UJUE UNDANI wa HAMZA ALIYEJITOA MUHANGA KUWAPIGA RISASI ASKARI POLISI KISHA NAYE KUUAWA kwa RISASI..
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2021
- UJUE UNDANI wa HAMZA ALIYEJITOA MUHANGA KUWAPIGA RISASI ASKARI POLISI KISHA NAYE KUUAWA kwa RISASI..
Jina linalosomeka katika usajili wa simu yake ya mkononi alioufanya kwa alama za vidole, ni Hamza Hassan Mohammed na inaonesha kwamba alizaliwa Novemba 11, 1991.
Ni huyu ndiye aliyesababisha taharuki kubwa na umwagaji damu kwa askari watatu wa Jeshi la Polisi na mmoja wa Kampuni ya SGA huku wengine sita wakijeruhiwa.
Wakati bado tukio hilo lililotikisa kila kona ya nchi likiendelea kuwa gumzo kwenye vichwa vya wengi, Global TV imekuandalia wasifu mfupi wa Hamza, kulingana na jinsi watu mbalimbali walivyokuwa wanamjua, kabla hajatekeleza tukio hilo la kutisha, na huu ni undani wake ...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750 910), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
Ila kama alikuwa na nia ya kufanya ugaidi angeuwa hao raia waliokuwa kweny magari na kama angekuwa na nia ya kufanya hio jihad nahis angeenda makanisani...kuna kitu nyuma ya hili kwakwel
My deepest condolences to hamza's family
Kwahy angeenda kuuwa watu makanisani cndio
@@rehemaconeriocostance9011 hujamuelewa rudia kusoma vizuri coment yake
@@rehemaconeriocostance9011 husomi unakurupuk😏
@@salamanauthartanzania6301 kabisa hajamuelewa arudie kusema.
@@rehemaconeriocostance9011 Soma vizuri atafahamu
Asante kaka Hamza kwa kutuonyesha askari wetu kumbe hatuna askali
Ha ha
Hahah
Na wewe fanya fujo ili uone kama tuna askari au la!
🤣🤣🤣
@@jumakapilima5674 sio yeye ila wapo wakina Hamza wengine
Hamza Mwenyezi Mungu yu pamoja nawe hawa wanaolinda raia na mali zao ndio ndio wanaotisha raia, na kuwadhurumu. Pumzika kwa amani Hamza
Amina
Kumbe walimuhiz amza pole amza inauma mmempokonya madin yake!!?
Ila polen maaskar nanyie tunawamin niwatetez waraia mbona mmekuaivo?
Wallah akuna hata komenti moja inayo msema vibaya kijana hamzaa subhannallalh Allah ndo mjuzi wakila jambo sijuw asikar wanasoma komenti maana zote ziko upande wa hamzaa
Hamza kaacha history ambayo haitasahaulika daima kwenye maisha yetu
Napata kigugumizi kwanini alikuwa hauwi raia lazima Kuna kitu police walimfanyia huyu mwamba
Hapo ndio alipo tuachia swali itakuwa ni kweli wamemuzulumu
Kabisa broo
@@deathrow8004 inabidi serikali ichunguze kwa makini
Kwa hiyo polisi wanatuhumuwa kumpora dhahabu, halafu polisi wanachunguza ukweli wa kauli ambazo tayari wamesema ni uzushi halafu tutarajie matokeo sahihi
Wachatuchanganyikiwe wewe kaka wa Taifa kafarki huo mngod utasimamiwa na mimi sasa jamon😭😭😭
Kwanza atutaki watoe taalifa zao za uwongo
Kama kuna makosa polisi walimfanyia Hamza hio ndio imezikwa na Hamza. Ukweli utakuja toka wakati watuhumiwa watafika mbele ya haki, kawaida watuhumiwa hawaamini kuna siku ya kujibu maswali mbele ya muumba mbingu na ardhi.
Ipyana Mapassa - Umeona eeh! Polisi wameua kisha eti polisi watafanya uchunguzi. Hawa polisi wanatudharau sana Watanzania
Uhkk
ALLAHumma ghafirr llahum
Warahamahu..☝️
Tutakulilia daima Hamza.
Hamza Amefanya Sirro Atokwe povu🤣Wamechangamshwa kidogo tu Wamepata Muhahao
@@hamisimuna125 ha ga ha ga
Simlili muwaji ngooo
Hujalazimishwa,Ni kama Vile Ukiwa Na Safari Zako duniani Ni Lazima kwasasa uchome Chanjo ya Corona
Hakupaswa kuua, hata Kama umefanyiwa dhuluma suluhisho sio kupoteza maisha ya wengine. Kwa mm Wala silii
Allah msamehealikuwa muumini wakiislamu mashaallah
Amin amin
Aamin
amin
AMEEN THUMA AMEEN
amiin
Kulinda na kupigania Mali yako ni jihad pia. Allah akurehemu Hamza. Umekuwa shahiid.
Pole kwa familia ya Hamnza🇴🇲
Ahsante amin
Allah amsamehe Hamza inauma sana ukiwa hujatendwa na police huwezi elewa kwann alifanya ivyo na hapo hakuna uchunguzi wwte
Huyu aludhulumiwa mugodi ndo maana kaamuwa kuwamaliza mapolisi washenzi😂😂
Nashauri maafisa wa polisi hawatachunguza vizuri naamini ufuatiliaji ufanywe na kikosi cha kuzuia rushwa majibu yatakuwa sahihi.
ALLAH amlipe ndugu yetu anavyo stahiki
Amsamehe amin
Kifo chake kiwatafune walioficha ukweli
Hamza pumzika kwa Amani kama ulizurumiwa Dhahabu Yako pumzika kijana hawa Magaidi waendeleee
Hamza Allah akusamehe akuweke mahali pema peponi
AMINA
Allahu mma Amiiin ya Rabbiy
AAMIN YA ALLAH
Kwanini police haisemi Hamza aliwaandama wao tu na sio wananchi.
Awawezi sema
Policy wasituchangany kunakitu kwanin wao tuu waseme kwel
Mungu arehem hamza almlaze pahali pema amina ishaalah ampe janat fidaus ishaalah apunguziye aghabu ya akhera ishaalah mungu mkubwa auwaaalah akibar
ALLAH AMREHEMU HAMZA. ALIKUA MUUMINI WA KISLAM.
Amin
Ndio maana uislamu ni ugaidi
@@mbogosodebella8907 wewe nishwetwani haswa
@@aishaarusha894 shwetwani ni ww unaye support ugaidi
@@lakasid3860 gaidi ni huyo ulio mfunika suruali habith we
Hamza mwenyezi mbinguni ailaze roho yako mahala pema peponi amini 🙏🙏🙏 Ila dah askali wetu wamepata walichostaili maana wamezoea kutuonea wakitokea watu wengine Kama wewe wanne askali watanjooka wamezidi kututapeli
Safiii sana kwa kuandaa hii makala maana huu hamza kanigusa sana moyo wangu na pia kanifundisha kitu kikubwa sana ktk Maisha yangu
Tumejifunza kitu kwako Hamza 👍👊💪😎
Wenae katangazie upuuzi wako huko, Hamza hakuwa mkatili ni raiya mwema aliedhulumiwa, Allah amrehem ampe makazi mema
Hakutakiwa kuua... Marangapi watu wamedhurumiwa na hawajafanya mashambulizi ya mauaji... Ingekua ukidhulumiwa unaua, nahis wengine tusingekuwepo sku yaleo.
@@lydialaurian4734 Hujadhulumiwa vya kutosha, afu kingne uwezo wa kuwa na silaha huna!!!
@@lydialaurian4734 subiri na ww udhulumiwe kisha uje hapa useme
Alaf unamtaja allah kwenye upumbav huu...una uhakika aliowaua ndio waliomzulumu
@@lydialaurian4734 ww umdhulumiwa mia 5 wenzako kadhumliwa mamilion
Hamza sio chizi, angekua chizi angefyatulia risasi na raia
Kabsa
Ananikera uyu siro avyosema eti mtoto gaidi wenyew ndo wanaongoza kwaugaidi hamza ame wachachafya
umeonaee
Ndy hapo kila mwenye akili timamu atapata majibu sahihi
@@aminaally863 ame wachachafya
Mungu akurehemu hamza kila mmoja amzumgumza kwa mazuri mashallah
Yan kumbe alikuwa mtu mwema kiasi hiki mbeya wanamlilia jaman oooh nimeumia mnoo Mungu ampokee Hamza
Hamza kadhulimiwa mali yake. Acheni uwongo jamani. mapolisi wamemibia dhahabu zake. Simon Sirro lazima atoe apologies na kusema ukweli. Hamza siyo Gaidi bali kagombea mali yake.
Una uhakika lakini
Rip
Dhulma na kudhulumiwa
Ufisadi katika idara ya polisi ya Tanzania na jeshi la Tanzania ni kubwa sana, huu ni mwanzo wa dalili za vita vya wenyewe kwa wenyewe ikiwa rais wa nchi ataamua kuzuia kuenea kwa ufisadi .. kwa sababu ni wazi kwamba walimtukana Hamza na kuiba pesa zake na dhahabu na kumtesa na haya ndio matokeo. Ni wazi kwamba hata watu wa Tanzania hawakuathiriwa na mauaji ya polisi hao kwa sababu walikuwa mafisadi. Uthibitisho ni kwamba aliwaua polisi tu..na ujinga mkubwa ni kwamba ikiwa polisi wangetaka kumkamata, wangempiga risasi ya mguu tu, na tungejua ukweli. Lakini walijua na ndio sababu walimuua. Mungu akurehemu, Hamza
Aaaaaaa subutu anae uwa kwa upanga na yeye auwawe kwa upanga
Amen! True Said They exactly know why he did. R.I.P Hamza🤲
😆
Ni kweli kabisaa
Allah ampe kaur thabit jaman nimeumia jaman dooh😢😭😭😭😭
Ameen yarab ameen 😭😭🇴🇲🌹
Kaniuma sana
Yaani mm nalia na Hata Simjui walivyomdhulumu
@@sitiabubakar2892 c wamempiga risasi akafarik hapo hapi kwan video zilizopo mtandaon ujazion?
@@habbyhalawa5266 najua nimefatilia toka mwanzo wamefanya kusudi Kupoteza ushaidi ila wamemdhulumu
Innalillahi wainna ilayhi rajiuun Allah ilaze roho ya marehemu hamza na umsamehe madhambi yake
Yaani m2 unakosa amani kabisa akiwa na mali😭serikali itakuandama binadamu watakuandama majambazi watakunyemelea tani utaishi roho mkononi💔
Pole I xana jeshi la polis kwa masala huo
Kweli utajiri mtihani umaskini mtihani
Poleni Sana ndugu wa hamza
Askali wajirekebishe
Iyo kweli wa askar wanazidi kuwapora waraiya nasio tu wa askar hata viongoz pia
Kwa asili yake ameamini kufa kuliko kukosa haki yake. RIP HAMZA
Dhulma ni kitu kibaya sana, wajifunze
Hamna msongo wa mawazo,hamza Ana akili zake waseme ukweli wamemkosea nn,kila mmoja Ana muongelea hamza kwa uzur
Mwenyezi Mungu akupunguzie adhabu za kabri Hamza hauna baya bro kapumzike baba ❣❣❣❣❣❣
Hamza sio Gaidi . Hamza ni Mwanaume na ameacha funzo kubwa kwa watanzania na jeshi la polisi
Mungu akulaze mahalapema shujaa Hamza
Ukute polisi Walimtapeli Madini Yake ,,, Sio Bure
Inawezekana maneno yanaskika ya hamza akisema kumuhusu sirro apa ndio panabaki maswali
Inawezekana
Wana ficha ukweli hawo wala riba tu wacha wapigwe
Mm pia nahisi hivyo mbona kamera zinaonesha raia wakawaida amewapita hata Kuna mzee amekaa karibu na yy alipiga tuu police
Mm pia nahisi hivyo mbona kamera zinaonesha raia wakawaida amewapita hata Kuna mzee amekaa karibu na yy alipiga tuu police
Haya mnayasababisha wenyewe kuna watu wanafanya dhuluma kwa kujivunia kufahamika kwa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama
Kama askari walimdhulumu alifanya vizur kuwauwa
Usiseme hivyo tunajuwa asikali wamemdhumu madimini yake innalillah wainaillah rajiun 😭😭😭inauma sana
Mung amrehemu Hamz na awarehemu marehem wote lkn askari waliouwawa sio walomzulumu...
Kweli maaana hata hamza Anamoyo kama walimfanyia vibaya nayy akaona afanye ivo
Kama nikuibiwa maadini anauhakika gani kuwa hao aliowauwa ndo waliomuibia?
Chamtu chamtu tu
hapana kuna kitu cha siri kenye kina endelea hata kwa maskari ni wasaliti hao mapolisi waki jeshi ni wasaliti na kuna kitu kina endelea ni lazima hao wana jeshi waeleze kuna wasaliti wengi wallah
❤❤❤❤❤ asanteeeee Hamza Allah akupunguzie adhabu huko ulipo
Dah sielew kabisa an Hamza pumzika salama
Amin
Police wezi itakuwa wamemzulumu zahabu zake police Mungu aendelee kuwalaani mm binafsi nawachukia police wote
Mwezi wa8 niwakutowa watu kafara Hamza mungu akusamehe ukutaka haya ila mungu anajuwa zaidi🙏🙏
Bora mungu akupe mtoto kama hamza lakini asikupe mtoto kama simon siro
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
MMMHHH TUMEJIFUNZA MENGI KWA HILI
Aisee nimecheka kwa saut...
,daaah jmnii
Allah ampe kauli thaabit,lakini ingelikuwa ni Bora kuwaangusha polisi kama ishirini hivi angalau
Yaan kunywa soda
Sawa alikuwa mtoto kama alianguka gorofani mbona wengine wanaanguka kwenye miti ya embe na hata yeye kapoteza Manisha yake lakini kila mtoto akiwa mdogo mtukutu Alah amsamehe ampeleke pema peponi amiiin 👐
Daaa ameacha history duniani
Taarifa yoyote itakayotolewa na askari wa Tz haipaswi kuaminiwa. Wanabambikiza trauma za uwongo kwa waliohai,je kwa marehemu?
Kabisa
Hakika usemayo akhui
Allah akuhifadhi na adhabu za kabur jemedar wetu Hamza
Mtangazaji anaongea vibaya wala haileti msisimko sema inaboa sana. Yn mnafanya kma masihara mtangazaji anavyoelezea
Mi mwnyw kaniuzi balaaa......yaan wamuangalie vzr huyu mtangazaji
Mm ctaki kumfaham sana,ila nasema tu ,Hamza ni kidume
🤣🤣
Kabisaaaa
MaashaAllah hatutakiwi kukubali dhurma tushaambiwa
Watanzania tujitokeze Kwa wingi tukampumzishe Hamza
Inauma mungu amupokeye kwamikono miwiri 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Hata ungekuwa wew usinge kubali maliyako ichukuliwe kiboya
Mungu Awarehemu wote.
Hongera sana Hamza mwenyezmungu akulaze pema pepon hongera sNa
Asante amza
Allah amlaze mahali pema 🥺🥺alikuwa ni handsomeboy kweli 😪😪😪
unapepo ra ngono
@@magulugupu5739 😂😂
Anaese sema hamza nigaid gaid ni mamaake , hap nilipo damu yangu inachemka, japo xyo din yangu, ila xx xote niwamoja, one love brow,
Daaah mtihani kabisa allah amlaze pahalapema
Polisi wasichunguze suala hili, tupate wachunguzi kutoka nje k wani nao inaone k ana ni se hemu ya chanzo Cha tatizo.
Mungu ndie wa kutuhukumu. Na
ndo hakimu wa kweli.
Polisi ni kazi ya laana staki hata mwanangu Afanye
Lisauti la mtangazaji libayaaa
Train your police not to take people's sweat unmercifully. I'm sad for the lose though. 💔💔
If you have an evidence it is better to send it to court!
@@jumakapilima5674 Talk logic. 😎
@@aby21111 if you have it, send it to court!!
@@jumakapilima5674 Talk logic and use common sense. If you don't understand me,go back to school. 🇺🇸😎
@@aby21111 you don't know the meaning of logic!!
Tunamkumbuka sana Hamza😭😭😭
Hakika ya kisasi ni Hakki.
Serekali mnaliharibu taifa kwa kuzulumu raia, raia wanapofikia wakati hawana pakupata suluhu ya matatizo yao wanaamua maamuz magum.
Tozo
Kodi
Udikteta... xinaweza kuchanganya raia
Hakika
Point
Tulikua tunataka kuomba mechi ya kirafiki na Taleban lakin Kwa huu mziki wa hamza aman itamalaki
😂
Aisee
🤣🤣🤣
Bora wangekufa tu polisi zaidi hao mana tumechoka na zulma zao!!
Sorry for hamza and family who lost a son and wealth and also police who lost their lives and those who are injured and families truly tragic but the root must be reached to prevent future hamza
Mateso ya mwenye haki ni mengi lakini bwana humponya nayo, Mungu akupokee kwenye nuru ya uso wake Hamza
Duh ila hiyo sauti...zungumza kwa sauti yako...😳😲
Pumnzika brother hamza
Iposiku hata mm nitaweka historia iwe nzur au mbaya sijali,💪
Tuko pamoja
Mh! Inaumiza sana
Hawa maaskari wana ziki tu utafkiri hawalipwi mshahara...... Namuomba mungu kama hamza kaua wa4... Aje omar awauwe mia4.....
Mungu mlaze Mahala pema pepon
Imekuwa story book sasa,wabongo bwana!
Kweli ni kama Hamna kazi
Mashuhuda walisema alishuka kwenye ist, nyie waandishi msio na weledi na wavivu wa kutafuta habari wepesi wa kulishwa maneno, mnasema alishuka kwenye Noah, msipende kuletewa taarifa mezani
Mara Noah mara bodaboda mara lST sasa cjui tuelewe nn
Mara Noah mara bodaboda mara lST sasa cjui tuelewe nn
Alha amrehm hamza inawezekana kwnn asiuwe raia walio kuwa kwnye gari naakadili na polis
Hamza Amewachangamsha Kidogo tu Sirro Anatokwa mapovu🤣Eti Msizae Watoto Kama Hamza,NIMEPENDA sana Ushujaa Wake
Apa ndo na amini kwanini siro anamsema vibaya.nimeskia video ya maneno ya hamza alio ongea sikuile ya tukio inaonekana sirro Kuna kitu
Askari waache wiz shamsa kawachangamsha tamaa zao hizo Kwan Hamsa si nayeye binandam kwanini ajafata wapitaji anafatiria askari waache utaper Hamsa kashindwa kujizuia tu wanaozurumiwa na na askari ni wengi tu lakin wanapotezea
@@HappynessJose cyo shemsa bwana ni Hamza hata kuandika Hamza kwako mtihani tena
@@user-rd7jt1vi5x 😂😂😂😂
@@user-rd7jt1vi5x 😂😂😂😂
maaskali wapumbav na mtakufa sanaaa mmezoea kuzulum lala salam Amza😭
tamaa mbaya
Hamza iranzwe mahara Pema 🤲🤲🤲🤲🤲
RIP
Tutakukumbuka mkombozi wetu Hamza
😄😄😄😄
Hahahahaha
Mkombozi wako kwa lipi?
hiyo sintofahamu ya chanzo cha tukio ndio twakisubilia japo uchunguzi wa jeshi la polisi utakuwa na walakini.
Kijana mashallah...
Mtakazanji ako👌👌🔥🔥 from Kenya
Hamza hamza hamza 🤲🤲🤲🤲😭😭😭 hakika inauma Sana
Polisi kama hamjasimama kwenyehaki, hamko salama, hasira ya dhulma haizuiliki
Ni kweli ndungu asia dhuluma haisahuliki ndiyo tatizo kubwa mm nimedhulumiwa pesa tele mpaka leo nakumbuka sitosahau wala sitolipiza kisasi lakini neva kusahau hata kiyama waliyonidhulum siwezi kuwasamehe
Nikweli asia hapo ni mwanzo wameziidi dhuluma
Allah ampumzishe kwa amani wmamba uyo
Rip hamza
MWAMBA uloweka sauti. umezingua sauti mbaya story nzur
tutakukumbuka magu pumzika kwa amano
Kabisa
HAMZA NI KADA MWAMINIFU WA CCM ALIYEJENGA OFISI ZA CCM.SIJUI ANGEKUWA CHADEMA TUNGESIKIA YAPI.YAANI MUNGU HATANIWI