VITA NZITO: KITWANGA VS BASHE/ TUHUMA NZITO ZATAJWA!/ "ANADANGANYA"/ "ZINDUKENI"/ "KWA MASLAHI YAKE"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 ปีที่แล้ว +8

    Akili zinarudi akishatolewa nje ya system, Pamoja na kuonekana km amepiga kinywaji anatoa point.

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 ปีที่แล้ว +7

    Wakiwa nje wanakuwa na mawazo mazuri sana

  • @veronicasamson7121
    @veronicasamson7121 ปีที่แล้ว +3

    Kweli Mh Raisi anatuwazia mema sana wananchi hasa sisi wa chini lakin maelekezo yake yanaeza kua yasifanyike accordingly

  • @saketnicholaus9962
    @saketnicholaus9962 ปีที่แล้ว +5

    Mzee wa kuumwagilia moyoo

  • @bernardoartist8770
    @bernardoartist8770 ปีที่แล้ว +4

    Kitwanga Yuko sahihi

  • @issayasosolo6033
    @issayasosolo6033 ปีที่แล้ว

    Mwalimu Nyerere aliyazungumza haya ya kuwa mtapata tabu Sana mkiwaingiza wafanyia biashara kwenye mfumo wa kiutawala, Bashe kiasili Ni mfanyabiashara hawezi hata kidogo kutetea kilimo Cha Tanzania hasirani

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 ปีที่แล้ว +1

    Mawazo mazuri

  • @rajenderrobert8605
    @rajenderrobert8605 ปีที่แล้ว

    Kitwanga yuko sahihi very smart, Billion 3 iajiri vijana 16,000?

  • @songombingo108
    @songombingo108 ปีที่แล้ว +2

    Mnamuona HAMNAZO lakini anayosema ni kweli tupu

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 ปีที่แล้ว

    "Maligati" kitungi kinahsika

  • @HassanHassan-sn5cj
    @HassanHassan-sn5cj ปีที่แล้ว +3

    Kwani amelewa mbona mdomo mzito!?

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 ปีที่แล้ว +6

    Huyu alipewa Uwaziri akafukuzwa ndani ya miezi miwili kwa uzembe leo na yeye anaona wenzake hawana akili.

  • @mgawerevocatus8582
    @mgawerevocatus8582 ปีที่แล้ว

    Kuna ukweli kabisa hivi 187500 unaweza fanya kilimo gani Cha kulikwamua taifa?

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 ปีที่แล้ว

    Kiufupi naanza kuwaelewa kina Wenje na Heche kwamba serikali inatumia vibaya kodi inayokusanywa kwasababu rais anashauriwa vibaya na wapiga dili

  • @lianaelgomezulu2259
    @lianaelgomezulu2259 ปีที่แล้ว

    Ndg yetu ana mawazo mazuri sn lkn alikuwa na fursa kipindi chake alipokuwa baraza la mawaziri!! Mbona bodi ilikuwepo?

  • @mzeewahisia9959
    @mzeewahisia9959 ปีที่แล้ว

    Kweli MZEE uko sàwa ATA Mimi nimeona ni mchongo wao kupiga madili Bashe ana msaada wowote huo ni uhuni TU atutaki hizo billion 3 watupe TU mashamba TU tujitafutie mtaji tuingie MASHAMBANI Tukalime maisha ni magumu sana

  • @nakanjemfaume3839
    @nakanjemfaume3839 ปีที่แล้ว +2

    huyo mlevi wa hovyo

  • @nderingomunis5398
    @nderingomunis5398 ปีที่แล้ว

    187,500 dah

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Kwnn unamhoji mzee mlevi hyo unatupotezea muda hawez kujifananisha na BASHE akalale mlevi hyo mzee

  • @edsonkahesi8603
    @edsonkahesi8603 ปีที่แล้ว

    Bilion 3 ukizigawa kwa vijana 16,000 kila mmoja anapata 187,500 huu uwekezaji utakuwa wa tija kweli???😆😆😆😆😆 Mbavu zangu mimi

  • @idirisahaji292
    @idirisahaji292 ปีที่แล้ว +2

    kalewa huyu

  • @KelvinConorard
    @KelvinConorard 4 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi unamuhoji mtu aliyelewa kweli achan na bashe mafisadi nyie

  • @NDEWARA
    @NDEWARA ปีที่แล้ว

    Ameshalamba laga huyu 😂😂

  • @jamalahmed7057
    @jamalahmed7057 ปีที่แล้ว

    Tatizo hili lipo africa nzima pale viongonzi wetu wapo madarakani huwa wanashindwa ku practice yale wanayonena inapaswa tujiulize kwanini wanashindwa kutekeleza miradi ya maendeleo ya taifa? Na Akitokea kiongonzi ambaye mwenye uthubutu kutekeleza miradi ya kitaifa basi atauliwa au atatolewa kwenye madarakani. Lazima kuna program ya kuhakisha waafrica wasipate urahisi kwenye maisha yao

  • @hassanmpangachuma2715
    @hassanmpangachuma2715 ปีที่แล้ว

    Kitwanga ni mlevi tu ndiyo maana alipewa uwaziri ukamshinda kwa sababu ya gambe

  • @abuuramadhan8093
    @abuuramadhan8093 ปีที่แล้ว

    Mzee hujawah kusaidia Taifa kwenye uwazir wako achana na BASHE hajawah kutokea mtu Kama Bashe wizara ya kilimo bashe ndo tegemeo letu kwenye kilimo

    • @kalumangachannel4760
      @kalumangachannel4760 ปีที่แล้ว

      Amwache kabisaaa bashe. Bashe nikichwa
      Na hizo b 3 nizakuanzia inamaana hawajaelewa kweli ? Au

  • @lianaelgomezulu2259
    @lianaelgomezulu2259 ปีที่แล้ว

    Akili urudi ukiwa nje ya mfumo!!

  • @manyerereboniphace7989
    @manyerereboniphace7989 ปีที่แล้ว

    Tungi haijawahi kumuacha mtu salama labda mtu aiache tungi salama

  • @mussachichajr
    @mussachichajr ปีที่แล้ว

    Yuko vizur ila na pombe nayo apunguze

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 ปีที่แล้ว

    Inashangaza kidogo kila mtu akishatoka nje ya mfumo ndio anakua na plan B za kutosha! Ardhi ipo ya kutosha, maji ya mito naaziwa tunayo, vijana tunao, lkn tuko tayari kutenga bil 3 za kuwapa vijana laki mojamoja wakatembeze karanga,ngano tuagize nje kweli!

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 ปีที่แล้ว

    Tu akili kweli sisi????????????

  • @mustaphatwalib-ng7xg
    @mustaphatwalib-ng7xg ปีที่แล้ว

    Ag

  • @kelvinnhungo5771
    @kelvinnhungo5771 ปีที่แล้ว

    Ccm haijawah kuwa na watu wa maana hata mmoja huyu alpokuwa na uongozi alkuwa hajui hayo leo hana ktu anajifanya ana akiri kulko maccm wenzake cwez kuipenda ccm milele ina watu wa ajabu xn

    • @fadhilamsagati1337
      @fadhilamsagati1337 ปีที่แล้ว

      alikuwa kwenye mfumo na malekezo kulinda tumbo

  • @arthurmwabulambo1201
    @arthurmwabulambo1201 ปีที่แล้ว +4

    He seems unhealthy or drunken and slow thinking though he appears to talk practical sense.

    • @mamachacha6478
      @mamachacha6478 ปีที่แล้ว

      The guy went through a lot.He had a stroke but aliwahi aka recover.

    • @arthurmwabulambo1201
      @arthurmwabulambo1201 ปีที่แล้ว +1

      @@mamachacha6478 Too bad. Ndio sababu. Mungu amponye.

  • @khadijasarkaly5588
    @khadijasarkaly5588 ปีที่แล้ว +1

    Kitwanga hujamuelewa Bashe au achakupotosha watu vijana waliosajiriwavijana 16000 waliopata 900 ndio wahusika wa hio bil3 au ushamwagia moyo

    • @lameckbalekere1962
      @lameckbalekere1962 ปีที่แล้ว

      Khadija sarkaly uelewa wako mdogo acha waongee wenyehakili kubwa

    • @henrymassawe699
      @henrymassawe699 ปีที่แล้ว +1

      Bashe is good and very smart, highly manipulative, and spinner. The problem is that he talks too much in theories. However ; when it comes into practicality, it does not concise with those theories.The lesson is to talk less and do more

    • @kalumangachannel4760
      @kalumangachannel4760 ปีที่แล้ว

      Mtamwelewa taratibu ngoja twende

    • @kalumangachannel4760
      @kalumangachannel4760 ปีที่แล้ว

      Hata nyerere kunawatu hawakumwelewa🤔🤔