Amen amen ..Mtumishi ubarikiwe sana kwa kazi njema nmepata mafunzo na mwelekezo mzuri ( hapo nyumani nlikua nkiombea maadui wangu wafe na Mungu hakua anajibu majaribu ndio yalizidi nkapata neema nkaanza kuwaombea na Mungu alinipigania japo vita vya kiroho vimekua vingi ila naimani nitashida
AMEN AMEN AMEN 🙏 ubarikiwe mtumishi kwa Neno hili la Kweli. Tuombe kwa ajili ya watumishi wake, injili ya kweli kuingia ndani ya mioyo yetu. Tuombe aepushe vipawa vyetu na uovu..na kujazwa tena na tena kwa Roho wake bali sio kuombea mahitaji yetu; tule nini au tunywe nini Baba yetu anajua tunayahitaji hayo. Mungu akutunze.... mtumishi Yesu mwenyewe alisema Baba wasamehe maana hawajui wanalolitenda.. ... hakuwaombea wafe..... stephano vile vile alipigwa mawe na hakuwaombea mabaya.... adui mlishe usioigane naye wala kumuombea mabaya...
jambo mutumichi ni nayo churani kwako asante kwakazi ya bwana endeleya bwana a endeleye kuku tumiaya kama chombo ki ukweli wewe ni docteur katika imani ya kitumishi endeleya ku shimama katika imani?
Amen amen ..Mtumishi ubarikiwe sana kwa kazi njema nmepata mafunzo na mwelekezo mzuri ( hapo nyumani nlikua nkiombea maadui wangu wafe na Mungu hakua anajibu majaribu ndio yalizidi nkapata neema nkaanza kuwaombea na Mungu alinipigania japo vita vya kiroho vimekua vingi ila naimani nitashida
Mungu akubariki sna Mtumishi wa Mungu nimejifunza kitu kwa ujumbe huu
Asante kutusaidia mtumishi wa Yesu barikiwa
Mungu naomba unisaidie🙏
Àmeeeen asante Sana mtumishi umenifunza mengi sana ubarikiwe Sana zidi kusimama kikweli ni linet toka inchi ya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏🏽👏🏽🤝🤝
Ameen mtumishi umenibaliki sana na hili neno
AMEN AMEN AMEN 🙏 ubarikiwe mtumishi kwa Neno hili la Kweli. Tuombe kwa ajili ya watumishi wake, injili ya kweli kuingia ndani ya mioyo yetu. Tuombe aepushe vipawa vyetu na uovu..na kujazwa tena na tena kwa Roho wake bali sio kuombea mahitaji yetu; tule nini au tunywe nini Baba yetu anajua tunayahitaji hayo.
Mungu akutunze.... mtumishi Yesu mwenyewe alisema Baba wasamehe maana hawajui wanalolitenda.. ... hakuwaombea wafe..... stephano vile vile alipigwa mawe na hakuwaombea mabaya.... adui mlishe usioigane naye wala kumuombea mabaya...
Preach Man Of God..... Napenda Mahubiri yako
Amina, ubarikiwe mtumishi wa Mungu
MUNGU akutie nguvu mtumishi amee
Amina, balikiwa mtu wa Mungu.
Asante Kwa huu ujumbe
Alléluia 🙌💖
Amen 🙏🏽
Amina 😢😢
Ameeen
Amen amen amen
Be blessed
Amen 🙏🙏🙏
Mmh Amina Amina
Ameeen!!!
Yumekalibia nyumban
Amen
Vous pouvez aussi vous et à la famille de parents en Chine pour les jeunes enfants soient plus de ma famille que
AMINAAA
Ameni
Aminaaaa
jambo mutumichi ni nayo churani kwako asante kwakazi ya bwana endeleya bwana a endeleye kuku tumiaya kama chombo ki ukweli wewe ni docteur katika imani ya kitumishi endeleya ku shimama katika imani?
Inasema Kweli yaani sasa hivi mahubiri ni audui na mafanikio
Kila kitu shetani😂 wajinga ndo waliwao
Soma biblia utaelewa kuwa hao ni manabii wa uongo.
Amen🙏🙏🙏
Amen