Huyo mchambuzi anaeiita uppercut kwa jina la ambercut mbona anaongea kama kinata Mc. By the way, Champez is my favourite pro boxer in Tanzania currently.
Wachambuz pamoja na refa mko kiushabiki sana maana Hasan ngumi nyingi za chini ya tumbo lakin refa kakaa kmya tu...hii raund y nne kampga jamaa ngumi sehem z Siri lkn refa yupo kmy tu ad jamaa kapotea af mnachekelea tu..mnampa sifa Hasan
Hakuna tatizo hata rais wa WBO hajui kiswahili. Kumbuka anaongea ndani ya taifa lake hivyo ni fahari kuongea lugha yake, kuongea lugha ya mwingine ndani ya taifa lake ni utumwa.
@KasimuMpanga Niaka ya nyuma Boxing ilikuwa inachezwa, akina Lukas Msomba, kocha Kinyogoli, kina Hussen Mapepe n.k najuwa huyu bondia ndizi. Mwakinyo anapigana na mabondia wa mchongo kwa makubariano. Ili kuweka sawa mambo. Nakumbuka kuna bondia alishtukua dili, hakupigana. Brother Mwakinyo kwa sasa ngumu kukubari kucheza na bondia wa hapa nyumbani.
The return of champion we love you❤❤❤ rais tunaomba umsaidie huyu kijana wetu lakin haonyeshwi kweny media kubw
MashaAllah mashaAllah Allah akusimamie kila hatua unayopiga inshaAllah
❤❤❤❤❤❤❤❤ jamaa namkubali sana anajua sana❤❤❤❤Hongera sana kaka HASSANI
Pacha wangu ktk imani hasani mwakinyo namkubali sanaaa💥🔥🔥🤲🤲🤲
Lazima hawa kina kiduku waonewivu hawajui kuwa ww ndo unatengeneza njia kwa wote❤
Mashallah Hassan Allah azd kukujalia
Kaz nzuri hasani❤
Azam kutoonesha pqmbano za huyu champion mnatukosea sana watanzania
Haawana hati miliki na wamegoma kulipia
Ubinafsi unawasumbua
Machoko tu
yyy❤yy😂😂😂lllyll😂ly😂yll😂ly😂y😂yyyyyo😂ll😂l😂ll😂ly😂y😂❤😂ll😂ly😂yyy❤yly❤😂yyyy😂y😂yyy😂yy😂yy😂ll😂lll😂lyllll😂yy😂yll😂lll😂lll😂lyyyll😂l😂yyyy😂😂ll😂l😂yy❤y😂y😂😂😂
Acha upumbavu, Azam ni taasisi binafsi ipo ki biashara, Huo ujumbe wako watumie TBC
Nakubali unyama mwingi
Huyu bi mkubwa atakumbukwa Sana na motisha za michezo
Mashaallah mama Samia hakika hamasa yako ni kubwa
Allah akufanyie wepesi katika Kila pambano lako Hassan zetu Dua na hasante mama kwa ubani waki
Twakiduku hamuezi mwakinyo
Huyo mchambuzi anaeiita uppercut kwa jina la ambercut mbona anaongea kama kinata Mc. By the way, Champez is my favourite pro boxer in Tanzania currently.
MSUKUMO MZURI KWA KUWASAPOTR WANAMICHEZO WETU TANZANIA MUNGU IBALIKI AFRICA KAMA NYIMBO YETU YA TAIFA ☝️☝️☝️🤲🤲🤲♥️💪👌
Azamu tv niwasefenge sana! Mtu anaezitambulisha ngumi za Tanzania mnashindwa malizana kw tofaut ndogo?
Mwakinyo noma sana
Hongera Azam tv Kwa kutoonesha huu usenge
Msenge ni wewe
Acha wivu we shoga au unataka kuwa mke wake wa pili nini! Unamuonea wivu mke mkubwa😂😂
Anajua sana
Huyu jamaa apigane na welemi wa south africa
Wachambuz pamoja na refa mko kiushabiki sana maana Hasan ngumi nyingi za chini ya tumbo lakin refa kakaa kmya tu...hii raund y nne kampga jamaa ngumi sehem z Siri lkn refa yupo kmy tu ad jamaa kapotea af mnachekelea tu..mnampa sifa Hasan
Azam azam tafadhali onyeshen mapambano ya mwakinyo
😂😂😂Wajina uyo Jamaa ungempa japo 10000 ya panado
Mnabore n nyinyi hamna replay kweñdeni uko hamko professional kwakweli
Raisi aingilie swala la boxing
Mwakinyo namchapa ndani ya dakika 15
Hassan ashakuwa asuka. Hassan u muislamu. Please epuka mambo hayo. Hii dunia tunapita kaka.
Atar
Ulikuwa vizuri tu sasa umeanza umama unasuka mtoto wa kiume dini siunaijua vizuri lakini?
Naona sasa mmekosa chakuongea😂
Ww nawe umekosa cha kuongea
We mwenyew mama Unataka bwana bondia 😅😅😅
We msungo unasuka nywele dada Ako afanye nn😮
Kama wanamwamin wampe pambano na msauz akimaliz round 2 nakunya
Azm kama walez wa michezo chin nyie ni wazaz mtoto akinye mkono huwez ukata najua mtalifanyia kz.
Mwamba una weza mwakinyo
Xkupingi. Champion. Chapa. Acha. Waowabaki. Namajungu. Yao
Msena
🥊
Mbona sioni Azam kwenye mapambano ya mwakinyo siku hizi
Hilo lilefa hakuna kitu lione tu
Mtu anapgw kichogo mara chin y kiuno refa kakaa kimy tu
Kinyos
ILA HARMONIZE
MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, KIZUNGU HAJUI🙆♀️
Hakuna tatizo hata rais wa WBO hajui kiswahili.
Kumbuka anaongea ndani ya taifa lake hivyo ni fahari kuongea lugha yake, kuongea lugha ya mwingine ndani ya taifa lake ni utumwa.
LIVE......read more.
WA Tanzania mwakinyo nimtetezi tusimuzihaki
Champezzzzzzzz
Hil Pambano lin na wap 🤣🤣
Punguzeni kelele tunajuwa
Hawa jamaa wanazidi kuongea mdaa ote
Champeez
UPUMBAVU MTUPU APO HAKUNA PAMBAMBO MBWA MBWA TU😂😂😂
Pumbavu sana...ashaanza kusuka
Hii ilishapita wanarudia hasani alishinda kwa tko
Mnampaisha sana huyu dada.. hamna kitu. OVERRATED. black magic at work
Hassan mwakinyoooooo ndio kiboko ya mabondia
HILI PAMBANO NILALINI MSITUCHANGANYE HEMBU
Champez
Hawana ladha kama saidi bwanga na mwakembe bonge la mech mnatuwekea mang'ombe
Hili pambano limerudiwa au
Kama mtu ulikua mpenzi wa ngumi wa Tyson hapA hamnakitu
Kila sehem viraza hawakoseka ndio kama ww
Video haina replay ata moja kama live.
Experience bado ndogo
Mwakinyo, kwa ipiganajiwa huu, asithubutu kucheza ngumi na Kiduku au na Asemahle naamini atastaafu mapema.
hakun bondia wakusimama na hassan tz
Boxing brother sio maandazi uelewe mama ako c kachezea huko nje na South Africa kukumbatia kma mama mdpgo
@KasimuMpanga Niaka ya nyuma Boxing ilikuwa inachezwa, akina Lukas Msomba, kocha Kinyogoli, kina Hussen Mapepe n.k najuwa huyu bondia ndizi. Mwakinyo anapigana na mabondia wa mchongo kwa makubariano. Ili kuweka sawa mambo. Nakumbuka kuna bondia alishtukua dili, hakupigana. Brother Mwakinyo kwa sasa ngumu kukubari kucheza na bondia wa hapa nyumbani.