Upanuzi wa barabara mlima Kitonga

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2024
  • Upanuzi wa barabara ya Mlima Kitonga mkoani Iringa umeanza kutekelezwa kwenye maeneo yenye kona kali ikiwa ni suluhisho la muda mfupi la kuepusha ajali za barabarani zilizokuwa gumzo nchini.
    Upanuzi huo unatarajiwa kutumia kiasi cha Shilingi Bilioni 6.4.

ความคิดเห็น • 1