FUNGATE EPISODE NO 12 | MWINYI MPEKU, KITATANGE, AMINA, BI SINA JAMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 89

  • @ibrahimkh7288
    @ibrahimkh7288 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mulivyo weka mfumo huu imekuwa jambo zuri sana kwetu sisi ambao hatuna tivii na kin'gamuzi, kwa maana tulikuwa tunapitwa na tamthilia nyingi

    • @zmuxzanzibar4583
      @zmuxzanzibar4583  8 หลายเดือนก่อน +1

      usijali sisi tupo kwa ajili yenu

  • @altezzanzbar
    @altezzanzbar 6 หลายเดือนก่อน +2

    kwaiyo bado amina hajafunuliwa ndani ya ndowa mpk pico itafutika

  • @محمدالكعبي-ت9ت7ز
    @محمدالكعبي-ت9ت7ز 8 หลายเดือนก่อน +3

    🎉🎉🎉🎉kukupenda kitatangee❤❤❤ fanya moja bas kali zaid n my wangu kichwa kibovuu😢

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 8 หลายเดือนก่อน +5

    Ma'shaallah 🥰👌 hongera kwa washiriki wote 🎉🎉🎉

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 8 หลายเดือนก่อน +4

    Tokea dunia iumbwe ZANZIBAR hatujawahi kuwa na kazi nzuri kama hiii

    • @wajanjagroup2838
      @wajanjagroup2838 7 หลายเดือนก่อน

      Zipo nyingi tu mbona na waigizaji hawa hawa

    • @Luqman-ed3tu
      @Luqman-ed3tu 6 หลายเดือนก่อน

      Kama ipi na ipi

  • @AhmedAhmed-tb9nf
    @AhmedAhmed-tb9nf 6 หลายเดือนก่อน +1

    urafiki wa kitatange na mwenzangu ndio urafiki mzuri na ndio unaotakiwa.big up sana kwa wenye urafiki km huu

  • @MaryamAbass-z1x
    @MaryamAbass-z1x 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mchezo mzuri lakini jitahidini msivuke mpaka ya dini yetu na maadili yetu

    • @fakihbakari
      @fakihbakari 7 หลายเดือนก่อน

      Hakika kwani mtume saw atwambia itakilah haithumakunta

  • @Marim-sj7oi
    @Marim-sj7oi 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kitatange jameni pole maana sikwakutembea huko😢

  • @MamiChoba-ep9cc
    @MamiChoba-ep9cc 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kitatange bwana eti nikimkurubia tuu.... Umeme ushakata😂😂😂😂😂😂😂

  • @ruqiyanasir7141
    @ruqiyanasir7141 8 หลายเดือนก่อน +5

    Sasa bwana harusi weye huvai viatu umeka kama mrisho mpoto ❤❤❤🇬🇧

    • @zmuxzanzibar4583
      @zmuxzanzibar4583  8 หลายเดือนก่อน

      😁

    • @WaydaHaji
      @WaydaHaji 8 หลายเดือนก่อน

      Na mm nimesema ivoivo

    • @ruqiyanasir7141
      @ruqiyanasir7141 8 หลายเดือนก่อน

      @@WaydaHaji 🤣🤣🤣

  • @AbdilahabdulAbdul
    @AbdilahabdulAbdul 8 หลายเดือนก่อน +16

    Jamani naomba like zagu nipo bububu 🎉

  • @khairatsaleh-se5is
    @khairatsaleh-se5is 8 หลายเดือนก่อน +4

    Wa kwanza naomba like zangu kutoka pemba😂

  • @abuuahmad623
    @abuuahmad623 8 หลายเดือนก่อน +2

    🇰🇪 nikiwa lamu kenya nafurahi kwakuiyangalia fungate eeeh mumeweza

  • @MrsKhalid-683
    @MrsKhalid-683 7 หลายเดือนก่อน +1

    Najivunia kua mpemba ,didih from Canada

  • @MuhammedFoum-kr5kc
    @MuhammedFoum-kr5kc 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kitatange hodar Sanaa lkn umezudisha kusema vibaya kwamba ,,nnamkosea nn mungu ata anipe mtihan kama huu ,,😢😢😢😢

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 8 หลายเดือนก่อน +2

    🇰🇪Mwinyi mpeku safari hi umetuweza❤❤❤

  • @WaydaHaji
    @WaydaHaji 8 หลายเดือนก่อน +3

    Lkn kipande cha amina na huyu mwanamme kumfunua kanga na kuonekana nywele..mmetoka kwenye maadili ya dini na ht silka za taifa la zanzibar

    • @WaydaHaji
      @WaydaHaji 8 หลายเดือนก่อน +2

      Umeonaeeen

  • @DodeaHija
    @DodeaHija 4 หลายเดือนก่อน

    Akiliza kitatange nishida tupu cku yamwanzo tu hajapata upwiru dunia kashaimaliza anaeneza aibu kila kona😂😂😂😂 anaupwiruuu

  • @AllyHassan-y7x
    @AllyHassan-y7x 6 หลายเดือนก่อน

    Hii filamu nzur san ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MahraMansoor5969
    @MahraMansoor5969 8 หลายเดือนก่อน +1

    Fungate jamani tunawapenda from uk 🇬🇧 🇬🇧🥰🥰

  • @MamiChoba-ep9cc
    @MamiChoba-ep9cc 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzuri Sana jamana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @nouraalharthy5509
    @nouraalharthy5509 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mama mchimvi umeona wapi mamdogo,shangazi amkaliee ukungwi mwanawe😂mepya haya

  • @OmOm-bt3lc
    @OmOm-bt3lc 8 หลายเดือนก่อน +4

    Oman 🇴🇲🇴🇲❤❤❤❤

  • @AwatifAly-gw9qo
    @AwatifAly-gw9qo 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzur

  • @Sheikhanrashid-yr9nh
    @Sheikhanrashid-yr9nh 8 หลายเดือนก่อน +2

    Filamu nzuri sana

  • @SperaSpera-y2e
    @SperaSpera-y2e 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nawapenda san. ❤❤

  • @maryamhajj-vr5vu
    @maryamhajj-vr5vu 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mambo ni🔥

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna kitu kwa mwinyi wala sio tego

  • @fatumahaji4998
    @fatumahaji4998 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jaman kitatange umeme unakata😂😂

    • @azizaaziza7996
      @azizaaziza7996 8 หลายเดือนก่อน +1

      Achangiwe wa Sola itabidi😂😂😂😂😂

    • @zmuxzanzibar4583
      @zmuxzanzibar4583  8 หลายเดือนก่อน

      😁

  • @Lathifa-zl8hg
    @Lathifa-zl8hg 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mtuwekee na time dj mana sisi wengne twapata shida twakesha uku TH-cam kwa kuvizia na kuwa na hamu ya kuingonja kitatange😘🤗❤🎉🎉

    • @zmuxzanzibar4583
      @zmuxzanzibar4583  8 หลายเดือนก่อน +1

      mda ni saa kumi kamili kipenzi

    • @Hawanalugha255
      @Hawanalugha255 8 หลายเดือนก่อน

      Sisi tunaiyona saa mbili kamili asbuhi

  • @AishaKombo-n5f
    @AishaKombo-n5f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mtoto wakike au wakiume anapotaka mwenzake wazazi wasimame pamoja nawatoto wao
    Nasio usimuoe yule au usiolewe anayulel eti mm sitaka sio sawa muweke chini mueleze kitu ganai kinachokufanya ukatae pengine mutaelewana

  • @kombobakar6319
    @kombobakar6319 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hatutoboi 😂😂

  • @Is-haqaElsuda
    @Is-haqaElsuda 8 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 8 หลายเดือนก่อน +2

    From Oman🇴🇲🇴🇲🇴🇲❤️

    • @zmuxzanzibar4583
      @zmuxzanzibar4583  8 หลายเดือนก่อน

      karibu sana
      @Rizikialiamechannel763

    • @abuuahmad623
      @abuuahmad623 8 หลายเดือนก่อน

      Hy

  • @AishaKombo-n5f
    @AishaKombo-n5f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Lakin baba yako anahusika jua yamateso unayopata kwakua yeye alikua anajua kila kitu nahakuahi kukwambia ukweli bali alikua anakata tu usimuoe amina pasipokua kua nasababu yakueleweka leo unatangatamga majiani nyumba inamwakia moto pole sana

    • @zmuxzanzibar4583
      @zmuxzanzibar4583  8 หลายเดือนก่อน

      tunapaswa kujifunza na sisi ili watoto wetu wasije kupata mashaka kama haya

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mubarikiwe sana❤❤❤❤

  • @zakomone7672
    @zakomone7672 8 หลายเดือนก่อน +1

  • @husseinBonge-s1m
    @husseinBonge-s1m 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kitatange

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤

  • @abdulazizimohd4230
    @abdulazizimohd4230 8 หลายเดือนก่อน +1

    Safii❤

  • @fatmamwinyi3827
    @fatmamwinyi3827 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤zenji oyeeeee 🎉🎉

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kitatange kayatimba 😂😂😂😂😂

  • @Khadija-p2l
    @Khadija-p2l 8 หลายเดือนก่อน +1

    Uhakika kitatangate

  • @AishaKombo-n5f
    @AishaKombo-n5f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole kitatange

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ila jamaa kitatange ndio tuafaam ni mwendo wako wakuactia but u need to change it at some actions

  • @tindothabit9345
    @tindothabit9345 8 หลายเดือนก่อน +1

    😮😮😮😮

  • @mwanajumakomar3831
    @mwanajumakomar3831 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤🎉

  • @assiakhadijz4167
    @assiakhadijz4167 8 หลายเดือนก่อน +1

    🇴🇲🇴🇲

  • @fatimaalhabsii1728
    @fatimaalhabsii1728 8 หลายเดือนก่อน +1

    Tupo pamoja

    • @zmuxzanzibar4583
      @zmuxzanzibar4583  8 หลายเดือนก่อน

      shukrani @fatimaalhabsii1728 kwa kua nasi

  • @WanuSheha
    @WanuSheha 3 หลายเดือนก่อน

    2:39

  • @MasoudMidewe
    @MasoudMidewe 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na mm nik bubub

  • @assiakhadijz4167
    @assiakhadijz4167 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yani mumenifanya niwe mkalimani namtafsiria madam wangu anapenda kuangali ila hajui kiswahili mpk nimtafsirie munanipa kz kwl

    • @zmuxzanzibar4583
      @zmuxzanzibar4583  8 หลายเดือนก่อน

      pole sana kwa kazi ya ziada

    • @zuhura6934
      @zuhura6934 8 หลายเดือนก่อน

      Kazi nzuri kwelikweli, inanifanya nijihisi nipo 🏡 hasa huu wimbo daahh, naangalia kutoka 🇺🇸

    • @WaydaHaji
      @WaydaHaji 8 หลายเดือนก่อน

      Subiri mwambie n wa lugha nyngn unatayarishwa😂😂😂😂

    • @WaydaHaji
      @WaydaHaji 8 หลายเดือนก่อน

      Tumependa kw mumeweka mandhari y nch yetu...kz nzuri...

    • @Luqman-ed3tu
      @Luqman-ed3tu 6 หลายเดือนก่อน

      Mkalimani upo nchi gn ndugu yetu

  • @salimasalim405
    @salimasalim405 8 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤