Allah atujalie mwisho mwema wenyew kutenda mema inshaallah!!!!@Shukran jazzaq Allahu kheir sheikh Allah azd kukup elmu uzid kutuelimisha n tuwe wenye kuyafat alio tuamrisha y haki n kuyaacha aliyo yakataz kw a kutak Radhi zake Allah 🙏
Masha Allah shekh othumani maalimu Kwa kweli kabisa maneno ya kweli kabisa maana ukiangalia mpaka mambo ya ushoga eti yarusiwe kwa kweli shekh asema kweli kabisa
Shukuran sana shekh othumani maalimu kwani wasema kweli kabisa maana ata ukiangalia eti tumefikia mpaka watu wanataka mambo ya ushoga kwani ni hatari kubwa Kwa kweli shekh ajakosea kusema mwisho wa dunia in shaallah mwenyezi mungu atunusuru la ili janga
Naomba mungu atupe hekma na subra pamoja na utulivu tuyasikie mawaidha kutoka shekh wetu Othman ili tupate fursa ilionyooka na tuzingatie tuwe waelewa Kwa wzazi aswa hapo 👍
Maashaallah, darsa tamu, Allah akupe afya njema na umri mrefu tufaidike na kipaji chako sheikh wetu mpendwa
Ameen yaraby
Hamiyari Maliki
Ishala
Tio usado
Feiticeiro
Allah atujaalie tuwe na mwisho mwema inshaalah kwa waumin wote dunian.
Aamiin yarabby
Allah atujalie mwisho mwema wenyew kutenda mema inshaallah!!!!@Shukran jazzaq Allahu kheir sheikh Allah azd kukup elmu uzid kutuelimisha n tuwe wenye kuyafat alio tuamrisha y haki n kuyaacha aliyo yakataz kw a kutak Radhi zake Allah 🙏
Sheikh Osman Allah akpe kila unachokitaka fi duniya wal akhera kila siku moyo wako utulie😊
Mashaallah shekh othmani maalimu nakupenda kwaajili ya Allah yaaa rabby tujalie sisi umati Muhammad mwisho mwema 🤲
Ameen Ya Rabb
Maanshaa lalh alalh alalh kupe maisha marefu shekhe wetu
Shukran sana shekhe Othman Maalim, jazakallahu kher, Allah akulipe Jannah firdausi 🙏
Allah akulipe akupe umri murefu
Jamani naombeni namba ya huyu shekhe plz
Sheekh mnakubali sana mawaiza yako alaa akujalie
In shaallah mwenyezi mungu atufaidhie shekh wetu kipenzi cha watu na akitowa mawaidha kwa kweli kabisa lazima yaguse moyo
Alihamdulillah shukrn sana sheikh wetu ALLAH akujaalie umri mrefu ❤
Allah atujaalie tuwe miongoni mwa wenye kufaidika na darsa hizi na tuwe miongoni mwa wenye kufudhu amiin
Amiin
Allah akupe umree taweel na hekma ya kutupa elimu zaidi Inshaallah Amiin.
Aminia rabbi allamiin
Masha Allah shekh othumani maalimu Kwa kweli kabisa maneno ya kweli kabisa maana ukiangalia mpaka mambo ya ushoga eti yarusiwe kwa kweli shekh asema kweli kabisa
Shukuran sana shekh othumani maalimu kwani wasema kweli kabisa maana ata ukiangalia eti tumefikia mpaka watu wanataka mambo ya ushoga kwani ni hatari kubwa Kwa kweli shekh ajakosea kusema mwisho wa dunia in shaallah mwenyezi mungu atunusuru la ili janga
❤🎉 Amiin
Allah akupe mree taweel na hekma ya kutupa elimu zaid inshaallah
May Allah bless you brother........ Napenda mawaidha yako sana ❤❤❤,Mungu afanye tupatane kwa Jannah tukipiga story.....
Jazaack allah kher sllah atujalie mwisho mwema yaaarab.
MashaAllah mahabaib wetu ustadh Athman Maalim
Haya ndio Maudhui yanayotakiwa sio Matusi na kejeli Mashallahu nasi tusiosoma twafaidika Allah akulipe Kheyr Sheikh Othman Maalim
Masha ALLAH jazak ALLAH
Allaa akuongoze katika heri zake
Mashaallah Sheikh darsa zako nzuri sana na Mashaallah na zaeleweka vizuri
Shukran sana ndugu yetu,tumepata chakula cha roho
Madrasa yako itakuwa imara sana kwa unavyotaka kutupa elimu bora du mashaalah🤲🙏🤗
Nakuombea maisha marefu ustadh aki mola akupe kheri na fanaka Kwa darsa unayoyatoa yko sawa kbisaa
mashaAllah ustath othman maalim
Shukran Kwa kutukumbush Allah akupe afya njem uzdi kutukumbush
Allah atuongoze yarab
Allah akuhifadh Dunian na Akhera
Amin
Masha Allah, Jazakallahul khayr
Mashallah 🤲mungu akupe ujira kwa mafunzo
Naomba mungu atupe hekma na subra pamoja na utulivu tuyasikie mawaidha kutoka shekh wetu Othman ili tupate fursa ilionyooka na tuzingatie tuwe waelewa Kwa wzazi aswa hapo 👍
Mashaallah . ahsante Kwa darsa zuri
Alhamdulilah asante Kwa mawaidha..
Alhamdhulillah yarabi
MashaAllah sheikh Allah azidi kukupa umri mrefu inshaallah uzidi kutuelimisha
Allahu akbar
Mashallah mashallah shukurn sheikh wetu 🤲🤲🤲 Allah akusimamia kwakila hatuwa Amin 🤲🙏
Shukran nakukubali sana sheikh wangu
Mashalha
Subhanallah
mola akuzidishie ilmu nasi tufaidike kutoka kwako
Mashaallah shkh may Allah bless you always Ameen Yarrab
Shukran Wajazaukum llah khayra
Allahuma Maswali Allah sayidina na Mohammad wala alihi waasabihi wasalim
Maashallah
Shukran wa jazakallahu khayr
MashaAllah darsa mzuri maalim
Maisha historia
Mashaallah mashaallah mashaallah
AMEEN thummar Ameen yarabbil 🤲🏽🤲🏽
Mashaallah Mungu akufanyie wepesi wa mambo yako na akupe mwisho mwema❤
MashaAllah Sheikh mawaidha yako mazuri sana na yasisimua Allah akubariki pamoja na familia yako❤❤❤❤.
Amiin
Sawa
Mashaallah
🙏🏻🙏🏻😍🥰🥰🥰🥰
JAZAKA LLAHU KHAYRA, ALLAH akujaaliye HEKIMA sauti yako ienee ulimwenguni itunusuru na Moto wa jahannamu, Amiina.
Amin Amin Amin!
Allahumma Amin Yaa Rabb 🤲🏽
Manshallah, Allah akulipe pamoja na wazazi wako pia waalim wako walio kufundisha endelea kutukumbusha Inshaallah
Allaahu Akbar!
Allah Atuzindue kwa rehma Zake!🤲🏽
🙏🙏🙏🙏❤
MashaAllah Allah akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha
Kuja Kwa Yesu ndiyo mwisho wa dunia,kama sio hivyo kiama atakuja nani
Msubirie stend anakuja
Amina allah atupe mwisho mwema
ManshaAllah Allah akongezee elim😊
Sadaqta ya habiballah
Allah akuongoze shehe wangu
😭😭😭🙏🙏
Mashaallah shekh
Aaaalllah huma amin
Ubarikiwe. kumbe ndomana wayahudi lazima wawe kume ili waongoze sala kwenye sinagogi Zao !!!
Asalam alekum hali yako Allah akupe afiya na nguvi na akujaliye kila la kher kwa kututolea darsa
SHUKRAN
th-cam.com/video/FAJunBxUYpY/w-d-xo.html njoo tujifunze sasa
Maa shaa Allah darasa tam sna huwaga sitosheki kukusikiliza shekhe Othman
Amen shekhe othumani mungu akupe umri mrefu uzidi kutufundisha
Mashallah
MashaAllah
Amiiin
Mashallah
Mashaala