🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • 🔴#LIVE: WAZEE WA SIMBA WATEMA CHECHE MATOKEO MABAYA YA TIMU; "TUNARUDISHA CHUMBA NA 4 KUUA MABAYA"
    Wazee wa Simba SC wanazungumza muda huu kuhusu mwenendo wa timu yao baada ya kupoteza michezo kadhaa ya Ligi Kuu Bara.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
  • กีฬา

ความคิดเห็น • 122

  • @jumaseph6884
    @jumaseph6884 2 ปีที่แล้ว +12

    Simba nguvu moja asanten Sana wazee wetu kwa umoja wenu na kwa kuliona hili kwa kuweka hamasa

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 6 หลายเดือนก่อน

    Asante wazee wetu tuko pamoja simbaaa nguvu moja

  • @zahoronassoro4758
    @zahoronassoro4758 6 หลายเดือนก่อน

    Safi sana wazee wa Simba ,Simba nguvu moja

  • @CharlesLutandula
    @CharlesLutandula 11 หลายเดือนก่อน

    hongereni sana wazee wetu kwaumoja tukopamoja.simba nguvu moja.

  • @mariamhaule1708
    @mariamhaule1708 2 ปีที่แล้ว +3

    Asante Sana wazee wetu Leo mmetoa baraka lazima tushinde

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 2 ปีที่แล้ว +3

    BIG UP ( WEKUNDU WA TANZANIA )

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii ndiyo SIMBA SC NGUVU MOJA NINAYOIJUA💪💪💪💪

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 2 ปีที่แล้ว +3

    msiba mkubwa ukitazama bila maudhui utafikiri Mashekh na waumini wamekutani katika ibada kumbe.....................!!!!! kweli msiba mzito

  • @edwinedward5352
    @edwinedward5352 2 ปีที่แล้ว +3

    Boko anatumika na manala manala anamtetea Kama nani mnafiki mkubwa nakumbuka walikua Wana pozana wakati manala anaondoka🦁💪🙏🙏🙏

  • @elishawillison338
    @elishawillison338 2 ปีที่แล้ว +3

    Simba 💪💪

  • @rajabuhamisihasanisanda3317
    @rajabuhamisihasanisanda3317 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atatusaidia simba nguvumoja

  • @hajihija1903
    @hajihija1903 2 ปีที่แล้ว +1

    Wewe mzeee mbaya huna uisilamu kazi yako Imani potofu

  • @hamisally9255
    @hamisally9255 11 หลายเดือนก่อน

    Mzee upo sawa Kuna husuda wazee wa Simba angalieni hayo kwa upana

  • @emanuelmrema8115
    @emanuelmrema8115 2 ปีที่แล้ว +2

    Wazee mko vizr nguvu moja

  • @jumaally2469
    @jumaally2469 2 ปีที่แล้ว +4

    Wazee ni hazina kwa vijana tunawaelewa vzr wezee wetu

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 2 ปีที่แล้ว +1

    Wazee mnataka kuleta fujo, mpira umebadilika na nyinyi mbadilike hayo mambo ya chumba namba 4 yamepitwa na wakati, timu haifanyi vizuri tatizo ni wachezaji hasa wafungaji na hili tatizo ni tangu mwaka wa jana likianza kujitokeza, makosa yaliyofanyika ni kusajili viungo wengi wakasahau kununua mshambuliaji wa uhakika chumba namba kitasaidia nini wakati hakuna mshambuliaji acheni fuji tutarudi nyuma.

  • @saidally9896
    @saidally9896 2 ปีที่แล้ว +2

    Sasa muhindi akae vizur hao ndio wenye timu yao...magori si kawekwa na mo? Au...?

  • @emmanuelmathiasmpesa9396
    @emmanuelmathiasmpesa9396 2 ปีที่แล้ว +3

    Tatizo hapa Sio Nini ni dharau Kwa wale walioifikisha Simba hapo ilipo jamani huwezi kumuondoa manala Kirahisi namna iyo manala yeye alikuwa jikoni Leo Yuko upande wa pili Kwa iyo Siri zote za Klub lazima zivuje TATHMINI

    • @DullhFeyy
      @DullhFeyy 6 หลายเดือนก่อน

      Yeah tatizo lipo kweli tena linalo idhuru simba hicho kiumbe kunà kitu ndani yake kinacho uzur simɓa ni hilò uliloliongea mchezaji hata akija awe mzur ataonekana mbovu walitatue kwaharakaka sana hilo nalo neno wapo waþo kubar nawatao kataa

  • @mateustomefobrafobra2315
    @mateustomefobrafobra2315 2 ปีที่แล้ว +7

    Yaani mazeee yapo tayari yafanye shirki kwaajili ya mpira majinga kweli kweli

  • @danielsanga8459
    @danielsanga8459 2 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mzeee mmoja katibya Hawa wazeee hapepesi macho

  • @eliasnyondo5528
    @eliasnyondo5528 2 ปีที่แล้ว +3

    Naungana na wazee kushiriki mkutano. Smb sc nguvumoja

  • @eliasnyondo5528
    @eliasnyondo5528 2 ปีที่แล้ว +4

    Wekundu wa Tanzania smb sc nguvumoja Kama Kuna watu wanaichezeza timu ya smb kinawarudia

    • @khadijamisayo7476
      @khadijamisayo7476 2 ปีที่แล้ว

      walipitia kwa haji, bahati nzuri barbra akamgundua mapema

  • @stevenmwanile
    @stevenmwanile 10 หลายเดือนก่อน

    Safi

  • @iskitogo
    @iskitogo 2 ปีที่แล้ว +1

    Ofisi ya Barbara ni chumba namba ngapi hapo Klabuni Msimbazi?

  • @yunusimchala9306
    @yunusimchala9306 2 ปีที่แล้ว +2

    BARAZA LA WAZEEE LIRUDI KWENYE KATIBA MMMMH HAKUNA UWEKEZAJI TENA

  • @jacksonletema6071
    @jacksonletema6071 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwani simba imechukua ubingwa mara 4 mfululizo na kimataifa imefanya vizuri na hao wazee hawakuwepo nikionacho hapo watavurugana na Mdhamini wao ambae anaamini ktk usajili mzuri

  • @edwinedward5352
    @edwinedward5352 2 ปีที่แล้ว +1

    Wekundu wa TANZANIA 🙄👍👏👏🦁💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @hamisally9255
      @hamisally9255 11 หลายเดือนก่อน

      Napenda mzee hasani dalali ikowa mwenyekit wa Simba Simba Simba ilikuwa haifungwi na yanga

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 2 ปีที่แล้ว +1

    Na kweli tushaanza kwa kishindo mara tu baada ya kikao hiki kukamilika

  • @fundimagari5825
    @fundimagari5825 2 ปีที่แล้ว +3

    Magori umewaengua wazee wetu,leo wazee wamekaa pembeni chama letu la simba linavunjiawa heshima..

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwn yanga haina wazee?

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 6 หลายเดือนก่อน

    Shikamoo ndio sawa

  • @mateustomefobrafobra2315
    @mateustomefobrafobra2315 2 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahahaha hakuna kitu mpira hauna mambo hayo kama wachezaji wamechoka wamechoka tu

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 11 หลายเดือนก่อน

    SIMBA NGUVU MOJA 🇹🇿 ♥️ ❤️ 💖

  • @NOVATISIYAME
    @NOVATISIYAME 6 หลายเดือนก่อน

    Wazee wasikuizii wa ovyoo sana mnakosa ata uchawi wakuu wakifanya simba iwe inashinda kila mechi

  • @maryjkiosa3380
    @maryjkiosa3380 2 ปีที่แล้ว +2

    Simbaa nguvu moja 💪

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 ปีที่แล้ว +2

    Nyie waandishi maongezi ya undani haiwahusu

  • @edwardaugustino7177
    @edwardaugustino7177 10 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba ya Dalali.

  • @fadhilisheckimweri2512
    @fadhilisheckimweri2512 2 ปีที่แล้ว

    Wakati makolo mnarudi chumba na 4 yanga wanasajili electronically ili ku advance kiuchumi

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 ปีที่แล้ว +1

    Aaaa kumbe wazee wanataka kwenda Ikulu kwa mama Samia Suluh Hassan ili ishinde mda wote kwa sababu Simba ni timu ya Mzee Kawawa duuuuu

  • @jacksonnchimbi1966
    @jacksonnchimbi1966 2 ปีที่แล้ว

    Wanawaza wamerogwa na yanga kumbe upepo tu umewabadilikia ndio maana ya Mungu wa kwetu wote hiyo

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 2 ปีที่แล้ว

    Mm nashangaa wazee kama wote lakini bado tunafugwa kweli jamani😭mnashidwa kuangalia upande wapili jamani fanyeni kitu

  • @jumakhalid5554
    @jumakhalid5554 2 ปีที่แล้ว

    Mmekwisha wazee

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmekutana tena mechi.ya ligi inayokuja mnachezea tena

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ivyo nyie watangazaji hamjielewi manina zenu eti heshima yetu ndo nini acheni ujinga wazazi wenu mnawasalimia ivyo au fyuuuuuu

  • @mwanahawabakari718
    @mwanahawabakari718 2 ปีที่แล้ว

    Chumba namba nne Cha uchawi,😃😄😅,kwani Simba isifungwe wao nkina Nani,waache ushamba,je wanaocheza nao ni wanyama wale siwatu Kama wait wasitake kutuletea upuuzi Simba imepotea muache ushamba ,inafungwa Manchester sembuse nyie 😎,acheni ujinga

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 2 ปีที่แล้ว

    Unakaa ili ubadiri matokeo au timu wachezaji wamechoka wamechezeshwa mda mrefu usajilri unahitajika

  • @shabanigeluka8646
    @shabanigeluka8646 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani naomba niulize eti timu za ulaya nazo zinabaraza la wazee??

  • @vumiliachacha2743
    @vumiliachacha2743 2 ปีที่แล้ว +2

    Ee ndio sinyie utopolo ndo mlianza kwa Moto na sisi tunamaliza kwa moto

  • @paulmasanja7055
    @paulmasanja7055 2 ปีที่แล้ว

    Wazee wetu mmevurugwa kweli aisee

  • @ibraimoissiaca6058
    @ibraimoissiaca6058 2 ปีที่แล้ว

    Si tunawasikiliza wazee wetu buana

  • @hamisally9255
    @hamisally9255 11 หลายเดือนก่อน

    Mo kaa na Hawa wazee

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 6 หลายเดือนก่อน

    Timu bado inategemea nguvu ya wazee ili wawavushe hatua ya nusu fainal, hii inamaanisha viongozi wao wa sasa hawana maono hapo ndio walipo achwa mbali na yanga.

  • @fadhilisheckimweri2512
    @fadhilisheckimweri2512 2 ปีที่แล้ว

    Room no 4?

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 ปีที่แล้ว +1

    Bongo bwana sasa wazee ndo wachezaji???

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona simuoni onyango na kagere kwenye icho kikao cha wazee wa simba

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 ปีที่แล้ว

    Chumba namba 4

  • @kelvinchuwa2212
    @kelvinchuwa2212 2 ปีที่แล้ว

    Kwani na ulaya wazee wapo au wazee njaa hawa

  • @josephmwise3177
    @josephmwise3177 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona simuoni Onyango, Boko, Nyoni, Kapombe na akina Shabalala?

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413 11 หลายเดือนก่อน

    Wazee wetu wa msimbazi fanyeni yenu kuinusuru simba yetu tangu tufungwe 5 na utoporo hatuna amani mitaani matusi na kejeli ndoo salamu zetu jamaa walituzidi sayansi na teknorojia ya giza hatakama simba yetu ingekua mbovu kiasi gani sio yakufungwa wingi wa goli 5 tumezalilishwa sana wezee wetu kaeni nakuchunguza kwa makini sana kuhusu jambo hili

  • @adamchambo12
    @adamchambo12 2 ปีที่แล้ว

    Hatuhitaji wazee Mpira wakubwa na wazee wanaotegemea chumba namba 4 Kwa be Zama hizi hawana nafasi,tunahitaji matokeo yanayoonekana na wala sikutuabisha eti utamaduni

  • @costantinestephen2594
    @costantinestephen2594 2 ปีที่แล้ว

    Wazee Wa simba ni magumashi. Timu mbovu majungu kibaoo.

  • @protasmalala7559
    @protasmalala7559 2 ปีที่แล้ว +1

    Tutayajua mengi sana mwaka huu mbona..Chumba namba NNE!

  • @geofreysenka7091
    @geofreysenka7091 2 ปีที่แล้ว

    Wazee hakuna shida walitaka wajue je Kati ya viongozi walio pewa dhamana ya kusimamia team au walio karibu na team wana migogoro sio shida hiyo ni heshima tu kwa wazee

  • @faustinemavere1450
    @faustinemavere1450 2 ปีที่แล้ว

    Mshindwe kwa jina la Yesu kama ni paka hamtaweza tunavunja nguvu zote za giza hazitafanikiwa sisi tunamtegemea Mungu wazee wanaamini ushirikina mshindwe yaani mmesema wazi kabisa wazee mna chumba no 4 poleni sana mhhhh mzeee kaweka wazi mambo hadharani lakini hamwexi nguvu za Mungu zitatenda kaxi

  • @khatibuhabibu2465
    @khatibuhabibu2465 2 ปีที่แล้ว +1

    Chumba namba 4 ICU

    • @paullwangili2235
      @paullwangili2235 2 ปีที่แล้ว

      Kinachoniudhi kwenye hii klabu wametanguliza mbele uchawi kuliko kitu chochote,nachukia Sana.

  • @ericklipendele1446
    @ericklipendele1446 2 ปีที่แล้ว +1

    wazee wana nongwaa sanaa mechi 3 tu kufnya hvyo washaanza vikao shwain

  • @nasibueleman-dw9dd
    @nasibueleman-dw9dd 6 หลายเดือนก่อน

    Mpila siyo wazee wafungaji allikuwa baleke

  • @edwinaugustine6836
    @edwinaugustine6836 2 ปีที่แล้ว

    wazeee achanane na mpiraaaa

  • @caprice2558
    @caprice2558 2 ปีที่แล้ว +1

    Uchawi fc

  • @martinchilumba3248
    @martinchilumba3248 7 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @linuskyando4155
    @linuskyando4155 2 ปีที่แล้ว +1

    UZURI KWA YANGA MWAKA HUU SIMBA WANAWEKA MAMBO YAO HADHARANI

  • @kassimomar7589
    @kassimomar7589 2 ปีที่แล้ว

    Etii wazee warudishwe kwenye katibaaa

  • @hamisally9255
    @hamisally9255 11 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo matokeo ya mpira wanasimba tuwe na subira Simba nguvu moja

  • @AllyGolota
    @AllyGolota 6 หลายเดือนก่อน

    Kikao kikubwa lakini mashujaa kakuonyesheni mpira

  • @abusultanzimbawy501
    @abusultanzimbawy501 2 ปีที่แล้ว +2

    Pesa ya Azam imesaidia timu kusajili nyie mmebaki na kina kagereeeeeee

  • @nicksonsalapion5135
    @nicksonsalapion5135 2 ปีที่แล้ว

    wakacheze wao kama wanajua mpira ni kununua nyanya sokoni

  • @abusultanzimbawy501
    @abusultanzimbawy501 2 ปีที่แล้ว

    Ligi imebadilika

  • @benjjlifetechnologie435
    @benjjlifetechnologie435 2 ปีที่แล้ว +1

    Namuona hapo mzee wawa mzee onyango na mzee boko. Mbona wengine siwaoni

  • @linuskyando4155
    @linuskyando4155 2 ปีที่แล้ว

    DALALI ALIFUNGWA SANA NA YANGA

    • @thomasmanja1089
      @thomasmanja1089 2 ปีที่แล้ว +1

      Ulikuwa Bado mdogo hukumbuki kaulize tena wakubwa

  • @esterkomba4072
    @esterkomba4072 2 ปีที่แล้ว

    Mzee usijimalize hao waandishi ninafiki

  • @johnmushi8777
    @johnmushi8777 ปีที่แล้ว

    Pengine mganga anawadai

    • @johnmushi8777
      @johnmushi8777 ปีที่แล้ว

      Mlipen yule mganga anaedai magol yatsonekana insha ala

  • @richardsesa7494
    @richardsesa7494 2 ปีที่แล้ว

    Tulianza na wekundu wa msimbazi tunkuja wekundu wa watanzania hadi wekundu wa African

  • @trio9911
    @trio9911 2 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 akuna uchawi ni uwezo tu! Izo ata ulaya sinatokea sana watu wanagonga tu miamba ata mitano alafu wanafungwa goli moja 😂

  • @keffajacob8952
    @keffajacob8952 2 ปีที่แล้ว

    Mzee bwege huyu...magoli utajilinganisha nawwe mlamba ugolo...nendazako kacheze bao kule we mzee njaa kali

  • @kelvinchuwa2212
    @kelvinchuwa2212 2 ปีที่แล้ว +1

    Hamna kazi za kufanya tu na ujinga wenu wenzenu kipindi wanasajili nyie mlikalia tetesi na wandishi wenu mandazi na mwaka huu mtaomba po na mtatamani mpande mbinguni kwa Mungu mkatubu

  • @hamisally9255
    @hamisally9255 11 หลายเดือนก่อน

    Boko Ni kaputeni Ana kosa gan

  • @mateustomefobrafobra2315
    @mateustomefobrafobra2315 2 ปีที่แล้ว

    Hatakama wazee mkutane vipi mloge vp hakuna kitu

  • @rashidmohammed4887
    @rashidmohammed4887 2 ปีที่แล้ว +1

    Mpira wa kisasa hautegemei nguvu ya ziada. Kubalini tu wachezaji wamechoka. Ongezeni damu mpya tu

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 ปีที่แล้ว +1

    Hawa wazee kwasuratu wanaonyesha niwachawi

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 2 ปีที่แล้ว

    UKIINGIZWA CHUMBA NO. 4 UMEKWISHA KUDADADEKIIIII

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 ปีที่แล้ว +1

    Mpira unachezwa uwanjani tubadilike mechi tatu tu shida!!! It's a shame

  • @kelvinchuwa2212
    @kelvinchuwa2212 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtaloga sana mwaka huu wehu njie na dawa yenu nikuchomwa moto tu

  • @NOVATISIYAME
    @NOVATISIYAME 6 หลายเดือนก่อน

    Dalali aludi kwenye nafasi yakee

  • @elizabethcharles6228
    @elizabethcharles6228 2 ปีที่แล้ว

    Hawa wandishi wananikera

  • @mustafakara1361
    @mustafakara1361 2 ปีที่แล้ว +1

    Utumboooo tu huo

  • @abusultanzimbawy501
    @abusultanzimbawy501 2 ปีที่แล้ว

    Timu ina wazee kina onyango

  • @zubedamselem7217
    @zubedamselem7217 2 ปีที่แล้ว

    Nyinyi utopolo mnaumwa nanini wazee wa simba nyie mnawashwa wapi.tuacheni na simba yetu.utopolo haiwahusu.shobo tu

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 ปีที่แล้ว

    Baraza la Wazee kwenye katiba ya simba!! Kule kule zamani za kale... gabachori hawezi kukubali...bln 20 ulezeni

  • @mkalywagoka9913
    @mkalywagoka9913 2 ปีที่แล้ว +1

    Someni albadruuiii

  • @aminielnjiro6084
    @aminielnjiro6084 2 ปีที่แล้ว

    Naona vibarakashe kama vyote