKA SAUDI ARABIA NA ISLAEL KUTOKANA NA ROMANI EMPIRE 😂😂AU NI UTAMADUNI WA KALE KUTOKA ROMAN EMPIRE.

  • @betinah49
    @betinah49 5 วันที่ผ่านมา +1

    Muhhamed alioa khadija akiwa kafiri unasema nini wewe

  • @charlesmapunda-g5l
    @charlesmapunda-g5l 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe Mbogo hao Manabii walikua na mke mmoja hao wengine walikua wanakuja kwa sababu hakuna alie oa na kufa na mjakazi wote waliishia pembeni bali alikufa na mke alie muoa kwa upendo na wakwanza hao wengine ni kiburudisho mke ni mmoja tu. Muhammad tamaa yake mpaka akabaka kijakazi wake wa bi Apsa na hakuridhika akaoa katoto ka miaka sita huo si umalaya?

  • @JohnAwinda
    @JohnAwinda 4 วันที่ผ่านมา

    Je MUNGU gani bora?anaye Mwana bila mke na aliye kosa Mwana juu ana mke. Ni swali tuu watuwetu

  • @YusufDaudi-v5f
    @YusufDaudi-v5f 5 วันที่ผ่านมา

    Ahazi bahalaye pole sana dini una kitabu una wewe kafiri tu watu wakishungumza mambo dinii fungu mdomo wako mushafu kushu uislam dinii manabii

  • @willymuiruri7078
    @willymuiruri7078 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu mbogo hamna kitu amendokea mada kawaida yake.

    • @wadimtwana7286
      @wadimtwana7286 4 วันที่ผ่านมา

      Umekutisha ukweli😂😂😂

  • @basilejuma
    @basilejuma 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu ni kama kupoteza mda,mbogo hajui lolote,anaongea vitu ziko kichwani na haziko kwa maandiko

    • @wadimtwana7286
      @wadimtwana7286 4 วันที่ผ่านมา

      Ni bora ungetowa ww mtaalamu

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 5 วันที่ผ่านมา

    Sasa wewe unaedai uwaowe watu walopewa kitabu je wakristo wamepewa kitabu gani na mtume wao ni nani na biblia kapewa mtume nani

    • @charlesmapunda-g5l
      @charlesmapunda-g5l 3 วันที่ผ่านมา

      Muhammad kapewa Utume na mkewe Bi Khadija na Binamu yake na Majini kule Mapangoni

  • @AhaziBahalaye
    @AhaziBahalaye 5 วันที่ผ่านมา

    Koroani ni Katiba ya waarabu na wafuasi wake
    Koroani sio kitabu Cha MUNGU

    • @badruseif1318
      @badruseif1318 5 วันที่ผ่านมา

      Ahazi hapo ndio mwisho wa upeo wako wa Akili

    • @suleimankassim7523
      @suleimankassim7523 5 วันที่ผ่านมา +1

      Ni kitabu cha mama yako mbwa wewe

    • @AhaziBahalaye
      @AhaziBahalaye 5 วันที่ผ่านมา

      @@badruseif1318 ukweli ndo huo KOROANI tukufu Sio kitabu Cha mungu ni KATIBA ya waarabu kutoka SAUDI ARABIA pamoja na wafuasi wake
      1.Dhambi hazifanani kama nguruwe ni halamu Kwa wasabato na waislam Tuu.....
      2. Mnamuabudu Allah wakristo wanaabudu MUNGU baba mungu mwana yesu kristo na MUNGU Roho mtakatifu, wahindu MUNGU budha, rama n.k..
      3. Kiama Cha waislamu Hakufa ani na kiama Cha dini zingine mfano wakristo wamemsubili YESU kristo aje Dunia kuwangakua walio sema waislamu ni Allah, wahindu mungu budha n.k...
      5. Waislamu , wakristo, WAHINDU, waabudu masanamu, mizimu, MIUNGU mbingu hasifanani mfano WAislamu watakaoenda peponi watakabidhiwa mabikra 72 na mtu wenye matunda unaozalisha aina 12.
      6....
      7..................

    • @AhaziBahalaye
      @AhaziBahalaye 5 วันที่ผ่านมา

      @@suleimankassim7523 koroani tukufu Sio kitabu Cha mungu ni KATIBA ya waarabu na wafuasi wake pamoja na UTAMADUNI wa wazungu ISLAELI au ROMAN EMPIRE na watu wa kale

    • @AhaziBahalaye
      @AhaziBahalaye 4 วันที่ผ่านมา

      @@suleimankassim7523 mama na baba ndo wameniumba sio Allah wa Saudi Arabia