YA RABBII WAPEE KHERI NYINGI MA SHEIKH WETU NA FADHLA NA BARAKA NA REHMA ZAKO ZIWAAENEEE KWA UPANA USIO KUA NA MAKADIRIO......... KWA KUWA HAO NDIO WARITHI WA MITUME WAKO...... WANAJITAHIDI KTK JUHUDI ZA KUELIMISHA UMMA......... 😶😌😁😁😄😄😃😀
Alhamdullilah ya rabb 🤲🏽 kwa wote waliotumia muda wao kutuandalia Quran kwa njia hii inatusaidia sana tuliobadilisha dini kujifunza. Allah awazidishie kheri, na awape pepo yake amiin 🤲🏽🤲🏽
Alhamdulillah nashukuru nimezaliwa ndani ya uislam , bado niko kwenye uislam na inshallah namuomba mwenyezi mungu umauti unikute nikiwa kwenye uislam, mwenye kumuabudu yeye tu na kuamini uislam ni dini ya haki...inshallah pia anifanyie wepesi wa kutimiza na kuyafuate yale aliyoamrisha na kuyaacha yale aliyokataza...hii surah ni heavy weight imemaliza kila kitu kwenye uislam na maisha ya mwanadamu kiujumla..
Allahuma rabbanaa samiina Ewe Allah mtukufu kwa hakika tumekiri kwako na tumenyenyekeya kwako na hatuna nguvu yeyote wala uwezo wowote juu yako Yaa Rabbi kwa hakika hiyi Qur'an tukufu ni ushahidi mkubwa sisi ni madhaifu wa kubwa kwako tutiye taufiq katika maisha yetu Yaa Allah we we ndio rafiki wetu wa kweli hutuachi kwenye shida na raha Yaa Allah tunakupenda sana zaidi ya kila kitu Arrahman Arrahiim
Allah akihifadhi ustadh wetu Suleiman Hibri (tall). Hakika umeifanya kazi dini tunakuomba pepo ya Daraja ya juu utakapoitwa na Allah. Allah akupe umri mrefu tuzidi kufaidi kama nasi tutakuwa duniani.
Shukran sana kwakisomo takatifu natafsili yake shukran sana Allah akulipe msomaji na anae tafsili shukran zaid zimwendee Allah ndy mwing wanehema namwenye kurehemu shukran yaAllaby shukran
Allah akupe umr SHEIKH Mishar Rasheed na amrehemu SHEIKH Abdallah Farsi Kwa kazi yake ya tafsir. Wallahy Qur'an ni IBRA kwetu na kitulizo na ndo misq ya Moyo kwetu waislamu. Allah tupe muongozo Mwema soote waislamu
Mashaallah tabaarakallah ❤❤❤❤❤❤ najivunia kuwa muislam alhamdulillah pia Allah awalipen wasomaji Misharry na huyu mtafsr na aliyetaarisha nawaombea jannat frdaus
Mashaallah allahu akbar ewe tutie Imani kwenye vifua vyetu vilainike pindi tunapo sikia makatazo yako na tunapo sikia Jina lako tuwe na hofu tunapo sikia adhabu zako tuogope amiin yarabil amiin inshaallah 😭😭😭😭😢😢
Subhanaa Allah Hakikaa *Qur'an* Ina mazingatio Makubwaa Sana kwa wenye akili na kutafakari juu ya uumbwaji wetu, kuzaliwa kwetu, kufa kwetu na kufufuliwa kwetu Yaarab tujaghalie mwisho ulomwema na tuwe ni wenye kutenda yaliyo mema *Amiiin*
Allahuma ajirin minanari jazakallah ghairu shukran san hakuna shaka ndani y uislam naflaia kuzaliwa ktk uislam allah akbar alove Quran lailaha illah muhamad rasurullah
May Allah bless the ummah of Muhammad swalla lwahu alahi wassallam I love this surah bcs the recitation is so beautiful and the meaning mashallah may Allah grant us jannah
Jamaa zangu tutumieni mtandao kwa heshima kwa kua kuna watu wa kila rika na pia kuna baba zetu mama zetu na watoto wetu wake kwa waume hapo kila m1 anahitaji hesha jiheshimu utaheshiwa Shukran
Alhamdulilah, bado tunazidi kufaidika na ilmu hii ya kur an na tafsiri yake. ALLAH awazidishie nyote alosoma qur an na alotafsiri pia. Na awafanyie wepesi wa mambo yenu. Aameen.
Yaarab nifanye mm niwe mwenye kutenda mema nakupenda kusoma nakuskiliza Quran kwan ndio yakuongoa ww ndie unaembadilisha mwanadamu nakumfanya afanye mema nifanye niwe mm na waislam wengne Dunian lnshallah
YA RABBII WAPEE KHERI NYINGI MA SHEIKH WETU NA FADHLA NA BARAKA NA REHMA ZAKO ZIWAAENEEE KWA UPANA USIO KUA NA MAKADIRIO......... KWA KUWA HAO NDIO WARITHI WA MITUME WAKO...... WANAJITAHIDI KTK JUHUDI ZA KUELIMISHA UMMA......... 😶😌😁😁😄😄😃😀
AMIIN AMIIN THUMA AMIIIN
Maashallah hiii ndio sabuni ya roho yaarab tuepushe na uongo ili tupate kufaulu siku zote na katka imaan na utuokoe dunian kaburini na akhera amin
Amin ya Rabby
Amiin yarabiiii
اللهم أمين 🤲🙏
ALLAH nijalie upendo huu huu uwe enderevu wa kuipenda Quran tukufu na kuisikiliza ❤❤❤❤❤🙏
Masha Allah inapendeza sana kusikiza Quran Allah Akulipe Janatul Firdaus Amiin Amiin
Allha hamdulilah namshukuru Allha kwaneema ya kuwa muislamu ninamuomba Allha anisamehe mm nawazazi wangu na waumin wote siku ya kiama
Ameen
Mwenyezimungu akulipe kila lilirojema hapa Duniani na akhera kwa kazi nzr yakutuelimisha
Mashaallah mwenyezi mungu awajalie mhendeleze hivihivi
Ataukue na stress aje basi skiza Qur'an tukufuuh.. maash Allah kwa kila mwenye kuskiza Qur'an .. na tafsiri yake
Allahmdulillah twamushukuru mwenyezi mungu kwa ulinzi wake nafadhili zake Eee mullah udhidi kutuepusha nakiahama nagazabu mablimbali na umauti nauzee ☝🏽niwewe pekeyake unastahili kuabudiwa 🤲🏽na mtetezi wetu Amin
Subahanaaallah,, 😭😭hakika quraan ni mzr ukizingatia
Alhamdullilah ya rabb 🤲🏽 kwa wote waliotumia muda wao kutuandalia Quran kwa njia hii inatusaidia sana tuliobadilisha dini kujifunza. Allah awazidishie kheri, na awape pepo yake amiin 🤲🏽🤲🏽
Ameen kwa wote.
@@tafsiriyaqurantukufukwakis966 me
Amina ya rabbi
Amin Amin yaa rabby🙏
Ameen ameen
Alihamdullah nashukuru kuzaliwa kwenye Uislam Allah aniongoze kwenye Dini yangu na mazingatio yake
Amiin 🤲 ishaallah
Allahumma amiin
@@mwanajumamohammed4356ishallah..kila..la..kheli
Alhamdulillah I'm proud to be a Muslim.may the almighty allah guide us all to the right path.allahumma ameen.
Allahumma Ameen
Ya Allah tuwezeshe nasi kuhifadhi kitabu chako Ya Rabbi. Amiin
Amin 🤲 yaaraby 😢
Aamiin YAA ALLAH RABBI ❤❤❤
Amiin
Amin
Alhamdulillah nashukuru nimezaliwa ndani ya uislam , bado niko kwenye uislam na inshallah namuomba mwenyezi mungu umauti unikute nikiwa kwenye uislam, mwenye kumuabudu yeye tu na kuamini uislam ni dini ya haki...inshallah pia anifanyie wepesi wa kutimiza na kuyafuate yale aliyoamrisha na kuyaacha yale aliyokataza...hii surah ni heavy weight imemaliza kila kitu kwenye uislam na maisha ya mwanadamu kiujumla..
Mashallah tabarakallah❤❤❤
2:18:31
Allahuma rabbanaa samiina
Ewe Allah mtukufu kwa hakika tumekiri kwako na tumenyenyekeya kwako na hatuna nguvu yeyote wala uwezo wowote juu yako Yaa Rabbi kwa hakika hiyi Qur'an tukufu ni ushahidi mkubwa sisi ni madhaifu wa kubwa kwako tutiye taufiq katika maisha yetu Yaa Allah we we ndio rafiki wetu wa kweli hutuachi kwenye shida na raha Yaa Allah tunakupenda sana zaidi ya kila kitu Arrahman Arrahiim
Aaaaamiyna
Amiiiina yaa rabby atusaidi sote tulio slm🙏
🙏🙏
Allah akihifadhi ustadh wetu Suleiman Hibri (tall). Hakika umeifanya kazi dini tunakuomba pepo ya Daraja ya juu utakapoitwa na Allah. Allah akupe umri mrefu tuzidi kufaidi kama nasi tutakuwa duniani.
Allah akbar. Allah atuongoze katka njia ilokua sahih ya kumuabudu yeye pekee na kufuata mema. Min
Ya rabbi tu ruzuku sisi wajawako kila yalio kua mema
Ameen ameen
Yarabby turuzuku sisi wote waisilamu tuwe ni wenye kukuabudu nakufata vitendo vyako amiin inshaallah
Dua haiwekwi InshaAllah mbele yake. Bali tunaomba kwa iman kwamba Allah anaitakabali, inshaAllah kwenye dua si mahala pake. Allah anajua zaidi
@@sajumahege4903Masha'Allah hapo kweli
Allahu akbar biyyadiqa kheri shukran Yaaa rabby kwa kuzaliwaa katika mishipa ya kislaam tupe hussni khatma amini amini ya rabby
Amin kwa waislam wote
Shukran sana kwakisomo takatifu natafsili yake shukran sana Allah akulipe msomaji na anae tafsili shukran zaid zimwendee Allah ndy mwing wanehema namwenye kurehemu shukran yaAllaby shukran
Masha Allah
Maashaa Allah shukurani ustadhi kwaukumbusho lnshallah 🤲🤲 mwenyezi mungu Akuhifadhi lnshallah
Allah akulipe kher sheikh wetu kwa tafsiri nzuri sana 🌹🌙⭐️
Mumba akuzidishie Muslim mwezetu lea tafsir nzur
Mashaa Allah, uwislam dini kamili, ya haki, Allah twakuomba tuongoze kwenye njiya iliyo ya haki
Mpaka umauti utukute tukiwa wenye kushikamana na haki kwa ubora wa kutekeleza maamrisho yake kwa mafundisho ya mtume Muhammad(saw), inshaallah!
MashaAllah ya Allah tujaliye tuwe miongoni mwa wenye kutenda mema
Tupe mwisho mwema
Yaa Allah tusamehe tunapo koseya
Yaa Allah tupe janah fildaus ❤
L9M
Allah akupe umr SHEIKH Mishar Rasheed na amrehemu SHEIKH Abdallah Farsi Kwa kazi yake ya tafsir. Wallahy Qur'an ni IBRA kwetu na kitulizo na ndo misq ya Moyo kwetu waislamu. Allah tupe muongozo Mwema soote waislamu
Awalinde na awape mwisho mwema
Allah atuwekeye wepesi kuingia pepuni
Mashaallah tabaarakallah ❤❤❤❤❤❤ najivunia kuwa muislam alhamdulillah pia Allah awalipen wasomaji Misharry na huyu mtafsr na aliyetaarisha nawaombea jannat frdaus
Mashaallah allahu akbar ewe tutie Imani kwenye vifua vyetu vilainike pindi tunapo sikia makatazo yako na tunapo sikia Jina lako tuwe na hofu tunapo sikia adhabu zako tuogope amiin yarabil amiin inshaallah 😭😭😭😭😢😢
Saumrajab Palomar mahaallah lnshaallah kheli
My littl pony equate grlss
Amiin
Alhamdulillah
Mashllah Allah atuhifadhishe qur an
Ametuka Allah Wetu Mtukufu Subhanah Wataala yeye mwenye sifa kamilifu Ya Hayy Ya Qayyum
Subhanaa Allah Hakikaa *Qur'an* Ina mazingatio Makubwaa Sana kwa wenye akili na kutafakari juu ya uumbwaji wetu, kuzaliwa kwetu, kufa kwetu na kufufuliwa kwetu
Yaarab tujaghalie mwisho ulomwema na tuwe ni wenye kutenda yaliyo mema
*Amiiin*
Ameen
Ameen.
May Allah guide us and grant us goodness here in this world and here after
Amiin
Aaamin dhumma aamin.
Amiin
ALLAH AKBAR ewe mora wangu naomba uniongeze katika njia ilio nyooka amiin ❤❤❤
Allh huakbr mwenyezimunimukubua, wala anamufano, yarabi utuhongoze mujiya iliyo nyohoka, utujaliye mwicho mwema
Aaamin
Alihamdulilah kwa tafsiri nzuri.
Mwenyezi Muungu atawalipa.
Mashaallah EWEMWENYEZIMUNGU namm Nijalie Kusoma Qur ani ishaallah
In shaa Allah
Jitihada wajadaaa
mashaallah mashaallah mwenyezi mungu atuzidishiye wesilamu wote kwa kusikiliza quran thukufu Inshallah 🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲
Mashallah m/ mungu tupe mwisho mwema yarrabi
Alihamdulilah I am so proud to be Muslim alihamdulilah
MashaAllah jazaka laah kheri asiye ukubali wislam hakika ameangamia vikubwa🔥
Allah Awalipe kila la gheri kwa jambo hili jema mlilolifanya 🙏🙏
Allahu Akbar
Allah akufikixhe mahal pema peponi kwakulitangaza jina lake kwa waja wakee 🙏🙏🙏
Allahuma ajirin minanari jazakallah ghairu shukran san hakuna shaka ndani y uislam naflaia kuzaliwa ktk uislam allah akbar alove Quran lailaha illah muhamad rasurullah
Baraka Allah waafiwamikum
Mashaaàlh ewe Mumba tyujalie tuwe wenye kufaulu
Mashalla allah akulipe kwa tufafanulia tujwelwe zahdi
Alhamdulillah naipendahii kuiskiliza sana nakujifunza mengi
Welcome mashaallah
Mungu ndio kila kit tunakuomba waja wako utusamehe ss na wezetu waliotangulia mbele yahaki Amiin ❤
Ma sha Allah inapendaza sna Allah akulipe kher kwa kutupatia elimu hii maana tuckiliza na kufaham maana ya kila neno ni faida zaid
Allah awalipeni hkeri naawaingize janatu
@@ramadhanisururamadhanisuru3215 Ameen
Mashall eeh mwenyezimung tuongeze tupe mwisho mwema pia mwenyezimung akulipe kher uwe na mwisho mwem
Mashallah jazakallahu kheri Allah (S.W.) akulipe kila la kheri
We nhbjnvchunjhgbjjfubvcug
Allah atujalie Kheri Dunian na kesho akhera
Mwenyezi mungu tusamehe makosayetu tunakuomba mwisho mwema
Mwenyezi mungu tusamehe makosa yetu tunakuomba mwisho mwema
Amin🤲
Najivunia kuwa muislam ❤️ Yallab tujalie mwisho mwema 🤲
Mashaallah tabarakallah,mola awajazie kila jema duniani na akhera ,awajazie rehma na neema zilizo njema
Lllllllllllllllllllpllllllllllllpllllllllllllplllllllllllll.lllllolllllllpllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllplllpllplllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllolllllllllllllllllllllllllllllllllllllllolllllllllllllllllllllllllllllllllllllollollllloollollllpolllollllllllllllllllllolllllllllllllllllllllllllllllollllllllllllolllllllllllllllplllllllllllllllllolllllllllllllllllllllllllllllolllllllllllllllllllllllllllllllllllplllllllllllllpllllllllllolllllllllllllllllllllllllllllplllllllllllllllolllllllllllllllllllllllllllllllpllollllllllpllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllopllllllllllllllllllllllllpllllllllllllllllllllollllllllllllllllllllllllllllolllllllllllllllllllllllllllllllplllllllllllllllllllllllllllloll
Llllllllllpllllllllllllllllllplllllllllllllllllllllllllllllllllllllllollll lllllllllllllllllollllllllllplllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllolllollloollllllllllllllllllllllllllllllllllllpolllllllllllllll lllllllllllollllllll llllllolllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllplllplllllllooll olllllllllllllllllllllllooll
Lllllllllllllllllllllllllllplllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllollollllllllllllllllllllllllllllollollllllllllllllllllllllloolllllllllllllllpllllllllllllllllllllllllllllllllll lllllllll lolllllllllplllllllllllllllll lolllllollllllllllll llollllllllolllllllllllllllllolll llllllllllllllllllllllll
Llllllllllllllpllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllollllllllllllllllllllllolollllllllllllllllllllllllllllllllllllllolllolllllpllllllllllolllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllloll lllolll
Lllllllllllllllllllllllllllplllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllollollllllllllllllllllllllllllllollollllllllllllllllllllllloolllllllllllllllpllllllllllllllllllllllllllllllllll llllllllolllllllllll
Lllllllllllllll llll LL lll lllllll ok l LL llllll LL llllllll LL llllllll look lllllllllllllllllll a lllllllllllllll ollplllllllllllll LL lllllll look llllllllollllllllllllllllllllllllllllllllllllll ll llllllllll LL llllllllollllllllllllllllllllllllllllllllllllll llllllllllllllolllllllllllllloolllolllplllllllll LL lollll LL llllllll LL llllllllll LL llllllllll lpllllllllllllllllll pp llllllllll l LL lllllllllllllo LL lllll
Manshaallah kikweli kama kuelewa nimeelewa naipenda sana dini yangu najivunia sana ku zaliwa kwenye dini ya wiislam 🙏🙏🙏
Asante sana Mwenyezi Mungu akulipe kila la heri apa duniani na kesho ahera insha Allah
May Allah bless the ummah of Muhammad swalla lwahu alahi wassallam I love this surah bcs the recitation is so beautiful and the meaning mashallah may Allah grant us jannah
Mashaallah
Amiin
mashallah ewe mola tujalie minalladhina yastamiuna qaula ahsan faya tthabiuna ahasna
Ameen
@@tafsiriyaqurantukufukwakis966 allow download
Ameeeeeeeen Ya-Rabb🤲🤲🤲🤲
Mashhalaah
Allah atujaalie tufe kwenye Uislam na asichukue roho hadi awe aneturidhia na atujaalie pepo ya Firdous. Amin
Amiina ishaallah
@@ayamisalum773 ⁹
Amiin ya Allah🙏🏼🙏🏼🙏🏼
aamin inshaallah
Aminia rabbi allamiin
Allah atukinge waislam wote kwa Qur'an na atujaalie pepo wote
Manshallah,Mwenyezi Mungu Akutilie wepesi Inshallah
Ewe Allah Nakuomba tusamehe Waislamu wote Ulimwengu Makosa yetu na Utuingize Katika Jannat Fir'daus Aaamin.
Allah humma amin
AMIIN
allahuma amina yarabali alamina
amin
Amiin y
Alhamdulilah nimezaliwa katika uislam Allah atuwezeshe tuwe katika mazingatio ya dini yake. Atupokee katika pepo zake. 🤲 Atupe mwisho mwema
Amiiiin InshaaAllah 🤲🤲🤲 Ya Allah Tujaalie stareh Yetu kubwa iwe ni Kuipenda Qur'aan 📿📿
Oh. Cool to. Cool cool. Cc cc. Cc. Cool. B. Be. Be. B.
Ameen🤲
Amin🤲🏾
Mashaallah sheikh wetu Allah akupe kila lenye kheir na we
Ameen.
Manshalla mungu akufungulie milango ya pepo.
@@aminiomary7445 amiina
Amiiin
AMEEN
Maashaallah hakika ALLAH mwingi mbora mwenye nguvu hakufanyie wepesi ktk kila jambo lako
B h
Bzbb l
L
B h
Bzbb l
L
Na hiwe hivyo
Mungu atupe wepesi tuwe miungoni mwa watendawema na kushauli wengne wafuate maelekezo ya mwenzimungu
Al Quran tafsir one love asante japo ni mkristo nawapenda sanaa
Karibu
UNASUBIRI NN SASA KUSLIIM AU MPAKA MAUTI YAKUJIE GHAFLA
@@jimmymakundi3060 taratibu muendee kwa aya Mwenyezi mungu ni mwenye kuwaongoa walioko nje
Mashaallah MUNGU akujalie kila la kher welcome
Karibu ndugu
Allah nilijalie Mimi na dugu zangu tuishie dini yetu ya kisilamu Amina
Yaaarab mpe JANNA huyu mja wako na jaalia ummat MUHAMAD(S.W) wawe na mashukio mema.Aamin.
Amin🙏🙏
MaashaAllah jazzaqlahu Kher for giving us the knowledge.
Subhanallah hakika ALLAH ametakasika yeye pekee kwa utukufu wake mkuu na ni mwenye huruma nyingi
Allah huakbar
@@yasminambogo8811 Allahu Akbar kabira, walhamdulillah kathira wa subhanallah bukratan aaswilah
subhanallah
Allahakbar mwenzimungu akuzidishie kila lagher huko uliko amin
Mashaalaah mungu ni mwema xana
Mashaallah
Hakika najivunia kuzaliwa katika dini ya haki 🙏
Allah atujaalie mwisho mwema kwa sote🤲🤲
Allahu Akbar...hakika uislam ni dini ya kwel na ya haqqi...Allah tunaomba utufishe tukiwa radhi na wew
Ameen.
Malio
Masha Allah bless God for all those things he did
Aameen yarabi
Amiin
I love you Allah ❤️
Mashaallah uisilamu ndio ilio kamilika
Allah awalipe kheir msomaji na alie tafsiri kwa kazi nzuri. Tunapata elimu kwa wepesi alhamdulillah
Amiin yaraby
Jamaa zangu tutumieni mtandao kwa heshima kwa kua kuna watu wa kila rika na pia kuna baba zetu mama zetu na watoto wetu wake kwa waume hapo kila m1 anahitaji hesha jiheshimu utaheshiwa Shukran
Huyu shekhe nampenda sana.usomaji wake mungu amuhifadhi na shari za dunia🤲🤲🤲
Mashaallah hakika mwenyeww kufatilia vitabu vya Allah vimetakacka avikuacha ya dunia na khaera jazzah Allah khery Allah awalipe mema mashk
Ameen kwa wote
@@tafsiriyaqurantukufukwakis966 Allah atujaze Iman
Masha Allah jklh Mola akuzidishiye
Ya. Rwabi mola atuongoze. InshALLAL
Ameen YaaRab Ameen ❤
Masha.Allah shukurani ustadhi al.kurani
Asante sana kwa kutafili haya hii, na asante kwa msomaji wa aya hii 🙏🙏
Tunakushukuru sana kutuwekea Quran tukufu humu inshallah mungu akupe maarifa zaidi
Alhamdulilah, bado tunazidi kufaidika na ilmu hii ya kur an na tafsiri yake.
ALLAH awazidishie nyote alosoma qur an na alotafsiri pia. Na awafanyie wepesi wa mambo yenu. Aameen.
Ooo love 💕 too c
Allah is all every thing🙏🙏🙏🙏🙏
Masha Allah Shekh for this translation Allaumma Allah Muhammad Aley walii nabii wasalam
Mashaallah thanx
This sheikhe insha ALLAH may ALLAH grant Firdau insha ALLAH
Jazaka Allahu khayr
Allah awape khayr za Qur'an duniani na akhera
In Sha Allah Mola Azifanye juhudi zetu zilekee kunako Mfurahisha Ameen
Ameen.
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili Kwa Sauti suratir mum tahina
Amiiin
Amiin yaraby
Allah atujalie tufe tukiw wa islam na mung awe radh na ss
Mashallah mja wa Mungu Mungu akupe mwisho mwema na sie tunavyo kusikiliza Amen
Amiina rabir alamiina ALLAH atufanyie wepe katika kui-marisha Deen yetu .
Ameen
Ameen
mashaalllah. mungu atuongoze katika njia iliyo nyooka
Ya rabbi tujaalie mwisho mwema,tusamehe madhambi yetu ,tuepushe na moto siku ya qiyama na uwafanyie wepesi ndugu zetu waliotangulia mbele ya hakh 🙏
Ametakasika mwenyezi mungu Allah Akbar
Shukrani mungu akubarik na akulinde kwa kila Jambo unalotaka kufanya
Yaarab nifanye mm niwe mwenye kutenda mema nakupenda kusoma nakuskiliza Quran kwan ndio yakuongoa ww ndie unaembadilisha mwanadamu nakumfanya afanye mema nifanye niwe mm na waislam wengne Dunian lnshallah
Ameen ya rabb
Mwenyezi mungu tujarie mwisho mwema
Mwenyezi mungu awafungulie milango ya pepo🙏🙏
Ameen
Aamin ya Rabbi
Aameen yarabi
Ameen kwa wote
Amen... yaraby...🙏🙏
Allahu akbar wallah hii nineema tosha naupenda uislam hakika ni dini ya haki Alhamdulillah
Shukran kwakuzidi kutuilimisha mwenyezimungu atawajazi kheri inshallah 🙏 ♥
Tunakuomba mwenyez mungu utujalie mwisho mwema amiin