ila nakumbuka kuna mtumishi alisema kuhusu haya mafuriko watu wakaanza kumwita ni tapeli na nabii wa uongo. ila acha iendelee tu ili watu wajifunze kusikiliza na kufanyia kazi maneno ya watumishi wa Mungu
wewe acha kuwa na akili ya kipumbavu wewe.. hakuna Cha nabii Kwa Karne hii wewe... huu utabiri wa mvua hata mamlaka ya Hali ya hewa nchini ilitangaza kabla ya huyo nabii wako.. istoshe kama unamwamini nenda kwanza akakwambie wewe na yeye mtakufa lini..😂😂
@@ibrahimally8073 wewe ndo mpumbabu tena mpumbavu sana,,kabla TMA hawajatoa tamko lolote la hali ya hewa,,huyo mchungaji alikwisha kusema ila watu wakaamza kumdhihaki
Ndugu yangu mkuu wa mkoa amesema kuwa mnaweza kutafutiwa mahema kwa mda ili kuepusha maafa Ina maana hamuwezi kuachwa watupu ndugu zangu ingawa ni ngumu kuondoka kuacha makazi yako, fikilieni mvua hii tunayopaka January na hatujui itakuwa na ukubwa gani
Chakusema ni poleni sana ndugu zangu na Allah azidi kuwapa nguvu,na pia serekali ifkirie tena hili suala na kujua namna ya kuwasaidia,hapana mzembe majanga yanatokea
Hali hii haimpendez kiumbe yeyote mwenye moyo na iman lkn serikali inahusiana nin na mpango wa mungu tusije pata misiba kwa kigezo cha bill 💸💵 ziendazo serikalin ndg zangu afya zetu ni muhim zaid 😢
Tatizo mnataka tu kukaa mjini hata kama kuna madhara.. au sijui ndio mnaona sifa kuishi dar.. hii nchi ni kubwa sana na ina maeneo salama tu ya kuishi.. ndio mana magufuli aliwaambia mkilazimisha kuishi maeneo hatarishi mafuriko yakiwakuta msilalamikie serikali.. haya endeleni kutumia akili zenu vibaya mwisho wa siku mnajitesa wenyewe
Haya ni matatizo ya kujitakia mimi nemekulia hayo maeneo miaka ya tisini kulikuwa Hakuna nyumba maji yalikuwa hayakai hawa watu sijui wametokea wapi kila mtu anajua huo ni mkondo wa maji
Tz. Mvua. Nyingi Sana ilitakiwa madaraja yote yajengwekwa kuinua juu zaidinavzilejia za maji kuzipanua zaidi kama linapitagari kumbe majitu Ayo matatizoyataisha
Na hapo serikali iwape waalamu wa kichina hao ndio wataweza lakini blabla hapo hakuna kujifanya watu wanajua wataaibika hiyo sehemu ni muhimu sanaa na kuna mijitu huwa inajitia mbele mbele bado itakuwa mthihani hapo wahame wote na hao maneno maneno watoke tu ubidhi mwingi hawana uwezo.na uwekwe mji mkubwa na viwanda visivyochafua mazingira.
Yaani hata wanyama wamewazidi akili nyie binadamu mnaong'ang'ania kuishi mabondeni.. wajanja na wenye akili walijiongeza miaka mingi wakahama ila nyie Bado tu mpo mabondeni.. na serikali iliwapa maeneo salama tena bureee kule mwabepande lakini wapi mnataka tu kukaa kariakoo .. jangwani na kigogo.. haya pambaneni na hali zenu.. mtajijuuuuu
kuna lango kuu la maji yanayotokea kule BP matangini(keko Mwanga) kuelekea bandarini pia inahitaji skaveta kuweza kuzibua lango la maji ili yaweze kupita kiurahsi maana mafuriko maeneno hayo ya keko mwanga bondeni yanasababishwa pia na yule mwekezaji ambae amefinya mfereji huo katika eneo lake na kusababisha adha kwa wananchi wa keko hasa wakati wa mvua kama hivi. suluhisho la mafuriko eneo la keko mwanga kuelekea bandarini ni kumuondoa yule mwekezaji ama kupanua mtaro huo katika eneo lake na kuruhusu maji kupita kirahisi ili kuepuka maafa kwa wananchi wa keko mwanga.
Daaaaa aise kama naiyona TABATA MATUMBI YANGU JAMN POLE SANA NDUGU ZANGU MHHH MTO WA MSIMBAZI SHIKAMOO UWA NAUWESHIM SNA UWO MTOOOOO 2011 uwiiii nalala naamka najikuta naelea aise kwenye kitanda changu
Hvi uyo aliye vaaa jezi ya Man U point zake za kipumbavu sana watu wanalaalamika maswala ya maji yeye ana toa pongezi za kipumbavu na ndo maana hata mwandishi ajataka amalizie ku ongea ka mkatilia mbali pumbavuuu 😅
Kwan viwanja mlinunuliwa na serekal? Hebu achen serekal ifanye mambo ya msingi hyo ndio fahar ya kukaa mjin mnatucheka tunaoishi porin kikubwa tunawapa pole kwa mitihan lkn msilaumu serekal mnaoishi bonden mko wengi watasaidia wangap
Hao serikali nikuwaahimisha Kwa nguvu ni wajinga Tu nchi zinazojitambua hakuna mtu anaweza nga'nga'nia sehemu hatalishi lakini wanajitoa akili kuendelea hapo

Kasema haya rasharasha yenyewe yanakuja KUIFUNIKA DAR. (Tsunami) Tuhame.
wewe acha kuwa na akili ya kipumbavu wewe.. hakuna Cha nabii Kwa Karne hii wewe... huu utabiri wa mvua hata mamlaka ya Hali ya hewa nchini ilitangaza kabla ya huyo nabii wako.. istoshe kama unamwamini nenda kwanza akakwambie wewe na yeye mtakufa lini..😂😂
@@ibrahimally8073 wewe ndo mpumbabu tena mpumbavu sana,,kabla TMA hawajatoa tamko lolote la hali ya hewa,,huyo mchungaji alikwisha kusema ila watu wakaamza kumdhihaki
TMA walitoa taalifa tangu mwezi wasita
@@ibrahimally8073 Wew ndo una akili mgando kumbe! Wametoa unabii huo toka 2022 na wakasema TMA na manabii wa uongo watajitokeza 2023 TSUNAMI.
Serikali imesema mpaka imechoka mkiambiwa muhame huko oooh serikali mbaya.
Ndugu yangu mkuu wa mkoa amesema kuwa mnaweza kutafutiwa mahema kwa mda ili kuepusha maafa Ina maana hamuwezi kuachwa watupu ndugu zangu ingawa ni ngumu kuondoka kuacha makazi yako, fikilieni mvua hii tunayopaka January na hatujui itakuwa na ukubwa gani
Chakusema ni poleni sana ndugu zangu na Allah azidi kuwapa nguvu,na pia serekali ifkirie tena hili suala na kujua namna ya kuwasaidia,hapana mzembe majanga yanatokea
Hali hii haimpendez kiumbe yeyote mwenye moyo na iman lkn serikali inahusiana nin na mpango wa mungu tusije pata misiba kwa kigezo cha bill 💸💵 ziendazo serikalin ndg zangu afya zetu ni muhim zaid 😢
Yaan MTU anateseka kisa yupo dar ndugu hameni hii serikali kama ndio mnategemea mtakufa hasara itabakia na familia zenu
We waache tu waitegemee
😂😂
Wapelekwe Visegese kisarawe kuna shukealafu viwanja vimepimwa. Alafunhabina watu. Wapelekwe kisarawe visegese
Tatizo lenu mnataka kukaa karibu na kariakoo . Tokeni ndugu zanguni tafuteni sehemu salama
Kabisaaaa
Acheni ubishi mh kikwete aliwapa maeneo mabwepande mmekataa mkarudi hapo jangwani .Tokeni hapo hakuna mfumo mnaishi kama digidigi
Matokeo ya ubishi mzee ruksa alipoona mnabisha kuondoka alisema muachwe mwenye nyumba atakuja hataki tabu yule mzee
Tatizo mnataka tu kukaa mjini hata kama kuna madhara.. au sijui ndio mnaona sifa kuishi dar.. hii nchi ni kubwa sana na ina maeneo salama tu ya kuishi.. ndio mana magufuli aliwaambia mkilazimisha kuishi maeneo hatarishi mafuriko yakiwakuta msilalamikie serikali.. haya endeleni kutumia akili zenu vibaya mwisho wa siku mnajitesa wenyewe
Hii kadhia isikie kwa mwenzako ila yasikukute
Kbs yani
Haki vile
Haya ni matatizo ya kujitakia mimi nemekulia hayo maeneo miaka ya tisini kulikuwa Hakuna nyumba maji yalikuwa hayakai hawa watu sijui wametokea wapi kila mtu anajua huo ni mkondo wa maji
Tz. Mvua. Nyingi Sana ilitakiwa madaraja yote yajengwekwa kuinua juu zaidinavzilejia za maji kuzipanua zaidi kama linapitagari kumbe majitu Ayo matatizoyataisha
Na hapo serikali iwape waalamu wa kichina hao ndio wataweza lakini blabla hapo hakuna kujifanya watu wanajua wataaibika hiyo sehemu ni muhimu sanaa na kuna mijitu huwa inajitia mbele mbele bado itakuwa mthihani hapo wahame wote na hao maneno maneno watoke tu ubidhi mwingi hawana uwezo.na uwekwe mji mkubwa na viwanda visivyochafua mazingira.
Maji hayasahau njia yake afu serikali mvua kaikuta iyo ninjia yamaji na madimbeni
Yaani hata wanyama wamewazidi akili nyie binadamu mnaong'ang'ania kuishi mabondeni.. wajanja na wenye akili walijiongeza miaka mingi wakahama ila nyie Bado tu mpo mabondeni.. na serikali iliwapa maeneo salama tena bureee kule mwabepande lakini wapi mnataka tu kukaa kariakoo .. jangwani na kigogo.. haya pambaneni na hali zenu.. mtajijuuuuu
kuna lango kuu la maji yanayotokea kule BP matangini(keko Mwanga) kuelekea bandarini pia inahitaji skaveta kuweza kuzibua lango la maji ili yaweze kupita kiurahsi maana mafuriko maeneno hayo ya keko mwanga bondeni yanasababishwa pia na yule mwekezaji ambae amefinya mfereji huo katika eneo lake na kusababisha adha kwa wananchi wa keko hasa wakati wa mvua kama hivi. suluhisho la mafuriko eneo la keko mwanga kuelekea bandarini ni kumuondoa yule mwekezaji ama kupanua mtaro huo katika eneo lake na kuruhusu maji kupita kirahisi ili kuepuka maafa kwa wananchi wa keko mwanga.
Wakazi washasema hawa haami yaan hata aje nani aseme nn wameridhika
Aise hi balaa Sasa kma haupo na Kuna watoto si habari inaishia hapo
Poleni sana
Daaaaa aise kama naiyona TABATA MATUMBI YANGU JAMN POLE SANA NDUGU ZANGU MHHH MTO WA MSIMBAZI SHIKAMOO UWA NAUWESHIM SNA UWO MTOOOOO 2011 uwiiii nalala naamka najikuta naelea aise kwenye kitanda changu
😂
Nakumbuka mkuu wamkoa chalamila alisema ukiona maji yaajaa ndani jua ayo sio mafuriko Nikondo wa maji
Hvi uyo aliye vaaa jezi ya Man U point zake za kipumbavu sana watu wanalaalamika maswala ya maji yeye ana toa pongezi za kipumbavu na ndo maana hata mwandishi ajataka amalizie ku ongea ka mkatilia mbali pumbavuuu 😅
Yule mtumishi alisema dar itapigwa kwa dhambi zenu,tubuni ingali mapema na hameni bado mapema kwani uharibifu utakuwa mkubwa
Polen sana jaman ndugu zetu
Tokeni. Eti mnapiga kura bwege kabisa. Makonda aliwapa hata ardh mkakataa.
Ndy maana serikar imehamia dodoma
Wajanja
Hapo ata ukiweka daraja hakuna kitu, hilo eneo ni bonde nanisehemu ya mito, akili mkichwa
Mwenye makosa ni serikali, endeleeni kukaa, maji huwa yanakimbia watu😢
😅😅
😅😅😅😅sindoivyi tena magodoro tumeroweka maji serikari aina makazi
Hapo aina haja ya kutoa maji nje na kuingiza ndani
Miaka nenda rudi mpo hapo mmekaa wenyewe mmeshazoea siunaona kuna wengine wanakuambia kuhama hapo itakuwa ngumu.
Pole sana wa. Tz
Mwiteni kiumbe wenu makonda awaokoe karudi,anafanya sarakasi hukôm kwao.Hayo mafuriko iwe fursa kwenu,kamateni samaki,huku wakiendelea kuwaletea cha na mikate.kazi ya mjinga kuumia.sisi tupo hapa buza tunainjoi,kila kitu bwerere.
Tatizo lenu hamtaki kuhama sasa serikali ifanye nini ameni ujeni chanika kwetu huko porin ndani ndani kiwanjwa mpaka laki tano
Wanataka kukaa mjini
Poleni
poleni sana ila mzee punguza chai eneo no hatarishi
Jamani mlitahazalishwa muame hamkusikia sasa serikali ifanye nn😅😢
Mpangajia ata hama ila mwenye nyumba mpaka kuhama itachukuwa muda yote kwa yote ni ugumu wa maisha
@@dppd4219 sana hali ni ngumu
Ahame kod unamlipia
Nabii #MEJA KELELE NYINGI KUMPINGA MO DEWJI ATOKE SIMBA KUMBE UNAISHI KWENYE MAFURIKO YA MSIMBAZI !!
Poleni jamani
watu wapo sirius na majanga we unakipongeza chama cha mapinduzi
Serious wapi wewe wajinga tu hawa. Kila mwaka wanaambiwa wahame walishasema wamezoea acha wakome kwanza.
WaTz tuna kasoro za ajabu
Mtu hana mshipa wa aibu anasifia vitu ambavyo havieleweki 😢
kuna bilioni 600 kaziona wapi
Mvua wala haihitaji siasa
Kiongozi wachama mbona hawakuowi
Hamen hapo jaman
Huyu Mzee bogas kweli. Serikari na uhai wako unatjamini Nini??
Atavuna alichopanda
Hao wapuuzi kabisa mngewaacha Wafe walipewa viwanja mabati Na saruji wakala
Awavsi walipewa maeneo magwepande waliondolewa imekuaje sasa
Apo kigogo kila mwaka mafuriko achane ujinga ameni apo
😂Mtu akiwa mfuasi wa ccm hawezi luwa na akili.Wao akili zao wanawaza uchaguzi tu.sana sana watakwambia mama kaupiga mwingi.
Hivi hamfanyagi kampeni huko?.waende wapi?.
Poleni sana ndugu zetu
Shauri zao,hawasikiii
Kwan viwanja mlinunuliwa na serekal? Hebu achen serekal ifanye mambo ya msingi hyo ndio fahar ya kukaa mjin mnatucheka tunaoishi porin kikubwa tunawapa pole kwa mitihan lkn msilaumu serekal mnaoishi bonden mko wengi watasaidia wangap
ndo hapo ss
Silio la kufa ...... kaeni muone shooo ya elnino
Na ndo imeanza yani haijakolea hapo mim nimekaa hapo msimbazi na hawahami washazoea
miaka yote hawataki kuhama
Hao serikali nikuwaahimisha Kwa nguvu ni wajinga Tu nchi zinazojitambua hakuna mtu anaweza nga'nga'nia sehemu hatalishi lakini wanajitoa akili kuendelea hapo
Mmm napita.
Pumbavu zenu maswala ya bandali hamuandiki Wala kutangaza wanafiki wakubwa
Hawa walihamushwa wakarudi tena mabati na Saruji walikula.
Ni kweli, mabati na saruji waliuza wakala, pia walisema mabwepande ni porini, wao wamezoea Kuishi mjini
Duuu haya maisha jamanii duu
Sasa kama hamtaki kuhama mnalalamika nn
3.52🤔
Jamani serikali tunaomba hawa watu wote waondolewe na nyumba zivunjwe kabisa wapewe pesa kwa faida yenu mnaokaa mabondeni
Wamekula watu wajeuri sana
Mugu awasaidie
Anatabiri shari tuu
Maji umeme na kupiga kula ...ipo siku mtafia humoo, mwagepande mliuza viwanja mlikuona porini saivi mjini.
Upumbavu mtupu fukuzeni hao watu serikali kamata vunja nyumba zao wanaokaa mabondeni
Kwann wasitengeneze miundombinu mizuri ya maji ili kuondoa hii shida???
Hakuna cha miundombinu huko miaka kibao maji yanajaa waliambiwa waamishiwe mabwepande wengi waligoma
Meja pole
Mvua endelea kumimina mvua kwa kasi hawa binadamu ni wabishi mmno.
Mkiondolewa mnarudi
Mlishaambiwq hameni hamsiki
Mna lienu jamba nyie
Sasa wewe meja unakaaje mabondeni.unajifanyaga unaongea sana.kumbe wewe mwenyewe hujipendi.harafu wanyakyusa hawakaagi kigogo wewe.tena bondeni.wewe sio mnyakyusa.
😂😂😂😂 mwenyewe nimeshangaa mnyakyusa gani huyu anatutia aibu hivi?😂😂
Poleni sana
Poleni sana