- 88
- 3 756 114
St. Paul's Students Choir University of Nairobi
เข้าร่วมเมื่อ 31 พ.ค. 2018
The official TH-cam Channel for St Paul's Students Choir, University of Nairobi.
Vol 8 and sub vol 8.1 now available
Vol 8 and sub vol 8.1 now available
EE MUNGU NIMEKUITA | Venant Mabula | (Official Video)
St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu ambao ni wa kumsihi Mungu atukirimie katika maisha na juhudi zetu za kila siku.
Wimbo: Ee Mungu Nimekuita
Mtunzi: Venant Mabula
Waimbaji: St Pauls Student Choir
Audio and Video: Rajo Productions
Kindly share, like, comment, and subscribe
Wimbo: Ee Mungu Nimekuita
Mtunzi: Venant Mabula
Waimbaji: St Pauls Student Choir
Audio and Video: Rajo Productions
Kindly share, like, comment, and subscribe
มุมมอง: 10 020
วีดีโอ
ASANTE MUNGU | E. F. Jissu | (Official Video)
มุมมอง 52K9 หลายเดือนก่อน
St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu ambao ni wa shukrani kwa Mungu kutuwezesha katika utume wa uimbaji zaidi ya miaka ishirini. Wimbo: Asante Mungu Mtunzi: Ersatus Frankline Jissu Waimbaji: St Pauls Student Choir Audio and Video: Rajo Productions Kindly share, like, comment, and subscribe
NI MUNGU | M.C Mabogo | (Official Video)
มุมมอง 73K11 หลายเดือนก่อน
St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu ambao ni wa kutambua uwepo wa Mwenyezi Mungu katika maisha yetu. Wimbo: Ni Mungu Mtunzi: Musa Mabogo Waimbaji: St Pauls Student Choir Audio and Video: Rajo Productions Kindly share, like, comment, and subscribe
MKAZAE MATUNDA MEMA | Ray Ufunguo | (Official Video)
มุมมอง 835Kปีที่แล้ว
St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu ambao ni wa ndoa unaowahimiza wanandoa kumtafuta Mungu ili kuishi maisha yanayompendeza siku zote. Wimbo: Mkazae Matunda Mema Mtunzi: Ray Ufunguo Waimbaji: St Pauls Student Choir Audio and Video: Rajo Productions Kindly share, like, comment, and subscribe
AHADI ZA MUNGU | Thomas Joseph | (Official Video)
มุมมอง 297Kปีที่แล้ว
St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu unaotukumbusha ahadi za Mungu na mawazo yake mema katika maisha yetu ili tuendelee kumwomba na kumtumaini siku zote. Wimbo: Ahadi za Mungu Mtunzi: Thomas Joseph Waimbaji: St Pauls Student Choir Audio and Video: Rajo Productions Kindly share, like, comment, and subscribe
EKARISTIA | Tumaini Swai | (Official Video)
มุมมอง 153Kปีที่แล้ว
St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu ambao unatukumbusha kuzitafuta neema za Mungu katika Ekaristi. Wimbo: Ekaristia Mtunzi: Tumaini Swai (FM) Waimbaji: St Pauls Student Choir Audio and Video: Rajo Productions Kindly share, like, comment, and subscribe
MAJI YA UZIMA | Fortune Shimanyi | (Official Video)
มุมมอง 835Kปีที่แล้ว
St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu unaotukumbusha kwamba Mungu ndiye chemchemi ya faraja na asili ya mema yote maishani mwetu. Wimbo: Maji ya Uzima Mtunzi: Fortune Shimanyi Waimbaji: St Pauls Student Choir Uon Audio and Video: Rajo Productions Kindly share, like, comment, and subscribe
Ndiwe Uliye Mungu // Fr. A. Ndesario / St Paul's students' Choir, University of Nairobi _ Offertory
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
Ndiwe Uliye Mungu // Fr. A. Ndesario / St Paul's students' Choir, University of Nairobi _ Offertory
Mambo ya Yesu/ Fr. Renatus //St Paul's students choir, Word procession
มุมมอง 5Kปีที่แล้ว
Mambo ya Yesu/ Fr. Renatus //St Paul's students choir, Word procession
Mimi niutazame /Jiwe San /St Paul's students choir university of Nairobi //Live
มุมมอง 17Kปีที่แล้ว
Mimi niutazame /Jiwe San /St Paul's students choir university of Nairobi //Live
Hiki ni Chakula / Samwel Abado/ st Paul's students choir live
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
Hiki ni Chakula / Samwel Abado/ st Paul's students choir live
SIKU ILE NILIYOKUITA | B J.Mapalala | Wimbo wa katikati
มุมมอง 6K2 ปีที่แล้ว
SIKU ILE NILIYOKUITA | B J.Mapalala | Wimbo wa katikati
BWANA NI NANI ATAKAYEKAA | Godlove A. Mayazi | Wimbo wa katikati
มุมมอง 6K2 ปีที่แล้ว
BWANA NI NANI ATAKAYEKAA | Godlove A. Mayazi | Wimbo wa katikati
Enyi Mumtafutao Mungu | Josephat Mashango | Wimbo wa katikati
มุมมอง 2.5K2 ปีที่แล้ว
Enyi Mumtafutao Mungu | Josephat Mashango | Wimbo wa katikati
MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE | David S.Kacholi | Wimbo wa katikati
มุมมอง 3.9K2 ปีที่แล้ว
MPIGIENI MUNGU KELELE ZA SHANGWE | David S.Kacholi | Wimbo wa katikati
Mwangaza/St Paul's students choir/UoN - Bernard Mukasa
มุมมอง 11K3 ปีที่แล้ว
Mwangaza/St Paul's students choir/UoN - Bernard Mukasa
Nitakutukuza Mungu/St Paul'sstudents, choir/ UoN -S. E. Mlugu
มุมมอง 144K3 ปีที่แล้ว
Nitakutukuza Mungu/St Paul'sstudents, choir/ UoN -S. E. Mlugu
Nimekuja Kufanya Mapenzi Yako | J. Mgandu | Wimbo wa Katikati
มุมมอง 5K3 ปีที่แล้ว
Nimekuja Kufanya Mapenzi Yako | J. Mgandu | Wimbo wa Katikati
BASI KWA FURAHA | G. C. Mkude | Wimbo wa Katikati
มุมมอง 5K3 ปีที่แล้ว
BASI KWA FURAHA | G. C. Mkude | Wimbo wa Katikati
MATAIFA YOTE YA ULIMWENGU | D. Nducha | Wimbo wa Katikati
มุมมอง 8K4 ปีที่แล้ว
MATAIFA YOTE YA ULIMWENGU | D. Nducha | Wimbo wa Katikati
BWANA ANALIKUMBUKA AGANO | D. Haymon | Wimbo wa Katikati
มุมมอง 1.5K4 ปีที่แล้ว
BWANA ANALIKUMBUKA AGANO | D. Haymon | Wimbo wa Katikati
FADHILI ZA BWANA NITAZIIMBA | P. Maguzu | Wimbo wa Katikati
มุมมอง 3K4 ปีที่แล้ว
FADHILI ZA BWANA NITAZIIMBA | P. Maguzu | Wimbo wa Katikati
NAFSI YANGU ITASHANGILIA | E. Ogeda | Wimbo wa Katikati
มุมมอง 6K4 ปีที่แล้ว
NAFSI YANGU ITASHANGILIA | E. Ogeda | Wimbo wa Katikati
EE BWANA UTUONYESHE REHEMA | T. Eriyo | Wimbo wa Katikati
มุมมอง 11K4 ปีที่แล้ว
EE BWANA UTUONYESHE REHEMA | T. Eriyo | Wimbo wa Katikati
EE MUNGU UTURUDISHE | F. Kihombo | Wimbo wa Katikati
มุมมอง 12K4 ปีที่แล้ว
EE MUNGU UTURUDISHE | F. Kihombo | Wimbo wa Katikati
Hongera sana Kwa uinjilishaji
Na bwana atufunike kwa manyoya yake, chini ya mbawa zake tupate kimbilio .... Blessed 2025!
Mubarikiwen nyote aise nyimbo tamu sana kaka Ray barikiwa sana aise
I am so proud of you. As an alumni I am inspired greatly
Nampa maua yake 🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤
Kweli jamani wimbo nzuri mungu ambariki alie utumga
Sana
Tuzidi kumsifu kila siku
❤❤❤❤🎉
Mungu awatie nguvu na baraka tele mfike mbali zaidi
Kila mmoja ataacha wazazi wake nakuambatana na mwenzi wake na kuujaza ulimwengy
Barikiwa sana wimbo mzuri sana wa ndoa
Amani.iwe.k wenu.❤❤❤❤
🎉🎉
A very nice song i love it. keep it st. paul
Kazi njema St. Paul UoN am happy to be an alumni
Pianist ni hatari sana
Nyimbo nzuri yenye mawaidha mema jinsi ndoa inavyostahili kuzingatia amri za Mungu na kumweka Mungu kama msingi wa ndoa
Wanakatoliki wote kwa ujumla nawaombea baraka na ufanisi katika uzao wenu
Samahani kwa usumbufu Ila natamani ningeweza Pata nota za nyimbo za Saint-Paul students of Nairobi n'a Pia za MWALIMU RAY UFUNGUO
Nyimbo njema sana Ila najiuliza Mara nyingi wapi naweza kuzipata nota za nyimbo hizi ili kuimba Pia n'a KWAYA yetu huku Bukavu DR CONGO. Samahani kwa ususu
Unatisha madamu esther
Kagoni, I had to come see for myselof! Indeed, gorgeous sister . Women spend so much $$ trying to manage their hair to look like yours Luchia!! Blessings were wrapped in misery to blow out later on. Hope . Inspiring.
The bass thing😋😋😋 5:04 - 5:25 Tasty😋
The best utukufu song that I normally enjoy listening to
Attending second mass at st pauls chapel was always waiting for ths song,, it is my all time favourite
Kweli
The best song I have heard in a while. Perfect composition, audio & video. The modulation 4:20 is lovely. Congratulations 🎉
Luv u guys kazi nzuri sana mjini Tanzania muinjilishe kwa
Hongera sana
Asante sana
Wimbo tamu mpaka inaingia kwa roho ❤
❤❤❤❤❤❤Twashukuru
A very nice song
Wimbo mtamu Sana. Napenda Sana kazi ya Ray Ufunguo.
Na shukuru sana,ni Charles toka DRC.
Ni vyema kumshukuru mungu kwa kila jambo.
Hakuna rafiki kama Yesu
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Mungu ni mwema kill siku 3:38
❤❤❤❤❤🎉
I wished they knew Luhya Language to hear this sweet Music and the touching Words: Yes whom do we a sign our riches we acummulates when death asks us to go as nacked as we csme from our Mother's Wombs, i eished people would take conscience in these words.
th-cam.com/video/JZ-4eV7gMIk/w-d-xo.htmlsi=JFUc3oOLq2SUdnV-
Wimbo unatia fora sana
Today we have 14 weddings ya jubilee in our church Holy Mary Mother of God Githurai 44 i dedicated them this song....Naipenda tu sana 🎉🎉🎉
Huu ufund wa shimanyi naqbal sana
❤
Nilipokuwa sijaokoka nilikuwa hii type ya kisazi ya nyoka 😢😢 yesu ni mwema kwa neema yake aliniokoa
❤
Nice piece
Woow nice song ❤❤❤❤