VIDEO YA WALIODANDIA TRENI YAMFIKIA RAIS SAMIA, ATOA MAAGIZO KWA RC CHALAMILA "ALIWAONA USIKU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @Djugaripro
    @Djugaripro 10 หลายเดือนก่อน +6

    nguvu moja kwa mama samia

  • @letthedeadburythedead2148
    @letthedeadburythedead2148 10 หลายเดือนก่อน +4

    1:05 nani mwingine kamuona jamaa akistruggle kushuka ngazi 😂😂😂

  • @hadijasaid8032
    @hadijasaid8032 10 หลายเดือนก่อน

    Viongozi yani mpaka raisi aseme vinginevyo hamfanyi kazi zenu yani , mmekaa tu ofcn mnasubiria shida iyonekane ndo mnaamka kuonekana

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 10 หลายเดือนก่อน +2

    Wizi wizi wizi mpaka bungeni hodiiiii

  • @PopTiger-br2nh
    @PopTiger-br2nh 10 หลายเดือนก่อน +2

    Duh 😂😂😂😂😂😂

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 10 หลายเดือนก่อน

    Kama mmeshindwa ruhusuni watu waingize usafiri binafsi.

  • @iddihamisi6320
    @iddihamisi6320 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa ameongea ukweli kabisa ticket wanauza za jana unapewa leo

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania ya Mavi kunuka kila sehemu ni ushenzi tu kwa Nini wakusanye tickets na huu uozo ina maana hamna anayeona haya , ni kweli wanauza tena hizo tickets hawa watu ni wa kunyonga tu kama Tanzania ya Mavi kunuka mnataka kuendelea

  • @letthedeadburythedead2148
    @letthedeadburythedead2148 10 หลายเดือนก่อน +1

    1:05 nani mwingine kamuona jamaa akistruggle kushuka ngazi 😂😂😂

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 10 หลายเดือนก่อน

    Treni ya kizamani imechakaa sana msisifiane, jengeni reli za kisasa mnunue mabewa ya kisasa dar inahitaji kuwa na Metro au light train kama adiss ababa Na majiji mengine Afrika

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ongezen mshahara kwa walimu

    • @hasnajuma5567
      @hasnajuma5567 10 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe nawe wanazungumzia usafiri sio mishahara 😂😂😂😂😂😂😂

    • @SaidMohamed-xt9yr
      @SaidMohamed-xt9yr 10 หลายเดือนก่อน +1

      We mwalimu nini?

  • @leahmafwenga4695
    @leahmafwenga4695 10 หลายเดือนก่อน

    Ila hali ya jana nimeishudia kwa macho yangu hali ilitisha watu walijaa walining'inia milangoni hadi nikaogopa

  • @abdillahjuma8474
    @abdillahjuma8474 10 หลายเดือนก่อน

    7bu ya kujaa watu n kwmba kuna udanganyifu kweny TIKET

  • @erastomapunda1444
    @erastomapunda1444 10 หลายเดือนก่อน

    kila kitu samia wewe unamchango gani kwenye nafasi yako .

  • @mariosulley4669
    @mariosulley4669 10 หลายเดือนก่อน

    Sasa wewe waziri wacha ujanja unalitambua hilo kitambo.

  • @CrissManda
    @CrissManda 10 หลายเดือนก่อน

    Wakuchagulie behewa wewe nami?

  • @hamidaissa4769
    @hamidaissa4769 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwahiyo ruti za gongolamboto zimeongezwa au behewa zimeongezwa nijubuni