Mshukiwa wa kwanza wa hujma huwa ni yule alieanza kutoa taarrifa. Eidha moja kwa moja au kwa kiwango fulani. Ni lazima kuna aliefanya na kuna alieona kufanywa au alishiriki kufanya kwa njia moja au nyingine. Kwa hivyo pamoja na bidii yote hao wanahabari haiwezekani kila siku wao ndio wanaoripoti kila mapungufu, HUJMA IKO HAPO MSIENDE MBALI WALA KUPOTEZA MUDA.
Tumewekeza pesa nyingi za wananchi alaf mnakuja kutuzingua kuwa ngedere na bundi wanasababisha itirafu kwenye umeme..Je hatukujua reli itapita sehemu zenye wanyama poli na ndege? Nchi zenye njia zinapita kwenye wanyama walifanya nn kuzui swala kama ilo kutokea?...Tunataka watu wenye fikra makini kuweza kuchambua miradi hii mikubwa kabla hatujawekeza maana hii inaonyesha bado hatupo serious kuondoka kwenye utumwa na ukoloni mambo leo..
Yaliyojili
Yaliyojili. .. kiswahili kwishnei
Huyu kachukua nafasi ya Bi Jamila Mbarouk