HUYU HAPA DADA WA KAZI ANAYEDAIWA KUMPINDUA MAMA MWENYE NYUMBA NA KU..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • HUYU HAPA DADA WA KAZI ANAYEDAIWA KUMPINDUA MAMA MWENYE NYUMBA NA KU..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #DADAWAKAZI #AGEUKAMKE #ANAYEDAIWAKUMPINDUAMAMAMWENYENYUMBA #tikitvkiakilizaidi

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @florangido202
    @florangido202 ปีที่แล้ว +5

    We Dada Mnafiki sana, Subiri Uwe kichaa, Unangangania NYUMBA ya MKE WA MTU, SI upangiwe ya kwako au Ujengewe yako!!
    Asee huyo Mwanamke mwezangu ni MJINGA sana, Mimi ningekumaliza ALBADILI Ingehusika.

  • @allunoel
    @allunoel ปีที่แล้ว +2

    Laanakum wewe malaya
    Zuu alikupenda ukamwona mjinga. Sasa endelea kukaa hapo uone kitakchokupata muxdxuyyy

  • @eliethmwanguya7118
    @eliethmwanguya7118 ปีที่แล้ว +6

    Muosha uoshwa, malipo ni dunia

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 3 หลายเดือนก่อน

    Unajua kufa kabla ya wakati😢😢😢 maskini toka kwenye nyumba ya watu usidhan alivyo kimya bas katulia tu😢😢😢

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 ปีที่แล้ว

    Wewe ni malaya,umekaa vizuri na mtu alafu unatembea na mme wake,nenda kwenu siunawazszi, sio vizuri kuachanisha ndoa ya mtu,hiyo ndo heshima uliyoambiwa kwenu

  • @wanaupendotv7183
    @wanaupendotv7183 ปีที่แล้ว +2

    Mnamtetea huyu dada wakazi siwaelewi kabisa huyu alifanya kusudi alimtaka tu huyo shemeji yake alitaka ayo maisha yao

    • @dariamushi9356
      @dariamushi9356 ปีที่แล้ว +2

      Na mm nimewaza hivyohivyo nitamaa tu ya maisha ya huyo dada na ndo mana mwanaume alipomtaka akaona ndo hapahapa

    • @madamboss6323
      @madamboss6323 ปีที่แล้ว +1

      Haswaaa

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว +1

      Kabisaaa

    • @madamboss6323
      @madamboss6323 ปีที่แล้ว +1

      Mim sikuachi heee jaman

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 ปีที่แล้ว +1

    Dada unatamaa. Mama Zuu sio mjinga... kukuleta kufanyakazi sio kulala na Mme wake... unasemaje shemeji wakati una mimba yake? Huyu Dada ni nyoka.

  • @dativajoachimwai1194
    @dativajoachimwai1194 ปีที่แล้ว +13

    mimba ilimpenda kijana wa gengeni.
    Nawashangaa sana wanawake mnaoachia wafanyakazi vyumba vyenu. mimi wafanyakazi wandani naajiri wakiume lkn bado hawajui chumba changu hawakijui kilivyo sembuse msichana? niko busy sana na kazi ila siwezi kuingiza mtu chumbani kwangu asiye mume wangu. mpaka mfanyakazi azoee chumba chako? huzuni sana

    • @shijakuligi2674
      @shijakuligi2674 ปีที่แล้ว +1

      Na kuuga mkono hoja yako na umesema kweli ndio wanasababisha haya waume zao kuwaowa WA dada WA KAZI...

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +2

      Kwakwel huyo mdada mrembo Wallah 😆🤣 duh 🙄🥺 siwezi 🙌 mpa nafasi kwangu 🤗😂

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 ปีที่แล้ว

      Hata kama angefunga chumba bado huyu ajuza angetembea tu na huyo ajuza mwenzie lakini malipo ni hapa hapa kesho akhera ni hesabu tu. Macho kama paka shume.

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว

      @@ashaali7154 mtihani 🤔🤣 Sasa huyo ni ajuza?, Ao ni bint bikra 🤣🤣🤣🤣 Hiyi dunia Ina mengi mno

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 ปีที่แล้ว

      @@khadidjasuleiman8006 😁😁

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 ปีที่แล้ว +2

    Tayari we bint umelaniwa.

  • @zakiaramadhan6976
    @zakiaramadhan6976 ปีที่แล้ว

    Mmmmmh!!!Mbona ni nichangamoto Sana hawa wanaume jaman

  • @josephiner5976
    @josephiner5976 ปีที่แล้ว

    Yaan we dada mwenye nyumba unaacha nyumba yako fukuza huyo atajua mwenyewe huko na hawara yake wanaume washenz ata kama da zuu angefanyaje mwanaume hazuiliki jaman inatia hasira

  • @rosemsele8012
    @rosemsele8012 ปีที่แล้ว +1

    Binti alimzoea sana shemej pumbafu mpka anakuwa huru

  • @sadikibaruti4733
    @sadikibaruti4733 ปีที่แล้ว +16

    Dada Kama unajipenda ondoka kwenye hio nyumba. Kabla mengi hayajakukuta.

  • @taucjumanne1953
    @taucjumanne1953 ปีที่แล้ว +1

    Yaaani mpuuzi wewe huna hata chembe ya aibu,,,,,,,,,nyooooooo Malaya 1 weeeee😏😏😏😏😏😏😏. Ungeona hata aibu wende zako ety ukajfanya king 'ang'anizi kama rubber🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷🤷

  • @rukiasalumu8942
    @rukiasalumu8942 ปีที่แล้ว +3

    Wewe bint umefanya kosa kubwa nawe yatakukuta

  • @stephanokanyika6321
    @stephanokanyika6321 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni zaidi ya shetani, mbwà wewe, ulichopanda utakivuna

  • @esterjeremiah4700
    @esterjeremiah4700 ปีที่แล้ว +24

    Wa kwanza naombeni like zangu twende sawa

    • @sashamakoiso880
      @sashamakoiso880 ปีที่แล้ว

      👏👏👏👏

    • @zulfasalim2527
      @zulfasalim2527 ปีที่แล้ว +1

      Nikweli ww dada unaonekana unaadabu ila Hilo janaume limekuadaa sasa ondoka hapo acha kuendelea kumsikiliza nenda kwwnu akikutaka atakutafutia sehemu yako

    • @maimonamaimona1177
      @maimonamaimona1177 ปีที่แล้ว +1

      @@zulfasalim2527 kweli kabisa anaweza kupata mutatazo kalalanamumewantu ndounajiweka hapo hapo

    • @mahengomwenyewe4204
      @mahengomwenyewe4204 ปีที่แล้ว

      Wake wa vyenye vijisent ni wavivu hawana lolote ndio maana wanafundishwa kazi mfanya kazi wa nini mwanamke wewe acha uvivu kama Huwezi subiri wanoweza wakufanyie mtakoma na ubishoo wenu

  • @celestineniyibaruta4805
    @celestineniyibaruta4805 ปีที่แล้ว +1

    Chamuhimu amu ombe da zuu samahani snaatoke nawachiye mutoto wawo basi kwajili nayeye alibakwa aka ogopa kusema kwajili yavile vipesa vidogo vidogo

  • @mamananga2849
    @mamananga2849 ปีที่แล้ว +14

    Ninge mtia kichaa uyu akaokote makopo yeye na uyo mwaname ukae nyumba ya mwenzio wamejinga kwa nguvu zao ww uje utumie manina nyooo

  • @SWEETGALKHAN_001
    @SWEETGALKHAN_001 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Wakazania kumwita shemeji na mshafanya mapenzi nae kudadeki 😏😏huna adabu kweli mdada angalau ungekua na heshima japo kidogo 🚮 ungekua Kenya tungekua tushakunyonga ww 🚮

  • @davidwaziri8176
    @davidwaziri8176 ปีที่แล้ว +37

    Kwa mke wangu ninavyomjua nitoke na dada wa kazi ntakua tayari nimechoka kuishi ntajikuta Niko kaburini na nisinue nimefikaje 😀😀

  • @bimwanashomari1894
    @bimwanashomari1894 ปีที่แล้ว +1

    We huna lolote umefanya kusudi we Malaya tu kwa Nini unga'nga'nie kukaa humo ndani?Kama ungekataa angekulazimisha?toka humo ndani umeharibu ndoa ya Watu mjinga mmoja wewe

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 ปีที่แล้ว +17

    Namuoneaga huruma sana da Zuu maskin alikuwa anakupenda ilikuwaje uskatae au ukamwambia da zuu jamen nimeumia sana wanaume sio watu wazur jamen pole da zuu.

    • @renatusaugustine3410
      @renatusaugustine3410 ปีที่แล้ว +1

      Wee manganyu ni tamuu sanaa

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +2

      Mtihani kabisa

    • @rosewillium2693
      @rosewillium2693 ปีที่แล้ว +1

      Kukataa inakuwa ngumu kwani wadada wa kazi wanakaa muda bila kufanya mapenzi kwa hiyo akiguswa tu anatoa mzigo

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 ปีที่แล้ว +1

      Akuna cha uruma mwnamke mwenyewe ndo kasababisha mana anafanya kz ndo ana sahau majukumu ya mumewe anamuacha mfanya kz acha akomeshwe

    • @khadidjasuleiman8006
      @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว

      @@nishaabdula5015 Hmh sema madogo

  • @eunicemueni9321
    @eunicemueni9321 ปีที่แล้ว +8

    Uyu Dada ni wakishetani kweli..ata hana haya...macho makavu kweli

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 ปีที่แล้ว +1

    Wewe ni kahaba,unataka kufo kaa sasa, nyoooo mbwa wewe hujuwi mume anauma,ondoka nyoko wewe,hata hupendezi kukatisha ndoa ya mwenzio

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 ปีที่แล้ว +18

    Wanaume niviumbe wasio eleweka Yani ukiwa bize ndo kama hivi wanatoka na madada wa kazi ukiwa nyumbani hujishugulishi goli kipa hivi nyie wanaume mnataka tufanye nn mbona mnakua gamna huruma na sisi jamani tufanyeje Sasa eti😞😞

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 ปีที่แล้ว +2

      Tatizo kubwa wanawake munapenda kiwadharau wanawake wenzenu sio tatizo kuwa goli kipa wala kuwa unafanya kazi ujuwe majukumu yako km mke sio majukumu yote unamuachia msichana wa kazi hata km ww mumeo hakutimizii majukumu yake halafu kakuekea house boy anakufulia mpaka chupi munapiga story anakufurahisha mumeo hana muda na ww skitoka asubuhi mpaka usiku muda wote uko na house boy je akikutongoza utakataa

    • @mweusiasili8345
      @mweusiasili8345 ปีที่แล้ว +1

      @@abduomar8438 why ata penye kosa unalikata ? Kiufupi sisi ndo chanzo na sio wanawake kama tunavowatupia makosa mda wote uyu jamaa kamkuta kazini than kamuongezea mtaj sasa yy kosa lake lipi ? Kama angelikua atak afanye kazi angemwmbia tu

    • @zanzibarspice8686
      @zanzibarspice8686 ปีที่แล้ว

      Mwanaume mzima Hatosheki na Mwanamke mmoja Wanawake Kumbukeni Ukishindwa Kutimiza Majukumu yako bas mwengine atakusaidia.... Huyu mdada ni mzur kuliko mama mwenye Mume huo ndio ukwel

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 ปีที่แล้ว

      @@zanzibarspice8686 ok kweli kabisa labda aamuwe mwanamme akinai

    • @cathelinemanyara4670
      @cathelinemanyara4670 ปีที่แล้ว

      Wajina huyu dada anamoyo wake Yani ndan kwako jaman muombe yasiwakute na hawa wadada wakaz wangu yupo singida ataman kurud dar timbwili lenyewe mpaka polis

  • @sophiamvungi1425
    @sophiamvungi1425 ปีที่แล้ว +1

    Bado unajifanya unaongea kwa kurembua huna hata haya

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +44

    Hata iweje, huyo mwanaume pia ndiyo chanzo kikubwa. Tamaa za wanaume ni mbaya sana.

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa yan 🤝🤝

    • @hopealoyce3678
      @hopealoyce3678 ปีที่แล้ว +1

      Bora amuoee kabisa,kesha mharibiwa mtoto wa watu.

    • @joleal7941
      @joleal7941 ปีที่แล้ว

      Kwl

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 ปีที่แล้ว +3

      @@hopealoyce3678 kaharibiwa au kataka mwenyewe

    • @toomaaloufi6221
      @toomaaloufi6221 ปีที่แล้ว +2

      @@hopealoyce3678 kajiharibia mwenyewe yy ndio kamuharibia mwenzie bado mnamhurumia huyu malaya

  • @toomaaloufi6221
    @toomaaloufi6221 ปีที่แล้ว +1

    Mshenzi mkubwa ww bado hujatoka ktk nyumbaa mbwa ww halafu unajidai sababu ni da zuu hakufanya majukumu yk hiyo ndio sababu uchukuwe mume wake inaonekana ulipofika tu tayari umeanza kumpiga ujicho mune wa watu na muongo ww ndio ulijitakisha ulaaniwe

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 ปีที่แล้ว +5

    Shemeg alitoa bikra weeee noma xna watu wacomenti msimlaumu xna uyu dada nadhani mumesmikia alivyojieleza shemeg ndie mwenye makosa makubwa xna kumtoa mtu usichana wake simchezo amuowe tu maskiniiii 😭😭😭😭😭pole da amina

  • @beatriceminde5804
    @beatriceminde5804 ปีที่แล้ว +17

    Wewe dada kwa usalama wa maisha yako fanya utoke kwenye nyumba ya mwenzio.

    • @dinesschamanga
      @dinesschamanga ปีที่แล้ว +2

      Yani tena atoke mapema eti naenda clinic na shemegi nyoko

    • @soeurbetty7667
      @soeurbetty7667 ปีที่แล้ว +1

      ​@@dinesschamanga hatari kabisa yaani hakuna aibu amefurahi. Ajuwi kwamba kila tunachopanda tutavuna hapa hapa duniyani

  • @mwana4599
    @mwana4599 ปีที่แล้ว +3

    Huyu binti na mama yake walikuwa wana muonen wivu sana Zuu. Hafiki poppet.

  • @toomaaloufi6221
    @toomaaloufi6221 ปีที่แล้ว +1

    Ukimuona tu unajuwa km kimalaya hivyo anaongea anarembua rembua macho ndio nn

  • @asiahussein7446
    @asiahussein7446 ปีที่แล้ว +8

    Wewe ndo uloanza kupoteza upendo kwa dadaako. Tamaa pia

  • @carolinemariki4029
    @carolinemariki4029 ปีที่แล้ว +1

    Bila hata aibu unasema da Zu ... Da Zuuuu hapa shetani mkubwa wewe

  • @ymusic1299
    @ymusic1299 ปีที่แล้ว +2

    Mhhhh sasa kujianika TH-cam utatimuliwa kwa aibu

  • @mariasafari1004
    @mariasafari1004 ปีที่แล้ว +9

    Kama anakupenda kweli akupangishe nyumba nyingne mwacheni mama mwenyewe nyumba kwenye nyumba yake ,

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ni wa kumroga tu

  • @jacquelinedickson2893
    @jacquelinedickson2893 ปีที่แล้ว +3

    Yaan hili dada lichawi. Eti shemeji😢 Pumbavu kabisa

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 ปีที่แล้ว +1

    Nasoma 2 Comments IL Apa Akuna Wakulaumiwa Ila Ni Mume 2 Ndie Wakulaumiwa Kwani Ssi Wadada Wakazi Watu Wanatuchukuliaje Kwa Mfano

  • @jubilatemanase9050
    @jubilatemanase9050 ปีที่แล้ว +9

    Yaani huyu cyo unaona kabisa anajustify kosa lake kwa kusema dada yake alikuwa anamwachia majukumu ya mke,hajaijua Dunia vzuri huyu!

    • @ashaabdalla924
      @ashaabdalla924 ปีที่แล้ว +1

      Tena inawezekana na hilo janadume limesema hivo kama anafanya yeye najukumu ya mke ndio na huyu mpuuzi anasema hivo

    • @saidinasaidi8087
      @saidinasaidi8087 ปีที่แล้ว

      Mpuuzi

    • @nicolenabintu2509
      @nicolenabintu2509 ปีที่แล้ว

      Izi mbuzi zina we kwanza nyumbani kama ma ibilisi , waza Tu nanavio ongea Na confidence eti dada upendo uka isha ,dada si mtu mkubwa ana instinct (feelings)

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 ปีที่แล้ว +1

    Dawa yako atakusema mbele ya shemeji ili kumitia aibu wewe na shemeji yako

  • @tabuomary1016
    @tabuomary1016 ปีที่แล้ว +34

    Yaani kupika ,kusafisha vyombo, kufagia, umeona umuumize mwenzako, pamoja na kukupenda kote, huna aibu unasema hakufanya majukumu yake. Ndio maana tunakufa kilaini Sana. Huna hata aibu. Eti shemeji, shemeji. Subiri nawewe uone. Mwenyewe tabia yake haachi.

    • @lilianmkono399
      @lilianmkono399 ปีที่แล้ว +2

      Q

    • @shalistershali1902
      @shalistershali1902 ปีที่แล้ว +6

      Dada mbaya sana huyu angalia macho yake ulaaniwe

    • @bibianaali2292
      @bibianaali2292 ปีที่แล้ว +2

      Ulinogewa na mapenzi ya shemejiako kisa gari ngoja yakukute mwendandawaaazimu mkubwa ww malaya usie na aibu unauwezo wakutoka mpaka na baba yako ngombe ww

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 ปีที่แล้ว +3

      Sasa na wewe utaweka msichana wa kazi au utaendelea na kazi zako pamoja na kuchukua mume wa mwenyewe ?

    • @susans4490
      @susans4490 ปีที่แล้ว +1

      Wakati shida zake ndo zilompeleka kufanya kazi

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa nmeagiza dada wa kaz nimeghair😢😢

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 ปีที่แล้ว +3

    Na Wewe Mtangazaji utaingia majaribuni,maana huyo Dada anavyo kurembulia macho 😳😳😀😀😀😀😀😀

  • @pilisalehe4562
    @pilisalehe4562 ปีที่แล้ว +1

    Majukumu meng ulikua unafanya ww kwan siulikia unalipwa ulikua unafanya bure 😏

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 ปีที่แล้ว +11

    Kwa mtazamo wangu huyu dada hana makosa makubwa ila makosa makubwa yapo kwa mama mwenyenyumba kua bize kuliko kujali mume wake na majukumu yake yote akawa anafanya huyu dada wa kazi hapo ndo shida ilipoanzia pengine angekua anafanya majukumu yake kama mke haya yote yadingemtokea

    • @hannanommy302
      @hannanommy302 ปีที่แล้ว +1

      Hicho ulichosema merry ni ukweli kabisa,Sisi wa mama wa nyumbani tukisha ajiri tena Majukumu yote unamwachia dada, kutafuta gani huko huna muda hata jumamosi na jpili uko busy, huyu dada anaonekana mzuri ni mpole

    • @ndogolofadhila6203
      @ndogolofadhila6203 ปีที่แล้ว +1

      @@hannanommy302 hadi kuhudumia mme wanataka waschana wafanye sasa kwanini wasiwadinye

    • @africandarling6925
      @africandarling6925 ปีที่แล้ว

      Mmhh sio kweli mie nipo nafanya kazi za ndani na kila kitu nafanya mie mpaka chupi nafua mbona sitoki na baba mwenye nyumba na pesa ananipa akinipa akija mke wake namwambia tena mbele yake hii tabia tu mtu na vibiti vya kisasa ni shida mtupu

    • @raybby9291
      @raybby9291 ปีที่แล้ว +1

      @@joyce55727 awajakutana na maboss wa kiarabu hawa km unamoyo unarudia kwenu kz bado unaitaka akili kichwani kwako wanaume watu wa kujaribu

    • @abduomar8438
      @abduomar8438 ปีที่แล้ว

      @@africandarling6925 hongera

  • @sautiisiyosema
    @sautiisiyosema ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada ni sugu kwani kufua au kufanya kazi zote ndo ruksa ya kumchukua mme wa mtu? Sema umekutana na mpole mi nishakujaribu sura kabsa alafu ngoja yakukute ndu utajua hujuwi kenge ww

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 ปีที่แล้ว +28

    Shemeji kwakuambia utulie kwenye nyumba ya mwenzio. Malaya mkubwa wewe. Mnakujaga mjini mkiwa na nyege za mbwa. Madada wa kazi wengi ni majini ya kuteka ndoa za watu shenzi.

    • @nailaty
      @nailaty ปีที่แล้ว +5

      Asubiri na yeye atakuja kufanyiwa kama alivyo mfanyia mwenzake malipo ni dunian mbwa huyu

    • @bbss8623
      @bbss8623 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @bossmamamakala6316
      @bossmamamakala6316 ปีที่แล้ว +4

      Mabeki 3 huwa wanawaza kuvunja ndoa za Watu 😭Yaani hili pepo linaongea na mimacho mikubwaa

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว +1

      Ndio mwenye nyumba kamwambia na shemej hn mapenz na mkewe 🤣🤣km zuu Ana akili kasha jua

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว +1

      Huyu bint sio malaya malaya ni shemeji na hakumuheshimu mkewe 🤗

  • @nawechi4818
    @nawechi4818 ปีที่แล้ว +1

    Eti maneno yameniumiza sana ulitaka asikufokee akuchekeee😏 awe na upendo na wewe wakati umejibebesha mimba na mume wake yani wee binti unabahati mnoooooooooo yani ungejua wala usingekubali kuhojiwa maana unaongea upupu upupu tu hapo mshenzi wewe eti shemeji😂😂😂mxiuuuu

  • @whitequeen1012
    @whitequeen1012 ปีที่แล้ว +9

    Story noma dada wa kazi Watanzania nifikisheni 1k subscribers nitashukuru

    • @amulikemwanjibili7838
      @amulikemwanjibili7838 ปีที่แล้ว

      Bora niwakazi Mimi mi mdogo wangu kabisa kapewa namimba namume wangu

  • @fauziakarama8581
    @fauziakarama8581 ปีที่แล้ว +1

    YATAKUJA KUKUKUTA MAKUBWA SASA HIVI UPO NA FURAHA KUFURAHIA KUMTOA MWENZIO KWENYE NDOA, NA DA ZUU ALIKUWA AMEKUWEKA KAMA MDOGO WAKE TAMAA ITAKUPONZA,

  • @ostakiambilinyi6614
    @ostakiambilinyi6614 ปีที่แล้ว +3

    Unabahati kumpata dazuu kwangu ungenyooka ninavyompenda mme wangu sijui ningekufanyaje hapo tu unaniuzi

    • @lydiampayo597
      @lydiampayo597 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂🤣🤣🤣🤣

    • @LukuSaid
      @LukuSaid 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 me mwenyewe ningempiga kijin mahangaiko ahangaike nacho

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada muongo kufanya usafi chumbani ndio sababu ya kulala na SHEM wake? Ni tamaa na umasikini tu na ndio sababu bwana akaanza kumpatia laki laki ili kumshawishi kirahisi na yeye hakumwambia dada yake ili aendelee kuzifaidi ndio maana alipoingia chumbani kwake hakuogopa, hakupiga kelele na mchezo ukamnogea wakaendelea. Na kwa nini aendelee kukaa na mume wa mtu na kwenda naye clinic kila4 aendapo? Kama clinic mara ya kwanza kufuatana na mwenye mimba ni sawa sasa yeye ameamua kumfanya mume wake, hapana wewe dada hebu toka ukirogwa uchizi utalalamika?

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว +26

    Ushauri Wangu Wewe Dada Mama Mwenye Nyumba Uyu Ulimleta Kwenye Nyumba Yako Kama Mfanyakazi Nyumba Niyako Cha Kufanya Awe Na Mimba Asiwe Na Mimba Fukuza Uyo Mtu Wake Ajue Pa Kumueka Nasio Kuendelea Kukaa Nae Anaweza Kuja Kukuzulu Uyu Mimacho Yake Inatisha Ongea Yake Waziwazi Uyu Mwanga Fukuza Akajuane Yeye Na Aliyempa Mimba Kwao Wenzio Wanapigwa Lakini Wanatumia Kinga Au Vidonge Wewe Unaenda Kavu Kavu Kisa Nyumba Na Duka Ukila Na Kipofu Kula Bila Kumgusa Upate Kujenga Maisha Yako Bila Mke Kujua Wewe Kichawi

    • @rahmaadam9957
      @rahmaadam9957 ปีที่แล้ว +5

      Na shindwa kukomenti jmn but ondoka kwa mwenzio tafuta kwako 😒😒😒😒

    • @fridamarting7168
      @fridamarting7168 ปีที่แล้ว +3

      Wakati mwingine huyu dada hana kosa kwa sababu mwanaume akitaka kitu chake lazima akitimize, lakin pia wamama tumezidi kushindana na wanaume kutafuta pesa, ndio kinachotukost, huwwz kumwambia msichana akafanye usafi chumban kwako uzembe wa dada zuu pia japo inauma yeye alipaswa amuachie dada dukani abezi ya mume wake kwa sabab ata kama aliogopa kuibiwa ni heli angeibiwa tu pesa kuliko mume sasa ona umeacha genge duka na mume. Kuna wakat tynawapa nafasi sana wadada kuwaachia kila.majukumu tunasahau Nafasi zetu kwa waume zetu, utakuta mume kila akirudi badala ya kukutana na sura ya mkewe anakutana na sura ya dada, badala ya kukutana na tabasam ya mukewe anakutana na la mdada , moyo nao jaman mke unamuona usiku tu napo pengine kwa masaa tunavojaji tugeuze Na upande wa pili na kamwambia abaki kwa sababu anaona anamfaa

    • @faithsimon6066
      @faithsimon6066 ปีที่แล้ว +2

      Macho yenyewe ya uizi

    • @tommyomar2672
      @tommyomar2672 ปีที่แล้ว

      ​@@faithsimon6066😂😂😂💔💔💔daaah!

    • @agnessima5032
      @agnessima5032 ปีที่แล้ว

      Huyu dada anaonekana hajatulia.. hayo macho ni kiashiria tosha. Hafai .aache nyumba ya watu arudi kwao..akatafute maisha yake..asidandie ya watu..

  • @jacklinejacklinejonh6530
    @jacklinejacklinejonh6530 ปีที่แล้ว +1

    Wee noshetani

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 ปีที่แล้ว +5

    Wasichana punguzeni tamaa ya pesa mnaona tu watu wako kwenye nyumba zao na wanaume zao mnazani rahisi tunatoka mbali eti Yani mm unichukulie mume halafu nikuachie nyumba tuliojenga na mwanaume wangu nyinyi wote ndo mtatoka ww na huyo mwanaume me nabaki na watoto wangu ndani ya mjengo namkinisumbua nawaroga sinamchezo na haya maisha tunateseka sana kutengeneza maisha halafu mtu anakuja kuvunja kirahisi sita kubali hata iweje aisee😏😏

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 ปีที่แล้ว +1

    We dada wakazi malaya mkubwa umesahau fadhila ya dada zuu.hebu toka kwenye nyumba ya zuu using'ang'anie mji sio wako umeukuta.huyo bwana yako akupeleke anakojua yeye.ingekuwa mimi ningekukomoa ukaijua dunia ninini.umekuta zuu ni mpole.umekuja kufanya kazi hukuja kubeba mme wa mtu.hata kama alikuwa hamhudumii mume wake hiyo haikuhusu we ungejali kazi zako tu.sio unahudumia mpaka kuvua chupi mshenzi mmoja. Dada zuu rudi kwako toa hiyo takataka ndani iwezekanavyo.

  • @nahiriali1405
    @nahiriali1405 ปีที่แล้ว +7

    Ah kumbe nihivyo tu nasie wanaume wengine wapumbavu sana tena sana yani mke wake aondoke nikae nakijakazi nilimpa mimba kweli si angemuondoa hapo akamkodishia hata chumba kimoja tu maisha yakaendelea kuliko mama watoto wangu aondoke huku niishi na mwamke hata simke wangu noo huu niupuuzi tena wakilimbukeni

    • @funnycomedyvines1467
      @funnycomedyvines1467 ปีที่แล้ว

      Sasa kama mtoto Yuko vizuri kuliko mkeo we unazani unafanyaje😂😂

    • @nahiriali1405
      @nahiriali1405 ปีที่แล้ว +1

      Sasa si nakodi chumba kisha namhalalisha anakua wangu kesi imeisha

    • @nataliajamesjames1596
      @nataliajamesjames1596 ปีที่แล้ว

      Saana. Achana na wawaza ngono hao

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 ปีที่แล้ว +1

    Dazuu mrudishe huyu malaya kwao kijijini. Maneno mabayaa? Na ulivyo fanya ww ni mazuri? Tamaaa huna hayaa ww wala hujuwi vibayaa

  • @kalistamtanzania7220
    @kalistamtanzania7220 ปีที่แล้ว +4

    Yani dada wa watu kakuchukua kaishi na ww vizuri malipo yake nikumchukulia mwenzio mume huna hata haya nawaza ningekua mm sijui ningekufanyaje ungejuta maisha yako yote ningekuvunja hata mguu ukiuangalia lazima unikumbuke 😬😬😬

    • @raybby9291
      @raybby9291 ปีที่แล้ว

      Malipo duniani hata yy yatamfika kuna watu wana roho mbaya hata km unamimba na mwenye nyumba kajua si uondoke apo urud nyumbani au upangiwe nyumba bado hataki kuondoka kwenye nyumba ya mwenzie ili azidi kumuumiza

    • @aminaam281
      @aminaam281 ปีที่แล้ว +1

      Kipo kinacho muwasha kitamkuta ck so nying

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @BJ-ep3rb
    @BJ-ep3rb ปีที่แล้ว +1

    Wewe si mtu mzuri hauna adabu na heshima hauna. Mbona kafanya hivyo?Si utafute bwana wako nkt

  • @lukiasalum5556
    @lukiasalum5556 ปีที่แล้ว +3

    Koma kumuita dada

    • @susans4490
      @susans4490 ปีที่แล้ว

      Akome voo eti DA zu ,na shemegi 🤣🤣 shemegi kwiy.....

  • @rehemanzige3514
    @rehemanzige3514 ปีที่แล้ว +1

    mfyuuuuu

  • @زينبعلب-ل8ذ
    @زينبعلب-ل8ذ ปีที่แล้ว +25

    Wanaume wanatamaa mbona mke wake mzuri kuliko huyu dada wa kazi duu

    • @davidwaziri8176
      @davidwaziri8176 ปีที่แล้ว +4

      Hatuangalii uzuri sisi msiwe mnajidanganya na uzuri,unaweza kua mzuri wa sura ila huko ndani hakueleweki,kunauzuri wa aina mbili dada

    • @Rose-ue2ho
      @Rose-ue2ho ปีที่แล้ว

      @@davidwaziri8176 ndani wapi tena?? 🤔

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme ปีที่แล้ว

      @@davidwaziri8176 🤣🤣

    • @husna34562
      @husna34562 ปีที่แล้ว

      @@davidwaziri8176 🤣🤣🤣

    • @ndogolofadhila6203
      @ndogolofadhila6203 ปีที่แล้ว

      Hawaangalii sura bwana

  • @husnasimba5357
    @husnasimba5357 ปีที่แล้ว +1

    Wala hujutii mbwa wewe malaya tuu

  • @lukiyakimolo3409
    @lukiyakimolo3409 ปีที่แล้ว +3

    Wallah mchichana unamauzi yaani ujiandae kwalolote unajua uchungu wandoa wewe Tamas Maya zitakipeleka pabaya amazoko ama zake ujipange waliakhera walidunia

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si ปีที่แล้ว +3

    Huyo zuu angekua ni ndugu yangu tuu huyu bint asingekua hapo saizi

  • @mkaiteafetu6782
    @mkaiteafetu6782 ปีที่แล้ว +1

    Ungefua na kusafisha chumba cha Baba ako ungefanya nae huo ufuska?

  • @theophildamfuruki6859
    @theophildamfuruki6859 ปีที่แล้ว +5

    Mariposa niapa duniani ipo siku nawewe atakutenda tena wewe utaumia kuliko Da zuu

    • @nailaty
      @nailaty ปีที่แล้ว

      Anajikuta yy ndo anajua kumjali mke bado wewe ni mfanyakazi na yule ni mke tu kusafisha chumba sio sababu ya kutembea na boss wako hujielewi wewe subiri dunia itakunyoosha

  • @witnessmmari9902
    @witnessmmari9902 ปีที่แล้ว +1

    hividadahujawaza kwamba kuna siku mtamwagiwa petroli siuondoke ukajifiche,kama sio petroli utalogwa hutoamini kalale msikitini kwakweli

  • @aineskabonaki-ze6tv
    @aineskabonaki-ze6tv ปีที่แล้ว +3

    Wagogo went wao wanafiki wanapenda iyo tabia ya kubeba vya wenzio.maisha yangu mgogo kazi ya ndani si mpatii kabisaaaa

  • @nawechi4818
    @nawechi4818 ปีที่แล้ว +1

    Shenzi eti kilichotokea mtangazaji siwezi kuhadisia alafu unajichekesha kama chizi Kaona jalala jipya😏

  • @fatmaahamadabass8080
    @fatmaahamadabass8080 ปีที่แล้ว +4

    Mnakuaje na madada wakazi wazuri jmn si mnayatafuta wenyewe

    • @masikaameir2164
      @masikaameir2164 ปีที่แล้ว

      Mmh anauzuri gani huyo kawaida sana

    • @fatmaahamadabass8080
      @fatmaahamadabass8080 ปีที่แล้ว

      Kwangu mm mashallah mzuri km mmbaya kwako nasikulaumu kilamtu namacho yake ndo ilivyo

  • @ElinaSevelini
    @ElinaSevelini ปีที่แล้ว +1

    Nikweli wanaume acheni tamaa bahna

  • @zulaykhajuma41
    @zulaykhajuma41 ปีที่แล้ว +4

    Ngoja laana ya dunia ikukute

    • @samfone2357
      @samfone2357 ปีที่แล้ว

      😀😃😃😃😃😃😀

  • @dorothysamwel2648
    @dorothysamwel2648 ปีที่แล้ว +1

    We Mary Mazengo una mume? Kama unaye na ni mwaminifu shukuru, unasemaje hakuwa bize na mume wake? Mimi sijaona sehemu waliyoandika kuwa alikuwa amuhudumii mume wake, msichana amesema nguo za shemejio wakati mwingine alikuwa anafua inamaana sio mara zote. Hata hivyo hiyo sio sababu ya kulala naye.

  • @esterjeremiah4700
    @esterjeremiah4700 ปีที่แล้ว +3

    Me ndo mana kwangu sitaki dada wa kazi kazi zote nafanya mm mwenyewe

    • @marrymazengo1315
      @marrymazengo1315 ปีที่แล้ว +2

      Me naweka vizuri siwezi kujitesa eti kisa kumlinda mwanaume kama akiamua kufanya anafanya tu hata ufanyaje

    • @apostlejoelyamo2983
      @apostlejoelyamo2983 ปีที่แล้ว

      Helllo

  • @queenchance2292
    @queenchance2292 ปีที่แล้ว +2

    Tunaitaji update yahawa watu

  • @rehemalusindengawa5186
    @rehemalusindengawa5186 ปีที่แล้ว +6

    Ndo mana mnamwagiwagwa tindikali 😢

  • @linahmaxmillian333
    @linahmaxmillian333 ปีที่แล้ว +1

    Muachie dada wa watu mumewake,,kwa maelezo yake wametoka mbali mpka hapo ulipowakutia,.. na wewe mume kumbuka mazuri ya mkeo pale ulivuta soksi ya kulia yeye akavuta ya kushoto. Kila mwanadamu ukosea na kuomba msamaha muombe mkeo akusamehe.........

  • @laymashabani832
    @laymashabani832 ปีที่แล้ว +17

    Mie binafsi nimekuelewa sana mdogo wangu na pia nimekusameh japo nilichukia nilipo msikiliza Zuu.
    Ila ushauli wangu toka kwenye nyumba ya Boss wako na uwende kwenu maana uyo ni Mume wa mtu tena uliishi vizur tu
    Mwambie akakupangie utoke apo
    KWA UUNGWANA TU.

    • @maryamalli9090
      @maryamalli9090 ปีที่แล้ว +1

      Akampangie waendeleze mawasiliano au muhimu arudi kwao

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 ปีที่แล้ว +1

    Toka kwenye nyumba ya mwenzio mbwa wewe

  • @khadidjasuleiman8006
    @khadidjasuleiman8006 ปีที่แล้ว +15

    Hmh na unavyo zungusha macho 🙄 Mungu akusamehe utoke hapo tu halali na Haram havilingani Toka urudi kwenu kiroho safi uachanane na mume wa mwenyewe 🥺Nimeumia 😪

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      Huyo mwanamme mpumbavu, ata mwenye kamera anarumbushiwa. Kaacha mke katafuta janga lenye tamaa. Subiri na huyo mume uskie litakalomkuta

    • @rosendile
      @rosendile ปีที่แล้ว

      Kwakweli aende akatafute mume mwenyewe kama anadhani ni rahisi macho yake kama kanywa maji ya mtungi kwa kutumia Kata 😏😏😣😣🙄🙄

  • @jacklinejacklinejonh6530
    @jacklinejacklinejonh6530 ปีที่แล้ว +1

    Unaonekana kabisa jini mahaba malaya usofunzwa kuharibu furaha zawatu wee mzoefu hivi huogopi unavyo lala humo ndani daa me nakumaliza sikuachi

  • @rajay7553
    @rajay7553 ปีที่แล้ว +3

    Uyo shemeji mwanaume wako una aya kweli natamani nikuzambe vibao

  • @nawechi4818
    @nawechi4818 ปีที่แล้ว +2

    Tamaaa ndio zimekupelekea kufanya hv mbwa ww zuu kutokufanya kazi hiyo sio Sababu ya wewe kuwa na mume wake mbwa wewe wewe ulienda kufanya kazi za ndani ili ikifika mwisho wa mwezi ulipwe Shenzi kabisa

  • @feristadaudi6599
    @feristadaudi6599 ปีที่แล้ว +3

    Utalipwa kwaulichomtendea mwanamke mwenzako wanaume nikama kuku hudonoa Kila Mahalia bado sana'

  • @mirrykirungi5078
    @mirrykirungi5078 ปีที่แล้ว +8

    No comments kwakweli ungekuwa karibu yangu ningekuzabua nifungwe vizuri mana ningekufanyia service hadi kwenu wangekushangaa ondoka mwachie mwenzio nyumba yake kama mnatakana uko ila mwachie mjie wa mwenzio

  • @bintibaibe1958
    @bintibaibe1958 ปีที่แล้ว +1

    Mtalogwa mfe afu wazazi wanaowategemea,wakose hata mtu wa kuwasaidia.Hebu fanya uondoke mwambie huyo bwana akakupangie sehemu nyingine huko usitafute shari binti ,,hili litakurudia tu hata ufanyeje ni laana unaitafuta

  • @jeniphaledas6588
    @jeniphaledas6588 ปีที่แล้ว +5

    We dada kahaba

  • @bossmamamakala6316
    @bossmamamakala6316 ปีที่แล้ว

    Nakuapia ningekuchomoa roho jua la Alasili walahi.
    Nimesikia uchungu basi tu.
    Ungefurahi HUKO kaburini.
    Au Asidi ungeikoma. Mume anaumwa Mbwa wewe

  • @ndungemwololo8270
    @ndungemwololo8270 ปีที่แล้ว +3

    Msichana umekosea mwenzako sana sana kumfanya awache nyumba yake utajuta sana ww ujui uyo mama atakufanya nn utaona ww mjinga

  • @alhabsi6430
    @alhabsi6430 ปีที่แล้ว +1

    Kwanini wamweta shemeji basi kwa sasa huna adabu

  • @josephinecharo71
    @josephinecharo71 ปีที่แล้ว +3

    Pole dada Zuu kubali mke mwenza waume siwachoyo .jua umaskini ulichangia

  • @Zainabu-z1e
    @Zainabu-z1e หลายเดือนก่อน

    Da zu vuta subra mungu atakufanyiya wepes subra huvuta heri

  • @samirazuberi186
    @samirazuberi186 ปีที่แล้ว +4

    Ila hawa wadada mhmh mi hata mdogo wangu simtaki kwangu labda aje asalimie kisha aondoke,,, kwanza nimejifunza mengi japo si hili tu mana haya matukio ni mengi sana kikubwa kupambana mwenyewe ama nichukuwe mwanamume nasio hawa wake

  • @rehemalukali8326
    @rehemalukali8326 ปีที่แล้ว +1

    Asa uone unafokewa kisa kuambiwa mbele ya shemej ako ,,,hivyo ulivyotomban nae hukuon km umekosea malaya tu wew dada wa watu inaonekana alikuwa anakupenda t

  • @emanuelmbaga6848
    @emanuelmbaga6848 ปีที่แล้ว +8

    Natamani na mm ningekua mwisram nioe wake wa nne mke mmoja ni vile tu basi tunavumilia lakini hatoshi. Kabisa kiukweli Najiona kabisa Niko karibu kubadili dini uzalendo unaanza kunishinda mwenzenu tunateseka nasema na kwa niaba ya wenzangu najua wanafeek the same

    • @zikenims6167
      @zikenims6167 ปีที่แล้ว +1

      Karibu ktk uislam hakika mke mmoja atoshi

    • @azizahamisi7349
      @azizahamisi7349 ปีที่แล้ว

      Karibu uniowe mm sina bwana

    • @timanyere9052
      @timanyere9052 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣Karibu uniowe mimi

    • @furqaanabintahmed4308
      @furqaanabintahmed4308 ปีที่แล้ว

      🤣🤣😂🤣😂😂🤣🤣

    • @AsdDsa-fi5qk
      @AsdDsa-fi5qk ปีที่แล้ว

      Tujuane niwe Mimi tuyajenge

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 ปีที่แล้ว

    Paka shume jini mkata kamba 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏