SALEH JEMBE - ''MAKOSA ya KIKAYOKO - WAACHANE NAYE KILA MECHI ANAVURUGA -YA KIBU ILIKUWA PENATI''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 5

  • @AlexAlphonce-m8b
    @AlexAlphonce-m8b 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sarehe muda mwingine huwa unachambua mpira ipasavyo ila muda mwingine huwa unajisahau kwasababu ya mahaba ila leo uko vizuri big up sana

  • @BayekeFarijala
    @BayekeFarijala 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sabri ni mzuri sana, winga haswa

  • @b.warron4631
    @b.warron4631 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zee la ubwabaa hiloo

  • @maximinbandoma7962
    @maximinbandoma7962 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Salehe acha mahaba yako kwa Simba.Kama wewe ni mwandishi wa habari mzuri lazima ubalance story.Mbona upande wa Yanga kuonewa na Kayoko husemi?.Beki Hamza alitakiwa apexe kadi nyekundu baada ya kumfanyia faulo Dube akiwa mchezaji wa mwisho.Lingine Camara kumfanyia faulo Musonda ndani ya box😂

    • @allyzaidan6879
      @allyzaidan6879 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sikiliza zvr mbona ashasema kuwa Hamza alipaswa kupew red