Naima Zuber nakupenda sana yaani! Kuna Msichana tuliishi kwa miaka 12 tukiwa Wapenzi huo uzuri wako kwa hakika mumefanana sana na ni kama pacha wako hamna tofauti yeyote. Nilipokuona hisia zangu zimeenda mbali sana. Je umeshaolewa?
na spika hatuoni mkivaa mnategemea sauti ichanganyike na upepo halafu ndio mtuletee sisi tunashindwa kuangalia zidini kujiboresha sana ndugu mnakosa washabiki wa channel yenu
Wacha ushamba huyo yaaani bora ya huyo mtangazaji yupo vizuri sana anjua kuuuliza maswali. Kuliko mtangazaji wa Dizimonline kuliko watangazaji wote wa global TV wacha kumskosoa wewe
Tatizo umemsikiliza huyu mtangazani kusema zanzibar na pemba wakati yeye si mzanzibar haijui zanzibar yeye ni mbongo ata lafdhi yake yamaongezi si unaiyona.
Wakenya wanao fatilia kitatange naomba like zenu
Salma Ibrahim huyu dogo yuko juu
Mm huwa nampenda sana tena ile fungate
Lov u kitatange 💞 kaza sana utafika InshaAllah
it fantastic guys
Kitatange umekosa fadhila ila ipo siku katika maisha yako utaikumbuka jufe
Halaf usijisahau wanao wanataka matunzo
Shukran dada naima zubeyr na ww pia
Khaswa kwa kujistiri maa sha Allah
Jitahid kitatange unaweza sana 👍
Mjomba hodari .nakubali mashallah
Mashallah watoto wanne mashallah
Kitatangeeeeeee nakuangalia kutoka Germany yaaani wewe na kina mwinyi mmpeku kachara yaaani wacha tuuuu mnawafunika kata Bongo movie
Nakukubali sana kitatange
Kitatange utabak kua juu upo vzr maneno yako2 yanajijuulisha
Niko Tanzania bara nampenda sana kitatange
Good work
Nakupenda Sana kitatange❤❤
Dada unakipaji cha utangazaji keep it up
Dah 😢haya tu❤
Nakukubali sana kitatange
Maa shaa allah naima kwa dimpoz zako
Kitatange kaka unatixha kaza msuli ndgu namin iko siku utatoka kwani diamond alianza ivo ivo
Sawa ila twawaomba mutufanyie sanaa kwa kikundi hicho cha KACHARA NA MWINYI TUNAWAKUBALI WAZEE WA KAZI
Mtangazaji bhana eti mwinyi mpekuraungo hhhhhhhh unachekesha kweli
❤
big up kaka
Kitatange on 🔥🔥🔥ntowe yeye macho mawili😂🤨🤣😂😁😂
Samahani dada just kua kitatange tupo wengi tu tunampenda na tunamfurahiya nikiwa ughaibuni
Natizama nikiwa Kenya kitatange mpaka Huku kwetu tumekukubali kabisa karibu nyumbani
Salute
mashaa Allah 😅
Kitatange tunakukubali kaka
Allah ataknyanyua zaidi ya hapo
hatusikilizani vzr kwa zogo au hamna vifaa mnachukua video kwa simu
Kitatange wee🇰🇪 twakupenda sn
Ntoe nganga machooooooo hahahahahaha
❤️❤️❤️❤️❤️♥️♥️♥️👑
Hahahaaa sunilshet
Wali ndondooo, Kitatange umeuaaa
Nakukubali
Best wangu sunlishet 😀😀
Uko vzr
hatuna fani hioo sie
Nani anakubaliana na mm kuwa Kitatange kafanana sura na msanii Jengua?
kitatange nakupenda sana ww
Uyu mtangazaji mzuri kinoma ushaolewa
Uko vzr mjomba
Good good
Hawa suleiman Awadh kacha kuekt yupo ktk familia ni mama wa nyumban saiv
Mwinyi mpekura ungo🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
Asante
kitatange oyeeeeeeee
Neema zuber umeolewa ama vip manake hayo macho simchuzi
Nimemmic sanaaaaa sanaaaaaaa
USTAHAMILIVU ULIKOSA
Kitatange tunakupenda kutoka kenya kunakufahamu
watoto wanne kitatange dah
Kitatange useme kutongoza sema nampumbaza ilikua .
ebwana hii channel yenu inafujo sana
🐟🐟🐟🐟🐟🐟
Nilikupenda kitatange ulivyofukuzwa na kachara eti siibi tena mim😆😆😆
Maryam M . 😂😂😂😂😂😂
sio ukijumlisha zanzibar ni muungano wa visiwa viwili
Kitatange anavoongea tu bc komedy toshaa
Kitatange uko vizuri saipata saipata saipata
Nishazoe sauti yko ile leo ndo naisikia hii mara ya1
Ww popote tu utakubalika sema tu hujipeleki mbali ndyo tatzo lako jipeleke mbele huko kwa shunilisheti kama alivojileta yeye kwako
Aloo kitatange 2pe vituu
Aaaaaaah filamu gani hiyo ya kumtoa mkeo macho kitatange huna huruma na mkeo kisa Mali😖
Duh kumbe una watt4 kitatange nilijua hujaoa
Wapemna wanaowa mpema
Uzalendo kwanza baadae twende mbele
sema unguja na pemba au tumieni neno Zanzibar tu
Naima Zuber nakupenda sana yaani! Kuna Msichana tuliishi kwa miaka 12 tukiwa Wapenzi huo uzuri wako kwa hakika mumefanana sana na ni kama pacha wako hamna tofauti yeyote. Nilipokuona hisia zangu zimeenda mbali sana. Je umeshaolewa?
Unajisifu katika mabaya?
Salim Khamis upo vizuri kitatange
mhh makubwa haya
Kak simba😢
Kumbe kitang ana mke na watt wanne
Kasha olewa yule Hawa
😂😂😂😂😂😂
Kitatange jambo kubwa ni kujiamin kaza kamba kaka sisi tupo tunakuangalia ww kaka
ujichetueeeeeee chetueeee
Mkataba hujamaliza bali sema ukweli wako
na spika hatuoni mkivaa mnategemea sauti ichanganyike na upepo halafu ndio mtuletee sisi tunashindwa kuangalia zidini kujiboresha sana ndugu mnakosa washabiki wa channel yenu
Kitatange tunakukubali kaka
emamaaaaaaaaaaaaa wa 4 duh
Poa kitatangee
Nakukubali sana kaka
Tunaomba kipindi kiendelee
bint sule yule
kitatange wewe upo sawa
Kitatange mediamu
wasanii njaa
mganga chembeeeee
Mtangazaji yupo ovyoooo
Salum Salum awe vip
Wacha ushamba huyo yaaani bora ya huyo mtangazaji yupo vizuri sana anjua kuuuliza maswali. Kuliko mtangazaji wa Dizimonline kuliko watangazaji wote wa global TV wacha kumskosoa wewe
SANAA BILA MASHIRIKIANO HAIENDI JAMANI ACHENI UPEMBA
Mtafute huyo Ringo na ebitok ufanyenae kazi tuangalie
Upo vizuri kaka nakukubali kweli
Suleiman alisaid hhhhhhhhh ringo na abitoke haingii ndani wachezeya wanzanzibar
Hongera kitatange
Dada mtangazaji una kitu cha ziada ktk wajihi wako .UKIHITAJI kujua wajihi wako tutafutane
Umera unazingua
Kitatange hongera kwa kutafuta mke mapema mungu awape maisha mema na uzima watoto wako
Kitatange😍😗😙heee
@@badykengeja9867 mbona unamuonea Umera? Nimefanyaje tena!!!!
Penda kitatange
Dada ungetakiwa uwe unatangaza wasaf TV unajua kinoma
Yani huyu Dada anajua namkumbuka enzi hizo anaendesha kipindi cha minus ten na dj side... Dah alikua more fire
Dada naitaj kuongea na ww 0657453334
Boya ww
Jitahidi usiseme kama ukiwa mchezoni wewe
Kumbe pemba sio zanzibar hahahaha.
kwani Rais wazanzibar katawala wapi na wapi na ili unguja iwe zanzibar nilazima iwe nakisiwa gani ?
suleiman mohd nijibu
Nyongeza Najee uchaguzi wazanzibar hufanyika unguja nakisiwa gani?
Nasaivi mheshimiwa Rais anatembelea miradi ya zanzibar muangalie katembelea unguja nawapi?
Tatizo umemsikiliza huyu mtangazani kusema zanzibar na pemba wakati yeye si mzanzibar haijui zanzibar yeye ni mbongo ata lafdhi yake yamaongezi si unaiyona.
Zanzibar ukijumlisha na pemba haaaa!!!
Iyo ndo mbaya iyooo unguja na pemba