''WANANIITA MPUUZI - HUYU BIBI HANA MAANA - USIMUUDHI MSHIHIRI UKAMKANYAGIA NGURU WAKE''- RAIS SAMIA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 มิ.ย. 2024
- ''WANANIITA MPUUZI - HUYU BIBI HANA MAANA - USIMUUDHI MSHIHIRI UKAMKANYAGIA NGURU WAKE''- RAIS SAMIA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
SAWA MAMA YETU MPENDWA... umepowaa...🎉🎉We love u Mama❤❤❤mingi mingii
Kazi iendelee Muheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. ALLAH awe nawe katika majukumu haya makubwa ✅🙏🙏
I love you mama wewe umenifanya nimependa nchi yangu!,Mungu akutunze mama yangu Amina.
Tunakupenda
Mama angalia hao watu wako uchumi wakati wasasa niwawazungu kwasababu wanakula wanachokitaka wanapata,, maana huku mitaani wasiojiweza fukala niwengi inuwezi wanainchi wenu kiuchumi ili mnapotoa takwimu yakiuchumi wanainchi waweze kuaelewa
Safi saaaana
Wkati uchumi unaukanyaga ww mwenyewe
.Nani anakuja kututadhimini. Mama au Basi Kazi iendelee ❤. Ila huo mfano nimeupenda
Powerful
Sawa mama❤❤
No comment
Mama wa kazi uyo
Bibi maneno yake na Matendo yake ni watu wawili Tofauti
Tuchapenikazi tuuuu❤
Asante mama
❤❤❤❤
Mfano huu nimeupenda sana
Na nakushukuru sana mama kwa kumwona makonda na kumweka mahali sahihi arusha.
Mheshimiwa Rais mm nakuunga mkono kabisa endelea kupambana inchi yetu iendelee lakini ukiona mtendaji wako yeyote anakuangusha kula kichwa unatukanwa bila sababu mama yetu mpendwa we love you