Mwz MUNGU aendelee kukubariki na family yako...hakika unatuponya kwa maneno yako yaliyojaa hekima na busara,najifunza mengi kupitia wewe..u change my life in good way..
@@wanjirunjiru3083 mapenzi si pesa mume ataweza kuwanapesa lakini hana namapenzi yazati chamuimu nieri kupata mwanaume mweye mapenzi ya zati kulikoni kupata mwanaume mwenye pesa
Huyu dr mitimingi sio kasisi tu pia nikungwi. Anafundisha jinsi ya kuishi na mke na mke jinsi ya kuishi na mume. Ubarikiwe kasisi .jambo la mafundisho ya unyumba kanisa halifundishi wewe ndio wa kwanza makasisi wenginw wanaona aibu .
@@ElizaBeth-rc7yf anything that you put it first of your life is an idol Ni kweli Mungu kaumba ndoa, Lakini inabidi tumtangulize Mungu mbele katika mambo yote, kinyume na hapo hiyo ni ibada ya sanamu
Am a good student in your class it has changed my family
Waaau huku nimetoka na meengi tu still following
Asante Baba kwa mafundisho mazuri. Amen
som zuri sanaaaa mwalimu MUNGU akubaliki
Mtumishi Mungu akubariki sana somo zuri sana
Mwz MUNGU aendelee kukubariki na family yako...hakika unatuponya kwa maneno yako yaliyojaa hekima na busara,najifunza mengi kupitia wewe..u change my life in good way..
Barkiwa sana mtumish wa bwana,sema wapone
Watching from Kenya, napenda hichi kipindi
Ahsante sana mchungaji kwa masomo yako mazuri MUNGU azidi kukubariki.
Pumzika kwa amani
Balikiwa sana mtumishi.
mungu akutunze mchungaji maana wewe ni sauti ya mungu
Baba wewe ni Mwalimu mzuri sana,Mungu akubariki
Apumzike Kwa Amani hayati miti mingi uliondoka katika uso wa Dunia lakini tulikuwa bado tunakuhiji Duuu udongo shikamoo
nakupa big up mwalimu yaani ni point tupu umeongea na kiukweli wanaume wanajua kujari hawapo wote wote walisombwa na mafuriko mwaka juzi by Joyce
Love care and concern
Tuwajali wasijutie kuolewa
Mke ni Kama ualisipo mwagiliwa na kupaliliwa lazima life
For sure 👍
tusiache kumuomba mungu kila wakati
Asante kwa kutuachia mafudisho mazuri listening from Kenya,endelea kulala salama.
Barikiwa mtumishi
Ameen asantee kwa mafundisho.mazuri
Umeongea ukweli mtupu Yaan Daah Mungu akubariki sana
Asante kwa elimu hii
Baba mungu akutiee nguvu sana kwenye kazi yako
Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri Jina la Yesu litukuzwe
Amen
na kama mwanaume hana hera, na ako na mapenzi hapo aje?
@@wanjirunjiru3083 mapenzi si pesa mume ataweza kuwanapesa lakini hana namapenzi yazati chamuimu nieri kupata mwanaume mweye mapenzi ya zati kulikoni kupata mwanaume mwenye pesa
safi sana mchungaji by Dash kombo
NYC Pastor
Shida wanawake wengi wanakatisha tamaa majibu yao ya mdomoni haijulikani mme au mke
kweli kabisa
duh somo ndio lenyewe kabisa yani linaendana na uhalisia
Asante sn kuwaelimisha
asante baba nimepona
Ulale salama mutumishi, Na asate kwa kutuajia mainda.
Nabarikiwa kwa mahubiri yako, Amen
Huyu dr mitimingi sio kasisi tu pia nikungwi. Anafundisha jinsi ya kuishi na mke na mke jinsi ya kuishi na mume. Ubarikiwe kasisi .jambo la mafundisho ya unyumba kanisa halifundishi wewe ndio wa kwanza makasisi wenginw wanaona aibu .
Yani watu Bwana wanaacha kufundisha neno La Mungu
Kwani ndoa mwanadamu ameipata wapi? si kwenye neno la Mungu
@@ElizaBeth-rc7yf anything that you put it first of your life is an idol
Ni kweli Mungu kaumba ndoa, Lakini inabidi tumtangulize Mungu mbele katika mambo yote, kinyume na hapo hiyo ni ibada ya sanamu
Kutunza mke pia ni miongoni mwa maneno ya Mungu.
Nimekuelewa sana
Daah jmn mungu akulaz mahar pema
Shukran
Shukuran sana dr mitimingi mafundisho ni mazuri
kwa kweli umenena vyema maana wanaume wengi ni shida nyakati hizi.
sema sema
Aminia mito mingi
Mito mingi unajua
Miti mingi
Baba mungu anzindi kuiyuwa
Mtumishi unafurahisha watu wengi sana na diamond pia anafanya hivyo.
Tunakukumbuka sn baba kwa mafunzo yako upumzike kwa amani 😭😭😭
Acha watu wapitie jangwa ili wawe watumishi wa kweli.
wambie
Kweli kabisa jamani
Be blessed shemeji 😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤
Thanx sn
Yes
Saf
Semaaa baba
Nkwel baba
Sema baba
jamani kweli ata kama ni mgumu atalainika looh
Ameeen🙏🙏🙏🙏
AMEEN
na hata hapa yupo wa hivo masimu makubwa na mke wake hana kabisa anaishia kutuomba,,,jamani Akina baba tubadilishe matunzo
kweli umenena baba
Mungu akupe maisha marefu,ubarikiwe na huduma
Uko sahihi baba, mwenyewe napenda sana L C C.
Ameen mtumish
Nauliza huyo jamaa hakuwa na mke?
Ameen