Ukweli mtupu, kanisa la kwanza halipo tena Mungu tusamehe, na utusaidie. Mungu akubariki Reverend. You preach the naked truth you are an inspiration to many especially in this generation.
Mkurugenzi wangu hongera kwa mkutano na semina nzuri kuhusu maadili kuporomoka, na hasa umeongelea habari za step za kwaya, ubarikiwe baba kurudisha maadili kanisani
Magembe na mgogo nawakubali sana mafundisho yao siyo hao wauza upako na kubariki watu kwa pesa heti manabi yaani wizi mtupu na miuziza yao ya kishetani live kabisa bila chenga Mungu tuokoe watanzania na jinamizi hili la matapeli kwa kutumia jina la yesu
Barikiwa sana mutu wa mungu tena ujumbe huu uwafikie dunia nzima ckuizi mlokole hajulikana niyupi na wadunia hawajulikani mauno tu kwenda mbele shindwe kwa jina la yesu nkiwa kenya
Yaaani nikisikiliza mahubiri yako ninatulia Kama nipo kanisani ulipo Mungu akubariki Sana baba yetu na azidi kukutumia kuzidi kuisema kwelii ili tuzidi kuwa huru
Yaani huyu baba amenifurahisha huyu, Mungu akubariki sana. Watu hawajui kumheshimu Mungu. Michezo ambayo huchezi mbele ya baba yako mzazi kwanini ucheze mbele ya baba yetu wa mbinguni? Huwa napata shida sana. Mungu tupe uelewa.
Sema mtumishi bila kupepesa,wanao taka kupona wapone,wasio taka wakajiunge na akina chimenengule na maviono yao,siyo kukatikia kwenye madhabahu ya Mungu wetu,
Yesu au issah masihi sivinginevyo ila nimtume wa mungu, kama alivyo Muhammad, sisi waislam hatuna Shaka kwakua tunamuabudu Mungu aliemuumba yesu pamoja na watu wote, yule yesu aliesema ktk yohana (usinishike kwa maana naenda kwa baba, baba yangu Mimi no baba yenu nyinyi k mungu wangu naye ni mungu wenu, )
@@ngwanafabian9668 quruan imekusanya vyote zaburi ya nabii Daudi, Taurat ya nabii Mussa, Injili ya Masih, quruan inasema ( na aliposema Issah masihi enyi wana wa israili Mimi ni mtume kwenu ninaesadikisha( ninaekubali) yalio ktk Taurat na kuwapa Habari ya kuja mtume mwengine Jina lake Ahmad(Muhammad) yesu anasema sikutumwa ila kwa kondoo wa israili waliopotea, kumbukeni atakapoketi mwana wa Adam katika kiti chake Cha enzi na kuwahukumu makabila 12 ya Wana wa israili, watakua wengine nakumwaambia bwana tulikua tunakula na kunywa mbele zako.!! Basi yesu atawakataa ukiwemo na wewe Fabiano. Atasema tokeni siwajui mtokako,.. kwahiyo wewe kubali au kataa wewe ni umati Muhammad, siku ya malipo ni lazima utamtafuta tu, akutetee,
Ahsante Kaka Emma Q. Mimi si Msabato ila Mzee anasema kweli tupu....Lakini wale Zabron Singers wa KHM (SDA) wako vizuri....WanaMabeats na Rhythm zenye Nidhamu...Machezo na Minenguo Makanisani Mhhhhh.. Hatariiiiii....
Mungu atusamehe wote hakuna mwenye haki hata Mmoja ....Mungu asifiwe Step zote Katika Roho na Kweli ...Hata Viduku mradi Ni Kumsifu Mungu na sio mchungaji...
Ni kweli mchungaji Maghembe. Vijana wa leo wameligeuza Kanisa la leo kuwa sehemu ya mziki wa Kwasakwasa na Dansi kwa kisingizio cha enzi zile za Daudi. Hali hii isipokemewa kwa sasa itafikia mwanaume na mwanamke kucheza kwa kukumbatiana na kusikana viunoni. Ikumbukwe kuwa Shetani anatumia njia kama hizo kujiinua na kuliingilia Kanisa. Vijana badilikeni.
Mzeee nakuelewa sana kama unamwelewa like twende sawa duh!!!!!
Yaani huyu mchungaji Mungu amlinde angekuwa askofu ingekuwa heri
Mungu alivo mzuri hutumii hata mawani Mungu akutunze baba Mchungaji
Ahsante Mungu kwa kutupatia MTU muhimu kama huyu,Mungu MPE maisha marefu zaidi
Ukweli mtupu, kanisa la kwanza halipo tena Mungu tusamehe, na utusaidie. Mungu akubariki Reverend. You preach the naked truth you are an inspiration to many especially in this generation.
Mungu akubariki mtumishi, injili yako ni pure kabisa.
Kumbe tupo wengi wenye kuchukizwa na matendo na stepu za ovyo,ubarikiwe
Makanisa yamevamiwa na roho za ajabu ajabu.
Bora mzee umeliona hilo, likemee!
Kiukweri mtumishi wa Mungu nabarikiwa Sana na injiri yako ya uamsho wa kanisa
Kweli tupu 100%. Mungu awe nawe daima, watumishi wasema kweli kwenye makanisa ya Kikristo ni wachache na wanachukiwa balaa!! Ubarikiwe
Mungu akubariki sana Mchungaji, na asaidie kanisa la leo, wachungaji kujua kuonya, kukaripa, kuongoza na kukemea.
Asante Mtumishi Mkuu wa Mungu. Unahimiza Utakatifu ambao ndio unaomstahili Mungu. Ubarikiwe na Bwana kwa kuliponya Kanisa.
Very powerful word wachungaji wa Kenya you should take this example of mchungaji Magembe
Kweli kabisa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Baba me naomba Mungu tupatikane watumishi kama wewe wanaoisema kweliii ...Nakupenda baba katika Bwana
Babu yangu Mchungaji Magembe Mungu akuongozee ktk kuusema ukweli ili kanisa kwaya zipone zinavuka Maadili ya ki Mungu
Hakika Mungu kakuweka kwa kusudi lake. Fanya kazi kama ulivyo tumwa. Tuko pamoja kukuombea.
Mchungaji nimekuelewa mtumishi wa mungu usimame imara katika utumishi wako usiludi nyuma katika utumishi wako amina.
Thanks for the word of God am from Zambia
Mungu akupe maisha marefu na afya njema baba mchungaji uendelee kutumika kwa kuisema kweli
Ubarikiwe mchungaji tumekosa watumishi kama wewe
Mkurugenzi wangu hongera kwa mkutano na semina nzuri kuhusu maadili kuporomoka, na hasa umeongelea habari za step za kwaya, ubarikiwe baba kurudisha maadili kanisani
Magembe na mgogo nawakubali sana mafundisho yao siyo hao wauza upako na kubariki watu kwa pesa heti manabi yaani wizi mtupu na miuziza yao ya kishetani live kabisa bila chenga Mungu tuokoe watanzania na jinamizi hili la matapeli kwa kutumia jina la yesu
Sema mtumishi usichoke
One love pastor ♥️♥️
Wahubiri wa aina hiyo ni wachache mno wengi wametekwa mambo ya ulimwengu huu , Mungu akubariki mtumishi!
Mungu akutie nguvu huo niukweli kwaya za sasa hazina tofauti na wacheza dans vilabuni
Ni kweli kabisa baba watumishi wafundishe ukweli tunatamani kuona Uwepo Wa Mungu, tunatamani tuuone uwepo kama kipindi cha kina ASAFU
Wewe mzee uko sahihi 100% maana siku hizi kanisani kama disco.
Mungu ni mwema
Mzee nenda na wakati mzee ibada za sasa tofauti na zamani
Asante Mchungaji Magembe tuko tunakuombeya Mungu akulete Bujumbura Burundi.
Very powerful message Rev Magembe
Nakubaliana kabisa Mch
Barikiwa sana mutu wa mungu tena ujumbe huu uwafikie dunia nzima ckuizi mlokole hajulikana niyupi na wadunia hawajulikani mauno tu kwenda mbele shindwe kwa jina la yesu nkiwa kenya
Unapo tikisa kiuno sana kinateremka kikiteremukia jehenamu oopoleni
Ubarikiwe. Hats wasioamini wanatushangaa!!! Maana hata wenyewe Wana mipaka yao!!!
Mungu akubariki magembe
Yaaani nikisikiliza mahubiri yako ninatulia Kama nipo kanisani ulipo Mungu akubariki Sana baba yetu na azidi kukutumia kuzidi kuisema kwelii ili tuzidi kuwa huru
Nimekuelewa mtumishi wangu
Amina mchungaji na barikiwa sana na mafunzo yake
Kwaya ambaazo hazikati viuno ni za wasabato tu, lkn zingine ni shida!
😂😂😂
Wachungaji wanaosema kweli kwa Sasa niwachache sana ubarikiwe baba
Napenda mafundisho sana niko kenya siaya
Niza ukweli kabisa
BAba mahubiri yako yananibariki sana Mungu Akubariki
NAKUPENDA SANA MCHUNGAJI MAGEMBE SANA SANA NASKIA AMANI SANA MOYONI MWANGU NAPOSIKILIZA MAFUNDISHO YAKO, KIUKWELI ROHO YA MUNGU IPO JUU YAKO.
Penda sana mtumishi wa Bwana
amen baba tumekuelewa
Wasabato wapo vizuri sema mchungaji ili tupone
Yaani huyu baba amenifurahisha huyu, Mungu akubariki sana. Watu hawajui kumheshimu Mungu. Michezo ambayo huchezi mbele ya baba yako mzazi kwanini ucheze mbele ya baba yetu wa mbinguni? Huwa napata shida sana. Mungu tupe uelewa.
Sema mtumishi bila kupepesa,wanao taka kupona wapone,wasio taka wakajiunge na akina chimenengule na maviono yao,siyo kukatikia kwenye madhabahu ya Mungu wetu,
Mzee umenichekesha sana nmekuelewa sana you made my day hahahahahahahaha
Amen Sana,hapo kwenye Praise & Worship hapo ndio shida kwa baadhi yao
Mzee Moses ni Bora uwe tu muislam ndugu yangu, moyo wako utatulia hayo hayo unayosimamia kwenye ukristo hayatawezekana,
Maonyo yalikuwepo tangu zama za Adamu na Hawa, unapomuonya mwanao lengo abadili tabia na sio abadili uzao.
Utaikumbuka sikuu hii uliyo andika huu ujumbe na utajuta Sanaa badilika Sasa YESU pekee ndio njia sahihi ya kuiona paradise
Yesu au issah masihi sivinginevyo ila nimtume wa mungu, kama alivyo Muhammad, sisi waislam hatuna Shaka kwakua tunamuabudu Mungu aliemuumba yesu pamoja na watu wote, yule yesu aliesema ktk yohana (usinishike kwa maana naenda kwa baba, baba yangu Mimi no baba yenu nyinyi k mungu wangu naye ni mungu wenu, )
@@ramadhaninyangasa7275 Kama ni mtume wa Mungu kwanini huiamini injili yake?
@@ngwanafabian9668 quruan imekusanya vyote zaburi ya nabii Daudi, Taurat ya nabii Mussa, Injili ya Masih, quruan inasema ( na aliposema Issah masihi enyi wana wa israili Mimi ni mtume kwenu ninaesadikisha( ninaekubali) yalio ktk Taurat na kuwapa Habari ya kuja mtume mwengine Jina lake Ahmad(Muhammad) yesu anasema sikutumwa ila kwa kondoo wa israili waliopotea, kumbukeni atakapoketi mwana wa Adam katika kiti chake Cha enzi na kuwahukumu makabila 12 ya Wana wa israili, watakua wengine nakumwaambia bwana tulikua tunakula na kunywa mbele zako.!! Basi yesu atawakataa ukiwemo na wewe Fabiano. Atasema tokeni siwajui mtokako,.. kwahiyo wewe kubali au kataa wewe ni umati Muhammad, siku ya malipo ni lazima utamtafuta tu, akutetee,
Nakuelewa sanaaaa
Ameen kweli Baba Mungu akubaliki kwa kusema kweli
Ukabila umezidi makanisani kenya,God have mercy.
Powerful!.
Nimefurahi sana
Natamani siku moja niudhurie Ibada kanisani kwako Mtumishi wa Mungu
sema pastor
Nimekupenda sana mtumishi
Aminaaaaa sana ubarikiwee mtumishi wa munguuu
Pewa soda ya kutoka Kenya 🇰🇪✋✋✋afu na mavazi thooo
Ni kweli mzee ukweli ni lazima tu usemwe Wanazidi mno baba
Kweli kabisa inatakiwa tubadilike
Kweli mchungaji. Mimi siku hizi naboreka hadi siangalii waimbaji. Wengi hadi vaa yao hovyo
Kweli ndugu hasa za vidio
Magembe uko vizuri ila wewe huna kanisa, kanisa ni la mwenye kumwaga damu aliyetukomboa futa hiyo kauli
Kiuno nacho ni kiungo alichoumba Mungu tusibague viungo vyote ni vya Mungu..tumsifu Mungu katika roho na kumaanisha tukiongozwa na roho.
Wagalatia mtihani sana
Iko vizuri sana baba Askofu
Ni kweli baba mchungaji kwaya zimekuwa disco
Uko vzr mchungaji
Barikiwa mtumishi tena hatachumbani hwakati hivo wasicheze kabiaas
Ni KWELI kabisa mizaa IMEZIDI makanisani
Ha haaaaaaaaaaaa! Kubinuka binuka aaa! Pastor bhana ubarikiwe 2. Umenifurahisha
Barikiwa
Ilinibidi tu ni Subscribe hakika pastor amenikosha mno mungu akulinde sana baba
Wambie mzee! Wewe ungekuwa msabato unawahubili hivo wangekuambia Wana mfata daudi aliecheza adi nguoo zkadondoka!! Na Sasa kabisaa wanavocheza wanataka nao nguo ziwadondoke! Dah niwabishi! Ungekuwa msabato hapo wangekutukana
Hakika
Unadhani wasabato wako 100%? Si kweli maana hata hiyo sabato hawaifuati kama ipasavyo wao wamekariri sabato ni jumamosi tu.
Hapo ndo mtaona umuhimu wawasabato na tatizo mnafata mapokeo ikija step mpya mnayo mnacheza hadi viduku kanisani tena hadi nguo hazina utukufu
Kwani wapi ilielekeza namna ya kucheza???? Kwani Mungu alisema hataki viuno??? Hayo ni Mambo ya maadili, but sio dhambi.
Mchungaji mi ni mwislam..
Lakini kwenye hili umejitutumua umeongea
Safi sana Songa mbele
Mugambo Song the message is here
Kweli mzee siyo kwa mauno Yale
Asante kwa mafundisho mazuri na magumu ,asikiae na asikie
Mzee hua nakuelewa sana. Yaani wewe ni miongoni mwa walimu wangu ambao nawaelewa sana
Kweli kabisa mtumish barikiwa sana
Mm ni msabato ila huyu pastor anahubiri kweli
Ahsante Kaka Emma Q. Mimi si Msabato ila Mzee anasema kweli tupu....Lakini wale Zabron Singers wa KHM (SDA) wako vizuri....WanaMabeats na Rhythm zenye Nidhamu...Machezo na Minenguo Makanisani Mhhhhh.. Hatariiiiii....
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU
Wanasema eti ni Sebene la Yesu!!!sipat picture
Kunywa kidogo usilewe! Si useme wasinywe tu Pr.
Hilo la kwaya ni mojawapo ya makandokando... Kuna zinaa, ufisadi, unafiki, kupenda fedha, uchawi, vyeo vya kupeana, uchaguzi kiini macho n.k
Wachungaji wa siku hizi mnatuchanganya sana, Mungu atujalie maarifa ya kiroho
Elewa maandiko hutachanganyikiwa
Unachanganyikiwaje soma Neno utaona,
Mungu atusamehe wote hakuna mwenye haki hata Mmoja ....Mungu asifiwe Step zote Katika Roho na Kweli ...Hata Viduku mradi Ni Kumsifu Mungu na sio mchungaji...
Malaika hawasifu YESU kwa viduku na kwaito staili za kidunia na ushetani umeingia kanisani hiyo ndio lango la mateka kanisani
Ni kweli mtumishi
Mungu akubariki baba
Ubarikiwe pastor ili ni tatizo la wachungaji kuacha kukemea dhambi
Nakupendea hicho mtumishi
Ni kweli mchungaji Maghembe. Vijana wa leo wameligeuza Kanisa la leo kuwa sehemu ya mziki wa Kwasakwasa na Dansi kwa kisingizio cha enzi zile za Daudi. Hali hii isipokemewa kwa sasa itafikia mwanaume na mwanamke kucheza kwa kukumbatiana na kusikana viunoni. Ikumbukwe kuwa Shetani anatumia njia kama hizo kujiinua na kuliingilia Kanisa. Vijana badilikeni.
Nabarikiwa
Mzee hujaelewa. Ayo no magugu ktkt ya ngano.
Kweli baba ni wakati wakuambiana ukweli ingawa viongozi wengine wanashindwa kusema ubarikiwe
Amina Mtumishi
Barikiwa mtumishi wa mungu
Ameeeni,tunamtaka bwana na nguvu zakee.
sema mtumishi .tubadirike