#LIVE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 มิ.ย. 2023
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Mungu atubariki simba yetu iwe imara ten
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ naipenda simba
Naipenda sana simba na viongiz wang pia nikianza na rais wa hexma na viongoz wake.
Mkutano huu ukatufurahishe badae wazee I LOVE SIMBA SPORTS
naomba tufaye usjli saf jamn mana uku mtani atukai ❤❤❤❤
Leo mlichofanya Kwa Muda huu safi sana tunafuatilia nipo Hulu Rukwa
Tukiwa wakweli tutafikia malengo, ilove you simba sport club
Jamn naipenda simba sports club ❤❤❤❤❤❤❤❤
Simba nguvu mojaaa❤❤❤
Naipenda sana simba nawaomben sana viongoz tuwemakin katikakipindi hiki cha usajili simba nguvumoja❤❤❤❤❤❤
Jaman mjipange mturudishie Iman mashabiki tumechoja kufedheheshwa
Naipenda simbaa
Natoa ombi lawana kanda ya ziwa chonde chonde chama mixson manzok na aziz k haya majina yakivaa uzi wa mnyama afrika watatuheshimu mungu ubaliki mukutano huu amina.
simba nguvu moja mungu ibariki chama letu tunaimani na timu yetu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
mambo mazuri yameaza mapema najua msimu ujao wanasimba tunaiandaa furaha simba nguvu moja
Simbaaaaa nguvu moja Inshallah mungu ataleta wepesi tutakaa sawa tu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera tunaomba simba mpya
Ni Feliciano Barongo.Viongozi jamani kuwa makini kwa usajili maana uku Kenya Nairobi Gikombaa tunasimbuliwa sana na watani. jaman
Ahamedi Alli hongela sana kwa uvumilivu eako
Simba nguvu moja❤❤❤❤❤❤❤
Hongereni bodi mpya ya Simba mtuletee yaletunayoyatamani ndani ya simba❤
I love you simba
Mungu ibariki Simba ijayo ili tuwe na amani
nimependa naipenda sana simba nimefurahi sana
tunahitaji mabadiliko ya kutosha na sio maneno ya kutosha, mashabiki ni wavumilivu mno ila tunaomba mtutendee haki km sisi tunavyombana na maneno ya huku mtaani. tujengeeni timu yetu tunahitaji mataji
Iman kajula hatukutaki, turudishieni Barbara Gonzalez
I love u simba
Mnatuletea habari za zamani
Shida sio jezi shida timu iwe nzuri
dah kajula unazinguwa. mfate mtangulizi wako na upate ushauri wake tupate mafanikio zaidi
SISI NI SIMBA NA SIMBA NI WATU WA 🦁 NGUVU MOJA SANA ✊✊✊
Jamani naipenda simba hata kama sio washindi awamu 4 zote .Mungu yupo❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ahmed ally mmoja ni uongozi wote wa simba
Simba naipenda lakini viongozi wanatuangusha
Safa mnyama Simba nguvu moja
Habibu pamoja san
Simba nguvu moja viongizi fanyeni kweli tumechoka kutukanwa na makolo
Simba nguvu mojaaaaaa
Kama Simba viongozi ndio hawa hawa hakuna kitu wanafurahisha watu tu hakuna jipya Mo afanye Mabadiliko
Kaka Ahmed Ally nikikusikiliza hahahaha napata raha sana Mungu akuweke unakitu ndani yake
Tuiombee Simba yetu wapinzani wetu watulie kimya.juu ya ubingwa.
Naipenda simba kufa kuzikana
tunashukuru pia
Hongera mwenyekiti wet kwa kwa mzur
Nakukubali sana msemaji wetu pambana tupo pamoja nawe
Kibegi kianze kutlendi sasa😅😅😅
Simba nguvu Moja hongereni
Popote ulipo mwanasimba tujuwane kwenye like kama wewe Simba naunaikimbali timu yako gonga like yako hapaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Boss sajiri wakweri
Simba oyeeeee
Jezi bila WACHEZAJI Bora siyo kipaumbele cha kuifanya Simba kuwa Klabu Kubwa Barani Africa!
❤ Simba tunaweza kweli
Naipenda sana Simbaaaa
Mmepiga sana hela kwasasa mnaogea utumbo bado mfanye kwel kwanza mnaanza kuogea kumbe ziro
Shukran Ahmed
Waeleze wapenda simba kuwa Simba inapoteleza. kidogo kwenda shirikisho huwa inaenda mpaka robo finally,
Sasa niwaambie ndoto yangu>
Yanga huenda ikaishia makundi safari hii, msione ajabu Lazima na Yanga ili kufika mbali atayaonja machungu aliyoyapata Simba.
Safari hii Simba ibebe kombe la shirikisho.
Ongera
Thank you so much for broadcasting this event east africa together tunawakilisha
ilshaalah,tutafikambari
Pamoja. Na. Huu.kutano. Wenu. .sisi. Yanga. Tunswasubiri. Kwa. Hamu.
Simba nguvu Moja
Yani mukao wa vikao nikama vya alusi sijui itafanyika lini alusi tuweke wazi kua mulibolonga sana na musimu ujao bolonga tuu
Kweli tunaimani na simba❤
atutaki preesha tena mashabiki wa simba 👍
Wanaonyesha chanel gani
Kongole uongozi wa Mnyama Kwa maokoto hayo, twategemea usajili wa wachezaji Bora na sio Bora wachezaji, turejeshe heshima ya hapa ndani.SSc nguvu moya.
simba nguvu moja
Wawawa❤❤❤
Simba nguvu moja
Sajirini wachezaji bora soon mladi mchezaji tunaipenda Simba yetu
Wawawa❤❤
Tunawapenda tunaomba msimu ujao mtuletee heshima yeti nafuraha yetu
Simba nguvu moja 2:28
Ili tuwe wakubwa zaidi na kuendelea kuwa wakubwaa inatakiwa mufanye lolote linalotakiwa
Viongozi tunaomba mfunye usajili kwa utulivu si kwa kushindana na watani ili tuweze kuwa na team bola si bola team, last but not list I ❤ simba for lever and ever
Tupo pamoja semajiii 🌹🌹🌹🌹🌹
Safisanaa
Yani mukao wa vikao nikama vya alusi sijui itafanyika lini alusi tuweke wazi kua mulibolonga sana na musimu ujao bolonga tuu
16:35 16:36
Msi tuangushe mashabiki wa simba fanyeni kweli
Naipenda simba ila wachezaji wanatabia ya kuridhika uwa wananiboa sana
Nakubal mwamb
Msiongelee jez ongeleen usajir jaman tumechoka
Madunduka mnatamani kuwa wakubwa Africa,kwa kuwaza tu,lakini si kwa vitendo --- vitendo vyenu vinawaoromosha korongoni " mkiendelea hivyo,sahauni kuwa wakubwa Africa "
Mnatukera Sana washabiki kilasiku kifaaa kifaaa Amna jipya mnatuzugatu mnakula genje
Fanyeni usajili achen siasa washabiki tunaumia simbaaa nguvu moja
sasahivi mashabiki wa simba tunamaisha magumu sana unafikilia tumeua hivi mtaani tunazomewa tu
Bilioni. Mbili. Kwa. Mwaka. Miwili. B. Nme. 4. Mwisho. Wa. Siku. Hammna. Kitu
Acheni kutulangai kila siku tunataka wachezaji wenye uwezo syo kutuletea wapiga dili hum
Niatar wanaongelea Jez hatutoboi kwa hali hii
Hapo ndipo tunataka simba nguvu moja
Mnazingua maneno meng kuliko vitendo
Saw
Nice
Yani nikimuona c,o namangungu na try again hata sielewi Hadi Leo mnangangania nini mtuachie hiyo timu moo wafukuze hawa mataeli wakubwa hatuna Imani nao kabisa
Mtangazaji sauti ippo chini sana hamsikiki sogezeni kipaaza sauti karibu labda ndio tatizo
💸💸💸
Bundu. Halitakutoka. Maisha
Hatutaki polojo tunataka vitendo wakati wa uchaguzi mlituletea Hadi mchezaji uturagai ili uchaguliwe siasa ni uongo unaofanana na ukweli tunataka vitendo si maneno
Yasiwe maneno ya kutufurahisha kwa Leo wana Simba sisi siyo watu wa kiteseka hivyo fanyeni kwer. niwatakie maandalizi mema naiman tutafurahi.
Tunataka mabadiliko kwenye tim yetu..
Achakutuma clips ya zamani mmeishiwa East Africa