Kwa Maneno Haya ya Hayati Lowassa Wengi Walitokwa na Machozi Hadi Ku..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 119

  • @joss.nkilio.3537
    @joss.nkilio.3537 8 หลายเดือนก่อน +9

    Ndoto yako ya Uraisi iliporwa na watu wenye tamaa ya Madaraka but kwenye mioyo ya Watanzania wengi ulikuwa Raisi wetu Pumzika Kwa Amani Mzee wetu😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏

  • @3349-c7l
    @3349-c7l 8 หลายเดือนก่อน +11

    Mzee uliifanya kaz nzr sana ,elimu Bure n.k ni sera zako mzee hakika utakumbukwa

  • @godfreyvenerandus9411
    @godfreyvenerandus9411 8 หลายเดือนก่อน +4

    2015 nilipiga kura yangu Mbezi Louis S/M
    Hakika nilifanya hivo na haitokaa itokee nijutie nilichofanya👍
    Nakuombea pumziko jema Mzee wetu🙏
    Naendlea 😭 🇹🇿 nchi yangu!

  • @sewandomkuchu9267
    @sewandomkuchu9267 8 หลายเดือนก่อน +11

    😪😪😪 RIP mzee wetu, kiongozi kipenzi cha watu na binafsi kwa hayo mafuriko naamini ulishinda, haukutangazwa lakini haukuona haja ya kuleta vurugu.

    • @sewandomkuchu9267
      @sewandomkuchu9267 8 หลายเดือนก่อน +3

      Mbowe kasema hatukumtumia huyu mtu vizuri...bahati mbaya sana kwetu watu bora kabisa hawapati nafasi.

    • @sundaystanley5322
      @sundaystanley5322 8 หลายเดือนก่อน

      Mamlaka hutoka kwa Mungu,kwa hiyo Mungu hakutaka lowasa awe Rais wa nchi hii

  • @ShukuruShaban
    @ShukuruShaban 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mungu baba wa mbinguni mpumzishe kwa amani mzee wetu edward lowasa amina

  • @japhetringo7688
    @japhetringo7688 8 หลายเดือนก่อน +7

    Umevipiqa vita vilivo vizuri na Imani umeilinda pumzika kwa Amani

  • @johaneskyaruzi8789
    @johaneskyaruzi8789 8 หลายเดือนก่อน +5

    Pumzika Kwa Amani Baba, Mungu akupokee

  • @DariaLukasilayo
    @DariaLukasilayo 8 หลายเดือนก่อน +8

    Jeshi lote la mbingun likupokee kwa furaha ,ufurah milele na milele amina ❤

  • @barakapaulo4069
    @barakapaulo4069 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daahh inaumiza Sana ukimsikiliza mwamba tumempoteza MTU muhimu Sana

  • @gangan4618
    @gangan4618 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nilimpa Lowasa kura... Mungu Mkuu anajua WALICHOKIFANYA MA-CCM 2015. Time now tells.

  • @siamollel6051
    @siamollel6051 8 หลายเดือนก่อน +3

    Tutakukumbuka sana Mungu akupe pumziko la milele

  • @jumaseleman5972
    @jumaseleman5972 8 หลายเดือนก่อน

    Duuu, mwenyezi Mungu akupumzishe kwa amani,akupunguzie adhabu ya kabrii,cku wahigi kupiga kula,niliwahi kumpigia kura huyu mzee wetu,na sijikupiga kula tena

  • @ChidAlly
    @ChidAlly 8 หลายเดือนก่อน

    😢😢❤❤ mungu awe nawe sela yako ktk elimu bule na vitu vyengene aliga marehemu magu mungu awalaze mahara pema peponi amii

  • @ivanminja7954
    @ivanminja7954 8 หลายเดือนก่อน +2

    Maneno haya ndio Marehemu Hayati John Pombe Magufuli ndio alikuja kutembea nayo na akafanikiwa sana.

  • @emanuelmushi9917
    @emanuelmushi9917 หลายเดือนก่อน

    Naamin fred lowassa ataziendeleza ndoto za huyu mzee mzee alkua na ndoto kal sana za kuutaka urais wa tz fred usniangushe kabsa anza kuchukua form kuanzia 2030

  • @AsedMbwilo
    @AsedMbwilo 8 หลายเดือนก่อน

    Eee lowasa mungu akupunguzie adhabu baba mwana ukawa ..... kwenye people's apo daaaaaa

  • @Benjamin-n9x
    @Benjamin-n9x 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mzee lowasa tulio wengi Tz tulikupa kura zetu lakini Ccm n wezi siku zote Mungu ndo atawaondoa madakani

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 8 หลายเดือนก่อน +5

    Unajua haya maneno ya Hayati yanafikilisha mno...
    Hii Nchi ni tajiri sanaa ila tunashida kubwa ya Viongozi wabovu sanaa...
    Hawawezi kugeuza fursa zetu tulizojaaliwa na Mungu kuwa neema kwa Tanzania nzima..
    Badala yake wanakuwa ni Neema kwa Familia zao tu.

  • @FifiUrembo
    @FifiUrembo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Still remember this day kama jana tuu 😭😭

  • @JeremiaMamasita-q2i
    @JeremiaMamasita-q2i 8 หลายเดือนก่อน

    Baba tulikupenda ila mungu amekupenda zaidi ❤

  • @BeatriceKalembwane
    @BeatriceKalembwane 8 หลายเดือนก่อน +7

    Dàhhh hii hotuba imeniliza na mimi😢😢😢 apumzike kwa amani

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 8 หลายเดือนก่อน

      Amen 🙏 🙏

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani wakati wa kampeni hizi, ulikua wapi? Au ndo nyie mtu akisha kufa ndo mnatambua wema wake.

  • @AniziaKamanzi
    @AniziaKamanzi 8 หลายเดือนก่อน +2

    Respect pia pumzika Kwa Aman shujaa wetu Hayati Endward Ngoyai Lowassa

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 8 หลายเดือนก่อน +12

    Watu walikupenda kwa wema wako mzee huna maneno mengi

  • @isaacs3904
    @isaacs3904 8 หลายเดือนก่อน

    Hii combination ingechukuwa nchi tungesonga mbele sana...

  • @stevenkigae6308
    @stevenkigae6308 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hapa bila shaka n Tukuyu nilikuwepo aisee sijutii na kula yangu

  • @AmosiMwaigaga
    @AmosiMwaigaga 8 หลายเดือนก่อน +2

    Pumzika Kwa amani kiongozi wetu hakika tutakukumbuka Kwa mengi sana

  • @josephmathayo5139
    @josephmathayo5139 8 หลายเดือนก่อน +6

    Kumbe Mh John Pombe Magufuli alikopi sera na misimamo ya CHADEMA 2015 na kuanza kuzifanyia kazi. Nenda kapumzike Mh: Lowassa huna baya mengi walikusingizia.

    • @ShangweMariki
      @ShangweMariki 8 หลายเดือนก่อน

      Shida ikowapi maneno ya wapinzani hulenga ukweli so kiongozi yeyote akifuata hayo lazima afanye makubwa

  • @JeremiaMamasita-q2i
    @JeremiaMamasita-q2i 8 หลายเดือนก่อน


    Baba tulikupenda ila pumuzika kwa amani ❤

  • @maximilianjoseph7896
    @maximilianjoseph7896 8 หลายเดือนก่อน

    Yaani mara mwisho mimi kupiga kura ilikuwa 2015 Hospitali ya Haydom na huyu mwamba mwenye vision kubwa na taifa hili nina uhakika ndo mshindi wetu wa Urais ila kwa ulafi wa madaraka ndo hivo tena. Mungu mpokee mtumishi wako. Roho yake Ipumzike kwa Amani Amina

  • @mikemwanga2860
    @mikemwanga2860 8 หลายเดือนก่อน +4

    R.I.P you really became the center of people before brother, this is a journey for all of us

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 8 หลายเดือนก่อน +6

    Hakika walikuibia kura mzee wetu. Hiki kitawatesa hasa waliopo kwenye chama hiki tawala na tz haitaenda mbele kabisa kwenye mfumo wanaoutumia kupata madaraka. Watarithiana wao lkn tz itabaki masikini na wa wake. *MTAONA*

    • @miriamdavis3893
      @miriamdavis3893 8 หลายเดือนก่อน

      Waliiba hotuba hadi kura

  • @NaaliShauri
    @NaaliShauri 8 หลายเดือนก่อน +3

    huna baya mzee wetu pumzika salama

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest 8 หลายเดือนก่อน

    Inatoa huzuni sanaaa,😢😢😢

  • @piensiachuwa1512
    @piensiachuwa1512 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe pumziko la milele Mbinguni baba yale mema uliyofanya yakupatie tuzo lako huko kwa muumba wetu

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 8 หลายเดือนก่อน +6

    Bila unafiki wa watu kwel ww ungekuwa raisi wetu huenda ungekuwa umetuacha safi sana

    • @maniamba.tz_
      @maniamba.tz_ 8 หลายเดือนก่อน +1

      Alipita sema Ccm wajanja sana

  • @GetrudeRashid-be8bs
    @GetrudeRashid-be8bs 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu Wa mbinguni akupokee kwenye uflame wake,,,ufurahi na malaika mbingun😢😢😢

  • @godlovedonkoli6050
    @godlovedonkoli6050 8 หลายเดือนก่อน +2

    Aisee hii hotuba ya Lowasa ndo JPM aliifanyia kazi huyu alikuwa ni kichwa

  • @EsupatMateru
    @EsupatMateru 8 หลายเดือนก่อน +5

    Apumzike kwa amani

  • @richardyohanasanga7017
    @richardyohanasanga7017 8 หลายเดือนก่อน

    Naangalia hii speech na mafuliko yaliopo,
    Nafananisha na jinsi chama changu kilivyo kuzika .
    Naamini umetusamehe uko uliko.

  • @venantrugabela6798
    @venantrugabela6798 8 หลายเดือนก่อน +3

    2015 tuiachie Mola

  • @fadhilisecha4268
    @fadhilisecha4268 8 หลายเดือนก่อน +7

    Huyu mzee ana busara sana

  • @Jumaalliy
    @Jumaalliy 8 หลายเดือนก่อน

    Mzee wetu ulikuwa huna baya pumzika kwa amani 😢😢😢

  • @Nasibumwandambo-dx1mo
    @Nasibumwandambo-dx1mo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda salama mzee

  • @bsmonline8482
    @bsmonline8482 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa hata angegombea kupitia CCM mimi nilishapanga kumpigia Kura. Bonge la mtu mwenye Vision kubwa na mwenye Uthubutu.
    Hakuna Masai kaenda Shule alafu akawa hajitambui.

  • @ezekielassey3133
    @ezekielassey3133 8 หลายเดือนก่อน

    Tuta kukumbuka daima. Pumzika kipenzi cha wa Tanzania.

  • @mtumwajumanne4569
    @mtumwajumanne4569 8 หลายเดือนก่อน +7

    Kura yangu nilikupaga mzee

  • @MeckMsea-cx1ct
    @MeckMsea-cx1ct 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ulitishe mzee ulisha chukuwa nchi yani

  • @NGOMELE1976
    @NGOMELE1976 8 หลายเดือนก่อน

    Mzee Magufuli baada ya kuona sera zako zimesimama na za mashiko, akaamua kutembea nazi katika urais wake na wengine wasijue kwamba anatembelea maneno yako!

  • @lwivaefeso4920
    @lwivaefeso4920 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika Mzee wangu!!

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 8 หลายเดือนก่อน +3

    MBEYA MOJA HIYOOOO

  • @amoslupimo2393
    @amoslupimo2393 8 หลายเดือนก่อน

    R. I P. Pumzika kwa amani mzee wetu.

  • @anethmaro8168
    @anethmaro8168 8 หลายเดือนก่อน

    Mara ya mwisho kupiga kura kwako mwaka 2015 siji kupiga tenaaa pumzika kwa amani lowassa

  • @JamaliMbogo
    @JamaliMbogo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jembe nilikua shabiki Yako kindaki ndaki siku jali Chama gani uligombea nili kupigia kura pumzika kwa amani Rais wetu

  • @KingBia-m6t
    @KingBia-m6t 8 หลายเดือนก่อน

    Nakubal Kaz yako

  • @JohnManyilizu-w6p
    @JohnManyilizu-w6p 8 หลายเดือนก่อน +2

    Magufuri alikopi kwa lowasa asilimia 98

  • @exaverymakoye6026
    @exaverymakoye6026 8 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kujua kua Lowasa alishinda angalia Majimbo mengi huo mwaka yalienda Upinzani

  • @sondajohn1371
    @sondajohn1371 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee alisumbuliwa nama radh yamda mlef haikua rahs

  • @AbdulLuwanda
    @AbdulLuwanda 8 หลายเดือนก่อน

    Kwasasa ndo mnatuonesha mafuriko ya lowasa sio Yale imanueli iboela wa itv alivyokuwa anayatengeneza watu wachache

  • @priscarkasitu8101
    @priscarkasitu8101 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mnyenyekevu isee

  • @anatreziakatawanya9575
    @anatreziakatawanya9575 8 หลายเดือนก่อน

    Rip lowasa

  • @PamelaMollel-v6v
    @PamelaMollel-v6v 8 หลายเดือนก่อน

    Kura yangu ulipata: Pumzika Kwa Amani

  • @cairoshampeny
    @cairoshampeny 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂nimeipenda sana hiii mzee alikua kiroho safi hakua nabaya

  • @tumainlession411
    @tumainlession411 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika baba

  • @HELA-tz
    @HELA-tz 8 หลายเดือนก่อน

    Dah

  • @JonesKapipo-fx8vh
    @JonesKapipo-fx8vh 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee alipendwa na vijana

  • @alphaexaud5279
    @alphaexaud5279 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akupe pumziko la amani, hakika ulitetea ndoto yako ya kuwa Rais

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 8 หลายเดือนก่อน

    Mzee pumzka kwa amani 😭😭😭

  • @mbarakamwande4071
    @mbarakamwande4071 8 หลายเดือนก่อน

    Shekhe nyundo

  • @almachiusjeremiah
    @almachiusjeremiah 8 หลายเดือนก่อน

    R.I.P

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 8 หลายเดือนก่อน

    CCM siku zote hawana mipango mizuri kwa wanaichi wa tanzania, maendeleo yote wanayofanya ccm wanategemea sera za wapinzani, bila wapinzani ccm 0, nakumbuka maneno pendekezwa ya w/ slaa 2010, ali ahidi kujenga reli ya kati ya kisasa, sgr, ambayo magufuli akaifanyia kazi, na mipango mingi mizuli ya wapinzani, ccm kwa aibu ndio hufanya.

  • @amanikanza9150
    @amanikanza9150 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa aman baba

  • @lydiavegula7641
    @lydiavegula7641 8 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaaa Mungu baba wewe wajua

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Lkn hawa wooooteee wamerudi huko huko je haya yote yametimia?au ndio unafiki

  • @danieltemba6700
    @danieltemba6700 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kura yangu ya kwanza na ya mwisho nlikupa mzee. Sitapiga kura tena.

  • @hekimaoscar6527
    @hekimaoscar6527 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwa sungu ndo walikosea kwani mtualikua akihitaji kula na alikua hajaapishwa kuwa la isi anaitwa laisi

  • @levismukuka8034
    @levismukuka8034 8 หลายเดือนก่อน

    Upumuzike kwa hamani

  • @samsonkichele3530
    @samsonkichele3530 8 หลายเดือนก่อน +1

    Magufuli alitumia sera za lowasa. 1. elimu bure 2.hospitari 3. Kilimo na machinga.

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 8 หลายเดือนก่อน +1

      Na alifanya vizuri

    • @Zuwenamachela
      @Zuwenamachela 8 หลายเดือนก่อน

      Sera ya elimu bure ni ya prof Lipumba Ibrahim Haruna

  • @HenryKasaje-on4xq
    @HenryKasaje-on4xq 8 หลายเดือนก่อน

    Mzee wetu apumzike salama hakua namabaya naTz ingawa alichafuliwa na lichimondi ila ulikuwa nimchongo wa ccm ndomana aliamua kujiuzuli

  • @monicamwita7865
    @monicamwita7865 8 หลายเดือนก่อน

    Lowasa alisema kweli. Aliwaumbua CCM

  • @Mama_masai_Tz
    @Mama_masai_Tz 8 หลายเดือนก่อน +2

    Daa apumzike kwqa amani

  • @emmanuelamos4581
    @emmanuelamos4581 8 หลายเดือนก่อน

    Rip legend.

  • @hagaimwaweza8698
    @hagaimwaweza8698 8 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli mzee ulikubalika San

  • @SteveenLekukwo
    @SteveenLekukwo 8 หลายเดือนก่อน

    Hotuba ya Lowasa

  • @NixonGerson
    @NixonGerson 8 หลายเดือนก่อน +2

    Leo tunataka tume huru ili tupate tunayemtaka kikundi cha watu kinatuchanganya.. ipo siku nchi itachafukia msibana na jeshi wala polisi hawataweza kuzuia .. acha muda utasema .. alale tu baba kwa wema na ubaya wake...

  • @SaimonTele-jl6ve
    @SaimonTele-jl6ve 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika Kwa amani Mzee walikubania.

  • @HusenNdwata-yb6nw
    @HusenNdwata-yb6nw 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupunzishe vizur mzee wetu

  • @audaxmaganga7105
    @audaxmaganga7105 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ilikuwa Mbeya hii

  • @ramadhanifakikombo4010
    @ramadhanifakikombo4010 8 หลายเดือนก่อน

    R...I ..p

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ingekua saiv nchi imefiwa na Raisi et?

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 8 หลายเดือนก่อน

      Ee nayule jamaa sialikufa

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 8 หลายเดือนก่อน

    Naona kama Kura zilitosha sana. Suala la uhalisia wa kutosha kura liliwahi kuingiliwa na TB Joshua kwa kuja kwake Dsm. Sasa wote watatu hawapo tena.!! Duniani tunapita.

  • @KennedyAchayo
    @KennedyAchayo 8 หลายเดือนก่อน +1

    Rip

  • @OraionSabibi
    @OraionSabibi 8 หลายเดือนก่อน

    2015 alitisha tz

  • @jamesteras4643
    @jamesteras4643 8 หลายเดือนก่อน

    Pumzika Kwa amani Mzee

  • @mgangazephaniah230
    @mgangazephaniah230 8 หลายเดือนก่อน

    Goli la mkono litawatesa,

  • @MukuluwamechackProfesseurmk
    @MukuluwamechackProfesseurmk 8 หลายเดือนก่อน +2

    Que son âme reposé à Paix

  • @allenmacha4131
    @allenmacha4131 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pumzika kwa amani baba lowasa

  • @KilungusoSpano
    @KilungusoSpano 8 หลายเดือนก่อน +1

    Duuu pumzka kwa amani mwamba

  • @msafirishabani6701
    @msafirishabani6701 8 หลายเดือนก่อน

    Yakaisali muachie kaisalli

  • @StanleyKadu-pr3mt
    @StanleyKadu-pr3mt 8 หลายเดือนก่อน +1

    Baba,pumzika kwa Amani.

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 8 หลายเดือนก่อน

    RIP dady