TRENI ZA PUGU, UBUNGO NA ZILE ZA MIKOANI KUISHIA KAMATA, KUPISHA UJENZI WA KITUO CHA KISASA STESHENI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • DAR ES SALAAM DAR ES SALAAM.

ความคิดเห็น • 19

  • @TRCRELITVTANZANIA
    @TRCRELITVTANZANIA  6 ปีที่แล้ว +11

    EPUKA FOLENI PANDA TREEEEEENI HAAHAAA...GONGA LIKEEEEE

    • @michaelhangayah95susuh36
      @michaelhangayah95susuh36 6 ปีที่แล้ว

      TRC RELI TV Kweli Kabsa Hongera saaana TRC👍🙏

    • @faridamin6383
      @faridamin6383 6 ปีที่แล้ว

      TRC RELI TV wakubwa tunaombeni renders za SGR main terminal na vituo vyengine vya njiani....tuna shauku nazo sana

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 6 ปีที่แล้ว +4

    Tanzania inamaendeleo sana kwa kipindi kifupi tangu Dkt Rais Magufuli achukuwe Madaraka hongera Mungu akuongoze Katika Kazi unazofanya kila siku

    • @leothomas3818
      @leothomas3818 6 ปีที่แล้ว

      Susana Nyasani tunakwenda vizuri

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 5 ปีที่แล้ว

      @susan nyasani treni ilianza awamu ya nne chini ya mwakyembe unatambua , au we msaka tonge ?

  • @williamnyimbi1048
    @williamnyimbi1048 6 ปีที่แล้ว +3

    Sasa mnetuonesha hata Hiko Kituo cha Kisasa Kitakuaje

  • @kambiibrahim415
    @kambiibrahim415 6 ปีที่แล้ว +1

    Brother Ben tuletee mchoro na video ya Stesheni mpya

  • @jaffarimguwa6869
    @jaffarimguwa6869 6 ปีที่แล้ว +1

    Awesome

  • @samateryussuf5938
    @samateryussuf5938 5 ปีที่แล้ว +2

    ongeza bei ili abiria wapate huduma nzuri zaidi, wanafunzi wapande bure tu , daladala zipigwe marufuku mjini . ziishie kimara , mbagala, tegeta nk

  • @dibya20
    @dibya20 6 ปีที่แล้ว +4

    EPUKA FOLENI PANDA TRENI oyooooooooo..... Bonge LA kauli mbiu trc ichukuen hiyo Biashara matangazo bana

  • @mo_8712
    @mo_8712 ปีที่แล้ว

    Hivi hii bado ipo siku hizi 2023??

  • @jeninunu9177
    @jeninunu9177 6 ปีที่แล้ว +1

    fantastic maendeleleo

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante san watangazaj wetu kwa kazi nzuri wa RELI TV tunaona maendereo ya wakandarasi wetu asanten san mwenyez MUNGU yupo pamoja nanyi

  • @samateryussuf5938
    @samateryussuf5938 5 ปีที่แล้ว

    kwanini mnajifananisha na dala dala ?serikali inatakiwa kupunguza dala dala ili kupunguza uharibifu wa mazingira , kwa sera bora ya serikali daiadaia zingeishia kimara tu , huyu jiwe lenu kajiingiza , SGR is a white elephant , nothing wrong with central rail na TAZARA ambayo waTZ enzi ya nyerere tumelipia kwa jasho letu kununua bidhaa za kichina (TAZARA)

  • @lajumaofficial3629
    @lajumaofficial3629 6 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania inasonga,maendeleo yanatia moyo

    • @fabiankigwaja4585
      @fabiankigwaja4585 6 ปีที่แล้ว +1

      "EPUKA FOLENI PANDA TRENI" ni kweli kauli mbiu muhimu sana,hongera sana watanzania ,hongera sana TRL na hongera sana Mhe. Mwakyembe(mwanzilishi)

  • @tanzaniakwanza1699
    @tanzaniakwanza1699 6 ปีที่แล้ว

    Thx Beni. Namshukuru Eloi wangu aliyetupatia rais mahiri Mh. MAGUFULI. Tazama leo mabehewa yetu yamebeba matangazo ya mashirika yetu ambayo rais wangu ameyafanya kupiga chafya wakati yakiingizwa kaburini.