Kwenye viti mlichagua vibaya, viti hvo ni vya hali ya chini sana....vinazidiwa hata na viti za mabus ya mchina Yutong......kwenye set zilizo bakia mnge jitahidi mueke viti vyenye hadhi.
Maendeleo ni kwa ajili yetu sisi wenyewe majitu yanafanya hujuma kwa maendeleo yao hivi watanzania hiyo ni akili ya binadamu wa kawaida kweli!!! Hao walokamatwa wanyongwe tu hawana faida yoyote kwa nchi yetu
Mtangazaji hata kama unalipwa ndyo utuoneshe behewa la hali ya chini uliite daraja la kifalme? je ungepanda ile treni ya nairobi mombasa siungeita daraja la mbinguni? ndani hizi treni bado za kizamani kwa hili toleo bado viti sio vizuri havina hadhi ya vip even bizness class ivyo viti sioni tofauti na vile vilivyo katika bizness class ya matreni yale yasiyo mchongoko yaliyo kama ya mwaka 47
Inchi yangu., Taifa langu
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯👏

Kilicho nisikitisha ni hivyo viti havifanii kabisa na level ya hio tren
I agree with you
Hata mi nlivoskia royal 150,000 nkajua itakua royal ya kifahari.