Kitabu cha Mithali au Methali - Sura 1 hadi 31

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 เม.ย. 2020
  • #Mithali, #Proverbs, #BibliaTakatifu, #HolyBible,
    Mithali ~ Proverbs 1 hadi 31
    UTANGULIZI
    Kitabu cha Mithali ni Kimojawapo cha vitabu vya Agano la Kale vya maandishi ya hekima (vitabu vingine vya namna hii ni kama vile Yobu, Mhubiri, n.k.)
    Kitabu chenyewe kina mkusanyo wa methali mbalimbali ambazo kwa jumla lengo lake ni kuwafunza watu maisha bora.
    Kama inavyodhihirika, methali nyingine nyingi zilitungwa na washairi wa nyakati mbalimbali na nyingi zinatokana bila shaka na utamaduni wa kidini wa watu wa Israeli. Nyingine zinatajwa kuwa za mfalme Solomoni ambaye alijulikana kama mwenye hekima mkuu kabisa.
    Methali hizi zinadokezea ni nini hasa maana ya kuwa na hekima kama watu wa kale wa Israeli walivyoona na kuelewa au kueleweshwa na wenye hekima wao katika nyakati hizo za kale. Aghalabu hekima kuu kupita zote ni ile itokanayo na kuwa na uhusiano mwema na Mungu. Jambo la kushika amri zake Mungu ndilo pekee lenye kufaa miongoni mwa wanadamu wote. Kutindikiwa na hekima hakutamfaa mtu kitu chochote; tena kuishi kipumbavu ni dhambi na chanzo cha upotovu. Hekima ya watu wa Israeli ilitilia mkazo kuwajibika kwa kila mtu binafsi, jambo ambalo kama likikosekana kati ya watu, ulinzi wa Mungu kwa watu wake hutoweka.
    Kuwa na hekima si jambo geni kwa watu. Hekima hufunzwa hata watoto wadogo kwa vitendawili na misemo ambayo hupatikana katika makabila mbalimbali ulimwenguni.
    Mambo yaliyomo katika kitabu hiki yanaweza kugawanywa kwa namna mbalimbali:
    Katika sura 1-9 kuna utangulizi juu ya hekima. Katika sehemu hii tunaelezwa kinaganaga kazi ya hekima. Hekima hapa inazungumziwa kana kwamba ni “mwanamke” ambaye anawaalika wote waishi kulingana na busara na akili timamu.
    Katika sura 10-29 kuna mkusanyo wa methali zinazojulikana kama za mfalme Solomoni (10:1-22:16; 25:1-29:27), pamoja na nyingine ambazo zatoka kwa wenye hekima wengine (22:17-24:34).
    Katika sura 30-31 kuna visehemu vinne tofauti, viwili vikitupa habari juu ya fikira na mawaidha ya wenye hekima ambao huenda hawakuwa Wayahudi (30:11-14 na 31:1-9).

ความคิดเห็น • 22

  • @jacklinekimbali3029
    @jacklinekimbali3029 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

    • @bibliatakatifu5723
      @bibliatakatifu5723  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova
      th-cam.com/video/KssoKVAzFT0/w-d-xo.html

  • @mokayawicky656
    @mokayawicky656 ปีที่แล้ว

    aminaa

    • @bibliatakatifu5723
      @bibliatakatifu5723  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova
      th-cam.com/video/KssoKVAzFT0/w-d-xo.html

  • @agnesstewartstambuli609
    @agnesstewartstambuli609 2 ปีที่แล้ว +1

    🤗

    • @bibliatakatifu5723
      @bibliatakatifu5723  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova
      th-cam.com/video/KssoKVAzFT0/w-d-xo.html

  • @brunonjogolo5646
    @brunonjogolo5646 ปีที่แล้ว

    Good

    • @bibliatakatifu5723
      @bibliatakatifu5723  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova
      th-cam.com/video/KssoKVAzFT0/w-d-xo.html

  • @lilianjumwa1765
    @lilianjumwa1765 ปีที่แล้ว

    Amen

    • @bibliatakatifu5723
      @bibliatakatifu5723  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova
      th-cam.com/video/KssoKVAzFT0/w-d-xo.html

  • @JobKCMinistry
    @JobKCMinistry 3 ปีที่แล้ว +1

    😍😋💕❤❤❤❤❤❤❤

    • @bibliatakatifu5723
      @bibliatakatifu5723  3 ปีที่แล้ว +1

      Unaweza kuendelea kusikiliza vitabu mbalimbali vya biblia. usiache kulike, comment & subscribe & kushare. Mungu atubariki sana.

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 ปีที่แล้ว

    🙏 🙏

    • @bibliatakatifu5723
      @bibliatakatifu5723  ปีที่แล้ว

      Tujifunze wote kupitia Kitabu hiki cha Zaburi, kina hekima, maonyo, mafundisho na maelekezo katika maisha yetu. Karibu sana. Share kwa wengine Tujifunze pamoja.
      th-cam.com/video/wRUVaU8Zbkc/w-d-xo.html

  • @PeterMsangi-jr2rv
    @PeterMsangi-jr2rv 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sanduku la agano

    • @bibliatakatifu5723
      @bibliatakatifu5723  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na wengine walisikilize neno la Yehova
      th-cam.com/video/KssoKVAzFT0/w-d-xo.html

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 2 ปีที่แล้ว

    Eehmen

    • @bibliatakatifu5723
      @bibliatakatifu5723  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova
      th-cam.com/video/KssoKVAzFT0/w-d-xo.html

  • @vayotewanunu7811
    @vayotewanunu7811 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen 🙏

    • @bibliatakatifu5723
      @bibliatakatifu5723  8 หลายเดือนก่อน

      Amen Mtu wa Mungu, Usiache Kushare na kusubscribe channel hii, Hakika Mungu atakubariki na share link kwa wengine walisikilize neno la Yehova
      th-cam.com/video/KssoKVAzFT0/w-d-xo.html

  • @metrineonyango4033
    @metrineonyango4033 2 ปีที่แล้ว